Habari kaka, samahan kaka mimi napenda sana kusoma vitabu na napenda kkuuliza naomba kupata ushauri ni aina gani ya vitabu nivisome kwa maana mm napenda na vision yangu ni kuwa mwanasiasa na kiongozi mzuri, napenda kushauriwa nisome mambo yapi ama vitabu vipi zaidii, ntashukuru sana sana kaka.Mwaka huu nimeanza zaidi kujitengea muda zaidi kuamka mapema zaidi asubh nakujisomea, mipango yangu ya kisiasa ni miaka kumi mbele niwe mwanasiasa bora. Ntashukuru sana.
@maundumwingizi80276 жыл бұрын
Umesema kweli kabisa EZDEN. Faida zote ulizotaja nimeanza kuziona maishani mwangu tangu nilivyoanza kujibidiisha kusoma vitabu. Sasa naweza kusoma vitabu zaidi ya 50 kwa mwaka.
@successpathnetwork6 жыл бұрын
Sawasawa... hongera sana kaka.
@zaytoonabdallah11726 жыл бұрын
Duuuuh, MaashaaAllaah hongera sana. naamini ipo siku inshaaAllaah nami nitasema kama hivyo. 50 books in a year! that's wow!
@ferfizymdr71535 жыл бұрын
Habari kaka mambo vipi? Unanisaidiaje na mimi kupata vitabu?
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Safi
@misskwileka19565 жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa.. Hasa hiyo no 6, VITABU VINAPELEKEA MTU KUJUA MAMBO MENGI, KUZUNGUMZA POINT... Wooow 😍😍😍
@rachellebahati75125 жыл бұрын
Ansante sana bro.Mungu akulinde
@akshots_tz5 жыл бұрын
asante sana, naomba kuuliza utaratibu gani nitumie katika kusoma vitabu maana me nimsomaji lkn kuna baadhi ya vitu nnavisoma katika vitabu lkn nnajikuta kama nnavisahau kuvifanyia kazi japo sio vyote... natanguliza shukrani
@bentzboufurnitures94525 жыл бұрын
More more nice
@alphamenson37846 жыл бұрын
Sow a thought, reap a belief. Sow a belief, reap an attitude. Sow an attitude, reap an action. Sow an action, reap a habit. Sow a habit, reap a character. Sow a character n yo gonna reap a DESTINY. We only reap wat we sow...at de end of de day is wat yo put in is wat yo gonna get it out. Start by changin yuh thought n cultivate yuh MIND...God bless y'all.
@zuhraramzan28286 жыл бұрын
Shukura mngu akupe weps uendelee kutpa hamasa ya kusoma vtabu kiukweli asante sana kaka angu
@hassanmsuya90575 жыл бұрын
Yap brother nimekupata ni ukweli usio pingika maana hata tofauti ya fikra za MTU anae jifuza kitu IPO asante sana
@siwemamelchior16865 жыл бұрын
May Almighty God bless you. Unagawa knowledge nzuri sana kwa walio tayari kuelewa. Ubarikiwe sana tena.
@rajabumsumi75786 жыл бұрын
Bro nakuelewa sana Allah akupe maisha marefu ili uzidi ku2pa madini bro
@shammoha52976 жыл бұрын
Yap! I like that idear ya kusoma kitabu na kuirudia. Ntajaribu in shaa Allah. Shukran kaka Ezden. Mola akubariki 😘
@ukhtyhalimasubscribedismai64976 жыл бұрын
Very very good I like it ☝☝👏👏 😘😘 kweli kabisa brother yaani hizi faida ulizotaja hakika MTU akizifuatilia tutapiga hatua zaidi 😍😍
@successpathnetwork6 жыл бұрын
NASHUKURU SANA. WEWE UNASOMA KITABU LEO
@ukhtyhalimasubscribedismai64976 жыл бұрын
Brother@@successpathnetwork nakuahidi nitatafuta vitabu nianze kusoma kwani unatupa ufaham mkubwa Sana🙏
@mohamedkhateeb50986 жыл бұрын
Shukran sana kaka,nimejifunza kitu hapo...kiukweli mimi ni mmoja wapo wa watu ambao ni wavivu sana wa kusoma vitabu..but from now on nitajitahidi sana kusoma vitabu.Thanks!
@stanslausnyangige59785 жыл бұрын
Shukuran kaka najifunza mengi sana na ninashukuru kwa msaada unaoutoa napenda kusoma lakin sijui nisome vitabu gan Nidsidie kwa hilo pia nayabadil maisha yangu kila siku
@rehemajuma19336 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka kwa elimu unayotupatia
@upendoeliud60534 жыл бұрын
Asante sana kaka kweli nimepata vitu vipya, naanza kulifanyia kazi hili.🙏
@maryammaram26126 жыл бұрын
Shukran kaka Ezden naahidi kufatilia vitabu tofaut📚📚 na vingi zaidi naamin mabadiliko mazurii nitayaona.. 🙏🙏🙏
@shabanmkenga31546 жыл бұрын
Maryam Maram
@maryammaram26126 жыл бұрын
@@shabanmkenga3154 yes
@successpathnetwork6 жыл бұрын
jambo zuri sana Maryam... all the best
@maryammaram26126 жыл бұрын
@@successpathnetwork shukran kaka Ezden👏👏👏
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Safi
@vitendotv87326 жыл бұрын
Asante sana kaka Ezden naomba unitumie majina ya hvyo vitabu vzri vya kusoma
@japhetmwamba95796 жыл бұрын
Napenda sana kusoma vitab nipo mwanza nitavipataje
@emotionalvoice9726 жыл бұрын
Allah azidi kukuongoza kk, tuendelee kupata madini kutoka kwako, Najifunza vingi sana out of formal education,
@successpathnetwork6 жыл бұрын
NNashukuru sana kaka. Help me spreading the word. Just share this link na wengine pia. Im uploading a new video right now...soon utaiona. Pita
@gibsonmukulas36445 жыл бұрын
kaka Mungu akubariki sana unatoa elimu sana nadhani kwakuwa siyo mchoyo wa elimu basi nawe utafanikiwa zaid maana unapenda kujua meng ili usaidie weng
@michaelstephen76165 жыл бұрын
pamoja sana kaka mabadiliko muhimu
@thelimitlessclass79096 жыл бұрын
I appreciate this
@godfreyeliabu25826 жыл бұрын
Habari mwalimu ezden jumanne, somohili litanijenga kwani kuna tabia mbaya zimekuwa chronic kwangu /na wengine maombiyangu ni ujalibu kutoa aina ya vitabu ikiwezekana na majina yeke na vinapo patikana ingawa umewahikusema wewe pia unavyo
kweli kaka ezden hasa iyo faida ya 7..yaan kama unanisema mm aise.
@manenolugendo63966 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana..
@suphianimtego30286 жыл бұрын
Inshaalah
@christophercravery1026 жыл бұрын
"Do the do before the do does you"
@obachristopher43895 жыл бұрын
Big ishu sana safi broo
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Ahsante Mkuu
@bihuriashaabani6894 жыл бұрын
Shukrani bro.
@brothermams286 жыл бұрын
Aisee somo zuri imeeleweka vzr
@Maulidfundi5 жыл бұрын
Nataka nianze kusoma vitabu,,,nianze na kitabu cha aina gan! Nisaidie.
@demarcusideka15066 жыл бұрын
Bravo brother.
@khadijajuma71426 жыл бұрын
Ahsante sana,pamoja kaka
@zaytoonabdallah11726 жыл бұрын
Nakubaliana nawe kuwa "Kitabu kimoja tu kinaweza kukubadilisha" mimi mpaka sasa sijasoma vitabu vingi ila napenda kusoma vitabu na nimegundua kuwa ninachokosea ni kuwa nasoma kitabu kinaponifikia na huwa sifanyi jitihada ya kuvitafuta vilipo. nitaanza kujirekebisha katika hilo. Ahsante kwa kunihamasisha. but, Ezden, would you like to recommend a book for me, i will appreciate that. Ahsante.
@UbunifuTemple6 жыл бұрын
I like it
@yasinikateula66056 жыл бұрын
kwel kabsa
@yasinikateula66056 жыл бұрын
Uko sahihi binafsi nimeanza kubadilika mwaka huu 2018 Baada ya kuanza kusoma kitabu nimegundua makosa meng Sana niliyoyafanya
@simonsumaye63245 жыл бұрын
Each one teach one safi
@matingo-bk12486 жыл бұрын
Thanx
@topazmjackison72943 жыл бұрын
Kaka Habari ya sumbuwi umenipa hamasa Sana mimi natamani Sana kusoma vitambu
@LazaroSamwel6 жыл бұрын
kazi nzuri kk
@successpathnetwork6 жыл бұрын
Asante kaka
@najlazezynaji1176 жыл бұрын
Like zenu Kwa broo#Ezden
@oman35276 жыл бұрын
Hasanteee Nimeelewa kwa somo
@neemamsafiri31296 жыл бұрын
Naomba kupata kitabu pls.
@Fantastic.-gm1eoАй бұрын
Msaada Nikisoma kitabu naanza kusinzia
@linahlymo72856 жыл бұрын
Nashida nakitabu
@gibsonmukulas36445 жыл бұрын
good sana
@worshipertv99686 жыл бұрын
Kaka napenda sana kusoma vitabu ila nashindwa nianzie wapi kila nikisema naanza ikifika kesho unakuta nipo tu naviona na ninapenda kununua sana vitabu
@samsonezekiel92324 жыл бұрын
Good ldea
@japharimandalafamily68686 жыл бұрын
Je nivitabu vyaaina gani ambavyo vinatakiwa kusomwa?
@babalois72406 жыл бұрын
Online... VITABU AFYA YA UBONGO
@abdul-rahmankhatib60364 жыл бұрын
ukweli ni kwamba nnahamu sana ya kuanza kusoma vitabu.. shida ni wapi napata?
@edwardalfred11725 жыл бұрын
Nashukuru ila naomba unishauri nianze kusoma kitabu gani.
@hamisadodo4536 жыл бұрын
Kaka sijawahi soma vitabu nimeanza kuvutiwa nimependa xana mada zako ila nimvivu wakusoma xana sijui kwanini
@ArmchairtourismTv3 жыл бұрын
Usiache, kila cku ipo cku utazoea ni ngumusana mwanzo so tafta kwanza zle str unazopenda
@biubwaahmadi406 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Edzen. Na mim nataka kuanza kusoma vitabu. Je nianze kusoma kitabu gani?? Naomba unijulishe na nitakifatilia. Ahsante sana.
@rizikimoshi47985 жыл бұрын
brother nashida na vitabu vyako nitapa
@moarusha40935 жыл бұрын
Naomba unisaidie majinavya vtabu ambazo naeza soma ili kuongezaa maarfaaa please kaka Ziwe za siasa maisha kwa ujumla
@gwantwamwaipaja11775 жыл бұрын
BRo..mm naomba..unipe muongozo...wa vitabu vya kusomaaa...pia nitasomaje ktbu kmoja for 3dyz..nmtingwa na mambo ya chuooo lkn ntmn..sana nisomeee
@asiajuma57846 жыл бұрын
Mi natamani sn kusoma vitabu ila jinsi ya kuvipata ss mi nipo shinyanga 🙇♀️
@advocatekarama49175 жыл бұрын
Asia Juma jaribu ata kwenye mitandao mfano google store kna vitabu vinapatikana bure
@fadhilimohammedi90045 жыл бұрын
Mimi.nikisoma mstari mmoja tu nnapiga sana myayo na machozi na taya zinauma je? Kitabu gani na unasomaje nielezee
@jabsonwillifred66414 жыл бұрын
naendelea kusoma vitabu. saf
@AbdulHalim-su7kl6 жыл бұрын
Broo ntk kitabu cha kuaza nach....
@rajabkibugula91226 жыл бұрын
Nimekuelewa ndugu, sasa nilikuwa naomba unielekeze kuhusu kitabu chakuanza nacho kusoma
@Faraobeatz2 жыл бұрын
Natamani Sana kusoma vitabu vya kiswahili vyenye mtazamo chanya lakin bado sijajua namna ya kuvi download
@godwinmsomba69095 жыл бұрын
Asante bro. Nataka nianze kusoma ni kitabu gani nianze?
@victormanyama1096 жыл бұрын
ezden naomba unichagulie vitabu vitatu nikanunua samahan
@stanslausnyangige59785 жыл бұрын
Naitaji kaka pls
@Lutumbabrand5 жыл бұрын
Sikiliza simulizi nzuri na za kusisimua kzbin.info/www/bejne/jGKummSLbr6ohsk Ujio mpya wa muziki wa taarabu kzbin.info/www/bejne/qoq3q52wqb6ie6s
@zuhraramzan28286 жыл бұрын
Asnte nimejifunza faida ya kusoma maana nilikuwa sjui maana ya kusoma kitabu
@swalehesheha53915 жыл бұрын
A.sante sana nilichelewa kuona vedio zako ila Shukran sana. Kwa jina naitwa swaleh sheha mkaazi wa zanzibar ninachoomba kupata majina ya hivyo vitabu mana nami kujisomea. Na swali langu je naweza kupata kwenye mtandao hivyo Vitabu?
@advocatekarama49175 жыл бұрын
swalehe sheha Ndio
@amansaid76015 жыл бұрын
kaka m naomba unisaidie ushaur mimi nasoma lakini sielewi napenda sana kusoma vtabu
@suleimandadu48592 жыл бұрын
Katika kusoma vitabu ni vitabu vya aina fulani au ni vyovyote?
@valenceremmy5155 жыл бұрын
Nakupata xana brother ezden bt naomba contact ako ili tuwaxiliane unielekeze mamb fulan
@issabakari6945 жыл бұрын
Uko vzr sana bro big up Allah akeweke coz kwa ayo maarifa unayo tupa unatapa msukumo vijana wa kujitambua coz watu wanalalamika oooh maisha magumu wakati kwa kufuatilia vitu kama ivi unaweza ukapata kitu so ungetutajia baadhi ya vitabu ili tuanze navyo,Asante sana
@shammoha52976 жыл бұрын
Can you recommend one book for me? Thanks👍
@mezani7825 жыл бұрын
The Millionaire Next Door by J. Stanley
@barakachongera97053 жыл бұрын
Kaka samahani naomba kujua ni kitabu gani ambacho natakiwa kuanza nacho?"
@baloziubalozini50746 жыл бұрын
Hii hija kwamba kitabu kimoja ukikisoma kwa umakini na inavyopaswa kinatosha kukubadilisha,.NAIAFIKI,maana nilisoma kitabu kimoja na nikajikuta nikianza kuchukua hatua
@kibandamodern2 жыл бұрын
Nichagulie
@johnvicenthmuna51516 жыл бұрын
Broo VP kwa wasiyo elewa lugha Fulani ya kitabu kitawasaidiaje
@ahnafabdallah94334 жыл бұрын
Ipo app ya kudownload vitabu?
@francissamwel66285 жыл бұрын
Broo minapenda kwel kuanza kusoma vitabu ilasijui nisome vitabu vp au vya ainagan
@Maulidfundi5 жыл бұрын
Na sina mazoea ya kusoma kitabuuu.
@fanpmaarifa36973 жыл бұрын
Ni vitabu vya aina gani unapaswa usome
@mariamoses10986 жыл бұрын
Nahitaji kitabu
@victormanyama1096 жыл бұрын
maana nimehamasika sana sitaki tena kurudi nyuma
@simonsumaye63246 жыл бұрын
Safe Sana type reference Za awali
@bakarkingwaba55055 жыл бұрын
Nipatie kitabu kizuri lkn kiwe kwa kiswahili
@stonyshipindi21524 жыл бұрын
Sasa hivyo vitaabu vilivyo andikwa kwa rugha ya kiswahili vipo au??????
@benjaminndaki82126 жыл бұрын
Brother hii kitu unatufunza unaweza tupatia no yako
@salimnjowoka43576 жыл бұрын
Sasa kiongozi,muda mwingine unasoma kitabu onaona maneno magumu mengi.inapelekea kuchoka kukisoma.hapa unasharauri vp.Mkuu.
@emmanuelludovick87496 жыл бұрын
Naomba msaada naitaji kuanza kusoma vitabu kila siku naomba msaada wa ezden simu ni +255743348856 daresalam
@beatricejames44034 жыл бұрын
Ezden nataman kuanza kusoma vitabu ila nasemaga ntaanza ntaanza mwisho mda unaenda nashindwa pliz assist me on how to do it please namba zangu whatsap 0683381889
@msambachacha85236 жыл бұрын
Broo naomba unitumie majina ya Vitabu 20 unavyo vikubali (msambacha@gmail.com) ntakushukuru sana mkuu