Mungu anisaidie...kwa siku zangu za kuishi....nipate angalau nafasi ata kama ni moja...ya kujiunga na nyinyi live...kwa ibada ...from kenya....ila mafundisho aya yamenikuza sanaa kiimani...
@Neema-wy4mh6 ай бұрын
Amen. Mungu naamini umenifungua kuzuiliwa kwangu. Nitaenenda kwa neema yako 2024.watunze watumishiwako wafichekwenye mbawa. Zako adui asiwaone. Ilituendelekupokea kupitia wao. Utukufu ni wako❤❤❤Jesus
@rispercharo8107 ай бұрын
Kila siku ni siku ya Bwana....kwa kila ibada lazima watu wa Mungu wafunguliwe.....thankyou Jesus.🙏🙏🙋🙌🙌