Рет қаралды 7,692
Je,Kwanini wasichana walio okoka wanachelewa kuolewa?
Majibu yapo mawili ambayo ni ya kimwili na kiroho,jambo la kujiuliza hivi wewe kanisani unachelewa kuingia na unawahi kuondoka kanisani sasa unadhani huyo mwanaume utakutanao wapi?
Kutumia nyundo kuua nzi ni makosa ya kutumia nguvu nyingi kuna vitu ambayo kanisa hatuvifundishi tunaposema pokea ndoa sasa swali la kujiuliza huyo mume unampata wapi?
#SunbellaKyando#Wasichana#Waliokoka