KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA & JOSHUA MLELWA | MUNGU ANAKUPENDA

  Рет қаралды 142,422

Uinjilisti Kijitonyama Choir

Uinjilisti Kijitonyama Choir

Күн бұрын

Unapoukaribisha mwaka mpya, tambua kwamba ni kwa sababu MUNGU ANAKUPENDA, sio kwamba wewe ni mwema ama unafaa sana, ni mapenzi yake Mungu Baba yetu.
Joshua Mlelwa Na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama wakiimba wimbo wa MUNGU ANAKUPENDA. Katika ibada maarufu Siku Ya Mbingu Kujaa Sifa Season 2.
Karibu usikilize Ujumbe wa Neno la Mungu.

Пікірлер: 123
@JonChifuijii
@JonChifuijii 9 ай бұрын
Nimekumbuka nyimbo ihi mu 2000 nimekuwa mudogo sana witching from Angola 🇦🇴!!
@lilianboimanda7443
@lilianboimanda7443 2 жыл бұрын
My lovely song ever.... Wakati mnakuja Njombe kihuduma.... Mamayangu alifarijika sana na nyimbo hii alikuwa ktk last minute kuitwa Mbinguni😭😭😭alikuwa anapenda kusikiliza nyimbo hii
@josephpatrick7155
@josephpatrick7155 Жыл бұрын
😭😭🙏🙏
@ClaraLugomi
@ClaraLugomi Жыл бұрын
Umeniliza tuwaombee mamazetu waliotangulia
@FelixMbiza-wm1lv
@FelixMbiza-wm1lv Жыл бұрын
Ng be hr u fr : ,g
@ethangodlove4554
@ethangodlove4554 Жыл бұрын
​@@ClaraLugomiamen
@righitkileo
@righitkileo 11 ай бұрын
❤❤❤ Namna hii ndo nyimbo zinaimbwa za kumsifu Munqu.Unasikia Uwepo wa Munqu. Na ielewekehivyo.❤❤❤❤❤❤
@mwitarajab2249
@mwitarajab2249 Жыл бұрын
Aisee huu wimbo nimeuona wasafi tv,imebidi nije kuuona vizuri,what a beautiful gospel song.🥰
@ElinaSamwel-x5h
@ElinaSamwel-x5h 9 ай бұрын
Uko kama mimi yani
@paulsamuel6265
@paulsamuel6265 Жыл бұрын
Huu Wimbo ni shukrani yenye unyenyekevu Mkubwa,tangu miaka 2000 tulikuwa tunausikiliza kijijini na Baba Yangu,rest in peace my sister Rachel
@upendokambenga1677
@upendokambenga1677 10 ай бұрын
Mungu wangu,Asante Kwa Upendo wako,najua sistahili lakini unanipenda hivyohivyo,nakupenda Mungu wangu na ninaahidi kukutumikia mpaka mwisho wa maisha yangu
@georgedinda7400
@georgedinda7400 Жыл бұрын
I LITERALLY LISTENS TO THIS SONG EVERY OTHER TIME BECAUSE IT IS ONE OF THE VERY BEST ARTWORKS OF THIS CENTURY. THE LYRICS, THE INSTRUMENTATION, THE VOCALS BLENDS SO WELL TO AN EXTENT OF TOUCHING SOULS LIKE MINE. KUDOS TO BROTHER MLELWA.
@eliahmgina8350
@eliahmgina8350 8 ай бұрын
Nyimbo inanikumbusha mbali sana, mwaka 1998-2000 kwenye bus la Lupelo from Dar to Njombe🙏🙏
@happycharles3153
@happycharles3153 Жыл бұрын
Sio kama mm ni mwema sana baaba nikushukuru Mungu wang 😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@PaulKimweri-n1g
@PaulKimweri-n1g 10 ай бұрын
Iive, performance good song
@meshackkyando5722
@meshackkyando5722 Жыл бұрын
Nakumbuka nikiwa kijijini kwetu isimani iringa ....Dada yangu alituletea kanda za izi nyimbo na radio ya mbao, nakumbuka betri zinaweka jumapili tu Basi tu enzi izo kweri Watu walikuwa wana sifu Ata ukisikilza nyimbo ya dini kweri unasklza kwa hisia Nguvu za Mungu zinashuka , Mungu atusaidie jamani Mana sikuizi nyimbo wanazialibu melody zote wanaharibu ... Nyimbo za dini zilkuwa zamani Jamani nawakumbusha tumludie Mungu Dunia imeisha Kama haumini angalia Vitu vya zaman vyote sasa vinathimika kuanzia fashion kote ... Vipya vimeisha, manabii ni wengi Ndio mwisho wa dunia upo karibu Yesu yu karibu kuja Muda mchache ...kila siku naota mwisho wa Dunia basi ni dalili zinaonesha Naomba sana tumludie Mungu Tutubu Mungu qna samee saba mala sabini ... Tubu kabla haijafika nafasi ya kutawala shetani ikifika autopata muda wa kutubu kwani wakati huo utakuwa wa dhiki tabu na njaa Tubu wakati ni sasa, tubu ili unyakuliwe usifike wakati huo wa tabu Nakuombea kwa Mungu uanze hapo ulipo utubu.
@chrissmmajani4778
@chrissmmajani4778 Жыл бұрын
This kijitonyama huwa na watu wa vibawa vya uimbaji sana!
@G7RHPK
@G7RHPK 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana kumwona tena kaka mlelwa katika kwaya ya uinjilisti kijitonyama kkkt. Sifa na utukufu kwa Bwana YESU KRISTO
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 2 жыл бұрын
Ni Joshua Mlelwa featuring Kijito
@MjungumabebaNyamuko
@MjungumabebaNyamuko Жыл бұрын
Kwa kweli brother Joshua Mungu amempa kipaji sana ktk uimbaji
@romes-tz7323
@romes-tz7323 2 жыл бұрын
👍Mungu anakupenda live music,live performance , mziki sanifu ladha zakipekee🎻💯
@diwanikatayankonko2671
@diwanikatayankonko2671 Жыл бұрын
Wimbo huu unabariki moyo wangu siku zote za maisha yangu
@PreciousMsamila-lu2jv
@PreciousMsamila-lu2jv 10 ай бұрын
What a lovely touching song
@clemencelamberti1911
@clemencelamberti1911 Жыл бұрын
My best song ..miaka yangu yotee ya humu duniani
@samwelmwaijumba6018
@samwelmwaijumba6018 2 жыл бұрын
Mungu wangu tusaidie kuzihesabu siku zetu....hakika unamakusud na maisha yetu leo hii kuwa hai.....libarikiwe sana jina la Yesu Kristo....amen
@modekaikivamba1191
@modekaikivamba1191 11 ай бұрын
Oooh nimebarikiwa sana na huu wimbo
@TheAgneso
@TheAgneso 2 жыл бұрын
Mbarikiwe Kijito!Mnahudumia dunia nzima,mtafsiri hizi nyimbo
@walawioutreach4055
@walawioutreach4055 2 жыл бұрын
MRS MAFWENGA ELIWINJUKA NAKUONA HAPO KIJITO,KAZI YAKO NI NJEMA SANA.MUNGU AKUINUE KATIKA HUDUMA HII.
@alfonsinamichael3320
@alfonsinamichael3320 2 жыл бұрын
Nampenda sana ise
@irenekatambe1090
@irenekatambe1090 2 жыл бұрын
Muamze kuweka matamasha kila mkoa wajameni tumewamiss nyimbo za zamani hizi zilikiwa fire
@blessednassary8432
@blessednassary8432 Жыл бұрын
Mbarikiwe mno na Bwana hakika huduma yenu imetukuka, God bless you again
@ruthdavie1175
@ruthdavie1175 10 ай бұрын
Wimbo mzuri saaana
@denismaanga
@denismaanga 2 жыл бұрын
Can not waiting 😋😋😋😋😋😋
@jacksonsaugah9120
@jacksonsaugah9120 2 жыл бұрын
Uwepo wa Mungu wetu upo duniani ndio maana naishi hivi kwa Neema yake
@davidmuthoni624
@davidmuthoni624 Жыл бұрын
Amen Amen pasta 🙏
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 2 жыл бұрын
Kwakweli mko juu Mungu awaweke juu said kiroho kwani mko vizuri sana
@michaelsostian
@michaelsostian Жыл бұрын
Among of favorite song thank lord Jesus for this blessing song of all time
@timothymikola2317
@timothymikola2317 Жыл бұрын
Old school gospel of all time since 2000 year
@mariamdamian8392
@mariamdamian8392 2 жыл бұрын
Sound nzuri, ujumbe mzuri. Mungu awabariki watumishi .
@angelmkini1508
@angelmkini1508 2 жыл бұрын
Ameni kubwa kabisa kweli Mungu ananipenda ndio maana naishi mpaka leo hii
@dicksonjustine2557
@dicksonjustine2557 2 жыл бұрын
Ame,KIJITO vs MLELWA mbarikiwe sana
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 Жыл бұрын
Sound imekaa vizuri jamani
@irenekatambe1090
@irenekatambe1090 2 жыл бұрын
Uwiiiii huu wimbo ni fireeee
@rutarutahindurwa2080
@rutarutahindurwa2080 10 ай бұрын
Original version ya huu wimbo naweza kuipata wapi?
@ShidaKassim
@ShidaKassim 9 ай бұрын
Mbarikiwe sana sana
@justusndubi4325
@justusndubi4325 2 жыл бұрын
Kijito hii kazi nzuri sana wapendwa Hakina niko kwa ajili ya kupendwa na mungu
@magogelameck1501
@magogelameck1501 2 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa upendo wangu kwako na familia yangu kwa ujumla
@emmanuelshilagi3302
@emmanuelshilagi3302 4 ай бұрын
nikiwa nimetoka Maombi ya alfajiri nakutana wimbo huu nasikia kusisimka jamani kwa Yesu amani ipitayo amani zote
@MWALUJEJE
@MWALUJEJE 2 жыл бұрын
Dah🙌🙌🙏
@lupakisyopeter2009
@lupakisyopeter2009 2 жыл бұрын
Ahsante Mungu wangu kwa kunipenda mimi nisiyestahili.
@RithaClear
@RithaClear 9 ай бұрын
Kwani Da Lilian alikua wapi?
@NassoroSalehe-u7x
@NassoroSalehe-u7x Жыл бұрын
Ameen
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 2 жыл бұрын
Ameni
@mwambantwa5550
@mwambantwa5550 2 жыл бұрын
Ahsante, JEHOVA kwa kunipenda
@kissamwambinga8568
@kissamwambinga8568 2 жыл бұрын
Nakumbuka mbali Sana huu wimbo jamani duuuh
@fadhilluvanda6656
@fadhilluvanda6656 2 жыл бұрын
Kaka Joshua....umebarikiwa
@davidmuthoni624
@davidmuthoni624 Жыл бұрын
Amen Amen 🙌🙏🙌❤
@goodluckjuniour3614
@goodluckjuniour3614 2 жыл бұрын
Hakika wewe ni Mungu wa vyote ntakusifu daima
@josephkiteleja5102
@josephkiteleja5102 Жыл бұрын
May lord keep you safe Joshua
@bilechaasukulu992
@bilechaasukulu992 2 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeeeeeeen
@mayombosuzanna7696
@mayombosuzanna7696 2 жыл бұрын
Alléllua alléllua asente Mungu wa maisha 🙌🙌🙌🙌🙇🙇🙇🙇🙇
@aiyasageo2572
@aiyasageo2572 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana wana Kijitonyama . Kwakweli asante sana Mungu kwa kunipenda na kuniweka hadi sasa .
@lizzybethmayengoh9624
@lizzybethmayengoh9624 2 жыл бұрын
Asante Mungu kwa Upendo wako
@leokadiapius8413
@leokadiapius8413 Жыл бұрын
mbarikiwe watumishi wa mungu❤❤❤❤❤❤
@simas.a1003
@simas.a1003 2 жыл бұрын
Nawapenda mno huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu nzuri.
@sinzasoundbandtanzania6200
@sinzasoundbandtanzania6200 2 жыл бұрын
Kweli Mungu anatupenda na umetukumbusha kwa ujumbe huu wa Kiroho kuhusu upendo wa Mungu Baba
@herirehema3554
@herirehema3554 2 жыл бұрын
Halleluya Halleluya... Mbarikiwe wapendwa!
@kelvinmatita1516
@kelvinmatita1516 2 жыл бұрын
Amen
@felisyanifelisyani1539
@felisyanifelisyani1539 2 жыл бұрын
Nawapenda
@paulmsengi7883
@paulmsengi7883 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana
@jacklinenungu5746
@jacklinenungu5746 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu, Mungu awabariki sana kwa huduma nzuri
@happinesseliab1568
@happinesseliab1568 2 жыл бұрын
Mungu awabariki
@adamuhaule7440
@adamuhaule7440 Жыл бұрын
hallelujah
@mtanzaniahalisi1213
@mtanzaniahalisi1213 2 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌 hallelujah
@jovianjoel331
@jovianjoel331 2 жыл бұрын
Merry Christmas Kijito...
@creeper6057
@creeper6057 2 жыл бұрын
This song reminds me of my childhood
@jacobche6288
@jacobche6288 Жыл бұрын
good
@buberwadeus3158
@buberwadeus3158 Жыл бұрын
@KagaboJR
@KagaboJR 2 жыл бұрын
Napenda nyimbo zenu mbalikiwe sana❤🙏
@donatilamihayo506
@donatilamihayo506 2 жыл бұрын
Ni kwa Neema za mungu🙏🙏
@ellyjackson93
@ellyjackson93 2 жыл бұрын
Hakika Mungu anatupenda
@mapendomonique9719
@mapendomonique9719 2 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana waimbaji wazuri
@irenekatambe1090
@irenekatambe1090 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana jamn
@beatricekamamaa209
@beatricekamamaa209 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainuwa zaidi Kijito. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@edwin_254
@edwin_254 2 жыл бұрын
Kijitonyama is a blessing to the world
@joshuashalla9771
@joshuashalla9771 Жыл бұрын
Waoooo glory to God❤
@evelynejuvenary2631
@evelynejuvenary2631 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@bilechaasukulu992
@bilechaasukulu992 2 жыл бұрын
Hallelujah 🙏 Hallelujah 🙏🙏
@wilbertkyando7778
@wilbertkyando7778 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na hii nyimbo
@ceciliamwakisese8126
@ceciliamwakisese8126 2 жыл бұрын
Hongereni kwa huduma ya kumhubiri Kristo, Mungu awainue kwa viwango vingine. Kipekee nimefurahi kuona mkiimba pamoja na akina Joshua, inapendeza mno ndugu mkikaa kwa pamoja na kwa kupendana mmenikumbusha Kijito ya zamani zile. Mungu awabariki sana
@RmwanashaMbeteRMM
@RmwanashaMbeteRMM Жыл бұрын
Powerful
@divinecherubimsmelodies
@divinecherubimsmelodies 2 жыл бұрын
God indeed has always loved Me🙏thank you JESUS CHRIST my God
@pasakamichael1898
@pasakamichael1898 Жыл бұрын
Best of all time🏅
@neemamwamengo3936
@neemamwamengo3936 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana watumishi wa Mungu
@deliciousqueen5478
@deliciousqueen5478 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰❤️
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Hallelujah..... Jesus Christ My SAVIOUR
@jacklinebubelwa5127
@jacklinebubelwa5127 2 жыл бұрын
Ameen Mungu awabariki
@viviankombe6584
@viviankombe6584 2 жыл бұрын
Waoh, mbarikiwe
@jeofreymsomba7200
@jeofreymsomba7200 8 ай бұрын
😢😢😢
@cuthbertmaro9131
@cuthbertmaro9131 2 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@FestoMtumbe
@FestoMtumbe 2 жыл бұрын
Amen; Big up sana my Brother Joshua.
@asumthamanyahi5255
@asumthamanyahi5255 2 жыл бұрын
🙏 🙏 🙏
@ferdinandntembagara2949
@ferdinandntembagara2949 2 жыл бұрын
Amen mbarikiwe
@rasheednambimbi2253
@rasheednambimbi2253 2 жыл бұрын
Ukisikia mziki uliokamilika ndio huu sasa.
@henrybaraka5258
@henrybaraka5258 2 жыл бұрын
Kweli 😂
@BarakaWaya
@BarakaWaya 2 жыл бұрын
🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@nestoromari6119
@nestoromari6119 Жыл бұрын
2
@henrybaraka5258
@henrybaraka5258 2 жыл бұрын
Am blessed!!
@Febianoskeptic
@Febianoskeptic 5 ай бұрын
Elishabanda
@francisalcardo544
@francisalcardo544 2 жыл бұрын
Such wonderful song
KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | JEHOVA BABA WA UPENDO
11:27
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 143 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 40 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 137 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 78 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR/TOYELELOO
10:13
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 156 М.
Joshua Mlelwa awaliza waumini na afuta machozi yao kwa nyimbo zake mbili
15:06
Mlima wa Moto “Mountain of Fire” - TZ
Рет қаралды 55 М.
Mungu anakupenda - Joshua Mlelwa & KUG
5:32
Joshua Mlelwa
Рет қаралды 33 М.
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 1,2 МЛН
Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama - Jemedari
11:59
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 12 М.
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 1,5 МЛН
KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | EEH YAHWEH | OFFICIAL VIDEO
8:43
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 96 М.
Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama : Come and See (Live Perfomance)
11:38
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 36 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 40 МЛН