Asante sana sns❤❤ mnafanya tuifaham vizuri Russia 🇷🇺 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@user-gi2jv4kl7sАй бұрын
Sky,Ali na Sma..nyinyi ni zaidi ya akili mpo sawa Sana kiuchambuzi .Allah awalinde na hasad
@MussaKilongola-hm8xlАй бұрын
Mnaelimisha jamii vizuri sana
@user-nd7yd5gd1oАй бұрын
DJ. smaa hongera sana mungu akubarik ukichelewa kuja hewani tunaumwa elimu yako cyoyakawaida zanzibar tupo na wewe sns ipojuu
@djsma255Ай бұрын
🙏
@jacksonjudicate9388Ай бұрын
Truly SNS is something else, this is knowledge, U inform us more deeply. Cheers @bro sky @Sma
@Kituramohamed9698Ай бұрын
Timu Putin tujuane🎉
@davidwalalason7630Ай бұрын
Very interesting channel to watch, i never happened to join a college but i feel like I'm learning alot in this channel
@ismailjohn6108Ай бұрын
Asee Hii combination asee naielewaa snaaa aseee Congole kwenuuu
@hemedjackson2261Ай бұрын
Hapa patamu san kw kweli Dj Sma +Aly masubi yaani lazim uondoke na kitu akilini jinsi dunia inavokwenda❤❤❤ big up
@user-ie3lw9eb6pАй бұрын
Asanti kwa kutupa news za vita ya urusi na inchi za magharibi From USA boston Massachusetts
@MAHAN-099Ай бұрын
Best of the best team ya watu wa 3 mahodari wamekutana kutupa elimu acha tupokee madini
@noahlameck1564Ай бұрын
Big up sana sns
@PatrickKagiraneza-ok8cwАй бұрын
Asante kwa analyses zenu kbsa...ongera...
@joshemman520Ай бұрын
good work sns
@salumadam2862Ай бұрын
Mko vizuli sana sns
@bugusambalinga3603Ай бұрын
wakuu mnajua kuchambua mnatoa lishe bora za kisiasa
@ernestfelixigonga9726Ай бұрын
Kwa nn hamtoi uchambuzi wa vita ya Congo
@evansogutu4167Ай бұрын
Cher's to you pipo much luv and respect ❤
@evansogutu4167Ай бұрын
Uchambuzi mzuri sana.... wachana na shuigu ...ila Lavrov is the big deal
@user-gx4jx4gv9lАй бұрын
Wachumi wa serikali za bongo uchumi wao nikuongeza kodi za mafuta,mabando na kuuza rasilimali za taifa😂
@JuliusSenyael-ej6hgАй бұрын
Labda NDIO mitaala y uchumi unaofundishwa huko bongo
@user-eb8de8qq7tАй бұрын
Uchambuzi wenu umenifungua n'a kujua mengi asante sana
@radjamtaki5597Ай бұрын
Big up bros
@Gulfnas1Ай бұрын
Big up SnS
@chachajulius4481Ай бұрын
Very good sky 👏👏👏
@user-dg7wf6fg2jАй бұрын
Tuletea hiyo maada vichwa 😢vitoe kutu ya mazoea
@GeorgeMagadulaАй бұрын
Dah chuma juu ya chuma sky we faysss
@hamzafishten9560Ай бұрын
Wa leo
@EzekiaMyilaАй бұрын
Putin akimutoa mtu jeshini watu hawajaji ila kama ingukuwa Israel watu wangesema wamegawanyika acheni uchochezi wachambu maana watu wanakufa
@Chettymlambalipsi-lb9kmАй бұрын
Jamani natamani Putin aongoze mpaka 2050😭😭😭
@Maua-pg5glАй бұрын
kuna site inaitwa new economic thinking kuna prof anaelezea vzr kuhsusu kufankiwa kwa Russia licha ya vikwazo alivowekewa na aliwaambia wale watu ambao walikuwa na dhamana ya kuandaa hvo vikwazo pale Princeton
@hassangaddafi2347Ай бұрын
Punt baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺💪🇵🇸🇵🇸
@michaelmatonange630Ай бұрын
Naisubiri iyo mada kwa hamu sana
@matukutajuma156Ай бұрын
Dj usichangany engrish kwenye historia
@peteremmanuelymatwimatwiem3258Ай бұрын
Punguza chuki zako za kishamba kama una chukia iondoe sns maku wew
@charlesassey564227 күн бұрын
Sky , alli na sma bado ni wachanga sana kwenye uchambuzi wa maswala ya siasa za kimataifa , mnalisha watu matango pori kila wakati !!! Please if don't clear evidence don't talk
@hemedjackson2261Ай бұрын
Fun fact: Putin ndio Rais pekee alotoka na ndege ya kivita nchini kwake akaingia Chechnya akapiga akiwa peke yake na akarudi moscow akiwa salama.😂😂 So ndio mana wamarekani hawamsomi huyu mtu tangia kuzaliwa kwake mpaka alipofikia.
@King_Of_EverythingАй бұрын
👊👍✌️.
@danielwilliam9758Ай бұрын
So, uyu ni mzuli kuliko shoigu au
@hijazhija316Ай бұрын
Pumzika
@peteremmanuelymatwimatwiem3258Ай бұрын
Kwakweli😅😅😅😅
@SAMA-jw4frАй бұрын
Tunajaribu kumshauri Mama waziri yoyote mpe miezi sita tu hadilivery unamtoa mpk utapata watu loyality kwa nchi yao na kwambia tena na tena achana na bwawa la nyerere weka umeme wa neclear hiyo ndio itakuwa legacy yako utakumkbukwa maisha yako yote na utakijenga mpakani baina ya uganda na kenya or baina malawi na zambia or baina na Burundi Rwanda na Congo hiyo ndio habari
@user-cn9br7en7wАй бұрын
Naomba mje na hii mada tujue waliweza vp kuvishinda vikwazo vyote hivyo???
@josepheriah5977Ай бұрын
Alishindwa match
@Gulfnas1Ай бұрын
Tujuzeni role ya India na unafki wake ndan ya BRICS
@hadjiMbugi-iu4egАй бұрын
Kweli ufisadi hauwezi kuisha mpaka Kwa puttin Kuna ufisadi pamoja na ubabe wake
@bensonphilip9673Ай бұрын
This triangle ninknomer sana SNS Hapa Sky kati Ali kule Dj esma aloo ni motrooo
@lameckraphael3743Ай бұрын
Ali banaaa unaongea sana humpi nafas dj asmaa
@bodyamanАй бұрын
Sky naomba tujue vile zao la cannibes (mbangi) linavyochukuliwa urudi je,halihusiki katika uchumi wa urudi naomba utuletee nalala Kwa kuwa mi ni miongoni mwa watanzania naamini zao hili Lina utajiri ambao nchi masikini tunashindwa kuliheshimu kutokana na kuwa ndani ya box la Elimu dharimu tuliyoanzishiwa na wamagharibi,wakati wao USA,CANADA wanapiga mapesa kibao kutokana na zao hili la cannabis
@lucasmartin431Ай бұрын
Bangi Ina madhara sana, Lima hata Mahindi Rafiki yangu....Kenya na Sudani wanayahitaji sana.
@Elizabeth-gq9klАй бұрын
Nyinyi, munachambuwa mukiegemeya sehemu moja
@peteremmanuelymatwimatwiem3258Ай бұрын
Kaegemee unakopenda wew
@swalehemusa4546Ай бұрын
Kwa iyo ulitaka waende Kwa mashoga ndio waegemee
@GabrielSky64Ай бұрын
Alicho fanya Putin hakuna utofauti na kilicho fanyika. Israel kwa yule kiongozi wa majeshi
@user-rt1wf6se5fАй бұрын
Equal TRIANGLE ABC 😂😂❤❤ balaa like hapa sky dj sma aly masuby ogopa sasa "usicoment utumbo kama hujalewe eeh" new song harmonize bombocraa!!!
@UpendoSalum-uo3zlАй бұрын
241
@ErickMapunda-pr1exАй бұрын
Hapa kwetu control wa uchumi ni mwiguĺu, tutafika kweli?😅
@5G-wr5vz10 күн бұрын
😂
@husseinhemedi9314Ай бұрын
SNS mkojuu xana axee hongereni xana Tuko pamoja na Russia 🇷🇺🇹🇿
@justicebridgeАй бұрын
Yani uwa siwaelewi kabisa ambacho uwa munaongelea.huyo jamaa ni mweu na ameshafail
@user-xc6ls9xn8hАй бұрын
Me Puttin namuunga mkono sana asilimia 100/
@aishaarusha894Ай бұрын
Wasemaje wa putin
@BarakerZeonlistАй бұрын
Me naipenda urusi naifatilia urusi kivita since 2022
@NicoleMakaveli-wr6mmАй бұрын
Haituhusu sisi waafrika na ufukara wetu
@uwimana6533Ай бұрын
Lakini unachakujifunza kupitia urkain , atamsaliti akingia kuleta ufisadi utakua nachakujifunza 😂😂
@aishaarusha894Ай бұрын
Koma akuna ufukara africa ndoo maana atupigani
@Abninimo.Ай бұрын
Urusi gharama za vita imekuwa kubwa hivyo belousov amewekwa kwa sababu kuu mbili kudhibiti matumizi ya kijeshi pia kuandaliwa Kuendeleza utawala wa communist maana Kuna allegations za rushwa kutoka kwa FSB
@tyivbraАй бұрын
Majina yao magumi ety mishostini Mara shegu. 😂
@fahadfaraj6474Ай бұрын
Hata hill Jina lako la pili ukimwambia Mrusia ataje lazma atapike