Kwa Viwango Vingine lyric video HD

  Рет қаралды 1,795,777

Godlove Furahisha

Godlove Furahisha

Күн бұрын

Mzumbe University USCF Praise & Worship Team

Пікірлер: 590
@daimunicatha7173
@daimunicatha7173 3 ай бұрын
2024 Nabarikiwa saaaan kupitia nyimbo hii Kwa viwango vingine nataka kukuabudu, chini ya mbawa zako nilaze kichwa changu🙏🙏🙏 Mungu Kwa maisha yang
@kindocan4582
@kindocan4582 4 жыл бұрын
nisaidie nami niwe msaidizi wako niweze kulijua neno lako nanili tangaze kupitia injili yesu usini sahau nikumbuke
@eunicejoseph9819
@eunicejoseph9819 4 жыл бұрын
Who is still listening this song in 2020😍
@slummzee6511
@slummzee6511 4 жыл бұрын
Eunice Andrew me
@christinawatson4312
@christinawatson4312 4 жыл бұрын
Naendelea kubarikiwa
@ednayinza3680
@ednayinza3680 4 жыл бұрын
2020
@samuelmsola9503
@samuelmsola9503 3 жыл бұрын
Until 2021
@faithdalitso7021
@faithdalitso7021 2 жыл бұрын
Until 2022
@ShadrackEdward-f2u
@ShadrackEdward-f2u Ай бұрын
This song makes me Emotional.. I remember back then in those days when I used to play church in Form 3 but even in those days I still felt God whenever this song was played. Now I no longer play-Church I am serious with the things of God.. and I’m here to marvel and Adore him [Jesus]👏
@stephanolaurian2347
@stephanolaurian2347 5 жыл бұрын
Nikuabudu kwa viwango vngine vya juu, Bwana nisaidie
@eunicendomondo
@eunicendomondo Жыл бұрын
Natamani kulia tu nikiusikia Wimbo huu! Kama sio Bwana, Israel na aseme Sasa🙌🙌🙌🙌
@marykanini445
@marykanini445 4 жыл бұрын
Kwa viwango vingine nataka nikuabudu... nice song
@denissanga1814
@denissanga1814 4 жыл бұрын
Naomba Niinue Bwana kwa viwango vua juu sana.
@anithajoseph5247
@anithajoseph5247 4 жыл бұрын
Nataka nikwabudu BWANA kwa viwango vingene kwa maana wastahili KUABUDIWA kwani hata pumzi yangu ni wewe tu bwana mpaka leo naiona siku nyingine na bado napumua,hakika nitakuabudu peke yako JEHOVAH MILELE siku za maisha yangu AMINA , Mbalikiwe wapendwa katika bwana
@ladyevembwambo1614
@ladyevembwambo1614 4 жыл бұрын
Chin ya mbawa zako nilaze kichwa changu Amen
@mariasadiki996
@mariasadiki996 5 жыл бұрын
Kweli nimebarikiwa.naupenda huu wimbo sana
@janiterndalila2375
@janiterndalila2375 4 жыл бұрын
Amen kwa viwango vingine tena huuu mwaka bwana nataka nikwabudu...
@rosechite5037
@rosechite5037 4 жыл бұрын
I like this song huwa nabarikiwa mnoooooo
@EliudPahal
@EliudPahal 7 ай бұрын
I believe that through that song I wanna go to woship lord Jesus for wandarful level amen in 2024
@alisembungua704
@alisembungua704 Жыл бұрын
Amen that's my prayer nice song
@rebeccamusa4567
@rebeccamusa4567 5 жыл бұрын
Kwa viwango vingine nataka nikuabudu chini ya mbawa zako nilaze kichwa changu
@theresiahaule5372
@theresiahaule5372 4 жыл бұрын
Kwa viwango vingine nataka mwaka 2020 uwe wa tofauti kwa kila idara
@zuhurasamweli4575
@zuhurasamweli4575 4 жыл бұрын
Amina nimebarikiwa mno Mungu azid kukuinua kwa viwango vingine
@nekaagripa3993
@nekaagripa3993 Жыл бұрын
This is 2023,and the song still blesses millions of souls!
@hadijasalimu5481
@hadijasalimu5481 4 жыл бұрын
Nimeguswa sana mbarikiwe sana
@pendosaruhala9754
@pendosaruhala9754 5 жыл бұрын
Nataka nikuabudu baba kwa kiwango cha juu
@angelalphonce2962
@angelalphonce2962 5 жыл бұрын
Hakika kwa bingo vingine nataka nikuabudu Yahwee
@geonycoutinho5055
@geonycoutinho5055 5 жыл бұрын
Kwa viwango vingine napenda nikwa budu mungu wang
@violetngoli4660
@violetngoli4660 4 жыл бұрын
Kwa viwango vingine nitamuabudu bwana chini ya mbawa zake nitalaza kichwa chagu 🙏🙏
@janetshao6423
@janetshao6423 5 жыл бұрын
Kwa viwango vingine nataka nikuabudu chini ya mbawa zako nilaze kichwa changu🙏
@nancyshao3828
@nancyshao3828 5 жыл бұрын
Janet Shao
@gidioncrement6146
@gidioncrement6146 4 жыл бұрын
Janet Shao
@vedastonkwera8850
@vedastonkwera8850 4 жыл бұрын
Kwa kweli tunabalikiwa sana sana
@kindocan4582
@kindocan4582 4 жыл бұрын
yesu hakika wewe unaweza.
@mariadavid6753
@mariadavid6753 7 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo kwani unafariji na unakupa matumaini
@bethaosiah4561
@bethaosiah4561 5 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi kwa ujumbe mzuriii
@joycelauwo3793
@joycelauwo3793 4 жыл бұрын
Kwa viwango vingine nataka nikuabudu BWANA
@paulina.kivuyo166
@paulina.kivuyo166 4 жыл бұрын
Huu wimbo wa viwango umeniinua
@pendomassawe8633
@pendomassawe8633 5 жыл бұрын
kwa viwango vingine nataka nikuabu naupenda sana uu wimbo
@lukalazaro3147
@lukalazaro3147 5 жыл бұрын
Tumebarikiwa haswaa kwaviwango
@madamgtv73
@madamgtv73 3 жыл бұрын
Huwa nabarikiwa san wimbo huu Mungu awabariki waimbaji.
@lepa3tv832
@lepa3tv832 4 жыл бұрын
Wow wow nice one
@dicksoneliasnyangali3519
@dicksoneliasnyangali3519 4 ай бұрын
May 2024 sasa.. Huu wimbo bhana bado umekuwa baraka.
@frolajoshua307
@frolajoshua307 4 жыл бұрын
Penda sanaa like it
@josephinedaniel2322
@josephinedaniel2322 4 жыл бұрын
Kwa viwango vingine bwana acha nikuabudu.
@mariamukasyupa6817
@mariamukasyupa6817 3 жыл бұрын
Kwa viwango vingine, wimbo unani bariki sana
@ldiyaepimark2279
@ldiyaepimark2279 4 жыл бұрын
Kwa viwango vingine nataka nikuabudu chini ya mbawa zako nilaze kichwa changu Amen
@sharonabdulymushi1458
@sharonabdulymushi1458 5 жыл бұрын
Chini ya mbawa zako nilaze kichanguuu amen..
@rahelpetro2807
@rahelpetro2807 5 жыл бұрын
Nam pia naomba mungu anipandishe kwaviwago vingene
@neemamunisi3557
@neemamunisi3557 6 жыл бұрын
Nisaidie Yesu nikutumikie kwa viwango vya tofauti sana wakati naishi duniani.
@tumainiashery2696
@tumainiashery2696 5 жыл бұрын
Kwa viwago vingine nataka nikuabudu baba 😍😍😍😍bless you kaka
@jamilayassin633
@jamilayassin633 5 жыл бұрын
Barikiwa
@meryngamema8419
@meryngamema8419 5 жыл бұрын
kila nisikilizapo uhu wimbo nafarikaga sana
@consolathaidama5656
@consolathaidama5656 5 жыл бұрын
Wimbo unabariki mno mno
@annekiliwa1248
@annekiliwa1248 4 жыл бұрын
Wooow kwaviwango vingine
@dinnahalex6748
@dinnahalex6748 6 жыл бұрын
Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwema sana nafarijika sana moyoni mwangu nikiwa nafuatilia nyimbo hizi haswa nikiziimba na kumaanisha....Mungu azidi kutenda tumsifu na kuabudu kwa roho na kweli mioyoni mwetu
@marthasimwanza7630
@marthasimwanza7630 7 жыл бұрын
Barikiwa sana kwa wimbo hui mzuri naomba Mungu anipe viwango V ingine zaidi
@Aggybrian2023
@Aggybrian2023 Жыл бұрын
Today 10.5.2023 nimepokea Breakthrough na Mungu amebadilishi maisha yangu , Nimeingia kwenye viwango vingine vya Utukufu hadi Utukufu....Namsifu Bwana kupitia wimbo huuuu....hakika Mungu yupoooo.. Kama unapitia changamoto yoyote ile mimi leo nakushuhudia Kwa Ujasiri kuwa Usiogopeeee Mungu yupo na Anasikia maombi na anajubu kwa motooooo....Futa machozi Msifu Bwana hata katika nyakati Ngumu unazopitia Yupo na weweeeee...Isaya 45, Isaya 54, zaburu 25,Zaburi 118
@godlovefurahisha837
@godlovefurahisha837 Жыл бұрын
Ameeen
@onikajulius9335
@onikajulius9335 6 жыл бұрын
Kwa viwango vingne natak Nikuone mungu katk maisha yangu
@aliomarshamatta5694
@aliomarshamatta5694 5 жыл бұрын
thanx Lord,,kwa viwango vingen bwan natak nkuabud chin ya mbawa zako nilaze kichwa changu😘😘
@mussamasanga1626
@mussamasanga1626 6 жыл бұрын
AMEN! papaa e, i remember them dayz! Cha ajabu ni LEO nimepita huku, nmeusikiliza it is as though ndo nausikia kwa mara ya kwanzaa kabisa, what a moment, days have gone by bt today i jus felt like it waz yesterday..guyz MUNGU AIENDELEZE HII KAZI NJEMA NDANI YETU.
@hosianakileo8887
@hosianakileo8887 4 жыл бұрын
Hello Musa, nimefurahi kukusikia tena. It was amaizing back there. Are you still singing?
@abednegosimoni7716
@abednegosimoni7716 5 жыл бұрын
Kweli kwa viwango vingine naweza kukuabudu mungu wangu
@monicamwampamba310
@monicamwampamba310 3 жыл бұрын
Kwa.viwango.vingineeeee.barikiwa.sana
@SkylarReborn
@SkylarReborn Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌
@priscaseverin4967
@priscaseverin4967 6 ай бұрын
Nataka nikuabudu ,chini ya mbawa zako nilaze kichwa changu
@ingiamnzava5363
@ingiamnzava5363 7 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi Wa mungu!! mungu azidi kuimarisha kipaji chako
@Kivumbisports
@Kivumbisports Жыл бұрын
2023 still on top 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ulimbakisyamwandimila4591
@ulimbakisyamwandimila4591 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila siku kama waanimi weka like yako..
@jonhjack4187
@jonhjack4187 7 жыл бұрын
kwa viwango vingne Nataka nikwabudu Mungu nijalie neema Ck had Ck nikutumikie pasipo kukataa tamaa
@juliethbakera3079
@juliethbakera3079 Жыл бұрын
2023, still listening❤
@mbkim6215
@mbkim6215 4 жыл бұрын
Nice song....
@festomnyamazi9324
@festomnyamazi9324 4 жыл бұрын
2020 ninahitaji kukuabudu katika viwango vingine
@richardmushi7332
@richardmushi7332 4 жыл бұрын
kwa viwango vingine nataka nikuabudu 2020
@adolfinangatunga104
@adolfinangatunga104 3 күн бұрын
Still watching 2024❤
@yasintajohn2217
@yasintajohn2217 4 жыл бұрын
Amen, Mungu tupatie viwango vingine vya kukuabudu tuondolee mazoea na utufanye upya katika kukuabudu kila kuitwapo leo
@iddykiondo2031
@iddykiondo2031 5 жыл бұрын
oooooh nice song
@lucylyatuu1914
@lucylyatuu1914 6 жыл бұрын
nimebarikiwa kwa nyimbo hii
@frankngilangwa4518
@frankngilangwa4518 5 жыл бұрын
Naupenda huu wimbo kwa sababu unanifariji sana ,ubarikiwe na MUNGU e we mtumishi
@marthasaid8441
@marthasaid8441 5 жыл бұрын
kwa viwango vingine nice song, tusiende mbele za Mungu Baba yetu kwa mazoea
@onewaykeeptime4715
@onewaykeeptime4715 5 жыл бұрын
barikiwa sana
@user-pv1ho7qo8t
@user-pv1ho7qo8t 4 ай бұрын
13 May 2024 still listening to this song
@anethnaftali2339
@anethnaftali2339 6 жыл бұрын
Waoooo naupenda huu wimbo
@marypaul8908
@marypaul8908 5 жыл бұрын
Kwa viwango vingine
@liliantitus7067
@liliantitus7067 3 жыл бұрын
Ameeen 2021 All glory be to God 🙏🔥🔥🔥🔥
@gracejacky446
@gracejacky446 5 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana na unaleta utukufu
@marrykyabwazi2622
@marrykyabwazi2622 6 жыл бұрын
kila cku MUNGU ni mpya, ukienda mbele zake kumwabudu unatakiwa kumwabudu kwa viwango vingine tofauti na Jana na juzi, ee MUNGU 2jarie viwango vya kukuabudu ktk uarisia wako, na ktk viwango vya utukufu wako, ubarkiwe mtumishi Wa MUNGU
@maikodaimon8284
@maikodaimon8284 5 жыл бұрын
balikiwa
@EliudPahal
@EliudPahal 7 ай бұрын
Jesus bless you more amen
@collinscosmas9484
@collinscosmas9484 5 жыл бұрын
kwa viwango vingine mwaka huu ukawe wa baraka zaidi in Jesus Name.
@elisaambise9502
@elisaambise9502 5 жыл бұрын
Namuomba Mungu aniweze kumtumikia kwa viwango vingine vikubwa zaidi. Kwa jina la Yesu.
@tanzaniampyaonlinetv1126
@tanzaniampyaonlinetv1126 5 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe naomba namba yako nataka kuongea na wewe, barikiwa
@asiimweanthony9057
@asiimweanthony9057 5 жыл бұрын
Hallelujah
@wanzitashilla2232
@wanzitashilla2232 4 жыл бұрын
2020 kwa viwango vingine , nataka nikujue wewe MUNGU wangu , nisikuabudu kwa mazoea, hatua zangu ziongozwe na wewe pekee yako. Nisaidie ee roho mtakatifu..🙏🙏🙏
@noelasilayo2816
@noelasilayo2816 4 жыл бұрын
Napenda san
@scariuschristian5744
@scariuschristian5744 4 жыл бұрын
Chini ya mbawa zako,inanigusa sanaaaa
@kingshiggy6062
@kingshiggy6062 4 жыл бұрын
Xchoki kuxikiliza wimbo huu
@claramilanzi9170
@claramilanzi9170 7 жыл бұрын
Nimechoka kukwabudu kama mataifa waabuduvyo maana wengi hufanya hivyo ila kusudi waonekane.....
@magrethmpaki7216
@magrethmpaki7216 5 жыл бұрын
Asante Yesu wangu kwa watumishi wako uwainue kwa viwango vingine
@kasildaleopord2857
@kasildaleopord2857 5 жыл бұрын
Nimeupenda sana huu wimbo mwenye nao naomba nitumie
@wahabiramadhani7365
@wahabiramadhani7365 5 жыл бұрын
Ingia Google uuandike Alf u download
@venanciasanga9323
@venanciasanga9323 8 жыл бұрын
The song z so nice, kwa viwango vingne nataka nkwabudu. Be blessed.
@dorissweke6272
@dorissweke6272 4 жыл бұрын
venancia sanga
@angelinaelishachisongela7859
@angelinaelishachisongela7859 5 жыл бұрын
Mpigieni BWANA vigelegele
@maryjoseph5676
@maryjoseph5676 7 жыл бұрын
kwa viwango vingine .........nimebarikiwa xana
@annaymakala4508
@annaymakala4508 5 жыл бұрын
haleluyaaaa hakika kwa viwango vingine nami natamani nimwabudu Mungi wangu stay blessed
@edinahjames1976
@edinahjames1976 7 жыл бұрын
nyimbo tam sana hii ukiimba toka moyoni
@christinamatrida6219
@christinamatrida6219 6 жыл бұрын
Nina hakika kuwa ww Yesu wastahili kuabudiwa tena kwa viwango vya juu haleluya!!!!!
@naomycharles9266
@naomycharles9266 5 жыл бұрын
Nabalikiwa sana huu wimbo kwa viwago vigine nataka nikwabud🙏🙏
@annamarybyarugaba9843
@annamarybyarugaba9843 7 жыл бұрын
I thank the almighty God maana nataman kila siku nipande katika kiwango lingine.Kumtumikia Mungu kuna faida nyingi.He has saved me from sin
@samsonmwasandube1102
@samsonmwasandube1102 3 жыл бұрын
2021 at mzumbe be blessed brother and sister.
@davidwainaina6628
@davidwainaina6628 2 жыл бұрын
This song blessed me and is the best song up to date😍😍😍❤️
@florahmushi748
@florahmushi748 5 жыл бұрын
Kwa viwango vingine nataka mwaka 2019 Nikainuliwe nistawi na kutawala niinuliwe na kumiliki kwa viwango vingine
umenifanya ibada
9:02
Clarence Msuka
Рет қаралды 4,7 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 86 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН
Hii sio ndoto yangu lyrics_William Yilima
8:40
Daniel
Рет қаралды 112 М.
RAFIKI MWEMA- LYRICS. [BY CHANDELIER DE GLOIRE] CREATED BY KISHA
7:58
Alilipa Deni zangu | Song: Pendo Kuu | Mamajusi Choir | Lyrics
7:21
Lucas Kaaya
Рет қаралды 3,4 МЛН
VIWANGO VINGINE - Mamajusi Choir Moshi - Official Video
11:11
Mamajusi Choir Moshi
Рет қаралды 169 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 26 МЛН
William Yilima-Hii siyo ndoto yangu {Official Video HD}
8:50
Muhubiri Production
Рет қаралды 20 МЛН
Essence of Worship - Ninapenda Nikuabudu (Official Video) skiza Codes (7636499)
19:28
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 6 МЛН
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 60 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН