Kwanini Waislamu hatufungi na kufungua pamoja ? | Sheikh Salim Barahiyan

  Рет қаралды 4,479

Sheikh Salim Barahiyan

Sheikh Salim Barahiyan

3 жыл бұрын

Пікірлер: 18
@salafitvsalafitv910
@salafitvsalafitv910 2 жыл бұрын
Mashaallah darsa nzuri sana
@rashidissa5887
@rashidissa5887 2 жыл бұрын
Mimi hufunga na kufungua kwa kuthibitishwa na Mamlaka husika hapa Zanzibar. Hebu masheikh wetu wa I'mam Shhafi niamsheni pale kutokana na Imam wetu huyu inatupelek kuukataa mwezi wa kmataifa
@salafitvsalafitv910
@salafitvsalafitv910 2 жыл бұрын
Mashaallah
@aishathabit3732
@aishathabit3732 2 жыл бұрын
#SAUD ndio chanzo #Baniiqainuqaa wale
@leonardmbonea4117
@leonardmbonea4117 2 жыл бұрын
lizee la kibidaa
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 2 жыл бұрын
Ni sehemu gani hilo Jopo la Suudia limesema tuungane kwenye Mwezi
@habibrwegoshora6624
@habibrwegoshora6624 Жыл бұрын
MATHALANI UMEONA MWEZI JIONI UKIWA TZ WAKATI HUO HUO NCHI ZINGINE KWAO NI USIKU SAA 7 AU 8 AU 9 AU 10 AU 11 AU 12 ALFAJILI.. JE AWA WANAWEZA KUAMKA NA SAUMU AU WAKASWALI EID ? NDIO MAANA M'MUNGU AKATUTAKA TUSOME MWEZI AUWEZI KUWA WA KIMATAIFA KAMA MTU ANATUMIA FIKRA
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
Ni ujahili gani kusema kuwa hakuna usiku miwili aw jumatatu mbili Mumemafarakisha waisilam ikawa nyumba moja wako walio funga na wako walio fungnuwa ni uisilamgani munao utetea Munafanya tadlis ili muweze kuingiza shubha zenu Acheni fitna zenu hizo fungeni na funguweni wanapo funga na kufunguwa waisilam
@mahdy011
@mahdy011 2 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU NA MTUME WAKE, WAMEGHAFILIKA KWA KUSEMA (FUNGENI KWA KUONA NA FUNGUENI KWA KUONA) wameghafilika kusema kutakapifikia wakati mawasiliano yakawa mepesi (Mtafunga kwa kuckia na mtafungua kwa kuckia) Subhanallah...
@ismailibrahim1111
@ismailibrahim1111 3 жыл бұрын
Huyu mzee hamuogopi mola yuazungumza urongo wazi
@aminaomar9675
@aminaomar9675 3 жыл бұрын
Hamuogopi mola vp au ww t humkubali
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g Жыл бұрын
SUALI NI MOJA NA DOGO TU: KWA NINI WAISLAMU HATUFUNGI KWA PAMOJA NA KUFUNGUA KWA PAMOJA?! POROJO NYINGI ZA NINI?!
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 2 жыл бұрын
Mwehu wewe
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
Ama hoja ya kusema kuwa mtume amesema kuwa fungeni kwa kuona na funguweni kwa kuona basi vile vile mungu anasema ( وَكُلُوا وَاشْرَبُوا حَتَّىٰ يَتَبَيَّنَ لَكُمُ الْخَيْطُ الْأَبْيَضُ مِنَ الْخَيْطِ الْأَسْوَدِ مِنَ الْفَجْرِ ۖ) Kuleni na munywe mpaka atikapo kubainikieni uzi mweusi kwa uzi mweupe wa alfajiri Hapo vilevile wanahutubiwa waisilam wote sasa mbona watu wanaanza kufunga kwa alfajiri yao na wanafunguwa kwa magharibi yao hawafuati malfajiri na magharibi itanguliayo ulimwenguni? Halafu kusema kuwa mwezi wa kimataifa ndio gauli yenye mguvu, hiyo di kweli kwani hakuna nchi ulimwenguni inayofuata mwezi wa kimataifa Halafu ikiwa hiyo ni ikhtilafu za maulamaa kama unavyo dai weye ba itakavyo kuwa haiwezekani ikhtifu hizo mbili sifanyiwe kazi keenye nchi na jumuiya moja nikama vile kuwa haifai kuowa ndugu wawili wakati mmoja Acheni fitna mutakutana na mola wenu
@Silay1034
@Silay1034 3 жыл бұрын
Mbon weye wafunga kwa sudia chizi acha shubha we Mzee tubia umri umekwenda acha kutakabbar huwa a'lamu limanittaqaa acha umadhehebu fuata din
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
@@Silay1034 Subhana alah umefilisika kiwango hicho Mimi nikitegemea kuwa itazijibu hoja zangu kwa kielmu Umetowa machuki na haqdi zako bila ya msingi, Nani amekwambia kuwa mimi nafunga kwa mwezi wa saudia? Dini hatetewi kwa matusi ikiwa unahoja zako zilete tuzisikilize
@salafitvsalafitv910
@salafitvsalafitv910 2 жыл бұрын
Mashaallah darsa nzuri sana
Hukmu ya KUJILIPUA katika Uislamu | Sheikh Salim Barahiyan
16:09
Sheikh Salim Barahiyan
Рет қаралды 930
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 184 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 83 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 58 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
Asieswali ni Kafiri? | Sheikh Salim Barahiyan
8:38
IHSAAN TV
Рет қаралды 6 М.
Athari ya gonjwa la hasad- almarhum muft sheikh Hemed bn Jumaa Al-Buhriy.
26:11
NASAHA KWA MASALAFI WALIOPO UNGUJA,ZANZIBAR
2:58
@Abuu Twalha
Рет қаралды 3,3 М.
SIRI ZAFICHUKA **Muhubiri Mwaipopo **AELEZEA MWANZO MWISHO
19:13
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
RADDI KWA OTHMAN MAALIM  |Majibu dhidi ya shubha aliyoitoa kuhusu maulid
9:17
Majibu Sahihi Dhidi ya Sheikh Salim Barahiyan | Part 4
6:46
MAJIBU MARIDHAWA KWA MPOTOSHAJI KASIM MAFUTA BY Shk Abuu Idi
30:33
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 28 М.
VITUKO VYA WANAWAKE  :  SHEIKH HUSSEIN HASSANI ( NYUNDO )
10:39
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 148 М.
Hiki kitabu Hakijibiki | Radd No 1 | Sheikh Salim Barahiyan
13:50
Sheikh Salim Barahiyan
Рет қаралды 2 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 184 МЛН