ADUI NI WIMBO WETU MPYA KUTOKA KWENYE ALBAM YETU MPYA/ITAKAYOTOKA HIVI KARIBUNI
Пікірлер: 82
@musatz6272 Жыл бұрын
Kwa mazingira ya Kijijini....Golgotha mmejithid Sana Mungu aendelee kuwabariki zaidi mfike mbali Sana ...Hongereni kanisa na Kijiji cha Ihanda Kwa sapoti yenu kubwa hadi kufikia hatua hiyo
@attuernest70992 ай бұрын
Wawooo hongerani sanaaaaaa rafiki angu recho nae anaimba hii kwaya
@nelsongwaltu Жыл бұрын
Amina waimbaji Mungu awabariki
@rachelcharles1840 Жыл бұрын
Iko poa sana Golghota kwaya ya ukweli hakuna nyingine hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥💯
@salomengabo5834 Жыл бұрын
Mbarikiwe! Ila mnapotaja majina ya kwaya tunaomba muwe mnaandika na jina la kanisa
@nopelz39892 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana. Hongeren sana kwa kazi nzuri. Mungu aendelee kuwainua zaid na zaid katika huduma
@golgothachoirihanda-kongwa46412 жыл бұрын
Asante sana kwa pongez zako. Endelea kubarikiwa na wimbo huu.
@nancyakitsa88982 жыл бұрын
@@golgothachoirihanda-kongwa4641 9kkñ it
@ronnyhenson6747 Жыл бұрын
Nyoshamkono wako nyosha msichague ukipendach
@dannykopa90562 жыл бұрын
kopa danny
@chakulakitamuu10872 жыл бұрын
Nyimbo zenu zote ni nzuri sana nyie watu wa Golgotha kutoka kijiji cha ihanda Kongwa Dodoma. Nitawatafuta niwape zawadi yangu mnajua sana kuimba . video nzuri waimbaji wanaojiamini
@kwimbaisaka74412 жыл бұрын
Rs kikundi kayenze
@evelineomurwa4874 Жыл бұрын
Let God give them power 🙏
@SamuelWPam Жыл бұрын
Very interesting
@mmbumbanguomoja13192 жыл бұрын
Amen, Mungu wetu aendelee kuwanyooshea mkono wa baraka ili kazi yake isonge mbele.
@golgothachoirihanda-kongwa46412 жыл бұрын
Amen. Tunashukuru sana kwa maombi yako mazuri kwetu. Barikiwa pia. Tunakuomba u jiunge na ukurasa wetu wa KZbin, ili kuendelea kutazama jumbe zenye Baraka Kwako.
@josephmakau6515 Жыл бұрын
Wow mmebarikiwa, wajomba Mungu awabariki sana.
@odethaezekia26242 жыл бұрын
Nice song
@peterkuji49902 жыл бұрын
Nice come
@stevenanord3853 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana wapendwa
@nopelz3989 Жыл бұрын
Amen
@hatibudaniel2681 Жыл бұрын
Bwana awabariki ujumbe mzuri Sana.
@boazchibendela91432 жыл бұрын
Hongereni saana Golgotha choir. Mungu awainue zaidi ya hapo. Nawashauri kwenye ubora wa video, Camaera man aongeze ubora. Atumie kamera bora zaid na aedit video na applications kama Camtasia Studio app. HONGERENI WANIKE WA UKAYA! CHUWA HAMWEDU.
@allychuchu8272 Жыл бұрын
Yes
@zawad8478 Жыл бұрын
Kwaya ya mtakatifu mashahid was uganda
@nopelz3989 Жыл бұрын
🙏🙏
@yovinampale48732 жыл бұрын
Nawapongeza kwa kuimba vizuri, na kuvaa kitamaduni
@blessing4582 Жыл бұрын
Love
@nicksonkimeres23962 жыл бұрын
Nice song it has a message ,God bless u and lift
@lacksonmbukwa9314 Жыл бұрын
Wimbo upo vizuri
@zadockalukaya36772 жыл бұрын
Inapendeza zana wimbo tamu
@golgothachoirihanda-kongwa46412 жыл бұрын
Amen Amen 🙏🙏. Endelea kubarikiwa kwa wimbo huu
@oscarswila12672 жыл бұрын
Jaman mbarikiwe wanna wa mungu wanaihanda
@golgothachoirihanda-kongwa46412 жыл бұрын
Amen, BARIKIWA pia ndugu. Pia Tunakuomba U -SUBSCRIBE kwenye hii channel yetu, zipo nyingi nzuri Zinakuja