Dah yananihusu haya yote nahc hiki kipindi kilikuja maalum kwasababu yangu Asante sana guys nmejifunza mengi maana nlikuwa napitia mengi kuwazua kuhusu namna ya kuingia kwa ndoa. Stay blessed 🙏
@emmyjimmyK2 жыл бұрын
Asante mnenaji The point from the scratch nimeiona hapa shukrani Utayari na Kujitambua ni muhimu sana
@salehsalim60522 жыл бұрын
I love you Irene & am proud of u for what ur doing, I have learn many things from you, I just wishing you happy new year and may Allah guid & protect u 🫶
@irenekamugisha2 жыл бұрын
Thanks, Happy New Year Saleh
@LadyveenOfficial2 жыл бұрын
Somo zuri sana, i learn a lot... Mbarikiwe 😊
@michaelrimisho2 жыл бұрын
Asante san, kwa mada nzuri. Lakini ningependa kujua vipi kama ulie nae anakuektia ili mladi tu akupate, mana unaweza kujua umempata mtu sahihi kumbe amekutazama wewe jinsi ulivyo then baada ya kumkubalia au kuingia ndani ya ndoa unaona mtu amekubadilikia na wala sio yule mlie kuwa nae kwenye mahusiano
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante sana
@asmahozza84682 жыл бұрын
dope topic...nmenigusa sana🔥
@mussafoum65622 жыл бұрын
Nice one 💯💯💯
@irakozegracia1832 жыл бұрын
Asante sana tumshukuru 🙏🙏🙏
@africanproudly40042 жыл бұрын
Hii ni kubwa mno Mbarikiwe
@maryamChumas Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nickolatharwelamila7762 жыл бұрын
Niwatakie mwaka mpya Mungu awabariki wotee ,Kipindi kiko bora kabisaaa ..Nakufatilia tokea Nchini Omani
@irenekamugisha2 жыл бұрын
Ahsante sana Nickolatha,tukutane 2023🙏
@ashaidd29122 жыл бұрын
Leo umefix kwelii maneno mazuri umlete Tena
@boscoboaco89202 жыл бұрын
👌👌👌👌👌👌👌👌👌
@tatumzelela55152 жыл бұрын
Daaah! Nimeelewa Sana Maana nilikuwa mmoja wapo wa hayo yasemwayo kikubwa zaidi Kuna vitu viwili Kuna wazazi piah mm Huwa wananiuliza Sana mbaka wanafika hatua naambiwa bc zaa zaa tyuu utuletee ata wajukuu umri umeenda Mika 26 sasa duuuh naumiaga sana
@muznarashid63012 жыл бұрын
Baby...I'm 28 na nimechill..jipe muda na uwe na utayar
@hadijamcha78242 жыл бұрын
I'm 29 na bado nime tulia na kujipa muda zaidi na wala sifikirii kuzaa kwanza
@mariajoseph9735 Жыл бұрын
Mm 30 sina mpango huo natafuta pesa nasomesha mdogo wangu yupo chuo nina nyumba yangu najenga nina wazazi nawahudumia so swala la ndoa huwa najiona nikiingia huko ntashindwa kufanya ninayoyafanya kutokana na wanaume unaokutananao unaona bora uwe peke yako huo umri wako bado Sana asikutishe mtu ndoa ni maamuzi na sometime inatokeaga tu hata bila kuwa na mipango
@tatumzelela5515 Жыл бұрын
@@mariajoseph9735 daaah nashkul Sana umenielewesha maana nimesemwa vikao nimekaliwa Sana yaan mbaka kunamda nataftaga maex- wangu natamanigi ata nijipendekeze kwao walau 2 kuepukana namaneno kama swala la mtoto ndo nimesemwa mbaka nakijiji mbka sasa natakiwa niwe nawatoto wawili nawaambia sasa ntazaa na nani wanaume ndo Hawa hawaeleweki wanakupa tumbo alafu wanapita kushoto baadae unahangaika kulea pekeako mtoto akikuwa wanajilidi yaani masemwa mbaka saizi nipo najipambania staki ata kuludi nyumbani mwaka wa 3 huu ata sura yangu hawajawahi kuiona
@mariajoseph9735 Жыл бұрын
Achananao mwisho wa siku utakapoanza kuhangaika haohao tena watarudi na kukucheka maisha ni ww mwenyewe mdogo wangu na hali ya sasaivi wanaume wanakwepa majukumu ata kuoa wanaoa wanawake wenye maendeleo ndio wanajifanya wamependa hao wanawake kumbe wanatafuta mseleleko jipange dear ili ata mwanaume akikuzingua hutaumia sana kwa sababu unajua kujitegemea siyo kwamba usizae au kuolewa hapana ila tu pale kwa wakati na muda sahihi mm mwenyewe hizo mambo zipo kwa watu baki wa pembeni ila home wanajua ninachokifanya hawanisumbui sasa hao waliobaki wana msaada gani na masha yangu mm mtu akinishauri kuolewa au kuzaa namwambia siyo lazima tufanane pambana na yako kila mtu ana ratiba zake kwenye maisha ukiangalia hao wanaokushauri wana hali mbaya tokea wamezaa au kuolewa hawana chochote wamefubaa binafsi mm sipendi ushauri
Wacha na sisi wafatiliaji tusio comment thanked ku comment. Asante kwa topics nzuri ulizo tuwekea . Binafsi uwa sitokagi bule .
@geraldnaftal12542 жыл бұрын
Dah yananihusu haya yote nahc hiki kipindi kilikuja maalum kwasababu yangu Asante sana guys nmejifunza mengi maana nlikuwa napitia mengi kuwazua kuhusu namna ya kuingia kwa ndoa. Stay blessed 🙏