Karibu sana ndugu yangu, yote ni kwa ajili ya mimi, wewe na yule. SUBSCRIBE na ikikupendeza nisaidie kusambaza na kwa wengine ✅
@abdukarimchonanga98049 ай бұрын
Powerful content Brother ✊
@maishamax9 ай бұрын
Makini sana Kiongozi
@venancenyambita3259 ай бұрын
Well said master Shaolin
@maishamax9 ай бұрын
Ahsante sana.
@masoudchegeka97529 ай бұрын
🙏
@maishamax8 ай бұрын
Pamoja sana 🤝
@neemakarisa14968 ай бұрын
🙏🏼
@maishamax8 ай бұрын
Karibu sana ✅
@suleimanjuma21159 ай бұрын
Robert kuyosaki aliwahi kusema kwamba PHYSICAL EXERCISE INCREASE CHANCE OF HEALTH BUT MENTAL EXERCISE INCREASE CHANCE OF WEALTH SOMO ZURI SANA MWALIM
@maishamax9 ай бұрын
Naam, Robert ni mwandishi mahiri sana wa zama hizi. And kuongezea hapo not only wealth ila happiness pamoja na well being kiujumla.
@GasperMbise-i6r9 ай бұрын
Thanks 👍 kaka. Sema nakushauri kukiwa unatoa taarfa au message uwe na uwakka kaka , maaana kesho kesho kutwa tutanaweza kubase kweny ujumbe wako alaf ukawa unatupotesha . Hvyo bas kaka tunaomba content nzito kwa faida yetu sote.
@maishamax9 ай бұрын
Nashukuru sana ndugu, maoni na mawazo mbadala yanapokelewa kwa mikono miwili. Ninaahidi kujitahidi kadri ya uwezo wangu kutojihusisha na upotoshaji hata chembe, hivyo KARIBU SANA.
@jerusalemtvnakatunga63659 ай бұрын
Bravo kaka
@maishamax9 ай бұрын
Shukrani sana 💯
@johnmaswi19859 ай бұрын
🚀🚀
@maishamax9 ай бұрын
Videographer 👊
@bratomwampua40319 ай бұрын
🙏 for fact
@maishamax9 ай бұрын
Naam mtaalam 💯
@mohamedimanzi10839 ай бұрын
Sana brother 🫡
@maishamax9 ай бұрын
Ahsante sana, tuzidi kutafuta elimu na maarifa
@Abdulrahmanhassan189 ай бұрын
Hiyo sauti ya music uliyotumia hapa endelea kuitumia katika kila video yako utakayo post iwe live au audio tumia hiyo