Memories are made of this ... these were the days having fun was real.
@peterjoseph95726 ай бұрын
2024 bado unaishii
@gasperAngelo-vt5qpАй бұрын
Ngoma kali sana 2024
@xamael19892 жыл бұрын
Tanzania enzi hizo dahh sasa hivi hamna kitu tena saluti kwa wote wazalendo yours truly Njau
@mbasa2559 ай бұрын
Hii nyimbo ndio ilinifanya nipende hip hop back then when I'll primary school. #Reapect KU 👊
@mitsumilton4 күн бұрын
This group was the clear version of the so famous BORNTHUGS N HORMONE
@tumaindaniel79076 жыл бұрын
Mko WAP kwanza Unit kimya sana
@twahirabasi9765 Жыл бұрын
"Nini ujanja duniani zaidi ya kusoma"- this is deep 2022 hapa
@manfredbaraka679 ай бұрын
kwel yanalipa mapinduzi ya fikra chief rhymson zavara here we go 2023
@mansourally9110 ай бұрын
AISEE KWEL HIPHOP KIPINDI ICHO 🔥🔥🙌
@kilingechasimulizi2072 Жыл бұрын
Nmeiona stone town, forodhan ya kipindi hiko na nmeiona ngome kongwe..dah imenifanya niimisi sana zenj japo nmetoko mwezi mmoja tu ulioisha..hii nyimbo nmeisikia kitambo sana lkn ndio mara ya kwanza naiona video yake..imenikumbusha mbali sana, awa watu wawekwe makumbusho
@MOHAMEDCLIFF3 ай бұрын
Congole Kwanza UNITY😂
@traytrid93673 жыл бұрын
Leo ndo nafaham logo la TMK Wanaume lilitokea Kwanza Unit ..mkono kushikilia mic🔥🔥🔥🤯🤯🤯
@barikiarastus87704 жыл бұрын
Nyakati hazidanganyi asante sana legend kwa ajira hii kwa vijana wetu. 2020
@emmanuelsimon3456 Жыл бұрын
Me msafiri d rob and kwanza unit
@asserymmary2696 Жыл бұрын
This was a masterpiece back then until now
@user-mb3em2oz8c Жыл бұрын
Hip hop ya kweli
@allangodi30413 жыл бұрын
beautiful song, i love the instrumental. "mimi nafauta maji ya uzima" chief rhymson makini
@godybully27085 ай бұрын
Them timez
@thechairman.1215 Жыл бұрын
Rest in Peace 🕊️✌️ tuonane kwa mlango nikiingia inshallah itakuwa raaha na shangwe😊
@ireneisack66713 жыл бұрын
Really hip hop was back at dem tymes
@emmanuelsimon3456 Жыл бұрын
For sure
@yusuphmligiliche83532 ай бұрын
KU❤
@mastaplan Жыл бұрын
2023
@amanidzoro19522 жыл бұрын
Good music here. God old days of authentic music. (14th Sept 2021)
@raymondkimbe54165 ай бұрын
Sizichoki oldies
@magesamatiku73643 жыл бұрын
Nimeizoom 2021 ya kale dhahabu
@frosttgp15108 ай бұрын
Deep lyrics ...this shit is ahead of time
@azizmuyombo669011 ай бұрын
It needs to be mastered again
@kevogfx14 жыл бұрын
Who still here 2020 old is good 🔥🔥
@VictorJohn-fu7ch2 ай бұрын
Wow
@hemedsalim57002 жыл бұрын
The best hip hop song
@francisthomas-dq3sl10 ай бұрын
kitambo sana yaani
@verbalverbal20193 ай бұрын
"Wajihi wangu mi passport, ubongo viza"... Muonekano unamuwezesha kupita kokote, uwezo wake wa akili unamfanya aweze kukaa mahali popote... Lyricism
@muichorekishagani17514 жыл бұрын
daah natamani mrudi tena , mko wapi?
@jafarimzalamo19224 жыл бұрын
Wapo wapi hawa ndio wa asisi wa hip hop Tanzania
@paulmwalupindi16483 жыл бұрын
Wapo america hap bong amebaki Sugu tu
@japharysety59893 жыл бұрын
Wawil walisha kufa KBC na zavala nais wako apa ila wengine wako mtoni
@thehunter59204 ай бұрын
@@japharysety5989kafa D rob na nani?
@saidimussa399 Жыл бұрын
Noma sana
@budahman290810 ай бұрын
Afu kaligraph anataka kuleta compee😊
@afyandogo3 жыл бұрын
Mkwanzania
@crabmotility42073 жыл бұрын
Dope shit 🔥🔥
@msuyatechonlinetv92215 жыл бұрын
nice
@changarawemichael55563 жыл бұрын
Chief rasmo
@changarawemichael55563 жыл бұрын
Daah
@omarkhamis69463 жыл бұрын
Mji mkongwe
@TheMandela21 Жыл бұрын
Kwanzanians
@husseinchea55243 жыл бұрын
R.I.P D rob A.K.A zomba
@husseinmtangwele59902 жыл бұрын
d rob sio zomba, d rob ndo wa kwanza kuchana kisha akadakia zomba@hussein chea