IBRA CLASS: AFUNGUKA SAKATA LA HASSAN MWAKINYO | SIKIA MAONI YAKE.

  Рет қаралды 31,338

Ayoma Media

Ayoma Media

10 ай бұрын

Пікірлер: 71
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 9 ай бұрын
Kwa kifupi Mwakinyo kakataa matapeli namuunga mkono
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 9 ай бұрын
Oya paf promotion si anaifaham vyem sana mwakinyo na aliisifia sana na kujiaminisha kwa analysis aloifany sasa imekuaje ?
@stamilimakurunge9305
@stamilimakurunge9305 9 ай бұрын
Jamaaa unajielewa tofauti n yule mrembo wenu mfaume mfaume
@subetizaid6515
@subetizaid6515 9 ай бұрын
Safi sana ibra uko vizuri hauna maneno yakishamba uko vizuri broo
@AmosSniper
@AmosSniper 9 ай бұрын
Class unaongea vzr, ww nibondia mwenye akili yakujielewa achana nayule nyani mfume anaeongeaga kichokochoko
@NajibuIbrahimu
@NajibuIbrahimu 9 ай бұрын
Hata mwakinyo anaongea kichokochoko
@user-zy2vg6kl1s
@user-zy2vg6kl1s 9 ай бұрын
Ili ufanikiwe kwenye tasnia yoyote ya kisasa lazima ujitengenezee jina zuri,Huyo Dogo Ibra nick name yake ni CLASS hivyo Kuna sehemu amesha jiweka yeye ni WA daraja flani.Tukija kwa Hassan Mwakinyo tayari ana majina mazuri mfano COLORADO KING,CHAMPEZ1 TIME na nk.Sasa wewe angalia yule Boya wa Mabibo eti ana jiita MAPAFU YA MBWA,sasa wewe ushajiita MBWA basi lazima uwe MBWA MBWA tu
@kenedyndunguru9068
@kenedyndunguru9068 9 ай бұрын
😂😂😂
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 9 ай бұрын
Mfaume haijielewi ninyani kweli wengi wetu hatumpendi anazingua sana
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 9 ай бұрын
Nakuelewa sana ibla Class na tunakupenda watanzania wengi anae kusema vibaya wewe ujuwe nimkimbizi sio mtanzania
@naimabdul1231
@naimabdul1231 9 ай бұрын
Ibrahim unajielewa sana nakukubali sana mdogo wangu ndugu yako mwakinyo anazingatia sana misimamo yake mujielewe sana ndugu zangu mufike mbali, mola awe nanyi forever
@kaluluu2011
@kaluluu2011 9 ай бұрын
Mwakinyo ana misimamo ya visa vya kuporwa mwanamke analeta kwenye kazi ....mbuzi uyo muoga muuza mech uyo mwakinyo tumemzoea ..anataka udalali anataka na PESA za mchezo pia alipwe .mwizi uyo mwakinyo kazoea PESA za bureee
@allykarupa1411
@allykarupa1411 9 ай бұрын
Dogo upovizuri mungu hakufikishembali
@user-dd1uw9qw2t
@user-dd1uw9qw2t 9 ай бұрын
Mabondia mjifunze kwa mwakinyo kua na misimamo ktk maisha ya ngumi sio mpande 2 ulingoni kwa ajili ya kuwafulaisha mashabiki na kuwatajilisha mapromota kama hao alio wakataa mwakinyo pandisheni ngumi za tz ziende mbali zaidi .
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 9 ай бұрын
Ndugu, sio kila misumamo n mzuri, misimamo mengne inaweza kudistroy küla kitu!
@user-kf1kf2gs4y
@user-kf1kf2gs4y 9 ай бұрын
Daaaah kumbe wajinga ni wengi hii nchi kwa hapo msimamo wa mwakinyo unaweza pandisha Boxing Tz kiaje
@FRESHNEWS171
@FRESHNEWS171 9 ай бұрын
Kakataa kupigana kwasababu ya ugomvi wake binafsi na baadhi ya watu..sasa ugomvi wake unamuusu nini promota😂 watu wanatafuta hela piga pesa baada ya apo endeleeni na ugomvi wenu
@adammalima3408
@adammalima3408 9 ай бұрын
Leo umeongea vizuri sana
@ananiaszinns7324
@ananiaszinns7324 9 ай бұрын
Ila inaomesha pia kuna ubabaishaji baadhi ya maplomota
@ashrafurwegoshora4227
@ashrafurwegoshora4227 9 ай бұрын
Kipajinchako ndo kinafanya mapromoter wakufate,mwakinyo amejitafuta ana haki ya kufanya anachoona ni sahihi,mwakinyo uko sawaa kabisa
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 9 ай бұрын
Hapo ata yule Mmalawi nadhan kulikua na mvutano wa malipo maana alitumia zaid ya dakika 40 kupanda ulingoni akiwa tayal kashaaitwa nadhan kulikua na ubabaishaj
@makupejafar1771
@makupejafar1771 9 ай бұрын
Yupo pamoja ibra
@fredprosper4883
@fredprosper4883 5 ай бұрын
on point
@husseinkassimu4904
@husseinkassimu4904 9 ай бұрын
TANZANIA mm nawakubal Hasan mwakinyo na lbrahimu class mawe ni waungwana sana wengine ni waripokaji tyu
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 9 ай бұрын
❤❤Class
@MussaMohamed-pd7pq
@MussaMohamed-pd7pq 9 ай бұрын
Saluti sana mawe uko vzl
@sirizawa3360
@sirizawa3360 9 ай бұрын
Ibrahim kweli chanzo hukijui champion au umejisahaulisha
@hamisiyangakozwe147
@hamisiyangakozwe147 9 ай бұрын
Kaka kaongea vizuri san sio hao wengine wana wivu na champez
@chidybwax8080
@chidybwax8080 9 ай бұрын
Ww cheza bure kesho uumwe uanze kutuomba mchango fanya kazi kwa malipo acha maneno utufurahishe yann lipwa hela kwanz
@abubakarathumani7404
@abubakarathumani7404 9 ай бұрын
Nice talking
@user-zy2vg6kl1s
@user-zy2vg6kl1s 9 ай бұрын
zuri,Huyo Dogo Ibra nick name yake ni CLASS hivyo Kuna sehemu amesha jiweka yeye ni WA daraja flani.Tukija kwa Hassan Mwakinyo tayari ana majina mazuri mfano COLORADO KING,CHAMPEZ1 TIME na nk.Sasa wewe angalia yule Boya wa Mabibo eti ana jiita MAPAFU YA MBWA,sasa wewe ushajiita MBWA basi lazima uwe MBWA MBWA tu
@fj8317
@fj8317 9 ай бұрын
yule sio bondia yule ni mzee wa promo hana fight kubwa hata mmoja
@user-mt1ep9eu4e
@user-mt1ep9eu4e 9 ай бұрын
nadhan ibra wadau wamekufata kukwambia ubadilike interview zako zisiwe zakiswaz, manawe ndo mrithi wamakinyo, make sure hukai kindez ndez...be a professional as ur bro mwaki...mfaume ana wivu tu na wengineo
@saidramadhan71
@saidramadhan71 9 ай бұрын
Hassan yupo sawa
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 9 ай бұрын
Salam zangu kutoka USA marekani inauma Sana nduguzagu what wrong home land Tanzania
@HASHIM-rt4mf
@HASHIM-rt4mf 9 ай бұрын
Hawa ndio machampez wanaongea point
@user-hx6cv3so7b
@user-hx6cv3so7b 9 ай бұрын
Mm namkubal mwakinyo kunashida hawez kataatu
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 9 ай бұрын
Pesa kwanza kupigana bila pesa duuuu
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 9 ай бұрын
Ugomvi wa nyumbani usiulete kazini kwako sawa! Je ugomvi wa nyumbani ukiukuta kazini kwako😂 hii ipo ivi! umetoka kwako umelumbana na mkeo au unaenda kazini promota anakuchukulia mkeo😂 kinyo akili kubwa dogo
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga 9 ай бұрын
Asee umeongea point sana waropokaji wengi hawafikiriagi
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 9 ай бұрын
Akigoma meakinyo mnawapa wengine pambano c mabondia wapo wengi tanzania c muwape hizo fedha zenu za pilipili hoho mwakinyo hashuki ndo anapanda chart
@mickdady2050
@mickdady2050 9 ай бұрын
Kuna watu wanamkubal Ibra alichosema alaf wanasema mwakinyo anamsimamo huo sio maimamo hauwez kuelewana na kila mtu kama umechukua hela pigana izo tofaut zenu zitabak ivyo ivyo aaaache utoto na kutaka kutetewa na mashabik
@Is-hakaRashid-il5er
@Is-hakaRashid-il5er 9 ай бұрын
Kakataaa matapeli
@ramadhanirashidi4175
@ramadhanirashidi4175 9 ай бұрын
Nime kuelewa huja tia unafk umejibu kama inavyo takiwa maana mwakinyo Sy kichaa ana jua nini ana fanya
@MaalimShabani
@MaalimShabani 9 ай бұрын
Dogo inaonekana unaoigana kwa kupata hela yakula ila huna malengo ilà huyu mwakinyo ata wapa mafaniikio badae
@erickzephania1030
@erickzephania1030 9 ай бұрын
Mapromota ni matapeli alichokifanya Mwakinyo ni kuonyesha misimamo
@user-kf6ih5kk8v
@user-kf6ih5kk8v 9 ай бұрын
Mabondia wa bongo muache tamaa w iblahim maslai muim mtakufa ulingon
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 9 ай бұрын
Ihizi ngumi kila uchwao zina pungua nguvu mwishowake zitakufa kabisa .majungu! +Mapromotor= hamnakitu
@hassanhamad263
@hassanhamad263 9 ай бұрын
Hasan sababu nyingi ata pambano la uengereza alisema viatu... naon n mjamja mjanja
@MohammedMashaka-wk6yd
@MohammedMashaka-wk6yd 9 ай бұрын
Bongo matapeli kibao
@ahmadichumbueni6261
@ahmadichumbueni6261 9 ай бұрын
Mfaume Kuma tuu
@user-iu1dt1xg3k
@user-iu1dt1xg3k 9 ай бұрын
😢hawa mapromota hawana hela wanasubiri wakusanye hela getini washama ndomana mkenya kakimbuaa
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 9 ай бұрын
Karigo anasem.mwakinyo hadai hata.mia kwa maana washamlipa na je yy alikuw hajaijua paf promotion?
@ricklandennis
@ricklandennis 9 ай бұрын
Huyo karigo tapeli tu ukimsikiliza maneno yake, mabondia wengi maisha yao magumu angalia hata gym zao na mapromota washazoe kuwaburuza km ng'ombe ujanja ujanja mwingi
@ikramzamando810
@ikramzamando810 9 ай бұрын
Ñikweli uyu mfaume anae vimba mashavu Kama paka shume ni fala Sana muimba mipasho wa mabibo
@user-lq4sm1nr2o
@user-lq4sm1nr2o 9 ай бұрын
Hasani sio mjinga kukataa razima kunashida
@BahatiMolle-sv8hg
@BahatiMolle-sv8hg 9 ай бұрын
Mwokinyo sjafanya feya ametufelisha mashabiki
@ikramzamando810
@ikramzamando810 9 ай бұрын
Umefeli pekeako Kama vpi kapigane ww
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 9 ай бұрын
Kama Mwakinyo asipofungua kesi dhidi ya hao mapromota anaowaita Ni matapeli.Kesi dhidi ya kutumia Jina lake kuwashawishi watu kununua tiketi.Basi Hapo maana yake yeye na Promoter Lao Ni moja tu.
@kaluluu2011
@kaluluu2011 9 ай бұрын
Mwakinyo ni tapta muuza mech
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 9 ай бұрын
Mwakinyo kaogopa
@issabilal4109
@issabilal4109 9 ай бұрын
Mwakinyo ni akili kubwa sio nyie huo ni upuuzi mnazulumiwa kupigana mkataba uwe wazi
@shabanisalimu7391
@shabanisalimu7391 9 ай бұрын
Aka kademu nakaelewa aka sema nikabaya😂 ila napenda saut yake
@madibasenior412
@madibasenior412 9 ай бұрын
Acha tamaa sasa
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 9 ай бұрын
katik wanaume wapumbavu wew namba 1 ambao astaili kuwepo katika jamii unamwitaje mwanaume demu fyuuu sura mbaya km ngozi ya tako lako
@shabanisalimu7391
@shabanisalimu7391 9 ай бұрын
@@lightnessabdallah2340 uyo ayoma media ndo nasema
@MudhiryHassan-pq4se
@MudhiryHassan-pq4se 9 ай бұрын
Sema jamaa ni muungwana sana
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 9 ай бұрын
Nmecheka ulıongea kitu kinachompendeza shabiki wa mtu, Unaambiwa una AKILI Ukisema ukweli juu ya bondıa, machawa wake wanakutukana! This is nonsense
@kassimukipingu7917
@kassimukipingu7917 9 ай бұрын
𝑴𝑯 𝑴𝑴 𝑴𝑨𝑷𝑰𝑻𝑰𝑨 𝑪𝑶𝑴𝑬𝑵𝑻𝒀
@PaulMchopa
@PaulMchopa 9 ай бұрын
Mwakinyo,,Ashitakiwe tu,,,,Msumbufu sana ,,anajiona sana
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 9 ай бұрын
Classic unajitambua achana na mfaume fara huyo ninyi si vitega uchumi kwa kunufausha wengine promota munataka asemeje kama si kujikinga tu mtaelewa simamieni maslahi yenu badala ya mabindia kujitetea munamkandamiza mwenzenu wakati anaonewa
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,6 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 7 МЛН
打上頭了這是…… 邊角團隊有事是真上#格鬥
0:16
格斗英雄
Рет қаралды 10 МЛН
🏟️👋 Welcome to your new home, Kylian Mbappé!
0:14
Real Madrid
Рет қаралды 9 МЛН
Bellingham vs Carvajal 👀
0:26
hello.football1
Рет қаралды 10 МЛН
1,2 or 3⁉️ #football
0:11
Radheya Marca
Рет қаралды 6 МЛН