Рет қаралды 2,745
KWANI SAID BWANGA Anataka KUMFANYA Nini MIYEYUSHO Ulingoni?, MBONA Mazoezi ya KIKATILI Hivi, TAZAMA!
Bondia Said Bwanga ameendelea kufanya mazoezi kwa ajili ya kumvaa mpinzani wake Chichi Mawe kwenye pambano la USIKU WA MABINGWA litakalochezwa Desemba 26, 2023 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.