KWANINI ABU MUAWIYA SIO SALAFIY |RADDI KWA QASSIM MAFUTA | Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 17,145

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 357
@TaufiqMeneja
@TaufiqMeneja 3 ай бұрын
Alhamdhulilah Allah ametuletea sheikh Bachu kusafisha kule kote tulipo kuwa hatuyajui..... Mungu kuhifandhi na azaidi kukupa ujasiri wa kutuilimisha..... Nia yako nikutuelimisha na tuwe kwenye haki
@jamalsaid7475
@jamalsaid7475 2 ай бұрын
JazakaAllaahu'khayran Sheikh Muhammad Bachu. Shukran sana kwa maelezo na masuali moto moto. Super Salafi wana Balaa mpaka wanampiga vita Sheikh Abdallah Swaleh Al Farsy (Rahimahu'Alllaah) Mtihani mkubwa huu
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Kwakweli Shekh Muhammad Bachu wewe ni kijana mdogo sana kwa umri, lkn kichwa chako kina ubongo mzima na ulio imara sana, maashaa Allaah. Pia nilisema na naendelea kusema, Mashekhe wa kisalafy wajitakase kwa dhulma walio mfanyia Shekh Abuu Mu'aawiyah, bila hivyo dhulma hii itawatafuna mmoja baada ya mmoja, na hawa wafuasi wenu waleo, kesho ndio watakao kua dhidi yenu kwa dhulma munazo wafanyia Mashaayikh wa Haqqi. Na miongoni mwa mambo yatakayo wafanya watu wafumbuwe macho na wadadisi sana na kupekua kutafuta ukweli ni lama hili alilo lifanya Shekh Muhammad Bachu, na wale Madu'aat wengine, wanafunzi wa Shekh Abuu Mu'aawiyah, Allaah amrahamu. Na siku zote ukiwa muonevu na kudidimiza wanyonge chini, elewa kua wale wanyonge unao wadidimiza chini wana akili, kwaio watakaa nawao watafute njia ya kujikomboa kutoka kwenye unyonge na udhalili unao wafanyia. Huu ndio uhalisia wa mambo ya ulimwengu yanavyo kwenda. Ama kuhusu Dini yetu Tukufu, ukifanya jambo lolote ambalo hukupaswa kulifanya, na kuwaaminisha walio chini yako kua kufanya hivyo ndio Dini, siku moja itakutokea puani tabia hii. Na mukitaka ushahidi wahilo, nihaya maswali sita ambayo Shekh Qassim Mafuta Allaah amuhifadhi anatakiwa alete majibu yake ili kujitakasa yeye na walio muunga mkono kwenye kumdhulumu Shekh Abuu Mu'aawiyah. Mimi nakuhakikishieni Shekh Qassim hawezi hata siku moja kuleta majibu ya swali lolote ktk haya maswali sita. Kwa sbb nikweli isiokua na shaka kua Shekh Qaassim Mafuta na masalafy wenzie wamemdhulumu Shekh Abuu Mu'aawiyah tena dhulma kubwa mnoo. Pili, Namna walivyo jiwekea nidhamu ya kuipeleka Da'wah wamekosea sana kwa kupandikiza mambo ambayo hayahitajiki ndani ya Da'wah na hawawezi kujitetea kwa hoja zilizo wazi kwa sbb ulimwengu unaishi na kuyashuhudia makosa hayo, na madhara yake. Tatu, hawezi kuyajibu yeye Shekh Qassim wala mwenginewe, kwa sbb akijibu kama itakiwavyo kwa namna yalivyo haya maswali, moja kwa moja Shekh Qassim na wafuasi wake yatabainika kwa watu makosa yao na dhulma walio ifanya kwa Shekh Abuu Mu'aawiyah na Mashaayikh wengine akiwemo huyu Shekh Muhammad Bachu, na Mashaayikh wengine wanao waita mahizby. Sisi bado tuna imani na Mashaayikh wa kisalafy, lkn sio kiupofu, kwamba mpaka kwenye makosa tuwaunge mkono, hatuko hivyo. Kwaio masalafy wasi subiri mpaka nguo ziwavuke mbele za watu khalafu eti ndio wanakuja kujirekebisha na kurekebisha makosa yao na dhulma zao! Na kipande cha video kilicho wekwa mwisho ni ushahidi mkubwa unao thibitisha kua Shekh Rabii na wafuasi wake kuna mambo mengi wame yakosea, na watu walipo yajua wame jitenga na kubeba kila kinacho toka kwao, bali wamegundua wengi kua kuna makosa mengi yamefanyika. Na ni dalili pia inayoonesha masalafy wanahitajika wabadilike na wabadilishe mifumo ya Da'wah, ususuavu waachane nao, na uhizbiyya ndani ya usalafy waachane nao pia, bali washike mwenendo wa kati na kati tena kwa umakini na tahadhari kubwa ya kuwatia na kuwahukumia makosa watu ambao hawana makosa... Kama walivyokua Mashaayikh zetu wakubwa, wazamani kama vile Ibnu Taymiyyata............ Allaah awarahamu. Tena watu wasijitie pambani Wallaahi hizi ruduud wanazo fanyiwa Mashaayikh wa kisalafy na Masalafy wenzao kuhusu dhulma walio mfanyia Shekh Abuu Mu'aawiya na Mashaayikh wengine ambao wako hai bado, lkn zaidi hii inayo muhusu Shekh Abuu Mu'aawiyah, watu zinawaingia akilini sana sana sana, tena sana yani zaidi ya sana, na wanayagundua yale makosa ambayo Mashaayikh wa Kisalafy wame yafanya. Kwaio badae huenda ruduud hizi zikawaletea madhara Mashaayikh wa kisalafy endapo wata ng'ang'ana na makosa walio nayo na dhulma kwa Mashaayikh wengine wa kisalafy kama wao. Na ndio pale nilipo sema Mashaayikh wa Kisalafy kuanzia Shekh Qassim Mafuta na wengine, wasipo kua makini na kujisafisha mapema kwa dhulma hizi, Wallaahi zitawatafuna mmoja baada ya mmoja, hapahapa duniani.
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 2 ай бұрын
Maandishi meengi hoja ya Msingi umekosa kuijenga zaidi ya kufanya sherh ya maneno ya Sheikh lako. . Cha ajabu ni kwamba sisi hatuna shaka juu ya uhizb wenu na hakuna ktk waalimu wenu aliyetahadharishwa pakakosa bayana yake ya misingi ipi kaiharifu na vipi alinasihiwa. Hilo kwa masalafy Alhamdulillah linafanyiwa kazi. Leo hii asimamae kushangaa uhizb wa bacho, abuu muawiyah, barahiyan au Islam ni mtu wa aina tatu....... 1. Ni ktk mahizb ambao hawawezi kusikiliza chochote toka kwa RUDUUD za masalafy na hii ni kutokana na kukemewa na walimu wao. Maana twajua hao wooote washagongwa na hakuna hata mmoja kajitetea kisheria au alitarajaa kama ilivyokawa kwa mwanja Allah amuongoze. 2. Ni mtu mjinga ambaye haijui daawah salafiyah na Maulamaa wake (na huyu atapewa nyuzuru kwa ujinga wake) 3. Ni Mchanga ktk kuifuata sunna either yuko na miezi au mwaka hajaanza kuitafuta sunna ya uhakika nayo ni manhaj salaf. Mmekosa msemaji hadi mwamuona bachu ni msemaji hali ya kuwa anagongwa na abuu khawlah Allah amhifadhi mlikaa kimya kuanzia yy mwenyewe hadi nyinyi wafuasi wake. NA HATA HUU UOZO ALIOUSEMA NAKUHAKIKISHIA HUYU ROPOROPO WAKO HATOKALIWA KIMYA ATAJIBIWA NA ATAKIMBIA YEYE DAWAH SALAFIYAH INA WIGO MPANA ALHAMDULILLAH NA ALLAH AZIDI KUIPANUA. ATAJIBIWA NA WANAFUNZI MASHEIKH HAWANA MUDA WA KUJIBIDHANA NA MTU HATA MANHAJ YAKE HAIJUI NAKUHAKIKISHIA HII COMMENT YAKO USIPOIFUTA KWA KITAKACHOMKUTA BASI NI KUTOTOKEA KWA HII ACCOUNT YA SHEIKH LENU ALLAH AMUONGOZE KWENYE HAKI
@CishahayoCishahayo
@CishahayoCishahayo 2 ай бұрын
Amani na radhi za Allah ziwe na wewe daima Muhammad nasor bachu, na amrehemu baba yako na waaminifu wote waliyo tangulia mbele ya haki! Aamiin, na Allah, akuhifadhi sheikh wetu, Muhammad nasor bachu, Aamiin!
@iddimuatafa
@iddimuatafa 2 ай бұрын
Aaamin
@AbuujureyjKhaniy
@AbuujureyjKhaniy 3 ай бұрын
Shekh wallah hoja mzito hizo hawez kujibu kiufasaha kama yalivo uliza.....hoja ni mzito mpaka mm naogopea kuaibika shekh letu Subhanallah bachu sasa umekwiva Allah akuhifadhi
@alkitaamiyMihswan-p3j
@alkitaamiyMihswan-p3j 2 ай бұрын
مثرثر لا يعرف ما يقول له جهل مركب
@alkitaamiyMihswan-p3j
@alkitaamiyMihswan-p3j 2 ай бұрын
والله لا يعرف المنهج السلف رجل له جنون
@alkitaamiyMihswan-p3j
@alkitaamiyMihswan-p3j 2 ай бұрын
alafu inatakiwa utambuwe shekhe wetu hawezi kukujibu wewe miaka mia wallahi naapa hawezi kukujibu wewe bwana mdogo alafu inatakiwa ukae kitako ukasome.
@MohamediHussein-o9b
@MohamediHussein-o9b 2 ай бұрын
Anatafuta kujulika Tu huyo Qaasim Mafuta atamjibu tuu mana Hana elimu huyo yakumshinda Sheikh Qaasim Mafuta
@AbuujureyjKhaniy
@AbuujureyjKhaniy 2 ай бұрын
@@MohamediHussein-o9b NA AJIBU HIZO HAJA WALA ASILETE BLAA BLAAA SISI TUNAHITAJI ELIMU TUJUE HUKU KUOMBA MTUU MAITI NI IPII NAYEYE NA WATUPE MAKOSA YA ABUU MUAWIYA HOJA 6 ATUJIBU
@bafaaabuu
@bafaaabuu 2 ай бұрын
Mashaallah allah akuongoze shekhe letu uzidi kutupa elimu inshaallah amin
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Shekhe muhammadi bachu tunakuombea kwa allah akulinde na maadui maana ukiingia katika dawa ya sunnah ni sawa umeingia kwenye jihadi ukweli watu wanachukia sana na wengine utowa matusi mbali mbali hilo we usijari simama na hakki hivyo hivyo walimwwngu leo wanapenda sana mambo wanayotaka wao kuliko hakki vita ipo usijari allah atakunusu kama alivyomnusulu mtume dhidi ya upinzani alopewa na wadhirikina wa makkah allah vuta subila allah yupo pamoja na ww hawatokudhuru kwa chochote madamu unacholingania kina mridhisha allah na mtume wake. Hayata wakichukia wanadamu hawotokusaidia kitu wala hawatakulipa kitu mlipaji ni allah nasi tunakuombea duwa udhidi kusimama na hakki na subila
@AbdulwahidAli-md6re
@AbdulwahidAli-md6re 3 ай бұрын
Assalamu alaikum. Kiukweli shekh Muhammad Allah akuhifadhi unatoa hoja madhubuti mpaka zinakosa majibu kwa ulio wauliza hii ni kuonesha umesimamia katika Haqqi Kuanzia kwa masufi akina Shekh Said, Sabbas mpaka kwa majadida Akina shekh Qasim na mpaka Mashia. Wote hao wameshindwa kuyajibu maswali yanavyotakiwa kujibiwa na kugeuza geuza maneno.
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj 3 ай бұрын
Allah akuhifadhi shekh bachuu .mwenyewe nna pata elimu sanaa Allah aku jaalie mwisho mwemaa
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 3 ай бұрын
Huyu HAMU YAKE NI KWAMBA SHEKH QASIM AJE KUZUNGUMZA, Anavyoona Shekh hashughuliki na yeye huwa anapata tabu sana huyu Wallah. Na wenzake wote wapo hivi, Allah atuongoze sisi ha hawa
@salumtakao9828
@salumtakao9828 2 ай бұрын
So kwamba hashughulikiwi . Tatizo shekhe wenu kadhulumu mtu kwa kujiona ana eleimu kubwa akasahau kuwa yeye ni Binadamu km wengine. Nyinyi so kama hmuoni ila mnaushabiki sana. Tumeshuhudia makosa mengi akitolew shekh qassim, amepunguza Imani zetu sana. Ukubwa wa elimu usimpe kibiri hiko abadilike
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 2 ай бұрын
Mbona yeye sheikh qassim anashughulika na dr Islam na wenzake na walla dr Islam hanampango nae?
@salumtakao9828
@salumtakao9828 2 ай бұрын
@@hassanmohamedlaizer569 umeona sasa. Hawa wanjifanya machizi kweli, ila wamewezwa na ushabiki tu bass hawan hoja za msingi .
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Acha ujinga wewe, hili lina muhusu yeye khasa Shekh Qassim Mafuta kwa dhulma walio ifanya kwa Shekh Abuu Mu'aawiyah, hivyo basi sio lazima asimame yeye kama yeye kujibu, lkn haya maswali yanahitaji majibu, na yatakapo toka majibu ndio tutabainikiwa sote nani kakosea na nani kapatia. Kwaio anayo nafasi ya kumuandikia mmoja ktk vijana wake akaja akajibu haya maswali, lkn sidhani kama aweza kutokea salafy yeyote kutia mkono hapa.
@شيخنيف
@شيخنيف 2 ай бұрын
Sheikh wenu sio kama hashughuliki nae Bali hana hoja za kumjibu Sheikh Muhammad Bacho
@SamirKhamis-l1k
@SamirKhamis-l1k 3 ай бұрын
ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI AKUPE UMRI MREFUUU
@iddimutua420
@iddimutua420 2 ай бұрын
InshaAllah Allah ajaalie iwe sababu ya masheikh wetu wa sunna kueka tofauti zao kando na kushikana kwaajili ya dini hii ya Allah ili sunna ipate nguvu ya kupiga vita shirki na bidhaa ilioko kwenye dini hii
@saidabdallah5448
@saidabdallah5448 2 ай бұрын
Mafuta zamani alitudanganya sana Sasahivi tumeshamjua Sheikh bachu watie adabu hawa majadida
@allywaziry6419
@allywaziry6419 2 ай бұрын
Ntafurahi sheikh Kasim mafuta akiendelea kuwanyamazia, pale pongwe ni darsa tu mpaka saa tisa usiku, we tafuta sifa.
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 2 ай бұрын
huna lolote weye ni bendela fataupepo
@allywaziry6419
@allywaziry6419 2 ай бұрын
@@abdurashidinasorodini naam mimi upepo naoufuata ni wakielm, kukaa chini na kusoma, sio ukasuku kama wa kwako na huyo mkurupukaji wako, dua zetu sheikh aendelee kumnyamazia tuu na si vinginevyo
@BarakaAhmad-w2b
@BarakaAhmad-w2b 2 ай бұрын
حفظكم الله ورعاكم من كل بلاء والغم يا شيخنا الفاضل الغالي
@jamalsaid7475
@jamalsaid7475 2 ай бұрын
Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah Alhamdulillah
@nsabimanasuleyman2008
@nsabimanasuleyman2008 3 ай бұрын
Tunashkuru kwa utetezi kwa ndugu yetu Abuu Muawiya. Allaah amrehemu. Na tunasubiri jibu kwa Ndugu yetu na Sheikh wetu Qaasim mafuta ( Allaah akuhifadhi na amchunge )
@alkitaamiyMihswan-p3j
@alkitaamiyMihswan-p3j 2 ай бұрын
@@nsabimanasuleyman2008 tatizo taalifa tunazo zipata mkijibiwa mwalia sasa mi nauliza ni kinawaliza
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 2 ай бұрын
@@alkitaamiyMihswan-p3j Tena huwa wanakuwa wapoleee hadi wanatia huruma
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 3 ай бұрын
😢😢meliya sana mtu ameshafariki bado mnamsema 😢😢roho yaniuma kama vile namjua ❤
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 ай бұрын
Maashallah, jazaakallahu khair.
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 3 ай бұрын
kweli shekhe yani kuna mmoja amefikia kusema kuwa shekhe amekufa kibudu subhannallah,kuna baadhi ya watu wana ujahili wa kupitiliza kiasi,Allah atuongeze ktk haki.
@iddijuma1428
@iddijuma1428 3 ай бұрын
shekh Muhammad Allah akuhifadh, eneza elemu shekh Muhammad
@NoorAli-vj4gn
@NoorAli-vj4gn 2 ай бұрын
Ameen
@شيخنيف
@شيخنيف 2 ай бұрын
Aamiin
@AbduNgarubulwa
@AbduNgarubulwa 3 ай бұрын
Mashaalah!!shekhe nimekuelewa vya kutosha
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 3 ай бұрын
Tunampenda baba ako bachu , na baba ako ni salafy kama vile wanafunzi wake sheikh chichi alivyo salafy
@SheikhMohamud-cl1jx
@SheikhMohamud-cl1jx 2 ай бұрын
Mashaalah shehe kassim ni mzushi ambaye anatusi wenzake
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 3 ай бұрын
أسأل ألله أن يوسع لي ولك كلّ طريق وينجيني وينجّيك من كلّ همٍّ وضيق أسأل ألله أن يملأ قلبي وقلوبك بالأنوار ويحفظني ويحفظك
@AbdulswamadHashim
@AbdulswamadHashim 2 ай бұрын
Sheikh Allah akulinde akupeumli mrefu akupe subra
@MohammadJumah-qk2xc
@MohammadJumah-qk2xc 3 ай бұрын
MAA shaa allaah
@technicalyahya8314
@technicalyahya8314 2 ай бұрын
Hiki ni kisubha kidogo sana kwa abul fadhl kassim mafuta allah amuhifadhi
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 2 ай бұрын
Kazi unayo Wallah Allah atuongoze
@ujumbeonline9965
@ujumbeonline9965 2 ай бұрын
ما شاء الله ❤
@twalibfaqih9385
@twalibfaqih9385 3 ай бұрын
MASHA ALLAH JAZAKALLAH KHEIR
@ibrahimuadam2313
@ibrahimuadam2313 2 ай бұрын
Siku ya kwanza leo, Namsikiliza Muhammad Bachu, km ana adabu nadhan kibusara anatakiwa kwenda Kusoma kwa huyo anayemuita Al-Akhy Nadhan arejee Raddi Za Sheikh Abuu Idi Muhammad Idi alimjibu kuhus ijitahid na makosa ya wanavyuoni Hoja km hz za Bachu walizileta Masufi wakajibiwa, haina haja ya kujibiwa arejee kwny Ruduud za Sheikh Qaasim Kwa Sheikh Muhammad Idi atakuwa ameona majawabu yake yote
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 2 ай бұрын
Hii mihizb huwa imejifunga kwa barahiyaan hata ikisikia haielewi akhy
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
Muhammad bachu kwanza kabisa naomba utupe dalili wapi qaasim mafuta alimtoa abuu muaawiya kwenye sunna au usalafy , kwasababu yapo maneno ya wazi ya sheikh abuu muawiya akisema anamshukuru ndugu yake abul fadhl qaasim mafuta kuwa anamzingatia kuwa ni mwanasunna assalafy ,pamoja kuwa wamekhitalifiana ,,,tunaomba Muhammad bachu wapi abul fdhl amemuhizbisha abuu muaawiya ,,
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 3 ай бұрын
Kweli kabisa huyu hizbi Muhammad bachu hajielewi huyu
@abrahmanhamad3253
@abrahmanhamad3253 3 ай бұрын
Hata hyo kasif mafuta ndio kazid kutojielewa ​@@masoudmohammed4258
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 3 ай бұрын
Nyie. Muogopeni. ALLAH wanamuita Abuu mu3wiya hasani awadh ALLAH amraham shekh wetu hawa akina. Qasimu mafuta hadananllah nawenzake wanasema. Abuu mu3wiya hasani awadh ALLAH amraham na wenzake anaofanya. Nao. Daawa. Woote. Ni mahzbi na markaz ya ya. Furush darul hadith ni watu. Wabidaah na Abuu arqam masoud wa zanzibar ambae. Yupo. Irshaad ilala amesema. Markaz alosoma Abuu mu3wiya. Haya. Nayy. Muiteni hizbii wajinga nyie. Wafuata mkumbo
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 3 ай бұрын
Huyu nae ni Salafy jadida anatafuta pakutokeya
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 3 ай бұрын
​@@abbaspaziaog2188 una uhakika aliyesema hivo ni Kassim Mafuta?????? Tupe Audio Plz
@Muharram-c5n
@Muharram-c5n 2 ай бұрын
Baaraka llahu fik
@RamadhanMohamedi-lz8ev
@RamadhanMohamedi-lz8ev 2 ай бұрын
maana unaonekana hata manhaji huijui ngoja uje ufundishwe na vijana wa kisalafi wewe ni mzee wa kuokota okota tu ila usije ukakimbia tu maana unachokoza mwenyewe alafu watu wakikulekebisha unambia
@أبوشريحابنمهدي
@أبوشريحابنمهدي 2 ай бұрын
Ww umesoma wapi kwanza maana hujulikani
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 2 ай бұрын
acha ujinga wewe usimuulize mtu amesomea wapi wewe angalia kinacho tolewa hatakama amesomea mapangoni haijalishi
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il 3 ай бұрын
Wabainishie haki mpaka waache ujadida (kuubinafsisha usalaf kwa ufahamu wa baadhi ya Masheikh) na mpaka waelewe kuwa masuala ya ijtihadi hawayawezi kuwa nguzo za usalaf
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 ай бұрын
Wanaadamu anaingilia kazi ya Mwenyezi Mungu na bado anajiona yupo katika haki. Elimu ya ghaibu huna utajuaje uchamungu wa mtu fulani? Unamuingiza katika uchamungu na kumtoa umtakaye, kama vile ibada inaelekezwa kwako, hii ni moja ya kufuru kubwa.
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 3 ай бұрын
Mmeanza kuvuwana ila na mwomba MOLLA azidi kutu pambanuliya zaidi ili tujiepushe kufwa mkumbo waki wahabi # salifi . Amin 🤲 thuma amin 🤲🤲🤲
@sama-_8368
@sama-_8368 2 ай бұрын
Aamiyn Aamiyn Aamiyn Uwahabi ni mzigo mkubwa
@ZaituniAli-q5c
@ZaituniAli-q5c 3 күн бұрын
Mh!! Hadana llahu jamia🤲🏽
@RamadhanMohamedi-lz8ev
@RamadhanMohamedi-lz8ev 2 ай бұрын
shekh qaasimu mafuta hawezi kumjibu asiyoeleweka yuko wapi kwanza tuambie wewe uko wapi maana hatukuelewi na nyinyi mnao coment hamna upambanuzi? abuu muaawiya alikuwa hawakubali jamaatu answaari ssunna sasa mbona muhammad bachu unajipendekeza kwao wao hawakutaki
@technicalyahya8314
@technicalyahya8314 2 ай бұрын
وهدفها ليس مهاجمة الأفراد. وتشير إلى أخطاء كبار العلماء - كالسيوطي وغيره -، ويُنتفع بعلمهم، ولهم فضائل تستر أخطائهم، لكن الخطأ لا يقبل منهم ولا من غيرهم. أ
@MariamUmande
@MariamUmande 3 ай бұрын
Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho Wambie hili kundi la ghawariji la salafiya jadidah Hawa mahawariji masalafiya jadidah wamekuja kubomowa swafu za watu wa sunaa Ayiwezekani doctor Islam na sheikh salimu barahiyani na Muhammad bacho ni masheikh wengi wa sunaa ati ni watu wa bidah Masalafiya jadidah hawana uwadilifu
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 3 ай бұрын
@@MariamUmande usiwaite hivyo hata mimi sikubaliani nafikra zao ila kuwa muadilifu kwao hata kama wao wanachupa mipaka nakuwaombea kazi ya Sheitwaan nikufarakanisha umma ndio maana baadhi ya wanawachuoni wanaingiwa na mitihani ya kufarakanisha umma
@suhailsodeh5444
@suhailsodeh5444 3 ай бұрын
Abulfadhiil kweli kiboko HafidhahuAlllah...
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 3 ай бұрын
Kiboko kivip acha ushabiki kijana
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Tunakubali kweli kiboko, lkn na haya maswali akiyajibu atazidi na kua kuliko kiboko. Allaah amuhifadhi
@ulimwengu-giza
@ulimwengu-giza 3 ай бұрын
shekh bachu acha kiburi nyinyi mnajua haki ipo kwa shekh kassimu mafuta lakin wew na wenzako kina barahiyan mnapotosha kwa maslahi yenu
@khamisabdulla9517
@khamisabdulla9517 3 ай бұрын
.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Mafuta hana haki yeyote amekuja napote lake la ujadida tz kuwapoteza vijana kwa nembo yake tz hapa sikiliza maneno ya wanazuoni hayo mnadhulumu watu Abdul salamu huyo mwanazuoni mkubwa madina ametangulua mbele za hakki kazi kuwatowa watu katika sunnah pote baya sana hilo kinejificha kwa watu wema
@nsabimanasuleyman2008
@nsabimanasuleyman2008 3 ай бұрын
Sio Kweli haqqi haipo kwa Qaasim Mafuta ( Allaah amhifadhi na amchunge ) Bali Haqqi inapatikana kwa Mtu yeyote yule anaelikingania KWENYE njia ya Qur'aan na Sunnah kwa ufahamu wa Wema waliotangulia .
@Shamsudeen-h5o
@Shamsudeen-h5o 3 ай бұрын
Sasa ndugu angu wataka kusema haqi ikipatikana kwa Abulfadhil ndo ishakomeka kupatikana kwa kina Barahiyan sio?
@MohammedSalim-lz3bv
@MohammedSalim-lz3bv 3 ай бұрын
Sheikh Kassim ajibu hoja,mnamfanya sheikh kassim km malaika hakosei…na kwa kujiona kwake huenda asijibu chochote,Allah atuongoze
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 2 ай бұрын
Muhammad bachu ni mtu fasaha anapojenga hoja ila ukiutia ujadida huwez muelewa
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 3 ай бұрын
Mm siyo mshabiki wala mpinzani nimemskiliza Muhammad bachu vizur sana nahuwa namskiliza sana shekh kasim walllah hapa sioni wapi atatokeya shekh kasim pindipo akiendana navitabu ila mm nipo nimekaa pale namsubiri shekh kasim mafuta nasubiri elmu hapa . ila mh kutobowa hapa sidhani
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
Ndungu yangu mbora Allah akuhifadhi ,,Hapa bachu hakuna hoja yoyote ya maana ametoa hapa ,,,na sheikh abul fadhl haezi kujibizana na huyu na si eti hawezi kujibu ,,,kwanza fahamu kwamba bachu amemzulia sheikh qaasim mafuta, abul fadhl hakumtoa abuu muaawiya kwenye sunnah hili halipo kwanza ,,bachu angeleta maneno ya abul fdhl yanayoonyesha alimtoa abuu muawiya kwenye sunnah. Bali yapo maneno abul fdhl akimhesabu abuu muawiya kama mwanasuna salfy kutoka kwa abuu muawiya mwenyewe,,japo walikuwa wakitofautiana lkn abul fdhl hajamtoa abuu muawiya kwenye sunnah. Alafu chunguza vizuri qauli za bachu utakuta anapindisha maneno ya abul fadhl,,mfano abul akisema mtu akikhaalifu misingi ya manhaj salafiy ANATOKA kwenye Usalafy, bachu anamzulia akisema abul fadhl anasema TUNAMTOA ,,yani bachu akija kwa masalafy huanguka mapema ,
@AbdulwahidAli-md6re
@AbdulwahidAli-md6re 3 ай бұрын
Ni kwasababu hamujui mujibu nn ndio maana unasema hajatoa hoja. Na Hali kuna maneno ya kupituka MIPAKA ya kuwatoa watu katika manhaj
@ahmedseif-cu4ex
@ahmedseif-cu4ex 3 ай бұрын
​@@ABUUJAAFAR92 ndugu yngu kesi ya abuu muaawiya ipo wazi walimtoa kwenye suna tena baadh Yao walifurah kabisa kifo chake hakuna chanal yoyote yenye mnasaba wa sunna upande wa Sheikh Qasim kutoa tangazo juu ya kifo chake tena Qasim mafuta alimtukana mpk mama yke alithibitisha mwenyewe marehu abuu muaawiya
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 3 ай бұрын
@ahmedseif-cu4ex ndugu yangu Hali ilivyofikia hadi sasa hakujatokea sheikh yoyote mwenye huja dhidi ya sheikh qaasim mafuta, uliozungumza sizo hoja kabisa ,kwani ilikuwa ni lazima qaasim mafuta atangaze kifo cha abuu muaawiya ? Au channel za upande wa abul zitangaze kifo chake ,hizi sihoja akhy,,,sisi tunatka Mahali wapi abul fdhl alimtoa abuu muaawiya kwenye usalafy,,,nakuomba uingie you tube ugoogle muhaadhara wa sheikh abuu muawiya wenye anwaan ,KWANINI QAASIM MAFUTA HATAKI KUKAA NA NDUGU YAKE ABUU MUAAWIYA,,SIKILIZA KWANZIA DAKIKA YA 6 HADI YA 8,,UTASKIA MANENO YA ABUU MUAAWIYA VIZURI AKISEMA KWAMBA ABUL FADHL HAJAMTO KWENYE SUNNA
@Abuunuwayra
@Abuunuwayra 3 ай бұрын
​@ABUUJAAFAR92 Kwaio Pia Susyuti Amezuiliwa Hayo Maneno...?? Basi Asijibu Kuhusu Abuu muaawiya Aje Ajibu Kuhusu Dr islam na wengineo Anao hesabu Kua Sio Salafy... Naaje Atetee Hoja Ya Suyuty..Na Kama Anamfata Suyuty Je Anakubali Kua Suyuty Aliomba Wafu..???
@AllySekondo-zf2kr
@AllySekondo-zf2kr 20 күн бұрын
ALHAMDULILLAH ,KWA KUWA SUFIY NA TWARIQA
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 ай бұрын
Unapo mtukana mwenzako nakumvunjia heshima,Ipo siku nawewe utatukanwa na kuvunjiwa heshima.
@Airport_view
@Airport_view 2 ай бұрын
Bachu huyu ni kasuku wa zanzibar ameporoja huku vya kutosha baada ya hakki kuwekwa wazi jambo lake huku zanzibar kakimbia saiv anaparamia wasio size yake rudi nyumbn kumenoga raddi akhy Moja ya makala bora hiyo apo chini
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 ай бұрын
We nae mjanja mjanja tu!. Kinachosikitisha na kushangaza wote MAWAHABI mmesoma MAKA ,chaajabu mkisharudi huku mnaanzatoana kwenye nakutengeneza Makundi. MAWAHABI nyie ndo mnajiona waislaam pekenu! Sasa Mwenyez Mungu anaanza kuwaweka wazi nyie nikina nani.
@husha6372
@husha6372 2 ай бұрын
Na hi Kwani Wewe PEKE YAKO umepewa Ishirini ya kukufurisha na kuingiza na kutowa watu Mwenye Makundi Bache Wewe utashindwa ukimbie u Salafi na uwahabi tumeona WENGI Sana Ustadh Smohamed Said alikwambia uende mambrui ukasome tena
@YusufuThegreat
@YusufuThegreat 2 ай бұрын
Aja soma manhaji ange chukuwa kitabu ماهي السلفية ANGELIJUWA WATU WANAO JINASIBISHA NA USALAFI KI UWONGO
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 2 ай бұрын
Ukichaa huanza taratibu taratibu...😂😂😂
@saidabdallah5448
@saidabdallah5448 2 ай бұрын
Sheikh kasim Nimjanja sana Akiona hawezikujibu Atajifanya tumpuuze huyu hizbi
@alkitaamiyMihswan-p3j
@alkitaamiyMihswan-p3j 2 ай бұрын
@@saidabdallah5448 ingekuwa tumepewa ruhusa huyo mwnabacho tungemjibu sisi na umekosa akili za kufikili alafu mwambie shekhe wako akasome mustwalahu alioshindwa kwenye majidiliano yale jambo la kitooto ali shindwa bachu
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 3 ай бұрын
تقبل اللهُ مِنَّا وَمِنْكُمْ صَالح الأَعْمَالِ.
@hashimukillenja9377
@hashimukillenja9377 3 ай бұрын
جزاك الله خيرا Hatuwezi kupata audio yake whatsApp au Telegram??
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 2 ай бұрын
Si mtu wa kusomesha bali ni kukurupuka tu na maneno bila elimu
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش 3 ай бұрын
Ww pia ulibainishiwa hoja kwa uhizbiya wako sasa bainisha kuwa ww sio Bixby Uliwatukana viongozi kwenye mimbar wewe au sie sasa bainisha kuwa huo si uhizbiya
@AbdulwahidAli-md6re
@AbdulwahidAli-md6re 3 ай бұрын
Inaonekana ww hujawafuatilia vizur Shekh Qasim na Shekh Muhammad Rudi nyuma utaona alisema nn kuhusu yy tutolewa na akajibu kwa vitabu bali shekh Qasim hakurud kuja kujibu. Kama unakumbuka alipo ulizwa shekh Qasim kuhusu Shekh Muhammad na na akajibu Mtizaneni marafiki zake na Shekh Muhammad akajibu kwa vitabu.
@Abubakarhaji-cq2cq
@Abubakarhaji-cq2cq 2 ай бұрын
Abulfadhil hawezi kukujibu akhii usipoteze muda fanya mambo mengine
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo 2 ай бұрын
Mafuta pekee ndio mwenye haki ??? Sheikh Qassim Mafuta mwanzoni alikuwa anapendwa hata mm nilimpenda kuna siku sheikh Abu Muawwiyya alikuwa akimpenda sheikh. Qassim na alihidhuria mnakasha wake wa kwanza Tangamano. Dhidi ya sheikh Salim Barahiyyan Lakini sheikh Qassim anapenda kuwaradi
@شيخنيف
@شيخنيف 2 ай бұрын
Sheikh Qasim Mafuta amesababisha mgawanyiko mkubwa sana katika Umma wa Kiislam
@aminuddinwacate
@aminuddinwacate 2 ай бұрын
Inna Lillah wa inna ilaihi rajiun
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 ай бұрын
Hichi chama kibaya sana Kila siku kinafarakanisha umma
@YusufuThegreat
@YusufuThegreat 2 ай бұрын
Uyu Kaka bachu uwa anatafuta umaharufu
@abualiazzinjibaariytv
@abualiazzinjibaariytv 2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/hnikYWihjJt_f6Msi=O_4SlYP2gYND7x6M NASAHA KWA WALE WANAODAI WAO NI MASALAFI NA WANASEMA WANAMFUATA SHEIKH IBN UTHAYMIN NA NYINYI MNAFUATA SHEIKH RABII
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 2 ай бұрын
Shehe salam aleykum naomba unifahanishe huyu shehe alie ongea kuhusu shehe rabbii niulamaa katika zamazetu na jina lake nini ???
@aliyussuf7165
@aliyussuf7165 2 ай бұрын
MAJIBU KUHUSU IMAAM SUYUUTWIY رحمه الله kzbin.info/www/bejne/pqe4mJyCobt7ldEsi=Udx4NfbwdDP2gs4D
@MohamefMullah
@MohamefMullah 3 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza maelezo na nasaha za Muhammad bachu ndio leo nimezikubali, amezungumza maneno yenye mashiko, Japo kwamba nae ni wale wanawadharau masheikh na kuwakufurisha waisalam nae ni mmoja wao, lakini kwa hili nampongeza sana, hawa wanaojiita salafi kuwepo kwao ni mtihani kwa waislam hawa jamaa, wanawatoa watu pepon na kuwaingiza moton na wao wanaifanya hii dini ya Allah ni yao wanafanya na kusema wapendalo, hili pote la masafi uchwara wana mambo mengi ambayo kama muislam haifai kuwa nayo, moja ni kufitinisha dharau kibri husda na choyo haya ni machache kwa hili pote la kisalafi lakini ni jamii ya mawahabi
@SharifTwahirAbdullqadir
@SharifTwahirAbdullqadir 3 ай бұрын
Rongo
@bacteria5184
@bacteria5184 3 ай бұрын
Hawa salafy jadida akili zao ndogo ni kama kondoo wanawafanya wanavyuoni wao kama manabii.utaskia kasema sheikh fulani na sauti mbaya za kuiga.
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Na watu musiwe wajinga kiasi hiki, unaandika coment wakati hujajua kinacho zungumzwa ni kitu gani!!! Hebu sikilizeni hadi mwisho muyajuwe ambayo mulikua hamuyajuwi.
@yoboy787
@yoboy787 3 ай бұрын
رحمه الله الشيخ ابو معاوية
@BilaliIloko
@BilaliIloko 2 ай бұрын
Kwani na wew pia salaf,mbona ndigu zako ndio mahizb wanao watwani ulamaa,usitafute safisha kwanza safu yakoo,alaf bado hoja zako dhaifu sana kazana kusoma
@YahyaAli-o9z
@YahyaAli-o9z 3 ай бұрын
Asllm alykm: lini mtaacha mambo haya sisi so wakamilifu kwani hao wanachuoni waliopita hawakutofautiana emu wacheni haya mambo mnaharibu hadhi ya uislamu mm ni mtu wa Sunna lakn mambo haya sipendi kabxa
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 3 ай бұрын
Hatuyapendi wote lakin kawaida ilivo ukitaka kumtoa mtu katika sunna Kuna makosa ambayo yanamtoa mtu kwenye usalafi je ni yapi ambayo Abuu Muawiya kakhalifu ngoja tubainishiwe me nampenda sheikh kasim mafuta na sheikh Muhammad bacho ALLAH awahifadhi wote ngoja tuskilize Kwa faida ya wote
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 3 ай бұрын
Ungekua mkwel bc ungeanza na na maswali aliyo uliza shekh kassim Allah amuhifadhi kwenu ma hizb au umesahau ewekija njiwa wa Zanzibar maswali yapo ungesaidia mahizb wenzio mbona miaka inapita 😂
@HusseinHassan-p7g
@HusseinHassan-p7g 3 ай бұрын
Ww ni tasubi
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 3 ай бұрын
Allah amhifadhi sheikh qasim na amrehemu sheikh abuu muawia wote ni masalafi ukweli kwamba wlikoseana tu.
@iddijuma6152
@iddijuma6152 3 ай бұрын
tuwekee sautu ya skhekhe tuisikie wenyewe acha fitina wewe
@mbjunior166
@mbjunior166 3 ай бұрын
Ww ndio ktk hao Hizbu Salafy waliotajwa na wanazuoni. Upo kwa ajili ya ushabiki Allah akuongoze ww na mm.
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 2 ай бұрын
@@mbjunior166 mwanazuoni yupi nakupa charrenge alie sema kunakundi hizb saraf nakusubil ima kiyama kitafika ww na mashekh wako wakihizb huto mpata ndio ujue mashekh wako wamepinda hiyo ni kauli ya barahiyani zee lakihizb
@SuleimanHassan-o6f
@SuleimanHassan-o6f 2 ай бұрын
Tunahitajia huyo Sheikh Wahiyo clip ya kiarabu ili tuisikilize vzuri tutampata vipi ?Katika KZbin
@AbuuUthaymiynHaarun
@AbuuUthaymiynHaarun 2 ай бұрын
Mm nilipoona kuna Radd dhidi ya shekh Kaasim kuhusu Shekh Abuu Muawiya nikajiuliza mbna sikumsikia shekh Kaasim akizungumza chochote baada ya kifo cha Abuu Muawiya sasa Radd ni yann..nikampuuza mana mara nyingi huwa simsikilizagi..nikapitia comments za watu nikaona wanasifia kwamba kuna hoja makini haziwez kujibiwa mwngne anasema aah sasa bacho umekuwa.. Nikasema kwan kaleta hoja gn na shekh kaasim kazungumza nn..ikabd nisikilize. Kumbe eti anapigwa Raddi shekh Kaasim kwakuwa kuna watu huko znz wamemsema vibaya shekh Abuu Muawiya Ah nikajiuliza sasa si angewapiga radd haohao kwann anapigwa Radd shekh Mara anasema hao watu wanatumia maneno ya shekh Kaasim..nikaona huyu ana hasad na anataka umaarufu..watu wakishaona anayepigwa radd ni shekh fulan bs lazma viewers wawe wengi Anataja mambo ya zaman kisha et anajenga maswali "ajbaru"..alaf anasema yy anataka elimu tu..alaf bango limeandikwa raddi..unapiga radd alaf unataka elim? Huyo jamaa bado hajagundua wp anapofeli Kupitia mjadala ule alofanya na kijana wa kisufi kule Mombasa ilibd akae chini atafakari sana Mjadala ule uliwapa nguvu masufi,ulimpa nguvu yule kijana akajulikana...mjadala ulionesha kuwa yule sufi anakaa kwa mashekh zake kusoma lkn bacho anajisomea mwnye na kujipa ujasiri kuwa kashakuwa shekh... Kisha alianza kwa kibri "aah kumbe mmenipa kijana hayupo hata ktk first eleven"...kisha mwisho akasusia mjadala..yan anataka kubainisha haki alaf anasusa...yaan kakosea mwanzo mpk mwisho. Nilidhan atakaa akafikiri kumbe bado ana akili za kipuuzi. Sasa ktk hiyo radd yake anauliza swali la kitoto alaf anaona ni bonge la hoja Kila mtu anajua kuwa mwanachuoni mujtahid anaweza kufanya kosa na mtu ambaye sio mujtahid akafanya kosa Lkn kwa yule mujtahid tutasema hilo ni kosa lkn yy hatutomuita mubtadii au mpotofu anapewa udhuru kwa sabab ni mutaawwil...sasa yy anataka kumfananisha imaam suyuutwi na shekh Abuu muawiyah Jambo hilo kashaliongelea shekh Muqbil,shekh ibn uthaymeen nk Au ukisoma sharh ya arbauna nawawiyah ya ibn uthaymeen hadiith ya 28 utaona mbele alipozungumza kuhusu ibn hajar na imaam Nawawi kwamba kwakuwa kuna baadh ya sehem wanapita mapito ya ashaairah kwa kuzifanyia taawiil(tahriif)baadh ya sifa za Allah.Je watakuwa ni mubtadii au wapotofu au na wao ni ashaairah? Shekh akajibu pale
@dawatul-salafi129
@dawatul-salafi129 3 ай бұрын
𝐔𝐒𝐇𝐀𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐔𝐏𝐔𝐔𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐊𝐎 !
@salimofficial1263
@salimofficial1263 3 ай бұрын
Upuzi upi huo, hebu tufafanulie
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 3 ай бұрын
Kati ya wewe na huyu Nani mpuuzi kama sip wewe jahili
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 3 ай бұрын
Hahaha wewee ni salaf kwel huu ndo usalafi kutukana watu wewee ni hizbu
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 3 ай бұрын
jibu sasa tuskie
@salumkaisi4907
@salumkaisi4907 3 ай бұрын
Niliwaona wako vizuri ktk daawa yao lakini mmm kutokana na mambo haya 3 naona siyo sawa 1 mke wangu nimtu wasuna ni ktk wanaovaa shungi na nikab pia. Alilazwa na mtoto ospital walipita wanawake kama 6 au zaidi jaman nilistajabu walimpita kama siyo ndugu yao ktk iman jambo la2 salamu uanze wewe jambo la3 hawa ukiwasalimia wanakuitikia nikama nikama vile wagonjwa hakuna tabasamu kidogo wale walimu (maostadhi) wao kidogo wao wanatabasam kidogo hayo ni ktk mambo ambayo mimi naona hawako sawa
@rajimmussa
@rajimmussa 2 ай бұрын
Huyu kijana sio WA kumsikiliza, nyie mpuzieni tuu wala msipate tabu عنده نوع من الجهل، الآ و هو جهل المركب
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 2 ай бұрын
Ndio maneno yenu maji yakifika kooni
@شيخنيف
@شيخنيف 2 ай бұрын
Tatizo hampendi kuambiwa ukweli ndio maana mwasema hivyo
@NdizeyeSaidi
@NdizeyeSaidi 2 ай бұрын
Wamtetea Abuu Muawiyah kuwa ni salafy, kwani wewe mwenyewe Muhammad Bachu, ni salafy???? Uliwahi lini kuwa salafy wewe?
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 3 ай бұрын
Kassim mafuta sio mkweli ulitaka kumjua kassim mafuta sikiliza rududi alizo raddi kwa sheikh Yahya alhajury Kisha akajibiwa Na kina Ustadh Abuu haatim Sheikh amis Ame, huko kassim mafuta amepondwa Sanaa.
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 3 ай бұрын
Akhiy qassimu ni hizbi alaf anapenda ukubwa huyu jamaa
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 2 ай бұрын
Eh Waislamu tumefika hapa tunafika hapa kusokotana na kufanya kazi za kuhukumu ambazo ni za Allwah.Allwah atuongoze.
@أبوشريحابنمهدي
@أبوشريحابنمهدي 2 ай бұрын
BACHU KASUKU WA ZANZIBAR MGONJWA HUYU KASOME KWANZA MAANA WW NI SWAHFIYYU
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 2 ай бұрын
mche Allah acha ushabiki Kila mmoja ana kaburilake
@OmarAbeid-wu5ur
@OmarAbeid-wu5ur 2 ай бұрын
Kiburi cha bachu kiko wapi apo
@SalehKhatib-ey6ct
@SalehKhatib-ey6ct 2 ай бұрын
Tufateni manhaki salafi sio kundi niwajibu kwa muislam yoyote kufuwata man haji salafi sio kundi
@abubakarali9330
@abubakarali9330 2 ай бұрын
Qabla ya kujibiwa na qaasim mafuta twakuuliza wewe bachu jee wewe itakadi yako ni nini kwa alimam suyuwty???hili jawabu twalitaka kwako bacho,
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 3 ай бұрын
Mpe sifa yke sheikh qasim usimuite qasim mafuta bali mwite sheikh qasim mafuta mana iyo sio hadhi yko.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Shekhe alokosa adabu anapasuwa ummah wa ahlsunah kila mtu kumtoa kwenye sunnah yeye ndo pekee mwenye sunnah wengine wote mahzbi subuhana llah sikiliza kitabu cha mwanazuoni hyuyo Mkubwa madina Andul salamu alivyo elezea upotofu wa pote huli ninyi si amsomewi kazi yenu kuchaguliwa watu wa kuwasikiliza hakki toka lini ukamsikiliza mtu mmoja tuuh
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 3 ай бұрын
Apewe sifa ipiy huyo ni qassimu bin oil hizbi mwenye misingi ya hadadiya
@شيخنيف
@شيخنيف 2 ай бұрын
Sifa Gani apewe au ya kuugawa Umma wa Kiislam?
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 2 ай бұрын
Twendeni tu mdogo mdogo mwisho maulamaa wote mtawatoa kwenye dini
@BarakaAhmad-w2b
@BarakaAhmad-w2b 2 ай бұрын
Kuna watu ambao wako na ambao hawaskiyagi mimi siko shabiki wa shekh bachu lakini anazungumza haki tupu tunataka sheikh wowote wakujiita salafi atuoneshe hayo mambo yakujitukuza tukuza na kutowa wengine katika dini wanayatowa wapi
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 3 ай бұрын
Yaaani mnaumia mahizb 😂 masarafi hawajibu mnavyo taka ww unaforece ujibiwe hala upo ktk batwir mche ALLAH ewe hizbi
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 3 ай бұрын
Usalafi huo ulionao ww nimtihan kabisa
@khamisabdulla9517
@khamisabdulla9517 3 ай бұрын
Mhemko
@AbdulwahidAli-md6re
@AbdulwahidAli-md6re 3 ай бұрын
Hiyo ni kwa sababu hamuwez kujibu hizo points mnakwepesha kujibu mulivyo ulizwa Maranyingi shekh Muhammad Allah amuhifadhi anatoa hoja Madhubuti mpaka watu mashekh wanashindwa kuyajibu kwasababu shekh Muhammad hakurupuki nasonma vitabu ndio anateneza hoja
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 3 ай бұрын
​@@AbdulwahidAli-md6rehahaaaa shekh Muhammad eeeeh 😂 mmmh 😂
@شيخنيف
@شيخنيف 2 ай бұрын
​@@IssaSimbilla-hw9evtatizo hamuwezi kujibu hoja
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 3 ай бұрын
Dalili za Qiyyama watu wanaingizana moto wakiingizana peponi na pia kuingizana peponi na kuingizana motoni
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 2 ай бұрын
We hujielewi ...
@abusalmadangaadam708
@abusalmadangaadam708 3 ай бұрын
Sheikh kwahakika wewe ni tiba ya majadida kwani vichochoro vyao vyote wavijua twajua na wewe hawakupendi na wanaomba ufe hata leo ila hutokufa kwa sababu za chuki zao bali kwa amri ya allah kwa hakika wewe usiwachukie ila jaalia kuwa wawapa tiba ya ugonjwa wao wa husda
@SoudSanawari
@SoudSanawari 2 ай бұрын
Mtatoana roho MAWAHABI MUJASSIMA
@iddijuma6152
@iddijuma6152 3 ай бұрын
nawaomba mashekhe zetu wabora wasimjibu huyu mropokaji wampuuze tu, wanashughuli nyingi za kufanya
@NasirJussa
@NasirJussa 3 ай бұрын
Hamuwezi kumjibu usijidai wasimjibu mna mengi mmeyatolea wapi... Wapuuzi nyinyi Kila mtu hafai safari hii qassim mafuta kaingia choo Cha kike mwache ajibu aibishwe aone..
@MussaYasini
@MussaYasini 3 ай бұрын
Akiacha kujib tutazid kuamin kua qasim kakosa hoja na kamdhul abuu muaawiya
@dawud6065
@dawud6065 2 ай бұрын
​​​@@hafidhsalum-jp2mw Inkuwa Sheikh Kassim hana muda wa majibizano lakin Daktur Islam kutomjibu Sheikh Kassim wengi dhana yao ni Daktur hana hujjah ... Si ni Ushabiki huu? Ikiwa mwatafsiri Sheikh Kassim hana muda wa majibizano kwa nini tafsiri hii isitumike kwa Daktur Islam ambaye pia muda huo wa majibizano hana?
@شيخنيف
@شيخنيف 2 ай бұрын
​@@dawud6065naa akhyo umetoa hoja ya Msingi sana Allah akuhifadhi
@yasinkassim7131
@yasinkassim7131 3 ай бұрын
Ustadhi Muhammad اتق الله tuambie مفعول wa أستغيث ni nani mpaka utafsiri kuwa imam suyuut alikuwa anamuomba mtume??
@hashimukillenja9377
@hashimukillenja9377 3 ай бұрын
Mbona unaleta porojo wewe
@yasinkassim7131
@yasinkassim7131 3 ай бұрын
​@@hashimukillenja9377 Akhy sileti porojo nioneshe ww basi huyo مفعول akhy
@kassimmsemo5205
@kassimmsemo5205 3 ай бұрын
hivi vitu havina tija kwenye uislamu...mambo ya kutukanana kurushiana raaddi kusemana mitandanoni masheikh,....ni upuuzi mtupu mnatuchanganya waislamu, tunamfata yupi?wenzetu wa upande wa dini nyingine wanapenda mambo kama haya, wanawaangalia munavyoivunja dini vilande vipande wenyewe, wap Kazi Yao ni nyepesi sana kukishatokea migawanyiko....acheni ujinga huu....kama una itikadi na unaamini hivyo basi shika itiakadi yako endelea kumcha mungu muache na mingine mwenye itikadi Yake aendelee na itikadi Yake, na inapotokea natala kubishana kwa hoja au kua na mjadala kuhusu itikadi zenu basi fanyeni hicvyo kwa ustaarabu si lazima kurushiana maneno mitandaoni na kusemana na kutukanana, haina faida yoyote kwa uislamu..
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 3 ай бұрын
Hawaezi kujibu hizo hoja mpaka kiama
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 ай бұрын
Dhambi waliomfanyia mwenzao Naapa kwa allah Itawarejea na itawatafuna mmoja baada ya mmoja Kila aloshiriki kumdhulu na kumkata ndugu yao
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU 3 ай бұрын
We ukiombewa hyo dua utajisikiaje
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 3 ай бұрын
Elimu zenu hazina ikhlas na tawaadhui ndio mana mnafika uko hata kma nyote muko sawa kimanhaji.
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 3 ай бұрын
Unataka iweje labda?
@Markazabuuhanifa
@Markazabuuhanifa 3 ай бұрын
Uyo Mafuta ashindwa ni nani kwa kutafuta Maslahi na yeye kazid kibri anatafuta umaarufu ktk mitandao na kila anae msapoti mafuta wote wako hivo hivo
RADDI YA KIELIMU KWA SHEIKH SAMEER ZULFIKAR | 02 | Muhammad Bachu.
44:57
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 3,5 М.
Muhammad Bachu||MANENO MABAYA YA QASSIM MAFUTA NA ABDALLAH HUMEID
52:59
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 99 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 10 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 27 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 87 МЛН
MUHAMMEDI BACHU KITANZINI NA USTADH SAIDI MAMBURUI MUNAKASHA BARZANJ
1:31:53
SHEIKH MUHAMMAD IS'HAKA AWARIPUA WATU WA TWARIQA
1:24:46
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 24 М.
ACHA KUTAKA UMARUFU KWA WATU UTAFELI ABU  FADHIL KASIM MAFUTA
4:28
AL FAUZAN TV 958k views
Рет қаралды 4,8 М.
50-MAJLIS : Interview of Engineer Muhammad Ali Mirza Bhai [ 21-Questions Recorded on 17-Feb-2019 ]
3:57:24
Engineer Muhammad Ali Mirza - Complete Lectures
Рет қаралды 3 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 10 МЛН