Naan natukimbilie msalabani pekee ndiyo salama yetu, barikiwa sana watumishi wa Mungu
@johnmanisi6954 Жыл бұрын
Acha na mimi nikimbilie msalabani ili nipate mema yote♥️♥️♥️♥️♥️
@beatricekamamaa209 Жыл бұрын
Woow. Kazi nzuri utukufu Kwa Bwana wetu YESU KRISTO alie hai 🙏
@everlight6 Жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni. Baraka kwenu watumishi wa Jehova Yire
@cocomedia5261 Жыл бұрын
Amen Wakati Sahihi Kabisa🇹🇿🙏
@ibahatimoses6431 Жыл бұрын
MUNGU awabariki mzidi kueneza nenolake mziki umetulia kweli saf sanaa
@deborahmgedzi632 Жыл бұрын
Baba Mwenyezi Awabariki Sana. Mungu Anazidi kuwahekimisha na kuwapa maarifa zaidi na zaidi. Kweli, kuhani na wanaye hutenda vivyo. Nazidi kueaombea. Amina.
@cuthbertmrema4785 Жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI NYIMBO NZURI SANA.
@jacmbijo Жыл бұрын
Mungu atawavisha taji linalong'aa Barikiwa sana watumishi wa Mungu
@Amatha_K Жыл бұрын
I'm Roman Catholic, Asante Kwa wimbo huu Katika wiki hii kuu❤❤❤
@alicemalle8974 Жыл бұрын
Nice song..hongerani
@lizzybethmayengoh Жыл бұрын
Very touching song be blessed Kijito choir. The
@journeywithjesus Жыл бұрын
So touching 😢❤
@bensonmmari Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa huduma hii njema muifanyayo. Haleluyaaaaaaaaaaa....!
@MrLusekelo Жыл бұрын
Nice song
@vedastusydavid Жыл бұрын
Mungu mwenyenzi abariki kwenye jambo hili jema la kumtumikia Mungu❤❤❤ Napenda sana uinjilisti kijitonyama ❤❤❤
@mbusambasa5450 Жыл бұрын
Atukuzwe Yesu kwa upendo na rehema zake kwetu. Barikiwa watumishi kwa wimbo mzuri.
@uneyghasisi6753 Жыл бұрын
Mungu awabariki sanaa watumishi wa Mungu kwa zawadi ya pasaka, Nakimbilia Msalabani
@gospel8068 Жыл бұрын
Hakika wimbo unabariki sana Mungu awabariki mnooo
@joshuamatemba7644 Жыл бұрын
Kazi nzuri ! Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu !
@jamesodhiambo3558 Жыл бұрын
Mbarikiwe saana ❤❤❤. Zawadi nzuri ya pasaka
@marthaabrahamlubwaza8365 Жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi kazi yenu ni njema tena ya Baraka, mmekuwa baraka sana Nawapenda mlindwe na Damu ya Mwana Kondoo🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😍😍😍😍😍
@kuttyferraasukile.4535 Жыл бұрын
God Bless you guys
@estherkatende7594 Жыл бұрын
can' wait
@edwinpolle7320 Жыл бұрын
Hamjawahi kufanya kazi mbovu, MUNGU wa mbinguni awafunike kwa baraka tele, good song
@francismallya2931 Жыл бұрын
This is Kijito🔥🔥🔥
@oliverbenson5507 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu,,asanteni kwa zawadi ya pasaka🙏🙏
@joyswai96 Жыл бұрын
To God be the Glory🙏🏻🙏🏻 Mungu azidi kuwatumia kwa viwango vya juu kabisa