KWANINI KITABU CHA ENOKO KILIONDOLEWA KWENYE BIBLIA?

  Рет қаралды 29,222

Ananias Edgar

Ananias Edgar

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@amanmalima940
@amanmalima940 2 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@SebastianKandolo
@SebastianKandolo 2 ай бұрын
Respect bro nakugatiliya sana kutoka🇱🇷🇨🇩🇱🇷
@CrispinSamson-hj8tf
@CrispinSamson-hj8tf 2 ай бұрын
Sio kimeondolewa ila hakijahusishwa naamin kwa sababu za kibinaadamu na maslah ya watu hasa waliotuletea dini zao
@athumanijonathanofficial4709
@athumanijonathanofficial4709 Ай бұрын
Shida awajawai kubali kitu chochote kizuri kinaweza tokea Africa
@SilvanusLumbasi-kl3bw
@SilvanusLumbasi-kl3bw 2 ай бұрын
Pata like mkuu❤❤❤❤❤❤ my favourite
@FotuNgon
@FotuNgon 2 ай бұрын
Professor jamar alisem atakierezia kitabu iki lkn mmsesha ingia na kupest
@dullahabdallah-nu1py
@dullahabdallah-nu1py 2 ай бұрын
Kwasababu kinatoka Africa,wekeni wazi mambo
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
@@dullahabdallah-nu1py acha nafiki Baki na korani yaki ya mtume wa ibilisi
@yustodonald9772
@yustodonald9772 2 ай бұрын
Msimuliaji❤
@petronyereresaliboko4047
@petronyereresaliboko4047 2 ай бұрын
Enoko na elie ndo watu pekee walio enda mbinguni bila kuonja mauti hivyo basi wamekiondoa ili watumie wao kwa matumizi yao binafsi
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 2 ай бұрын
Duh we mbona kamba hii ya live live ww 😅
@protasmachanja3772
@protasmachanja3772 2 ай бұрын
Mwamba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josephmwalimu4105
@josephmwalimu4105 2 ай бұрын
Okay. How did it make it to the bible in the first place? Again, why did they decide to remove it if God had planned for it to be there? Kwa hiyo, tuseme tu biblia labda ni maoni ya watu tu.
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 2 ай бұрын
Kuwa unasikiliza na kurudia simulizi ili uelewe zaidi. Majibu hayo yote yapo kwenye hii simulizi
@gregorybakuza5796
@gregorybakuza5796 2 ай бұрын
Yes, Biblia ni maoni ya watu na si biblia tu hata quran ni maoni ya watu.
@bhm675
@bhm675 2 ай бұрын
@@josephmwalimu4105 vitabu vyote vya dini zote unavyovijua ww vimeandika na watu
@ziggysamson5956
@ziggysamson5956 2 ай бұрын
Tatizo sio kwann kimeondolewa kitabo hicho,,swali Ni kimeondolewa mungu ipo wapi?
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 2 ай бұрын
Kumbe biblia ni maneno yaliyopitishwa na watu waliopanga kanuni za biblia kulingdana na hadithi nza zamani
@michaelobed3022
@michaelobed3022 2 ай бұрын
Kama kitabu kilikataliwa na hawakiamini, mistali ya kupaa mbinguni Henoko imetolewa humo je hayo waliamini vipi? Hatari Sana
@giddymagova2412
@giddymagova2412 2 ай бұрын
Waliona kinafichua siri zao
@zenassylvester125
@zenassylvester125 2 ай бұрын
Jamaa wamekitoa alafu wao wanakitumia maana kitabu cha Enoch kina mambo mengi sana muhimu kuhusu uumbaji ,sayansi,hesbabu,uchawi,madawa,mambo unajimu na vitu vingine vingi
@edinahbonareri2251
@edinahbonareri2251 2 ай бұрын
nawe unakubali uongo?
@frankdanford8245
@frankdanford8245 2 ай бұрын
@@edinahbonareri2251kitu usichokijua kwanini ukisemee uongo? Au na wewe ni mmoja wapo wa wale wanaojua ukweli ila wanaamua kukaa kimya na kupotosha?
@GreysonMdee-wm8tn
@GreysonMdee-wm8tn 2 ай бұрын
Hamna cha kushangaa kwanza ukristo sio dini kwahyo kiwe kipo kiwe kimeondolewa yote Sawa tu
@kelvinerick6726
@kelvinerick6726 2 ай бұрын
@@GreysonMdee-wm8tn mkundu wako
@lupironewstv4645
@lupironewstv4645 2 ай бұрын
@@GreysonMdee-wm8tn ugaidi na kujitoa muhanga ndo Dini.😀
@Babawamapaka
@Babawamapaka 2 ай бұрын
@@kelvinerick6726 uislamu sio ugaidi chunga maneno yko
@Babawamapaka
@Babawamapaka 2 ай бұрын
@@kelvinerick6726 matusi ya nini tetea kwa hoja kama ni dini si ni lazima iwe na hoja
@HenryTindwa
@HenryTindwa 2 ай бұрын
Naweza kununua vitabu wapi nawe kupata
@MWINJILISTHURU
@MWINJILISTHURU 2 ай бұрын
Nimeskia kitabu cha enock ndio kitabu cha mwanzo, kilichopo katika biblia, hakijaondolewa katika biblia bali kimepunguzwa.acha propaganda hizo habali za majitu si umezisoma kwa enoki mbona zipo kwenye kitabu cha mwanzo
@okkashaally2115
@okkashaally2115 2 ай бұрын
@@MWINJILISTHURU soma dini yako, acha za kuambiwa na kuskia
@okkashaally2115
@okkashaally2115 2 ай бұрын
@@MWINJILISTHURU soma dini yako, acha za kuambiwa na kuskia
@johnjoseph1106
@johnjoseph1106 2 ай бұрын
Hakipatani na maandiko
@edinahbonareri2251
@edinahbonareri2251 2 ай бұрын
tuwaje propaganda aizee. eti kitabu cha enoko kiliondolewa kwa bibilia uko na hiyo bibilia yenye iko na hiyo kitabu kabla kuondolewa?. Waislamu wengi pia wamepotea kwa propaganda kama hiyo na kufuata mtume wa uongo.
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 2 ай бұрын
Waislamu wamepotea we ndo umeongoka??
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 2 ай бұрын
Waislamu wamepotea we ndo umeongoka??
@ginimbifamily3995
@ginimbifamily3995 2 ай бұрын
@@edinahbonareri2251 Acha utoto kijana..kiukweli ww bado mdogo sana kwenye maswala ya dini na auwezi kujua ilo..Kuna vitab vingi vimetolea kwenye Biblia...nenda Google alafu Andika " THE LOST OF BIBLE " wakuletea vitab ambavyo avipo..kwaiyo acha kubwabwaja kama aujuwi kitu
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 2 ай бұрын
@@edinahbonareri2251 acha uvivu wa kufikir kenge wewe? Dunia ina vitu vingi na kwa akili yako ndogo hiyo ni ngumu sana kuchambua vitu kama hivyo so kaa kwa kutulia.
@glassguychaneltz2553
@glassguychaneltz2553 2 ай бұрын
broo Biblia hyo unayoijua sio yote
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 90 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 150 МЛН
FULL: YALIYONIKUTA KWA KUFIKA MAKAO MAKUU YA WACHAWI
55:24
Ananias Edgar TV
Рет қаралды 20 М.
DENIS MPAGAZE: Unajua Namna Ya Kusafisha Akili Yako Kwa MEDITATION?
9:19
MAAJABU YA KIFO CHA MAMA NA BIASHARA YA UKAHABA - PART 1
15:56
Ananias Edgar TV
Рет қаралды 1,5 М.
KITABU CHA DANIEL:Sehemu ya KWANZA
19:06
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 20 М.
DENIS MPAGAZE: Tunaishi Katika Dunia Ya Namna Gani?
13:14
Ananias Edgar TV
Рет қаралды 104 М.
MAKANISA NA MAASKOFU BY MAZINGE
17:42
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 64 М.
ANANIAS EDGAR: Watu 12 Waliopotea /Hawakupatikana Tena DUNIANI
14:09
Ananias Edgar TV
Рет қаралды 56 М.
FULL: JINSI Nilivyoenda KUZIMU Kufuata UTAJIRI (TRUE STORY)
2:13:26
Ananias Edgar TV
Рет қаралды 12 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36