Nyimbo zenu hunibariki kweli, maneno yenye pumzi ya kimbingu na sauti zenye kumtoa nyoka pangoni. Kweli ni sauti kutoka jangwani. Asante mchungaji kwa ufunuo wa maneno ya utangulizi. Naitwa mwalimu Sammy Musau kutoka kenya.
@daud87853 жыл бұрын
Wamenibwriku Hawa waimbaji
@japhetdaudmaneno84403 жыл бұрын
Jamani naomba wimbowa Daniel tunduni mwa simba,wimbo Stefano nk tafadhari 🤔📖🙏🇹🇿
@alphayomogunde7828 Жыл бұрын
Kutoka Nairobi Kenya nafurahia wimbo mzuri kweli kweli.
@timalinitino29783 жыл бұрын
safiiii
@matondoluhinda23084 жыл бұрын
Vizuri sana . Bwana awabariki
@eurastuscharles99254 жыл бұрын
Bwana awabariki sana wanajangwani
@syundutingui12923 жыл бұрын
Beautiful word's
@happynicholaus64743 жыл бұрын
Amen
@kimilasayi262611 ай бұрын
Amen Mungu awabariki sana
@PauloChengula-p9d9 ай бұрын
Mbalkiwe
@Amospius-r3y5 ай бұрын
bwana awajalie
@stephenshikuku2229 Жыл бұрын
Good choir
@allabout1783 Жыл бұрын
Nimeguswa 🙏
@williamkirway46203 жыл бұрын
Mungu ametupa vipaji na maisha yetu wanadamu ni kama umande liwakapo jua umande hutoweka,tujiweka tayari mda wote tuitwapo tusiwe na Shaka na Ufalme wa mungu mbinguni.20/4/2021
@tabithamasakara363 жыл бұрын
Be blessed
@joelmbwambo61324 жыл бұрын
Mbarkiwe
@mokassociates31944 жыл бұрын
Good songs and with slot of teachings
@NicholausMpuza-ou6mh Жыл бұрын
Mwije
@syundutingui12923 жыл бұрын
Love this choir
@amosmathias53684 жыл бұрын
Hongere
@simonmasunga96534 жыл бұрын
Mungu wabark jangwan ameen
@simongwandu7392 Жыл бұрын
Mbona Musa anaonekana ni mzungu wakati alikuwa Misri
@PaulIlagwasa8 ай бұрын
L
@daviddotto35294 жыл бұрын
Bwana anatubariki wanadamu na kuongoa roho zetu kwa namna mbalimbali, hawa waimbaji wapo vizuri... Mwenye nyimbo zao zifuatazo anitumie kwa njia ya what's app~0684156572(audio zake tu); kila siku ipitayo, Bwana leta usikivu, elimu ya dunia, nyota ya asubuhi..nitashukuru mno