KWA TANZANIA NIMEKUWA ASKOFU MKUU WA KWANZA KUHAMISHWA | HII ILINIUMIZA SANA | MUNGU ANAJUA

  Рет қаралды 37,462

Tumaini_Tv

Tumaini_Tv

Күн бұрын

Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap akielezea safari ya Miaka 25 katika Utume wa Uaskofu ndani ya Kanisa Katoliki | Picha hizi zinatengenezwa na TUMAINI MEDIA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka TUMAINI MEDIA
Hakimiliki © Tumaini Television - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.

Пікірлер: 39
@FredrickKabura-gd7hg
@FredrickKabura-gd7hg 3 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU akujaalie afya njema baba askofu, aponye maradhi yako akunyooshee mapito yako, mapaji ya roho mtakatifu daima yawe pamoja nawe amina.
@fredynyandoro4266
@fredynyandoro4266 3 ай бұрын
Amin Baba Adkofu. Tunakuombea afya njema na mafanikio mema katika Utume.
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 5 ай бұрын
Nakubaliana na maneno yako kuwa baba we myamwezi. Mungu azidi kukulinda na kulilinda Kanisa, na zaidi Yeye aongezeke kwa nyakati zote Amina
@eudesjonasbukhay9437
@eudesjonasbukhay9437 3 ай бұрын
Kweli Mungu ana jua...Tulikupenda sana Mbulu...binafsi nilikupenda sanaa Mwl wangu wa mwaka wa malezi(Chief formator wangu)Nakuombea afya njema na utume mwema wakutukukuka daima...nayakumbuka maneno yako"Bidii kama mwanzo" na "Mungu yupo tumtumainie"
@BernadethaMihele
@BernadethaMihele 4 ай бұрын
Mungu akutune Askofu wetu .wewe ni mtu wa maendeleo sana.
@FredrickKabura-gd7hg
@FredrickKabura-gd7hg 3 ай бұрын
Karibu unyamwezini Baba askofu.
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 4 ай бұрын
Nakukumbuka Sana Tulifanya kazi nikiwa karibu na wee
@irenelyimo4443
@irenelyimo4443 5 ай бұрын
Mungu aendelee kukupigania kukulinda na kukuheshimisha.Alichokiweka Mungu ndani yk uyatekeleze anakusidi nawe.Hongera sn Mh. Bb Askofu mMkuu❤
@JohnLewanga
@JohnLewanga 4 ай бұрын
Ruwa'ichi. Baba Mhashamu Askofu jina hili ndiyo njia kwako na kwetu Waumini! Mungu awapokee wazaizi mikonono, ama vipi awape Kila tunalo takiwa kama wako hai. Ila awape vyote. Amina!!!
@rahelmsuya7271
@rahelmsuya7271 4 ай бұрын
Authentic speech
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 5 ай бұрын
Baba Askofu Mkuu Thadeus ni baba wa mikakati. Mbulu uliacha ujenzi wa Kanisa kuu, Jimbo kuu la Mwanza umetuachia ujenzi wa Kanisa Kuu (cathedral), Jimbo kuu la Dsm mmeanza harakati za ujenzi wa Cathedral mpya badala ya St. Joseph. Ni dhahiri kila ulipokanyaga umeacha alama ya unyayo wa Bwana wetu Yesu Kristu! Hakika Ruwa`chi MUNGU ANAJUA !
@gishigrace97
@gishigrace97 4 ай бұрын
Yes exactly may Almighty God bless Ruwaichi abundantly in Jesus name
@olivasafari1059
@olivasafari1059 4 ай бұрын
Kanisa kuu la kupalizwa Bikira Maria Mbulu, lilijengwa na Askofu Nikodemus Hhando wa Mbulu na sio Thadeus.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 4 ай бұрын
@@olivasafari1059 Ubarikiwe kwa ufafanuzi huo,, ahsante sana
@maxmilliannoel2605
@maxmilliannoel2605 5 ай бұрын
Amina .
@BonifaceZumba
@BonifaceZumba 3 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@PaulRPaul-z1q
@PaulRPaul-z1q 5 ай бұрын
Stay blessed Askofu Mkuu Ruwaichi
@simonmaziku4235
@simonmaziku4235 4 ай бұрын
Alitaka saana ukadinali ila ndo hivyo @
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 4 ай бұрын
Hivi tukumbushane! Askofu mkuu Rugambwa hakuhamishiwa DSM toka Bukoba? Kama alihamishwa kwa kuwa alipata ukadinari mbona Rugambwa wa sasa bado yuko Tabora?
@TheophilRomward-FBAttorneys
@TheophilRomward-FBAttorneys 4 ай бұрын
Lakini Cardinali Rugambwa alipata ulardinali 1960 na alihamia Dar es Salaam 1968 (miaka 8 baadae). Inaonekana kabisa kilichompeleka Dar siyo ukardinali. Ingekuwa ukardinali isingechukua miaka 8. Pili, hakuwahi kutamgazwa kuwa Askofu mkuu- niliwahisikia hii.
@richardboniphace1305
@richardboniphace1305 3 ай бұрын
Sio lazima kuhamia Dar maana kila jimbo lina mamlaka yake.
@EricMhongole
@EricMhongole 5 ай бұрын
Amina baba
@FrankAloyce-ic6rq
@FrankAloyce-ic6rq 4 ай бұрын
Safi Baba askofu
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 4 ай бұрын
Hii imetokana na Mama Kwenda kwa papa
@JohnLewanga
@JohnLewanga 4 ай бұрын
UKWELI wa kuishi dunia. Amina
@nzioka.n1675
@nzioka.n1675 4 ай бұрын
Mhashamu askofu usijali
@YohanaMbano
@YohanaMbano 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@josephatevarist1822
@josephatevarist1822 5 ай бұрын
Inaonekana dodoma ulipata changamoto kubwa....but hongera sana Baba🎉
@georgekilwa2051
@georgekilwa2051 4 ай бұрын
wakubwa walikuona pale ulipomtendea vibaya yule wa haki na aliekua mtu wa upande wako mimi binafsi sitakuekewa kabisa
@pacetimer6441
@pacetimer6441 4 ай бұрын
Kanisa Biashara siku hizi
@frankngajilo7137
@frankngajilo7137 4 ай бұрын
Ana akili mingi sana .anakaa kimya muda mrefu akiongea tu neno moja kamaliza
@godfreymokoki1027
@godfreymokoki1027 5 ай бұрын
Kondoa ulitupenda sana, pamoja na uchache wetu kumbe ulikuwa na mchakato wa Kondoa kuwa JIMBO KATOLIKI na ikawa hivyo na hatutakuangusha kamwe kusudi lako jema na takatifu..
@CANAANTZ_TV
@CANAANTZ_TV 5 ай бұрын
TYK Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp 1=Maombi ya kuvunja madhababu za kichawi 2=Maombi ya kuzima mashambulizi ya kuzimu 3=Maombi ya vita vya kiroho Bonyeza picha kushoto mwa comment hii
@ebenezerlawuo6667
@ebenezerlawuo6667 5 ай бұрын
runda meku
@francisngalimoto7552
@francisngalimoto7552 3 ай бұрын
Vijana tunasema wewe n jembe
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 ай бұрын
Kwani hutaki kuhamishwa umejenga au
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru 4 ай бұрын
Aaaahahahaaa unajuwa ukiwa kiongozi haitakiwi kujipangiya mahali popote wewe nikutumikiyatu
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 4 ай бұрын
We SI mkatoliki huwezi elewa.
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 5 ай бұрын
Nakubaliana na maneno yako kuwa baba we myamwezi. Mungu azidi kukulinda na kulilinda Kanisa, na zaidi Yeye aongezeke kwa nyakati zote Amina
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 71 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,7 МЛН
DARASA KUBWA ASKOFU KILAINI AELEZA HISTORIA YA KANISA LA KWANZA |
54:19
Radio Maria Tanzania
Рет қаралды 8 М.
"MAGUFULI HAKUNIELEWA KUHUSU COVID 19" ASKOFU RUWA'ICHI AFUNGUKA MSIMAMO WAKE WA COVID 19
4:25
"SIMU YA UTEUZI ILINIKUTA ITALIA NAKULA" ASKOFU MTEULE MWASEKAGA ASIMULIA ILIVYOKUA..
4:06
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 71 МЛН