MAJIBU MARIDHAWA KWA MPOTOSHAJI KASIM MAFUTA BY Shk Abuu Idi

  Рет қаралды 28,599

Sheikh Yusuf Diwan

Sheikh Yusuf Diwan

3 жыл бұрын

Пікірлер: 428
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 3 жыл бұрын
Dah Abuu Idd. Badala ya Kujibu Hojja unaeleza Chuki zako kwa Mawahabi. Mwenzio kaeleza kuhusu Arafa.
@natual7572
@natual7572 3 жыл бұрын
Hakuna msomi yeyote alie na elim sahihi akawa na kidevu cheupe kama yai la kuku hoja sio kusoma vitabu hoja ww umepatia kwa usahihi bado shekh abulfadhili allah amuhifadhi haendani na ww kiufaham na uelewa
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 3 жыл бұрын
Hata kama ndo alivyoumbwa na hicho kidevu chake?
@natual7572
@natual7572 3 жыл бұрын
@@yussuphsultan1400 kama kaumbwa hivo hilo halina shaka nimaubile ila kama kanyoa basi kapoteza sifa ya kuwa dai
@yammuhamed736
@yammuhamed736 3 жыл бұрын
@@natual7572 sasa unajuaje kama hajaumbwa ivyo mpaka kumtolea hukumu
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 2 жыл бұрын
Chuki ndio inayokuongoza ndio maana unamuhukumu sheikh bila kumpa udhuru
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 2 жыл бұрын
@@natual7572 nani kasema kwamba dai ni lazima awe na ndevu
@suleimankitsao2532
@suleimankitsao2532 3 жыл бұрын
sheikh kassim mafuta sio daraja lako tafuta waimbaji wenzako upambane nao. mpotofu mkubwa.
@shariffbaalawiyy3679
@shariffbaalawiyy3679 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Mambo yote yako wazi kwakuwa dunia imepiga hatua hamna wa kumdanganya
@abuusaad5791
@abuusaad5791 3 жыл бұрын
Sh punguza sharubu
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 3 жыл бұрын
التخذ الناس رؤوسا جهالا فسئلوا فأفتوا بغير علم فأضلوا وأضلوا أو كما قال عليه الصلاة والسلام
@abdulkareemchacha2625
@abdulkareemchacha2625 3 жыл бұрын
Twayyib
@husseinsuleiman614
@husseinsuleiman614 3 жыл бұрын
Leta namb ..abu rayann..mm salafy mwenzio..wa arusha
@bakarikissiga6288
@bakarikissiga6288 3 жыл бұрын
Jazakallahu khayr sheykh,dalili za kiyama ndo kama hizi,Masalafy tusitetereke wala kuhisi tumepotea,. Njia ya Haqi ndo inaonekana potevu,
@husseinsuleiman614
@husseinsuleiman614 3 жыл бұрын
Ukhurafi ni tatizo kubwa mnoo
@hamidakondo4579
@hamidakondo4579 2 жыл бұрын
Hapa shekhe ni Muhammad bachu. Na kishkn na Muhammad salum
@ibrahimfarouq8339
@ibrahimfarouq8339 3 жыл бұрын
Imekuchua miaka miwili kuja kujibu radd ya Shaykh Abul Fadhwil
@user-qo2dk6iv3u
@user-qo2dk6iv3u 2 ай бұрын
Mashallah Abuu idi
@yazidbafunda5092
@yazidbafunda5092 2 жыл бұрын
Nyinyi WAZUSHI akina Abu Idd mna taabu sana .. Ama kweli Alompoteza Allah hakuna wa kumuongoza ... Yaani unaleta ushabiki ktk dini hali ya kuwa haqi unaifahamu ila maslahi tu
@yaasirsalafy2559
@yaasirsalafy2559 3 жыл бұрын
Daawat SALAFY itawanyoosha mpaka mtaacha Uzushi Muhamad idi Umesha kwisha mzee huna hoja
@muuminiabubakari6985
@muuminiabubakari6985 3 жыл бұрын
huyu alivyo kaa mdomoni kidevu kama mwanamke, mtu kama huyu kwa mujibu wa maneno ya imam shafi hafai kuzeshwa wala kusikilizwa ushaidi wake kwasababu amejifananisha na wanawake, hakuna mwanachuoni au mwalim yeyote alie soma dini akaelimika alafu akafananisha kidevu chake kama kalio la mtoto mdogo
@princefeisla3692
@princefeisla3692 3 жыл бұрын
www wacha uzembe dini yahusika na nini kutoka na ndevu
@allybyarushengo5727
@allybyarushengo5727 3 жыл бұрын
Ndugu acha jazba na matusi usisikilize kwa lengo la kubishana na kutukana,zikiliza kwa lengo la kujifunza sio kutukana haitokusaidia.
@ramadhanimbulu6716
@ramadhanimbulu6716 3 жыл бұрын
Sheikh uchwara kanyoa ndevu kaacha masharubu..!! Mnawapoteza waislamu katika dini
@salimaliy5243
@salimaliy5243 3 жыл бұрын
Naonaajizonga tu, hanahoja hatamojayamsingi, aropokwatu
@suleimanabdallah6979
@suleimanabdallah6979 3 жыл бұрын
Nenda pongwe kasome nduyngu acha kupiga madufu
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 жыл бұрын
Kipindi nikiwa sijui chochote ktk dini nilikuwa najua uwahabi ni watu wabaya sana, lakini nilipomsoma vitabu vya sheikh Abdul wahab Allah amrahamu nilifaidika sana kwa elimu yake. Lakini wanasemwa kama ni watu wabaya sana kumbe sio lengo ni kuchafua tu njia ya sunnah, Someni vitabu vyake utajua ukweli, Alikuwa kwenye shiriki na bid'aa ndio maana masufi wengi wao kwakuwa ni shirikiana walimchukia sana na kumpata sifa mbaya.
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZqrXoWZvjqirlac 👆KUMBE MWAMEDI BACHU HAJUI KIARABU IKISHA HUJINADI WAJE WATU WAMKOSOE
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Жыл бұрын
Kwani hapo unajua ukweli
@abdikadirshariif5311
@abdikadirshariif5311 9 ай бұрын
Saa hii Tu ume sign Jahanama.
@salehmussa9371
@salehmussa9371 3 жыл бұрын
Aslm alykm, mimi nilitegemea majibu yako yajikite kwann cc tulioko huku Tanzania na kwengineko tufunge ckuyakisimamo chaarafa ckusawasawa na mahujaji wanaposimama kule Makka au tufunge mwezi tisa kwamahesabu yetu bilakufata mahesabu ya Makka. Ila nilichokickia nikuongelea uwahabi tu wahuyo shekh mnaejibizana nae, kiukweli shekh hapa naomba fanya kerejea haya maelekezo yako unayotupa inshallah. Allahu yaalam.
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 жыл бұрын
Kwan bado mnahitaji maelezo? 1. Hajj imefaradhishwa mwaka wa sita... Sheikh kishki hotuba yake ya Eid asema wengi ktk masheikh wametaja mwaka wa 9. Mtume kaifunga siku ya tisa aloita siku ya arafa (siku ya kuhakiki ndoto Ibrahim mara ya tatu) kuanzia mwaka wa pili kwa kuangalia mwezi. 2. kila muislam kufuata arafa ya mahujjaj ni jambo haliezekani. Mchana wa Arafa si mmoja dunia nzima wapo wale watakao kuwa kwao ni usiku watu wakiwa katika kismamo. Je hawataipata fadhla ya funga?
@abuhafs4774
@abuhafs4774 3 жыл бұрын
Ustadh Muhammad idi huja jibu hoja za sheikh kunako suala la funga ya arafa na kisimamo cha arafa badala yake ww waruka ruka tu kwenye uwahabi kipi kimekushinda
@hamidakondo4579
@hamidakondo4579 2 жыл бұрын
Hujasoma bwana ss hatukuelewi
@saidwaka2539
@saidwaka2539 3 жыл бұрын
Shekh muogope Allah
@idrisshogobe6424
@idrisshogobe6424 3 жыл бұрын
Mbona vitisho na vitabu vingi?
@swaleheally9814
@swaleheally9814 2 жыл бұрын
SHEKH QAASIM ALLAH AMHIFADH AMEKUA SABABU YA WATU WENGI KUIELEWA HAQ. PIA UMEKUA SABABU YA KUJULIKANA MOHAMEDI KUA NI JAAHIL ( MJINGA ) KTK DINI ALLAH AMUOMGOZE
@assayyidaydaruus181
@assayyidaydaruus181 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@MrAmissi
@MrAmissi 3 жыл бұрын
Tupo hapa kwa kujuwa haqq ni ipi na batwil ni ipi nasi ule Muhab alishakujibu yale ambyo umekuwa kumtuhumu basi yafanyiye kazi yani bainisha ukweli mimi si shabiki wa yeyote katika dini ispokuwa nafata haqqi tu . Wallah a'alam
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 3 жыл бұрын
Nakuomba Sh.ldd Abu ldd naomba hicho kitabu cha matusi tuoneshe mawahabi wa huku Kenya Msa.
@abuuzamah-shar9868
@abuuzamah-shar9868 3 жыл бұрын
انفاق
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 9 ай бұрын
WANAKATAA ARBUINI WANAKUBALI ARBUINI.
@mathayogisosi9254
@mathayogisosi9254 3 жыл бұрын
Ndugu yangu Muslim naomba upitie nukta hizi. 1.sheikh muhammad ibn abdulwahab ni kweli alifanya daawa 2.na hakulingania chochote isipokuwa ni mapokeo ya mafundisho ya kiislam kama ilivyokuja kutoka kwa mtume wetu hadi kumfikia yeye kupitia kW wema waliotangulia. 3.kuita daawa ya kiwahabi au daawa mpya ni makosa kwa sababu aliyoyalingania ni yale yaliyolinganiwa na wanachuoni wa kiislam wa kabla yake. 4.hamchukii mtu sheikh ibn abdul wahab isipokuwa ni mzushi ktk dini. 5.kama unapinga haya naomba utuletee jambo moja la itikadi ambayo ilianzia kwa sheikh muhammad ibn abdul wahab .
@salimmdacki1442
@salimmdacki1442 3 жыл бұрын
na hatumpendi sisi ila ni kutokanamana na da'awah yake, kwani hasemi ila ni قال الله و قال رسول
@othumanhaji3648
@othumanhaji3648 2 жыл бұрын
Qasimu nimtotosana kielimu kwa abuuidi acheni mafuta asomeshwe na nihaqi muelezwe aswiliyenu ya ukibri
@issamsunye3799
@issamsunye3799 2 жыл бұрын
uyu jamaa analia sana kutuwekea vitabu ndo tukujue msomi
@sarajohn4703
@sarajohn4703 3 жыл бұрын
Usinyoe ndevu ukaacha sharubu
@saidyusuf9245
@saidyusuf9245 2 жыл бұрын
Wewe shekhe mungu akuongoze sisi twamfuata mungu namtume hatumuandami mtu Wewe mze mchemungu
@kerijedu7000
@kerijedu7000 3 жыл бұрын
huna mpangoooooooo
@user-pq1ji7pd1t
@user-pq1ji7pd1t 2 жыл бұрын
Kaeni musome enyi mubtadia
@user-pq1ji7pd1t
@user-pq1ji7pd1t 2 жыл бұрын
Kaeni chini musome enyi mahizbi
@mohamedibakari4269
@mohamedibakari4269 3 жыл бұрын
AMA HAKIKA LEO MWEZI KUMI NA MOJA DHULJIJJA 1443 SAWA NA TAR 21.07.2021 NINA KIRI KUWA WEWE ABUU IDDI HUNA UWEZO WA KUZUNGUMZA MASALA YA DINI KWA JAMII KUTOKANA NA UCHACHE WA ELIMU ULIONAO. UMETAJA MAS ALA YA ARAFA LKN CHA AJABU UMEZUNGUMZIA UWAHABI. KAA CHINI USOME ABUU IDDI ACHA KUTUTISHIA NA LUNDO LA VITABU .HUYO ABUL FADHLI MWENYEWE ANGEAMUA KUVIONYESHA KAMA WEWE HUENDA UNGEZIMIA
@hassan4k7
@hassan4k7 3 жыл бұрын
mnaogopa kijibiwa haqq nyinyi masufi
@abuhaitham2857
@abuhaitham2857 2 жыл бұрын
Wallahi ni furaha kuona vle watu wanazidi kuifahamu manhaj na kufuuta Uislamu wa kweli
@hafidhuayubu6256
@hafidhuayubu6256 3 жыл бұрын
Nimejitahidi nielewe lkini naona Kama sielewi unachoongea
@mussakimwaga4645
@mussakimwaga4645 3 жыл бұрын
Jamaa kapoteza mb zangu buree kabisa...sasa subiri radd nzitooo mana unaona kuiweka hiyo picha ya sh Muhammad ayob kama kuwatishia watu wakuogope..
@saidikembea9158
@saidikembea9158 2 жыл бұрын
Nyundo uliyogongwa sasa umetulia
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Ushamba wa Kiisilamu bhana. Eti kapanga vitabu aonekane msomi🤣
@abdillahhassan5423
@abdillahhassan5423 3 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhh
@mogul5825
@mogul5825 3 жыл бұрын
Hili zee Ni SHAMBA HILI...😂😂😂
@mkude
@mkude 3 жыл бұрын
Haahaaahaaahaaaheeeheee
@sleimbh
@sleimbh 3 жыл бұрын
Na Picha ya Mohammed Ayoub aonekane kasoma kwake 😂😂😂😂
@nassirmohd2851
@nassirmohd2851 3 жыл бұрын
Allah atukinge Na uchafu Na ufisadi Na uharibifu wa Hawa wahhaabiyya Naomba Allah aiondoshe fitna hii
@rashadymuhamad6293
@rashadymuhamad6293 3 жыл бұрын
Aamin
@abdymkadi5290
@abdymkadi5290 3 жыл бұрын
Mawahabi hawaishi na hatutosha mpaka kiyamaaa
@othmanmussa3302
@othmanmussa3302 3 жыл бұрын
Wewe na shekh ubwabwa wako mmefilisika kimaneno
@nassirmohd2851
@nassirmohd2851 3 жыл бұрын
@@othmanmussa3302 Huu ndio upuuzi wenu Shayaatwiin Allah aulinde Umma wa kiislam Na uchafuz wenu
@othmanmussa3302
@othmanmussa3302 3 жыл бұрын
@@nassirmohd2851 أنت وشيخك من الشياطين الذين يضلون الناس ويصدونهم عن اتباع الحق هداكم الله جميعا
@moodyhassany8928
@moodyhassany8928 3 жыл бұрын
😂 shekh ajajibu oja zaidi ya kumkashif mwenzake jibu hoja acha mikwara vitabu vimekuzunguka lakini akuna kitu
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 3 жыл бұрын
abuu iddi sema kwa ilmu soma vitabu vzur rabda hio miwan ina makengeza na pia faham kwamba din haiendi kwa akili ya mtu ishakamilika dini hii na hujja za Shaykh Kassim huwez kujib utamalizia kweny uwahab tu
@fatumajenzi4557
@fatumajenzi4557 3 жыл бұрын
Unaelimu yoyote zaidi ya kujaza matumbo yenu kilasiku mmekuwa amuelezi uisilamu upowapi nyinyi kubishana mwezi tu paka mtaingia kaburini muogopeni mungu
@yassiniyusuph4543
@yassiniyusuph4543 3 жыл бұрын
Hakuna kitu mbwe mbwe tu
@hashimujumanne9570
@hashimujumanne9570 3 жыл бұрын
Wallah natamn ningekua na elimu niwafundishe watu una elim una ongea pumba
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 3 жыл бұрын
Umejuaje kama ameongea pumba ilhal umesema huna elimu,nawe ni wahabi
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
@@ahmadbadawi9664 umeonae ukiskia matatizo ndo hayo ili mradi ameongea aonekane
@twalimshare2915
@twalimshare2915 3 жыл бұрын
Huna kitu kaa kimya
@hassan4k7
@hassan4k7 3 жыл бұрын
usifute comment mzeeee mnaona mnafedheheka sio , fanya mchezo nin weeee na watu wa Sunnah
@abuhafs4774
@abuhafs4774 3 жыл бұрын
Sasa kama ulimsomesha ndo lazima awe kama ww kwenye unayo yadai
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 3 жыл бұрын
Tuelezee hoja ya msingi ni lini arafah sio kutuelezea uwahabi
@cideboy4676
@cideboy4676 3 жыл бұрын
LUQMAN OMARY Kwan huyu idi niwahabi??
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 3 жыл бұрын
Uwahabi ni akina nan zitaje kwa mujibu wa vitabu vya hao mawahab
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 3 жыл бұрын
Wavunjifu wa aman
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 3 жыл бұрын
@@ahmadbadawi9664 leta ushahid wamevunja aman wap usiwazulie kuna wanaolinda aman kama masalaf ambao kwenu nyie ndio mawahab?
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 3 жыл бұрын
@@abuusaalimalmasasiyyu9421 we upo Kenya huwezi jua yaliyojiri kwetu
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 3 жыл бұрын
@@ahmadbadawi9664 ndio unijuze ndgu maana ahalu sunnnatu waljmaa wanafahamika wataje Sheikh Abul faadhil kavunja aman wap
@saidlucas1216
@saidlucas1216 3 жыл бұрын
Masheikh nawahurumia sana 😢😭so sad
@twalimshare2915
@twalimshare2915 3 жыл бұрын
Shekhe wewe ndio mpotashaji
@suleimanabdallah6979
@suleimanabdallah6979 3 жыл бұрын
Uyu jamaa kumbe nichizi
@aididabdallah5428
@aididabdallah5428 3 жыл бұрын
Sehemu ya pili tafadhali
@zaharahassan7873
@zaharahassan7873 3 жыл бұрын
Ulipotea Sana shekh tunadhani ulienda kusoma kumbe bado makosa yako wazi kabisa vitabu vingi mbele yako vitumie basi auرياء
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 3 жыл бұрын
Sasa hiii kupanga mavitabu ukafanya mlima hii tunaitaje kwako mwalim kashasha
@khamisabdi723
@khamisabdi723 3 жыл бұрын
Umemsoma vyema Abdul wahab
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Mimi muwahabi alhamdulilah😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@mutomubaya
@mutomubaya 3 жыл бұрын
Fuata Sunnah. Allah akuongoze. Mimi sijali nikiitwa wahabi lakini sifuati uwahabi nafuata mafundisho ya Qur'an na Sunnah. Saudia hakuna vitabu vya kufundisha uwahabi. Kwa sababu hakutuongoza Allah wala Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, wala Ulamaa hawaongozi watu kwenye uwahabi. Bali wanaongoza watu wafuate tu kitabu na Sunnah.
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 3 жыл бұрын
Ata mm Kama kufata QUR'AN NA SUNHA ni uhabi ata mm alhamdulilah
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
@@abrahamansaidi8631 mashallah
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
@@mutomubaya baaaaas
@abdulhaleemsalim1059
@abdulhaleemsalim1059 3 жыл бұрын
Mawahabi hawana ilimu huenda tu kama kondoo na kupotosha watu
@shariffbaalawiyy3679
@shariffbaalawiyy3679 3 жыл бұрын
Wallahi bila ya unafki ukiwa katika usufi ni balaa kwanza vijana ni wavivu kufatilia dini
@MohamedOmar-nf8kl
@MohamedOmar-nf8kl 3 жыл бұрын
I wrote this comment before I heard anything about, cuz I think the setup of books around, is little bit too much! Mashekh tunajifunza toka kwenu jamani! 'ikhlas'
@hassan4k7
@hassan4k7 3 жыл бұрын
Skilizen majibu ya kielimu hayo na jinsi alivyofedheheka kwa Uwongo wake huy Mohammed idd🔥🔥👇👇👇
@khamisoothman5294
@khamisoothman5294 3 жыл бұрын
Hamna kitu hapa
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Haha
@abuuzamah-shar9868
@abuuzamah-shar9868 3 жыл бұрын
lete dalili zako tuzione acha tu kusema hamna kitu wew juhhal
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 жыл бұрын
Masufi hamna uwezo wa kujibu hoja za kielimu Kazi yenu ni kutukana tu.. Jibu hoja masharubu Abuu iddy..
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
Lete hizo hoja zenu tuzisikilize
@masoudsaid5488
@masoudsaid5488 3 жыл бұрын
Mimi binafsi nimeshindwa kumsikiliza kwasababu ya maandalizi aliojiaandaa masheikh wa Dar siwaelewi
@DaAshu-zy9sg
@DaAshu-zy9sg 3 жыл бұрын
Umesema kweli hawana adabu angalia post zao nimatusi tu
@hassanjamada2877
@hassanjamada2877 3 жыл бұрын
HALAFU KIARABU UNAKISOMA KWA KUSIKILIZIA HAHAHA SIJUI NI LAHAJA YA WAPI HIYO NA MANENO MAGUMU YOTE HUYAFANYII TARJAMA UNAJIFANYA UNACHUNGA MUDA UNATARJAMA VIJIPANDE VYEPESI KWA KILA MMOJA ALLAH AKUONGOZE
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Ameen
@ibrahimyussuf7945
@ibrahimyussuf7945 3 жыл бұрын
Ww abuuiddi elimu huna unatisha watu kwa kuweka vtabu viiingi...sasa kma we msomi jbu hoja . .naona unajadili jina la uwahabi nasio itikadi zao wala matendo
@seifkhalfan3190
@seifkhalfan3190 3 жыл бұрын
Sasa sheikh waongea Arafa ama wamzungumzia sheikh
@ibrahimfarouq8339
@ibrahimfarouq8339 3 жыл бұрын
Sijawahi kuona mtu wa Ahlul Sunnah wal Jamaah akifanya takfir kama ulivyosema kwamba labda mtu kamfata Imamu fulani na huyo Imaam amekosea either Allaah akumfunulia kuelewa huyo Imaam nususi maana Maimamu wanakosea na kupatia au hakupata nususi sahihi na kupelekea kukosea kwenye ijtihad yake na mtu wa Sunnah kamfata imamu aliepatia Watanasihiwa tu kuwa waache taasub katika madhehebu kwamba Imamu katika suala fulani kakosea basi wamfuate Imamu aliyepatia katika masaala hayo Imaamu wanayemfuata kakosea lakini sio kumkufurisha mtu na kumuingiza motoni kabisa Ewe muongeaji najua unajua kuwa Ahlul Sunnah wal Jamaah wanavidhibiti mpaka wamkufurishe mtu na vidhibiti hivyo hawajajitungia tu bali wametoa katika Quran na Sunnah kwa jinsi walivyoelewa Masalafiy
@user-zc1oo2fz3y
@user-zc1oo2fz3y 3 жыл бұрын
Pole sana Shekh soma vizuri
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 3 жыл бұрын
Mimi binafsi cjali wala sibabaiki kuitwa muawahabi as long nashikamana na quran na mwenendo wa mtume(s.a.w).
@azizaziz7644
@azizaziz7644 3 жыл бұрын
Usijali kuitwa Muwahabi , umesema unafuata Quraan na mwenendo Mtukufu wa Bwana wetu Mtume Mtukufu sawa , Swali , wapi uliposoma NASEMA ULIPOSOMA KWENYE VITABU WA HADITHI ilipoandika ufuate QURAAN na Mwenendo Wa bwana MTUME ?????? AU MASHEKHE TU WAMEKUZAZA AKILI ZAO ??????
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 3 жыл бұрын
@@azizaziz7644 Allah anasema tumtii yeye na mtume wake katika verse nyingii za quran... pia Allah anasema amempa Mtume wetu(s.a.w) Kitabu na hekma, Allah pia anasema tumtii yeye na mtume wake na waliopewa elimu katika sisi na tukifarikiana katika jambo lolote turudi kwa Allah na mtume wake!!!! Hizo ni baadhi ya proofs kutoka kwenye quran takatifu kuonyesha wazi umuhimu wa quran na sunna?? Alafu inamaana hili kundi la quraniyuna(quranist) bado lipo??? Mana hoja zao zilishavunjwa kitaaambo na wengi wamesharudi kweny mstari, zinduka ndg yangu
@azizaziz7644
@azizaziz7644 3 жыл бұрын
@@Yu-jr9uf , Tukitaka kuokoka tushikamane na vizoto viwili , ( 1 ) ?????? ( 2 ) ??????? Viwili hivi havitoachana hadi vimrudie yeye katika hodhi yake nipe hivi vizito viwili
@azizaziz7644
@azizaziz7644 3 жыл бұрын
@@Yu-jr9uf , Baba amesema na ULIL AMRI NANI Haooooooooooo
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 3 жыл бұрын
@@azizaziz7644 anhaa kumbe na dili na shiaa nlidhani ni hadith rejector,, ila sio mbaya ni miongoni mwa makundi yaliyopotea tu bado...kwanza kabla ya kwenda mbali quran mnaiamini asilimia mia na kuifuata?
@salimmapande4668
@salimmapande4668 3 жыл бұрын
Nimemsikiliza kwa makini kungonjea labda kuna radd ya kielimu inayofungamana na munasaba wa arafa ili nijifunze. Kumbe ni kumsuta na kumlazimisha Abuu Fadhil kuwa ni wahabi!!!! Zile hoja za kielimu alizozitoa Abuu Fadhil hazijajibiwa!!!
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
Zilete tuzijibu
@mutomubaya
@mutomubaya 3 жыл бұрын
Siungi mkono kutukanana. Lakini yaonekana Wasaudi walijiunga na muamko wa Tawhid na sio sahihi kudai eti ni dhehebu mpya. Madhebu yao ni Hambaly. Kwa hivyo, muogope Allah usijaribu kupotosha ukweli. Kulingana na maneno yako Waturuki ndio walidai kwamba Wasaudi ni Mawahabi kwa sababu fulani za ki siasa. Ukweli Daawa ilikuwa ya kuhimiza watu kufuata mafundisho ya Kitabu na Sunnah. Kwa hivyo, ukiwa upande wa Waturuki wa enzi hiyo utasema kama wao na ukiwa upande wa kunusuru Tawhid na Uislamu utasema maneno sahihi kwamba Daawa hiyo ilikuwa ni kunusuru Sunnah au ni kuhimiza kuwafuata Salafu. Je hayo ni makosa?
@AbuKhayrati
@AbuKhayrati 3 жыл бұрын
Mbona kama wewe ndio unapotosha
@saidalkiyumi9270
@saidalkiyumi9270 3 жыл бұрын
Sheikh upo Sahihi mashaallah, ni vizuri uafahamishe watu akida ya ki wahabi potofu
@azyunramsein1165
@azyunramsein1165 3 жыл бұрын
we nae nenda kasome.....
@azyunramsein1165
@azyunramsein1165 3 жыл бұрын
acha kuropoka ropoka hvyo....
@salimmdacki1442
@salimmdacki1442 3 жыл бұрын
elimu ni nuru na ujinga ni giza, allah akuongoze nasi atuongoze pia
@kassimiddi5294
@kassimiddi5294 3 жыл бұрын
Bora nikuskilize kwa umakini isjekua unaepotosha niww
@abuuzamah-shar9868
@abuuzamah-shar9868 3 жыл бұрын
ww jahili vp hali
@abuuzamah-shar9868
@abuuzamah-shar9868 3 жыл бұрын
upo wp tanga au arusha?
@allysalimsalim4965
@allysalimsalim4965 3 жыл бұрын
Mbona hajamjibu Muhammad bacho
@mabrukjuma3878
@mabrukjuma3878 3 жыл бұрын
Wallah billah mzee mm nilidhani wewe ni mbunge kumbe ni ustadhi ahaa basi jieke kama daai sasa mandhari yako umekaa kiaskofu au pastor ,manabii na mitume wote wanandevu we umeenda kinyume then waongea dini huku umekaa kitaliano ,au kimarekani kisha mrundo wavitabu uliokuzingira unadhamiria nn, wallah billah huyu qaasim mafuta unamradi nikujidhalilisha tu achana naye napia hujafikia kiwango cha kumradi kabisa mm Niko Kenya but ww elimu yako hataaa isitoshe washangaza ulivyo na huu uislamu .sioni Ila unadhihirisha kibri navitabu vyako hivyo what are they all for nakuongezea kidogo tu wanaonyoa ndevu hata kusoma Quran hawajui napia kuihifadhi wamenyimwa na Allah kama adhabu
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Haujajibu hoja umemshambulia mtu
@khamisabdi723
@khamisabdi723 3 жыл бұрын
Cjaelewa
@abdillahhassan5423
@abdillahhassan5423 3 жыл бұрын
Mnatumalizia mb zetu tuu
@saadsumayyasaid7140
@saadsumayyasaid7140 3 жыл бұрын
Sheikh niulize ivi,kama kisimamo cha Arafa hakina mnasaba na funga ya Arafa.kwann ikaitwa Kufunga siku ya Arafa?na haikuitwa kufunga funga ya siku ya tisa?
@hilmialjahdhami9787
@hilmialjahdhami9787 3 жыл бұрын
WALE NDUGU ZETU WALIOKUWA WAPO VIWANJA VYA ARAFA WANAFUNGA?
@saadsumayyasaid7140
@saadsumayyasaid7140 3 жыл бұрын
@@hilmialjahdhami9787 Wale hawaruhusiwi kufunga.na sisi tusiokwenda kule ndio tumetakiwa kufunga . je kufunga swaum ya siku ya arafa au kufunga siku ya tisa ya mwezi wa Dhulhijja?niambie ww hapo kwa uelewa wako.
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 3 жыл бұрын
Sheikh..... Tunakukibali... Asante kwa kutowa ukweli wa dini
@MrAmissi
@MrAmissi 3 жыл бұрын
Sasa hao Mawahabi wanazuwa katika dini ao wanafata Coran na Sunnah?
@mkude
@mkude 3 жыл бұрын
Hapo sasa hilo swali ndo LA kuwauliza
@saidikembea9158
@saidikembea9158 2 жыл бұрын
Rudi tu ukasome acha kukariri
@shimbo0146
@shimbo0146 3 жыл бұрын
Fina imelala utakaeimsha amelaniwa muogope mungu wako
@luqmaanislam3702
@luqmaanislam3702 2 жыл бұрын
shekhe jipange...maana wwe huna hoja unabwata tu ...jibu kielemu acha kukwepaa acha kujichekesha chekesha
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 3 жыл бұрын
nyamaza mkorofi
@hassanjamada2877
@hassanjamada2877 3 жыл бұрын
NA SHEKH MUHAMMAD IDI ALLAH AMUONGOZE ANA YAQINI KUWA ANACHOKIZUNGUMZA NI BATWIL LAKINI UKUBWA UNAMSUMBUA وجحدوا بها واستيقنتها أنفسهم ظلما وعلوا LKN AFAHAMU KUWA ANA DHIMMA MBELE ZA ALLAH KWA HICHO KITI ALICHOKIKALIA . ZINDUKENI ENYI WAISALAMU
@fahimasheikh743
@fahimasheikh743 3 жыл бұрын
A.a Sheikh Idd wape hoja za kimsingi wasitatize dini ya kiislam.
@othmanmussa3302
@othmanmussa3302 3 жыл бұрын
Hana hoja huyu mpotoshaji
@allysuleiman517
@allysuleiman517 3 жыл бұрын
Ata aibu Haoni Anajifanya Anampenda mtume Alaihssalam Wakat Kajifananisha Na Mayahudi Na Watu Wa Bidaa miongoni Mwa Dalili yao Ni Kuwatukana Wanazuoni wa Ahlusunna Waljamaa Allah awarehemu Na Awahifadhi
@hamidakondo4579
@hamidakondo4579 2 жыл бұрын
Sasakujizungushia hio misafu ndio tujuwe ww shekhe wa kweli ovyo huna unalolijuwa hadisi zako unachukuwa google
@nassirmohd2851
@nassirmohd2851 3 жыл бұрын
Masaakin hawa waharibifu
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 3 жыл бұрын
Rudi darsa, kasome
@omaar5693
@omaar5693 3 жыл бұрын
18:14 Kuna kitabu vingi vikubwa kumzunguka sheikh kama vile ngome lakini vilivyotumika kutoa darsa ni vyengine tafaut na hivyo ina naama vilipangwa kwa ajili ya muonekano Nahuenda vimechukuliwa kutoka library na tangu kipigwa chapa havijafunguliwa...
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 3 жыл бұрын
Vimewekwa ili ujue ni msomi 🤣 🤣
@abuumaryam7970
@abuumaryam7970 3 жыл бұрын
Kama kweli ni msomi engejibu hoja
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 3 жыл бұрын
@@abuumaryam7970 Hana majibu huyo Abu Idd Bora angelala tu Cjui kwanini masufi wakikosolewa ndio hujivuruga kabisa
@abuuzamah-shar9868
@abuuzamah-shar9868 3 жыл бұрын
@@abrahamansaidi8631 acha kujitakasa wwe jaahili wakihabi mbuzi we
@yazidbafunda5092
@yazidbafunda5092 2 жыл бұрын
Yaani ni kama punda mwenye kiu lakin kabeba maji mengi mgongoni
@shaabanijoseph4562
@shaabanijoseph4562 3 жыл бұрын
Umeshindwa kumrekebisha shekh wako alihadi alipo oomba kwajina layesu kristo Kisha ukamuomba msamaa yaani umekiri kuwa umekosea kumrekebisha subhana llah haya Sasa kaleta nyengine kasema haleluya maana yake laailaha ilallah Tena akasema hawakufuru wale wanao sema haleluya .anzanaye shekh wako ukishindwa Hilo hutaweza kuizungumzia arafa ata punje kaakimya
@ally1702
@ally1702 3 жыл бұрын
Kashaambiwa mjini kaletwa na kupewa Msikiti hasemi tena kwiii
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 3 жыл бұрын
Mvabaishaji
@shimbo0146
@shimbo0146 3 жыл бұрын
Kunawatu.hawajui.hata.swala nyinyi.mnalumbana. kwanini.mnamuachia.shetani.anawakojolea.ukifa leo kweli uta jibu anini mka nyumba ni kwenu bado dini hajulikani ww unalumbana kwenye mtandaoni.hukunamchamungu .anaejionyesha
@ibrahimfarouq8339
@ibrahimfarouq8339 3 жыл бұрын
Kwa hiyo Ahlul Sunnah wal Jamaah kama ulivyosema tatizo letu la tatu ni uelewa na ufahamu Je ni kosa kwetu kuelewa kama walivyoelewa Maswahaba, Matabii, Wanafunzi wa Matabii, Maimamu na waja wema waliotangulia ambao walifata kiuhakika ni tatizo Hakika Allaah akuongoze ewe ndugu mzungumzaji upate kuikubali haki maana waijua haki ilipo ila matamanio ya nafsi na kutaka madaraka na ukubwa
@assayyidaydaruus181
@assayyidaydaruus181 2 жыл бұрын
Kuna ahlul Sunna waljamaa na salafi ni vitu viwili tofauti.... ahlul Sunna waljamaa ni madhehebu Zaid ya moja Kuna mashafii hanafii
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,8 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 4,2 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 68 МЛН
Muhammad bachu sio salafi bali ni mropokaji tu by sheikh Abu Ume'yr Adam Khamiss Allah amuhifadhi
10:41
Abu Muhsin Minani Abdoullah As'salafiyyu
Рет қаралды 35 М.
Sheikh Mohammed iddi amjibu MPOTOSHAJI WA VETENARY (PART II)
31:57
BABDEO MILADU
Рет қаралды 61 М.
SHEIKH MUHAMMAD IDDI AWAJIBU TENA WAPOTOSHAJI KUHUSU ARAFA.
34:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 86 М.
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,8 МЛН