No video

KBC:ULIKUWA WAKATI MGUMU SANA NILIPOSIKIA KIFO CHAKE SIAMINI MPAKA LEO HII

  Рет қаралды 2,093

TimesFMTZ

TimesFMTZ

4 жыл бұрын

Kbc ameelezea kisa kizima kuhusu kifo Cha mmoja wa aliekuwa anaunda kundi lao la kwanza unit alivyothibitisha kuwa Mungu ndie muweza wa yote maana waliahidi 1993 hatokufa mtu kabla ya album yao kutoka na kabla ya kutoa Mungu akamuita NIGA ONE.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 8
@ibrazaratus
@ibrazaratus 4 жыл бұрын
Very informational and entertaining. Kudos!
@ramahmsafi7765
@ramahmsafi7765 4 жыл бұрын
Ya kwanza n ndip viewer wa kwanza
@FranklinMtei
@FranklinMtei 3 жыл бұрын
Nimefurahi sana hawa madogo wanavyoendesha interview na kuuliza maswali yenye akili na yaliyofanyiwa utafiti. Wow
@shujaaaka2946
@shujaaaka2946 3 жыл бұрын
Jamaa ana jitambua sana
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 4 жыл бұрын
Baghdad kila siku anang'ang'ania kusema kuwa hakuna wasanii wa Hip Hop waliozalishwa baada ya Young Killer leo kakutana na KBC amekuwa crashed big time kuwa wasanii Hip Hop wanatengenezwa kila siku isipokuwa tatizo ni hawaingii kweny Mainstream kulingana na Priority ya Mainsteam😁😁
@barcitybaby
@barcitybaby 4 жыл бұрын
ANKOOO
@georgenyoni9879
@georgenyoni9879 Жыл бұрын
Rest in peace nigga one, nilkuwa mdogo nilikuwa kwenye msiba wa nigga ilala flats
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3 МЛН
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 10 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,5 МЛН
yah youth live nis
1:31:25
Alfarmio Misiedjan
Рет қаралды 4,8 М.
EXCLUSIVE: HUYU NDIO PRODUCER MIKKA MWAMBA
25:11
Millard Ayo
Рет қаралды 157 М.
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3 МЛН