MAKONDA MBELE YA RAIS SAMIA, ATISHIA KUWATAJA MAWAZIRI WANAOTUMA WATU KUMTUKANA RAIS

  Рет қаралды 230,115

Wasafi Media

Wasafi Media

3 ай бұрын

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 409
@user-nh9zf7vv3r
@user-nh9zf7vv3r 3 ай бұрын
Boss wangu makonda nakupenda sana kaka mimi ni wa congo ila una ongeya vizuri nauko mshapa kazi bora mungu akulinde wewe ni raisi waaamu ya saba 7 tanzania
@ustawiwetu
@ustawiwetu 3 ай бұрын
Hawezi kuwa Rais
@Afsah90
@Afsah90 3 ай бұрын
Wapumbavu kama ww ndo wanadhani huyu anaweza kuwa rais....ivi wewe kwa hali ya kawaida unaanzaje kumpa rais confidential issues mbele ya public..?? Anaropoka hajui aongee nini na wakati gani..?? Haya yanayoendelea ni kwa sababu ya huyu mpumbavu...anapenda kiki sana hana ethics za uongozi, hana leadership anapenda kuongelewa...ili ni li bashite kweli halina akili....yani huyu hana akili kabisa
@JohnDWASHI
@JohnDWASHI 3 ай бұрын
Ingia uwanjani ukajipime!
@rachelndaki5642
@rachelndaki5642 3 ай бұрын
AshaAllah 👏👏Allah azidi kukupa moyo mkujufu uendelee kuifanya kazi yako ww unaweza kwa uwezo wake Allah akubariki 🤲🤲
@ZawadMussa-sd1od
@ZawadMussa-sd1od 3 ай бұрын
Uyu baba nampenda adi nasahau kula nikiwa namfatili otuba zake ivi Iko siku naweza kutana nae kwel nikiwa duniani ama maana kagera vijijini hajawahi kuja Sina shida sna zaidi ya kump mkono wa hongera
@user-nx5jg2dn5b
@user-nx5jg2dn5b 3 ай бұрын
Your so blessed ,najiuliza unawezaje kumudu stress kaka makonda ,,,
@user-ku8dk7bu7p
@user-ku8dk7bu7p 3 ай бұрын
Yupoo vzr San huyuu jomn aseeh😅😅
@asnathlaizer4603
@asnathlaizer4603 3 ай бұрын
Mungu akulinde makonda Arusha tunakukubali %100
@galusmgawe6796
@galusmgawe6796 3 ай бұрын
😅
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr 3 ай бұрын
Kaongea very smart aisee,Mungu ampe busara zaidi atende mema zaidi
@user-gy3wo2ez4d
@user-gy3wo2ez4d 3 ай бұрын
Mungu ibariki tanzania mungu mbariki makonda
@MatendoMenganyi-xq8lx
@MatendoMenganyi-xq8lx 3 ай бұрын
Mhe .Makonda, kiongozi Imara na Shupavu kwelkwel, safi sana unamsaidia mhe .Dr .SSH, kiuhalisia ,wew uko safi an
@eliasjoseph9712
@eliasjoseph9712 3 ай бұрын
Nakuhusudu sana kiongozi wangu njoo kigamboni tunakungoja tukupe ubunge
@AmourMawalanga
@AmourMawalanga 3 ай бұрын
Confidently & charismatic
@CHW147
@CHW147 Ай бұрын
Mh Makonda Mungu akulinde kwa kazi kubwa na njema, Ubarikiwe sana
@tupacthedon7104
@tupacthedon7104 3 ай бұрын
Wananchi wa Arusha umewatambulisha vizuri sana,sisi kama Wanachuga tunasema we are prod of you brother
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 3 ай бұрын
Kaka Makonda we are with you ❤❤
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 3 ай бұрын
President of Tanzania ajaye!❤❤❤
@Afsah90
@Afsah90 3 ай бұрын
Wapumbavu kama ww ndo wana mawazo hayoo 😅😅😅 eti president
@kelyjames5452
@kelyjames5452 3 ай бұрын
Mwambaaaa kwelikweli ,nakubali sana Rais ujaye ❤❤❤
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 3 ай бұрын
Makonda kuwa Arusha ni Baraka kubwa sana, surely yupo Kwa mji wa wapambanaji na wasiokata tamaa, Karibu sana Mhe. Makonda, Baba Kegan, tuko pamoja nawe kukuunga mkono ktk Kila hatua kufanya Arusha yetu iendelee kung'ara🔥VIVA VIVA MAMA MH. S.S.H🥰💪VIVA VIVA MHE. MAKONDA💪💪
@BrightenTanzania
@BrightenTanzania 3 ай бұрын
Hongera sana kiongozi, umekuwa mfano wa uongozi kwa vijana wengi. Unajua kupangilia maneno, unajua kushawishi, unajua kuvuta hisia za wengi. Uongozi ni uwezo wa kushawishi kwa ajili ya maendeleo.
@sshaby52
@sshaby52 3 ай бұрын
Tanzania naona viongozi wawili ambao ukosema unawapa inchi wataiweza vizuri MAKONDA na POLE POLE
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 3 ай бұрын
Pole Pole ana chuki dhidi yetu Wazanzibari wala hii nchi haimfai
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-vr6fc5qm2i
@user-vr6fc5qm2i 3 ай бұрын
Next president of tanzania 🇹🇿 namuoneyaa mbali sana huyu kamanda. Atakama hawakupendi. Your the Next president of tanzania. Uko na uzalendo mkubwa sana na nchii yako. Mungu akuongoze inshallah. vita ni vikubwa sana. Mtegeemee Mungu . Utashida. no matter what usiteteleke. Wala usibabaishwe. Na wanafki walioko ndani ya chama chako. Chapa kazi.
@franklinjr996
@franklinjr996 3 ай бұрын
Hi ni mbegu alioiacha mzee Magufuli Big up Champez Makonda
@HashimuAbubakar-ej8gc
@HashimuAbubakar-ej8gc 3 ай бұрын
Kaka makonda umsema ukweli hata Raisi magufuli alipo kufa wapo mawaziri walisema mungu kaamuwa ugomvi bahari imetulia wakati watanzania wanalia makonda pambana kukemea viongozi wanafiki usikate tamaa
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 3 ай бұрын
Mwamba Anajiamini Sana na Hapo alipo sema na Wengine ni Mawaziri hapo sasa kazi ipo
@user-cs2pg3ng8l
@user-cs2pg3ng8l 3 ай бұрын
Makonda Mungu akubariki Afya njema siku Moja uliongoze hili taifa kama itakupendeza...
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 3 ай бұрын
Kama Hali ni yakuendelea kutishana kwenye kazi bado tuna Hali ngumu sana kuendelea kama Taifa. Wasiojulikana wanaweza kuendelea kuwepo!
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 ай бұрын
Mama etu Yuko smart amependeza pia 👏👏
@RamadhanKilibate
@RamadhanKilibate 3 ай бұрын
Makonda chapa kazi Mungu akutangulie kujali wanyonge na msema ukweli AMINA
@DavidKaonga-bz5mg
@DavidKaonga-bz5mg 3 ай бұрын
Properly speech, is not easy to derives in front of Powerful leaders. .. kalama ya uongozi ikondani yake Jamaa .
@RamaNinga-jv2xw
@RamaNinga-jv2xw 3 ай бұрын
Tanzania ujinga ni silaha,Ana kesi mahakani hakujibu utiifu wake uko wapi kwa mamlaka? Tutajuaje Kama alihusika na udhulumaji, nonsense!
@jenahando2747
@jenahando2747 3 ай бұрын
@@RamaNinga-jv2xw acha uboya basi
@mcback4384
@mcback4384 3 ай бұрын
So relaxed and contented wengine wangejamba
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 3 ай бұрын
​@@RamaNinga-jv2xwwapuuzi kama wewe hawakosekani
@NyakihemeleJuma
@NyakihemeleJuma 3 ай бұрын
Good job
@marikwilliam9886
@marikwilliam9886 3 ай бұрын
Jembe letuu ❤❤
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 3 ай бұрын
Kweli mh rais Arusha barabaran za ndan zinataka Rami coz mji wa kitalii unaitaji kujengwa zaid
@shadrackmwakalinga865
@shadrackmwakalinga865 3 ай бұрын
May God protect you
@ArcadiusMukimara-fr4wx
@ArcadiusMukimara-fr4wx 2 ай бұрын
Makonda uko vzr kwel Mungu akutangulie ktk majukum yako
@ChumHamza
@ChumHamza 3 ай бұрын
Asante mkuuu
@BarnabaChota-tw7ol
@BarnabaChota-tw7ol 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana.
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 3 ай бұрын
Kuweni makini na aina ya miti. Kuna aina ya miti inakausha maji.
@fredgonga
@fredgonga 3 ай бұрын
🤣🤣🤣 hiyo ni mikaratusi
@PeterNMzee
@PeterNMzee 3 ай бұрын
Heko kaka makonda.... niwadokeze tu sifa kubwa ya kiongozi halisi ni TRANSPARENCY!. MAKONDA MAKONDA MAKONDA unazo sifa za kimataifa ndugu yetu.... Watu kama nyie ni adimu sana sana. Sina chakusema zaidi yaku kuweka kwenye maombi yangu kila siku.
@josephsisa8139
@josephsisa8139 3 ай бұрын
Utaishi miaka mingi sana makonda sababu watanzania wengi wanakusemea vzuri nice
@josephsisa8139
@josephsisa8139 3 ай бұрын
Ijapo unaopambana nao ni wengi alafu wananguvu kiuchumi lakini mungu ata kurinda kama alivyo waambia waisrael kwamba wasiogope silaa maana zimeumbwa nayeye nahao wanao tengeneza wameumbwa nayeye
@josephsisa8139
@josephsisa8139 3 ай бұрын
Kwahiyo makonda kwakushirikiana namheshimiwa Rais songa mbele kuwakomboa waisrael kuna tumaini mbele yako
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 ай бұрын
Makonda hana woga hata kidogo hili ni jembe na hazina ya Tanzania
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 3 ай бұрын
Vibaka wanaweza wakawa hazina akili mdogo kweli tz
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 3 ай бұрын
​@@fredrickmwakalinga6390wewena kundi lako ndo vibaka wakubwa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
​@@fredrickmwakalinga6390umeongea vema tatizo la nchi hii ni wananchi wenye akili ndogo.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
Wakurugenzi makada nchi nzima mmesikia?! Mnalo hiloo..kazi kwenu.
@burudatv751
@burudatv751 3 ай бұрын
Biggie brain makondaa💪💪
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 3 ай бұрын
Unguruma Jembe,unguruma
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 3 ай бұрын
Jamaa anafaa kuwa zaidi ya waziri
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 3 ай бұрын
Hakufaa uenezi, atafaa uwaziri? Nauliza tu.
@user-ku8dk7bu7p
@user-ku8dk7bu7p 3 ай бұрын
​@@josephwilliammnyune5464sio hakufaaa kapelekwaaa kuleee kwaaa malengoo maalumuu
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 3 ай бұрын
Jamani makonda namkubali ana kipaji cha ajabu na uzalendo nampenda bure
@estameryngogo594
@estameryngogo594 3 ай бұрын
Mungu akulinde Makonda
@user-dd3ek5fh5g
@user-dd3ek5fh5g 3 ай бұрын
Kimeumana Arusha MAKONDA 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🦾
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 3 ай бұрын
Askofu Pengo anasikiliza na kutazama kwa makini sana
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
Anajua mwanaye alikiri uongo akakosea!
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
Anamtazama kwa tafakuri!Aliyembariki akamuita baba wa kiroho alikiri imani asiyoiamini na kumtweza kwa uongo,na zaidi sana kumkosea MUNGU mwenyezi.
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 3 ай бұрын
Fire sana 🔥🔥🔥🔥
@bibianakiwali1969
@bibianakiwali1969 3 ай бұрын
Mungu kuwekee MKONO WAKE AKUTIE NGUVU UZIDI KUIMARIKA MWANANGU.
@petermboje5839
@petermboje5839 3 ай бұрын
Makonda una hotubq nzuri kweli
@rukiawagaba2080
@rukiawagaba2080 3 ай бұрын
Makonda chaps kazi mungu mkumbwa Amina❤
@RamaNinga-jv2xw
@RamaNinga-jv2xw 3 ай бұрын
Peoples powerrrr!
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 3 ай бұрын
Wanabahati sana watu wa arusha ungekaa kwetu kigamboni ukatujengea sasa uki kmya
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 3 ай бұрын
Mr Makonda nakupenda sanaa sanaa kiongozi wangu ila nikushauri kaka yangu mambo mengine usiwe unasema maana hii ni Tanzania kaka tunaitaji kukuona unafika mbali
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 ай бұрын
Makonda ana uwezo mkubwa wa kuongea hata masaa 30 na akawa confedent
@christopheritungi1228
@christopheritungi1228 3 ай бұрын
Huyu mwamba ni kichwa sana.
@evodiuskalema2123
@evodiuskalema2123 3 ай бұрын
Mungu akulinde pia Akupambanie
@user-ft7qb1wq8i
@user-ft7qb1wq8i 3 ай бұрын
huyu jamaa kuna mwaka atakua na cheo kikubwa sana kwenye hii nchi .mungu akuongoze makonda big up sana you diserve to be a presidaaa
@jonathansam4159
@jonathansam4159 3 ай бұрын
Unaweza mdogo wangu,pambana
@user-kw5pb9dd7p
@user-kw5pb9dd7p 3 ай бұрын
Hongera mhe makonda
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 3 ай бұрын
Huyu hakosagi cha kusema😂
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 3 ай бұрын
NAWASALIMU KWA JINA LA JMT, NAANDIKA KWA HEEUFI KUBWA. "HAKIKA MAKONDA NI MWAMBA WENYE UJASIRI NA BARAKA KUBWA YA MUNGU" KAKA MUNGU AKULINDE NA HILA CHAFU, NINAAMINI MUNGU ANA JAMBO NAWE KWA AJILI YA WATANZANIA" VIVA MAKONDA, VIVA CCM , VIVA TANZANIA. KUBWA KABISA MHE. RAIS PONGEZI KUBWA KWAKO KWA KUKIAMINI CHUMA HIKI KATIKA KAZI ZA TAIFA HILI NA MAKONDA NI KIPENZI CHA WATANZANIA WENGI WANAOPENDA AMANI, HAKI NA USAWA. AMINA.🙏🙏🙏
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 3 ай бұрын
❤❤❤
@charlesmangombo684
@charlesmangombo684 3 ай бұрын
Brother big up🎉
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 3 ай бұрын
Mungu akubariki na akulinde
@ismailimatola3727
@ismailimatola3727 3 ай бұрын
Wapo wasenge wanasikiliza kwa makini ili atakapokosea watimke waende kwenye mitandao wakamchafue wasenge wakubwa nyie ata akikosea sisi tuponae pamoja
@innocentkikoti757
@innocentkikoti757 3 ай бұрын
WE NAE NI MSENGE TU😅 KAJITIEEE UKO
@RamaNinga-jv2xw
@RamaNinga-jv2xw 3 ай бұрын
Ww ni mjinga wa mwisho hujitambui
@JonesKapipo-fx8vh
@JonesKapipo-fx8vh 3 ай бұрын
We ndio msenge una tukana Tena we k😊
@Ambwene
@Ambwene 3 ай бұрын
Wasenge wapo kaka yaani ni makuma kabisa ila sisi tupo na Makonda mwanzo mwisho 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪
@user-lo8ef9qn2r
@user-lo8ef9qn2r 3 ай бұрын
Waliokoment makasiliko ndio walioitwa ivyo na wamejikubali
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 3 ай бұрын
Wapo wanao mponda Makonda kwa kazi anayo ifanya ila wao wanataka kuendeleza porojo za kisiasa Katika maisha ya Watanzania.
@LEAHX-zh8vs
@LEAHX-zh8vs 3 ай бұрын
Natural politician. Enjoy your hard-earned trust Paul
@NehemiahAmani
@NehemiahAmani 3 ай бұрын
Ongera sana makonda
@geoffreymanyara3613
@geoffreymanyara3613 3 ай бұрын
Next tz president.I like this guy from kenya
@kennedyjohn8900
@kennedyjohn8900 3 ай бұрын
Sio kweli kama kweli awataje alete na ushaidi safi sana hiyo ndio kazi ya mkuu wa mkoa watajeeeeeeeee
@Revelation1412.
@Revelation1412. 3 ай бұрын
Hakuna chochote hapo
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 3 ай бұрын
Wakuu wa mikoa mwingine waige mfano wa Makonda
@nicholausmahenge8247
@nicholausmahenge8247 3 ай бұрын
Kwamba
@mcback4384
@mcback4384 3 ай бұрын
Haiigwi ni karama kutoka juu mbinguni
@user-qe7or5jc1u
@user-qe7or5jc1u 3 ай бұрын
Makonda nikivutio kikubwa!!!
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 3 ай бұрын
Mh Samia natamani nikuone nije kutowa kilio changu kwako laminitis sijakata tamaa kwa Rehman za mungu nitakuona kwakweli mama una moyo wapekee mungu akulipe na akusmamie ila sisi wadogo hatukuoni mh laminitis tupo nawewe mama
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 3 ай бұрын
Mkuu wetu wa mkoa, Mungu akubariki,umeongea vitu tunashida navyo hasaa❤
@annaanthony5326
@annaanthony5326 3 ай бұрын
Ameeeeeeeeeen Arusha imebarikiwa sanaaa
@JohnJosephwatolile
@JohnJosephwatolile 3 ай бұрын
Nex president of TZ after mama Samia
@martinchambala9399
@martinchambala9399 3 ай бұрын
Mungu amjaalie sana makonda baadae awe Rais wa nchi hakika hii ni hazina ya Tanzania
@paulkulwa7216
@paulkulwa7216 3 ай бұрын
Mwamba kwelkwel
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 3 ай бұрын
Akili mingi sanaa,mkuu.Uchungu mkubwa sana kwa nchi yako/yetu.Mengi makubwa kwako.Mkuu Paul Makonda nakuombea.Aisee
@SamweliMwashilindi-fq1me
@SamweliMwashilindi-fq1me 3 ай бұрын
Makonda wewe ni thamani ya uzalendo wetu wa Tanzania tunamshukuru mama yetu Samia kwa kuivumbua hii nyota ya makonda mungu awalinde Sana viongozi wetu nyie,kwer mungu ailinde Tanzania yetu iliyo na amani
@Heismasai
@Heismasai 3 ай бұрын
Makonda fundiiii sanaaaa🎉🎉🎉
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 3 ай бұрын
Arusha pazuri sas itapendeza zaidi
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 3 ай бұрын
Kanisani pabaki patakatifu na nyumba ya kumwabudu Mungu tu. Si mahali pa siasa. Ogopeni watu wanaotumia helali la Mungu kwa biashara. Acheni Mungu awe na aitwe Mungu. Mwogopeni Mungu . Msilitumie Hekalu la Mungu vibaya. Hivi tunajielwa kama tuko kwenye nyumba ya Mungu na si ofisi ya chama cha siasa? Mungu atusamehe hatujui tulitendao.
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 3 ай бұрын
Unaongea nni wewe hakuna siasa bila dini. Kenge wewe nyau
@charlespeter5425
@charlespeter5425 3 ай бұрын
Hapo sio kanisan kenge ww
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 3 ай бұрын
​@@charlespeter5425jamani acheni kutukanana
@ChumHamza
@ChumHamza 3 ай бұрын
Mm mwenezi wa ccm tawi kivunge A karibu zanzibar
@SuleimanKitisa
@SuleimanKitisa 3 ай бұрын
❤❤❤❤nakupenda sana makonda
@yusuphlusonzo5124
@yusuphlusonzo5124 3 ай бұрын
Uko vzr saana Mhe Rais mtarajiwa Insha Allah
@ryobajohn7177
@ryobajohn7177 8 күн бұрын
GOOD JOB
@amosmachibya1800
@amosmachibya1800 3 ай бұрын
Nakuaminia sana kaka makonda piga kazi Mungu yupo p1 nawe
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 3 ай бұрын
If makonda want to lead in a very good way ajitoe kwa issue za dini ......
@mcback4384
@mcback4384 3 ай бұрын
Inakuuma kisa kataja wakristo? Mbona hapo ni kwenye Misa ya Kikatoliki ulitaka ataje waislamu na uislamu ufurahi? Hivi ninyi mnapokua kwenye shughuli zenu za kidini au Samia alivyokua akifuturisha kila siku na kuhudhuria kwenye mambo ya kukariri Quran mlikua mnataja mambo ya ukristo? Acheni udini na chuki ukristo unapotajwa kwenye hafla za kitaifa
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 3 ай бұрын
Huyu jamaa ni mnafiki sana yaani basi 2
@elfacekabuta
@elfacekabuta 3 ай бұрын
Hongera sana Makonda uendelee kufanya vizuri.
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 3 ай бұрын
Hapo walipo vijambo vingi ni puuu puuu
@GiselaThobias-ft7bt
@GiselaThobias-ft7bt 3 ай бұрын
😁😁😁😁
@TiffahAlhaji
@TiffahAlhaji 3 ай бұрын
Kweli kabisa yani ww baba ni raisi ujae baadae
@DoricaBalyagati-ny3nk
@DoricaBalyagati-ny3nk 3 ай бұрын
Nimependa hotuba yako, pamoja na mambo unayotaka kufanya, nikutonye wapo 'matapeli' wanaotumia jina la chama tukufu CCM na lako ulipokuwa mwenezi kuwaliza watu. Nakusihi uwashughulikie pia.
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 3 ай бұрын
SIASA ZA MAJI TAKA KUWACHAFUA MAWAZIRI.....WATANZANIA TUNA IMANI NA TAASISI YETU YA USALAMA WA TAIFA!
@victustemba
@victustemba 3 ай бұрын
1#Trending 😂😅🙌🏽
@user-cw3vu8mu3k
@user-cw3vu8mu3k 3 ай бұрын
Ina maana hapa Arusha hakuna mitume na manabii mbona hamuwashirikishi vifaa vya kitaifa adi watoke dar
@user-vj6ne2sm9x
@user-vj6ne2sm9x 3 ай бұрын
Itakua hawana conection
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Kuna uwaziri mkuu unatafutwa au umakamu wa Rais... huko mbele kuna mchuano...
@Best_tz
@Best_tz 3 ай бұрын
Ifikie hatua watanzania tujivunie amani tulio nayo na tuwaheshim sana viongozi mana hakun aliyekamili 100%
@jacksonchilukusha2747
@jacksonchilukusha2747 3 ай бұрын
Makonda pinga kazi na mungu akulida usije badilika kaka .wasije kukuuwa kama walivyo muuwa mangufuli
@johnbahati478
@johnbahati478 3 ай бұрын
Hii nafasi jamaa haimtoshi,kiatu kinambana. Uenzezi ulimfaa sana
@officiallnobystar
@officiallnobystar 3 ай бұрын
Wamembana Sana Mimi Mwenyewe Sijapenda Kuwa Mkuu Wa Mkoa Bora Angekuwa Mwenezi Tu Mana Alikuwa Anawanyoosha Mafisadi Sasa Apo Atawaonea Wa Chuga Tu
@rasvegas8991
@rasvegas8991 3 ай бұрын
Kabisaaa alitakiwaa zaidi yabhapo
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 3 ай бұрын
@officiallnobystaryaan hakuna Cha kuwaonea Wala nn kumbuka tushaambiwa Kuna wadudu kuleeeeeee😂😂😂😂😂😂
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 ай бұрын
Huyu apewe ata waziri mkuu 😢
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 3 ай бұрын
Huyu anatakiwa kuwa raisi mauaji ya ajabu na unyanyasaji wa kijinsia ungetokomea
@nizwaoman8378
@nizwaoman8378 3 ай бұрын
Mungu anawalani ccm wenyewe kwa wenyewe wanatukanana zuluma izo mnazowazulumu watu mungu anawaludishia na bado
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 83 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 5 МЛН
All creatures are from God #jesus #jesuschrist #jesuslovesyou
0:19
Jesus By Your Side
Рет қаралды 37 МЛН
Фильм про побег от родителей
0:59
Holy Baam
Рет қаралды 2,1 МЛН
He Used All The Sauce On 1 Slice Of Pizza🤪😂
0:12
BorisKateFamily
Рет қаралды 38 МЛН
ToRung short film: i sell watermelon🍉
0:38
ToRung
Рет қаралды 21 МЛН
小蚂蚁那么小气干嘛!#火影忍者 #佐助 #家庭
0:26
火影忍者一家
Рет қаралды 6 МЛН