Mungu awabariki sana mnapoendelea kutazama wimbo huu!!
@haikaellyngajilo77682 жыл бұрын
Ameen 🤝
@haroldemmanuel62592 жыл бұрын
Amen. Asanteni sana Neema Gospel
@marymusyoka69362 жыл бұрын
Glory to Jesus
@narukundofuraha7862 жыл бұрын
Amen ni kitu cha thamani
@leahmapinda65202 жыл бұрын
Leah mapinda
@Faith_joseph8 ай бұрын
Nimerudi tena huu mwaka 2024🔥🔥♥️🙏🏾
@josephngollah67438 күн бұрын
Baraka kuu kwenu
@amani95322 жыл бұрын
😘😘😘KUTOKA BURUNDI BUJUMBURA TUNASHUKURU SANA KAZI YA MSLABA PIA TWAWAPONGEZA NINYI MNAOJITOLEA KUITANGAZA KAZI HIYO YA THAMANI ILIYOTUFANYA WANA WARITHI WA UFALME WA MUNGU WETU ALIYE HAI!
@AlexJoseck2 жыл бұрын
LICHA YA UTAMU WA MELODY YA WIMBO YAANI MTAMU TU KUUIMBA.... MSALABAAAAAAAANIIII UWIII KUNA PIA VOCALS TAMU SANA NA BEATS ZINAUFANYA WIMBO UCHEZEKEEEE.... SASA HAYO TUACHE! THE DOCTRINAL MEANING BEHIND THIS SONG OOOOO " "𝙏𝙐𝙈𝙀𝙎𝘼𝙈𝙀𝙃𝙀𝙒𝘼 𝘿𝙃𝘼𝙈𝘽𝙄 𝙃𝘼𝙏𝙐𝙉𝘼 𝘿𝙀𝙉𝙄.... 𝘼𝙈𝙀𝙇𝙄𝙋𝘼𝘼𝘼 𝙔𝘼𝘼𝙉𝙄 𝙉𝘼𝙍𝙐𝘿𝙄𝘼 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙎𝙄𝙎𝙄𝙏𝙄𝙕𝙊 𝙆𝙒𝘼𝙈𝘽𝘼𝘼𝘼𝘼 𝘼𝙈𝙀𝙇𝙄𝙋𝘼𝘼𝘼 𝙔𝙊𝙏𝙀 𝘽𝙒𝘼𝙉𝘼..... " 𝙎𝙄𝙅𝙐𝙄 𝙉𝙄𝙎𝙄𝙎𝙄 𝙉𝙄𝙎𝙄𝙎𝙄𝙏𝙄𝙕𝙀𝙅𝙀 𝙃𝘼𝙋𝙊𝙊𝙊... 𝙇𝘼𝘽𝘿𝘼 𝙏𝙐 𝙉𝙄𝙎𝙀𝙈𝙀 𝙆𝙒𝘼𝙈𝘽𝘼 𝘽𝙄𝙉𝘼𝘿𝘼𝙈𝙐 𝙃𝘼𝙐𝙉𝘼 𝙎𝘼𝘽𝘼𝘽𝙐 𝙔𝙊𝙔𝙊𝙏𝙀 𝙄𝙇𝙀 𝙔𝘼 𝙆𝙐𝙁𝙄𝘼 𝘿𝙃𝘼𝙈𝘽𝙄𝙉𝙄 𝙆𝙒𝘼 𝙆𝙒𝙀𝙇𝙄 𝙋𝘼𝙎𝙄𝙋𝙊 𝙆𝙐𝙅𝙄𝙏𝘼𝙆𝙄𝘼 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀𝙒𝙀 𝙆𝙒𝘼 𝙆𝙐𝙄𝙆𝘼𝙉𝘼 𝙆𝘼𝙕𝙄 𝙔𝘼 𝙈𝙎𝘼𝙇𝘼𝘽𝘼𝙉𝙄" MBARIKIWE SANA WATUMISHI KWA HUDUMA HII... TUUPELEKE WIMBO HUU KWENYE 1 MILLION VIEWS IN ONE WEEK KWA KWELI UNASTAHILII
@jacksonvalence73652 жыл бұрын
Amina
@FrestersRecords2 жыл бұрын
This is soo deep...!!
@AlexJoseck2 жыл бұрын
@@FrestersRecords Amen amen my brother, GLORY TO GOD FOR WHAT HE HAS PUT IN YOU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@DamskyKisanya3 ай бұрын
September 2024 bado nko😅
@eliyamwantondoofficial2 жыл бұрын
hii ni KWELI tupu! PASAKA imesemwa vyema kupitia wimbo huu!
@FrestersRecords2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@gladnesssanga16018 ай бұрын
nimesamehewa dhambi sina deni amelipa YESU, ni kazi ya thamani yake Yesu msalabani pa mwokozi. 🙏🙏🙏🙏
@NeemaGospelChoir8 ай бұрын
Amen
@jessicamasepo83209 ай бұрын
Amina, alilipa yote Bwana pale msalabani, hatuna deni ni maneno mazuri , nabarikiwa,, mbarikiwe pia
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@josephnyamoga47472 жыл бұрын
Ukija kwa siri kwenye room yangu kila jumapili kabla y kwenda kansan.. You will find me dancing the song with full of joy,vibe,happiness,laughter... I'm really blessed with the song from neema gospel...the message is there,vibe is there everything is there.....kwa Yesu ni raha..
@marcelinamatei7862 жыл бұрын
I love this song "TUMESAMEHEWA DHAMBI HATUNA DENI" ❤️
@gideonbush7532 жыл бұрын
Exactly 💯
@Nkundatresor2 жыл бұрын
Tumesamehewa hatuna deni kabisa😭😭🙌🙌🙌🙌 mubarikiwe Sana tunawapenda from Kigali Rwanda
@ElizabethJohn-b1g8 ай бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo ❤🎉 msalabani pa mwokozi❤❤
@NeemaGospelChoir8 ай бұрын
Amen
@tabitherrichard45312 жыл бұрын
Mpiga Drums aiseeee Mungu akuinue zaidi ya hapo Godfrey Mlingwa
@angelarobert94812 жыл бұрын
Anajua sana
@akielmduma21142 жыл бұрын
Anajua sana Jamaa🙌
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻
@deborakisanga88852 жыл бұрын
Aiiiseeeeeee nilisikia huu wimbo classic fm ulipigwa saa nane na dk 45 usiku kiukweli usingizi ulipaa sikujua mmeimba ninyi nilipoenda kwenye playsto nikwakuta miaamba ya Neema ooooh Yesu awainue zaidi ya hapo mmeimba kwa moyo mpaka raha
@teddylameck33552 жыл бұрын
Hakika tumesamehewa dhambi atuna deni nafurahia ushindi wa Yesu***mbarikiwe Neema Gosper nawapenda mno****Teddy .L.Mandilind ....From France
@SharonZindori-b4y8 ай бұрын
Napenda hii wimbo ❤❤❤ ua inanibariki najipata Niko chini y magoti namuita Mungu 🙏🙏🙏🙏
@NeemaGospelChoir8 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu 🙌🙌🔥
@kwinjajudith21788 ай бұрын
Nime samehewa zambi misina deni !!!!!
@robertlameckbabuthegreat683 Жыл бұрын
Huu Wimbo haujawahi kuchuja Tangu nimeanza kuusikiliza, Team Mbarikiwe Sana, Mungu akawatendee Mambo mapya katika Maisha yenu🙏🙏🙏
@MekitildaKitambi7 ай бұрын
Mtu akiimba ktk Roho ni faida kweli,jamani wabarikiwe
@ZefaniKatembo-lf4mv9 ай бұрын
RDC, Ville de Beni, nyimbo ina nitia nguvu kutumikia kazi ya Mungu kwani alikubali mwana wake wa pekee afike kufa kwa ajili yangu ni kweli kazi ya damani kwetu. Mubarikiwe na Bwana wetu Yesu Kristo
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
Amen utukufu kwa Mungu🙏🙏
@gloriousnp2 жыл бұрын
Wimbo mzuri, wenye ujumbe unaogusa moyo namna hii unaanzaje kuangalia mara moja bila kurudia, KAMA SIYO MSALABA NINGEKUA WAPI MIMI ASANTENI SANA VIJANA KWA KUTOA MUDA NA NGUVU ZENU KUMTUMIKIA HUYU YESU mbarikiwe mpaka mshangae 🙏🏿🙏🏿🇹🇿
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@samuelmumo81642 жыл бұрын
Ni kazi ya thamani yake Yesu hakika msalabani tulipokea uponyaji na msamaha wa deni🙌 Mungu na azidi kuwainua kiwango hadi kingine💯. Much love from +254 KE❤
@AntoineKongolo-pq4ws9 ай бұрын
MUNGU abariki hii kwaya, kwa ujumbe mzuri, hatuna deni
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
Amen🙏🙏
@revelationtv85882 жыл бұрын
your fan from kigali rwanda, mungu ababaliki sana kwa nyimbo nzuli, msalabani kwa mwokozi, amenipa yote!!!
@carolluvy25422 жыл бұрын
Waooh...goood job. God bless you. More Grace.
@elihurumapaulo16962 жыл бұрын
Kila kizazi na ladha yake ashukuriwe Mungu kwa kuweka kipawa cha kusifu na kuabudu ndani yenu endeleenj kunyenyekea mbele za Mungu atawashangaza kwa wema wake na bado ana mengi mazuri kila kizazi na ladha walikuwepo mapigano ulyankulu, mama jusi , ..n.k now it it is your time furahieni kuwa vijana mtumikieni Mungu kwa bidii
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@yabeskatamba27695 ай бұрын
This is to blessing song to me jamani. Kwa kweli namtafakari Yesu kivingine
@christinewomanoffaith54798 ай бұрын
Huwa sipendi kwaya Lkn neema na ufunuo ,big up sn Glory be to God mmefanya Kwa kiasi kwaya ziheshimiwe
@NeemaGospelChoir8 ай бұрын
Amen🙏🙏
@GetrudaSilvery-e5k10 ай бұрын
Samweli limbu kazi hongera mnoo kwa kuimba vyema MUNGU azidi kukuinua 🎉❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen
@nashonjoel202 жыл бұрын
WIMBO mzuri Sana. Naona Uamsho wa mwisho unatembea kila dhehebu. Mbarikiwe sana
@momryan8 ай бұрын
Amelipa yote BWANA hatuna deni 👐👐👐
@NeemaGospelChoir8 ай бұрын
Amen
@catholicvibemusic31512 жыл бұрын
Hiyo alto naisikia very well composed 🔥🔥 also tenor naisikia njema kabisa
@joshuajustustz9 ай бұрын
NI KAZI YA THAMANI YAKE YESUU, MSALABANI PA MWOKOZI. nimeukumbuka leo huu wimbo 😭. Hakika tumepata ukombozi. Big up Sam Limbu, Masanja and All team. im blessed again🎉🎉🎉🎉
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
Amen Glory to God, be blessed 🙏🙏
@sophiankya94102 жыл бұрын
❤❤❤💯💯💯💯🙏🙏nilijua Itakua tamu sana hongereni nawapenda
@WillyIragavye7 ай бұрын
Kutoka burundi Rumonge tunashukuri Sana nyimbo zenu ninzuri
@amonphilip59022 жыл бұрын
Hii sio nyimbo babu 🙌🙌hii ni injili halisi...watu wanabadirishwa , Wana wanarejea katika pendo halisi la Baba
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻
@johnnyokabi Жыл бұрын
You're just amazing.. the drummer is soo passionate and does it with all the energy.🎉🎉🎉🎉🎉 Toka Kenya Deliverance church Utawala tunawapenda...🎉🎉🎉
@mujanukirefrancine33082 жыл бұрын
Mubarikiwe sana yesu abahe umugisha mubyomukora byose ndabakunda cyaneeee muzamunezeza bikomeye
@enockkagolora9 ай бұрын
Nimebarikiwa nirpo usikia huu wimbo mbalikiwe sana watumishi
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
Amen🙏🙏
@cibalonzaneema4950Күн бұрын
Asante saana n'a Mungu aendeleye kuwa tumiya. ni Nani aliimba ZAMBI ZANGU ZIMEFUTWA KWA GARAMA YA MWOKOZI.
@luhuvilojactany75392 жыл бұрын
Mubarikiwe sana waimbaji kazi ya msalaba inabidi tuindendeye kazi Mungu awape guvu nawepesi napenda hii nyimbo sana
@joycemtuhi42872 жыл бұрын
Asante Yesu hatuna deni,bless u Neema kwaya,we Tanzanian proud of u.🇹🇿🇹🇿
@estherkwamboka4890 Жыл бұрын
My Jesuss aiyayayaya thankyou Jesus for the cross... please tutazame uzito was huu wimbo waah glad to know Jesus 👏👏👏🙌🎉
@rahelkibona63282 жыл бұрын
Finally huu wimbo jaman 🥰🥰nmeusubiri kwa hamu TUMESAMEHEWA DHAMBI HATUNA DENI
@SolangeNTAKIRUTIMANA-de1mx Жыл бұрын
Waaaoo my favorite song🎶🎶🎶 tumesamehewa dhambi hatuna deni
@joramwilson25132 жыл бұрын
Hongera Sana Neema Gospel Choir kwa kutupa Baraka hii....Yesu na awatunze mzidi kutupa baraka hiizi kwa viwango vya juu zaidi
@mosesngeni13542 жыл бұрын
Sam tunaitaji nyimbo kama hizi zilizojaa injili tele
@timothmanaseelia42132 жыл бұрын
Sema kweli huu wimbo umeimbwa kwa maudhui mazuri sana na umebeba ujumbe mzito sana Mungu awe nanyi sana watumishi
@upendokiwanga95382 жыл бұрын
NINYI MPUNGUE Yesu ainuliwe kazi zenu nzuri ila Mungu atukuzwe kwa kuwa ndie atendaye ndani yenu
@shukurumossi18702 жыл бұрын
Jambo moja kubwa na LA thamani tunalopaswa kujivunia na kulifurahia kila siku ni kuwa YESU ALIKUFA MSALABANI TUKAPATA MSAMAHA WA DHAMBI ZETU ZOTE MILELE!hatudaiwi tena!
@MunezeroParfait-hx4ch Жыл бұрын
Tumesamehewa dhambii hatuna deni asante Sana Yesu wangu
@gentlemantesha41842 жыл бұрын
Braza Limbu hautuangushi wadogo zako kutoka KEKO,..Keep doing the great job bro keep lifting HIS name high
@elisantekissuda31212 жыл бұрын
Mungu awabariki sana waimbaji kwa wimbo mzuri unaoonyesha kazi nzuri na kubwa aliyoifanya Bwana Yesu Kristo pale msalabani.
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@deborahfaustine15018 ай бұрын
Tumesamehewa deni hatuna deni kupitia msalaba Mbarlkiwe Sana neema gosple
@NeemaGospelChoir8 ай бұрын
Amen
@JESUS354 Жыл бұрын
Muongozaji Kwa kweeli,amejaa Roho. Mtumishi wa Mungu, Ubarikiwe Sana. Asanteni sana @Neema Choir.Wimbo hauchuji KABISAA!
@butwawestonmwailubi2 жыл бұрын
Ushukuriwe Mungu kwa upendo ulio wa ajabu utuoneshea watoto wako ahsante sana sifa, Utukufu na heshima vyote ni vyakooo jina lako LIHIMIDIWE daima,... maana hakuna jina lingine DUNIA na ata mbinguni Bali ni wewe tu.... THANKS ALOT JESUS FOR THE CROSS ALL OUR SIN WE'RE CLEANED .... IN MIGHTY NAME OF JESUS THANKS ALSO TO THIS MINISTRY HAKIKA TZ NA DUNIA KWA UJUMLA TUNAJIVUNIA MKONO WAKO USIWAACHE .... BARIKI HUDUMA ZAO WAPUNGUE BALII WEWE UKAONGEZEKEE KATIKA YOTEE
@quillianpro2 жыл бұрын
Amen
@simpassagrace69072 жыл бұрын
Hallelujah! Sina magonjwa Wala mapigo YESU alivichua tangu miaka 2000 iliyopita. I am free in JESUS name
@DrNeemaBalige2 жыл бұрын
Nawapenda tuuuu🙌🏾❤️Yesu awaweke. Yesu asante,hatuna deniiiii🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾💃🏽💃🏽💃🏽
@jenniferisrael7354 Жыл бұрын
Neema ya Mungu ya utendakazi izidi kuwa juu yenyu mnapoendelea kumtumikia bwana wetu yesu kristo
@neemageofrey98042 жыл бұрын
Hakika msalabani mambo yote Bwana alimaliza.. Bwana awainue siku zote
@Jayjay-d8o2 жыл бұрын
It's Easter and we couldnt have a better song for the season. Thank you so much, more anointing to all of you...Halleluyaah🌅🌄
@conerymusyimi52272 жыл бұрын
Tumesamehewa dhambi hatuna deni 🥳🥳🥳
@bahatipaul17532 жыл бұрын
Umenibariki sana mpiga dramu kwenye kakipengere furani inadhihirisha uwezo wako na upendo mkubwa ulionao kwa Yesu.
@maureenmukudi17412 жыл бұрын
Msalabani pa mokozi nimesamehewa dhambi wala sina deni. am so bleesed from kenya
@rosemwanazyungu11755 ай бұрын
Jamani nimebalikiwa na huu wimbo nakuomba mungu nilejeshee niitwa mke kama wanawake wengine
@esterstewart4472 ай бұрын
Kazi aliyoifanya Yesu ni kazi ya milele kuhakikisha amelipa deni lako lite la dhambi ili ukimuamini yeye uwe na huo msamaha wa dhambi wa milele ambao ndiyo sawasawa na kuwa na uzima wamilele yaani maisha ya Mungu uwena uhakika wa maisha ya Sasa na baada ya kuondoka hapa duniani(Wakolosai 1:13-14; waefeso 1:7;zaburi 103:12)furahia mambo ya umilele
@jacobopaul64408 ай бұрын
Oy wee hatari Sana pale msalabani unapatikana ukombozi❤
@NeemaGospelChoir8 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@RubonaMathias6 ай бұрын
Mupiga drams barikiwa mupaka ushangae
@NeemaGospelChoir5 ай бұрын
Amen
@budgetperfumeskenya19992 жыл бұрын
Much blessed here in Kenya.you people are blessed of the Lord. Tumesamehewa dhambi zote.(thank you Jesus for your love).
@jamesmbolesila7600 Жыл бұрын
Msalabani pa mwokozi wimbo mzuri sana wakati huu wa pasaka... Mungu awabariki
@giftndulesi6462 жыл бұрын
Nawapendaa Nawapendaa sana yani mnanibariki sana, Yesu aendelee kuwatumia
@evafernssumbala265110 ай бұрын
Asante Yesu Kwa kutulipia deni. Hatuachi kukufuata.
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen
@kalovwendunga81032 жыл бұрын
Msalabani pa mwokozi. Alisulubiwa sababu ya dhambi zangu. Alichomwa mkuki kwa sababu ya maovu yangu. Alivishwa kofia ya mimba sababu yangu. Indeed mighty Christ loves me. May His endurances due to my inequities never go in vain. Nice song wana Neema
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@collodejesus99012 жыл бұрын
The best choir in East and Central Africa. You guys are something else. Locked 🔒 🔐 🔏 from Kisumu City Kenya 🇰🇪
@gracewanjiku53592 жыл бұрын
Mara tena na tena msalabani pa Mokozi panapatikana ukombozi...nyimbo hii safi sana
@ShaletMkamzungu2 жыл бұрын
It's 04:09AM Nairobi Kenya and I'm worshipping before starting my day. Mubarikiwe Sana
@safirehema62622 жыл бұрын
Mubarikiwe sana waimbaji kazi ya msalaba inabidi tuindendeye kazi Mungu awape guvu nawepesi napenda hii nyimbo sana Mungu ame tu samehee Atuna denii Baba yetu Amelipa yote ❤❤❤❤🙏🙏🙏🤲🤲
@maxmillalando48842 жыл бұрын
Powerful song. Beautiful voices and dancing. Am singing and dancing along. Tumesamehewa dhambi hatuna deni. Ni kazi ya dhamani yake yesu. Msalabani pa mokozi
@sarahkimani73902 жыл бұрын
Waoh what a wonderful song unaponya moyo kabisa Asante Yesu kwa kutusamehe dhambi Mungu awabariki neema choir neema izidi kuwa kubwa kwenu
@Kevinmusau12 жыл бұрын
This choir 🙏🙏🙏🙏❤️nawapenda sana
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@angelinembete7017 Жыл бұрын
Hey Jesus Christ nimimi huyo mmoja kutoka Kenya napenda siku Moja tu yaani nitumike pamoja nanyi nitashukuru mungu sana
@edinalihedule76092 жыл бұрын
Nawapenda sana ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@dastanglory84022 жыл бұрын
Ni kazi ya thamani yake Yesu ooooo msalabani mwokozi😘😘😘
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@Jennifer-l2m Жыл бұрын
Mbarikiwe mno huu wimbo unanibariki sana
@mapishinasia9802 жыл бұрын
Kazi nzuri sana wimbo mzuri una ujumbe mzuri hakika unanibariki mnooo nausikiliza kila mara. Mungu awabariki sana.
@emmanuelgasper112 жыл бұрын
Keep it up guys💥💥💥💥🙌🙌🙌May God bless u abundantly
@joshuajustustz2 жыл бұрын
Tumesamehewa dhambi hatuna deni. Amelipa yote Bwana hatuna deni. Ni Kazi ya thamani yake Yesu oooh msalabani pa mwokozi🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏
@sheilabaji51492 жыл бұрын
Tumesamehewa dhambi hatuna Deni...waaaaaaw..what a blessing...this Easter....good timing...good messege....much love from Kenya......
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@AngelAfrica-w5x2 жыл бұрын
Hakika Yote yalikwisha pale msalabani, neema gospel ni moto mwingine aise 🔥 mbarikiwe sn wana wa Mungu
@paulsamuel62652 жыл бұрын
Hii Kazi yenu ni yathamani Mno,go go go Neema Gospel
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻
@suzanmwalumuli45142 жыл бұрын
Hauchoshi kusikiliza ,nabarikiwa sana na uimbaji wenu,hii ni ibada tosha🥰🥰🥰🥰
@BackintimeGospel2 жыл бұрын
This song it’s a Complete Gospel, and it will never loose it’s taste for generations. Mmebarikiwa Sana .🔥🔥
@muhojasamwel81802 жыл бұрын
Hakika msalabani. Nilikuwa naisubiri video ya huu wimbo muda kweli. Mungu AWABARIKI
@essie1022 жыл бұрын
My always favorite song of God ...ooooh jeez I love this song . NEEMA GOSPEL your amazing keep praising yahweh always ♥️♥️♥️♥️♥️🙏🏼
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@dishonmwaighonda342725 күн бұрын
I bless drumist 😊😊
@nancygichinga18572 жыл бұрын
This is powerful am washing it for the 10th time the song is so so powerful were it not for Jesus tungekua wapi? I love the song you guys are doing good job i love all your songs
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@deborahlameck6862 жыл бұрын
Hakika tumesamehewa,,,,wimbo huu sichoki kutazama mbarikiwe sana🙏
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@deborahlameck6862 жыл бұрын
@@benmparanyiofficiel9988 okay Mtumishi🤝
@fridahwangari72372 жыл бұрын
Can't get enough of this song , unabariki kweli oh my!!! Nimesamehewa dhambi sina deni 🙏
@tulibmwaikenda68262 жыл бұрын
🙌🙌
@dismasgervas57602 жыл бұрын
This song makes nice Easter to me... & it's no 10 Trending music 🙏
@ngirandekirwa67412 жыл бұрын
Unyenyekevu, Uvumilivu na Upendo (3UUU) - Msalabani pa mwokozi ----Mungu awabariki
@rachelpeter87 Жыл бұрын
Mung u atukuzwe kwa wimbo wenye ufunuo mkubwa sana msalabani pa Mwokozi
@dativapoul45252 жыл бұрын
Ohooo haleluya msalabani wapatikana ukomboz 🥰🥰🥰
@graceangelmbugua84339 ай бұрын
Dreamnt with this song woken singing this song....❤ reminding me who I am in Christ
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
Amen🙏🙏
@agnessnazar30882 жыл бұрын
Easter Anthem!!! Mungu azidi kuibariki kazi yake!! Sifa utukufu ni kwa Mungu🙏