Safi sana. Mnatubariki sana kwa nyimbo hizi. Mungu awabarikizaidi na zaidi
@africaneyetv4674 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana mbarikiwe mnastahili kutembea Kenya mshiriki nasi kwa misa takatifu
@saintjosephcathedralchoird37694 жыл бұрын
Ahsante sana, Hakika tunaratiba ya kuja huko 2021 Tutawasiliana
@kevooshowina28674 жыл бұрын
Organist katulia sana.kacheza kitakatifu sana..Big up sana kwa mziki mtakatifu
@josephadolph6054 жыл бұрын
Asee mko vizuri sana kwa kihaya tunasema mligee muno asanteni sana kwa kutuinjilisha kwa njia ya uimbaji
@saintjosephcathedralchoird37694 жыл бұрын
Ahsante Sana kaka Uzidi kubarikiwa
@deogratiuskahigi47384 жыл бұрын
Naomba kujua aliyecheza kinanda katika wimbo huu,
@kevooshowina28674 жыл бұрын
Nahisi anaitwa Santino.
@davmapchannel8322 жыл бұрын
Paschal Gunganamtwa Mhangamkali
@alphonsemundala61513 жыл бұрын
Mzuri iyo tangazo ya kumsifu Bwana Mungu kwa wema wake, kumbe kunyiko Kubwa ni juu kumsifu Bwana. Baba Mungu awabariki wote. Ibarikiwe pia vipaji yenu itoe zaidi matunda haya mema. Asanti sana. Alphonse Marie !
@saintjosephcathedralchoird37693 жыл бұрын
Amen
@fedrickmalamso84832 жыл бұрын
Nitakusifu kati ya watu wengi naipenda sana hi nyimbo
@Arati37 ай бұрын
❤❤
@felisterligwa4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 Hongereni sana na sana kwa nyimbo nzuri,mavazi,kucheza kwa nidhamu ya kikatoliki,inshort everything is on point.Mungu azidi kuwadumisheni kwaya yenu idumu daima dawamu
@hortpeter5630 Жыл бұрын
Milima na mabonde nitapita fadhilì zàķo kwang ni nyingu sana
@butungo14 жыл бұрын
Kumbe mliimba ninyi!? Nimeusikiliza wimbo huu kila wakati na sijaishiwa raha kuusikiliza tena na tena. Mmeushoot vizuri sana -comparatively
@saintjosephcathedralchoird37694 жыл бұрын
Ndiyo Mkuu, Tunamshukuru Mungu Na ahsante kwa kufuatilia na maoni pia
@MauraMwingira4 ай бұрын
Ninabarikiwa sana na wimbo huu nimeuweka kama mwito wa simu yangu. Hii ni zaburi ya ngapi. Hongereni sana. Najivunia kuwa Mkatoliki
@ErasmusZumba Жыл бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri
@kaimbe Жыл бұрын
1:11 Huu mwondoko👍😄 Wanakwaya ni watu wanao enjoy sana
@cyrusnduati45954 жыл бұрын
Nimeishi kutamani Kuona Huu Wimbo Mbarikiwe Sana Kwa Kazi Nzuri
@saintjosephcathedralchoird37694 жыл бұрын
Ahsante sana
@cyrusnduati45954 жыл бұрын
Asante Mbarikiwe
@silasnjenje75214 жыл бұрын
Nimefurahi mlivyosimamia maghani ya kikatoliki! Hamjaweka nyimbo/melody za kilokole.Big up sana! Naipata wapi album hii!
@beatusidama62334 жыл бұрын
Dolcissimo
@mwemeziponsian47958 ай бұрын
Wimbo mzuri saana,mbarikiwe
@valentinomaganga69104 жыл бұрын
Mungu awape baraka zake tele kwa kazi hii nzuri sana. Mnatubariki sana.
@olexanderj.69693 жыл бұрын
Kwaya nyingi zimeuimba wimbo huu lakini kwaya hii imepita zote. Hongereni wenzangu.
@tomorwa62984 жыл бұрын
Hakika hiyo wimbo inanibariki sana
@albertmaneno4 жыл бұрын
Kazi nzuri
@saintjosephcathedralchoird37694 жыл бұрын
Ahsante Sana kaka Albert
@kassianjoseph3383 Жыл бұрын
Kwaya yangu nawapenda sana Mungu awabariki na nawatakia utume mwema.
@samwela.kasamalo21134 жыл бұрын
Hongera mno, hongera pia kwa mwl. Hilary bwagidi
@thomasmsechu47844 жыл бұрын
Nimeusikis huu wimbo kule singida kupitia JUGO MEDIA nikawa nautafuta Original yake leo nimeupata kweli nimeupenda sana chaneli yenu nilikua sjaipata asanten kwakutuburudisha na kutuinjilisha barikiweni sana
@saintjosephcathedralchoird37694 жыл бұрын
Ahsante sana Sasa tumeanza kuandaa nyimbo za kwaresima Tegemea mazuri kwa ajili ya sifa na utukufu wa Mungu
@thomasmsechu47844 жыл бұрын
Niko pamoja nanyie kwa kufuatilia chaneli hii
@charitynjoki62493 жыл бұрын
My best choir enjoying from limuru, kiambu, kenya limuru ni sehemu iliyo na baridi kali Sana hapa kenya
@paschalinaismail65233 жыл бұрын
This is my best song ever! I will always watch it!
@charlesmcharo6664 жыл бұрын
mmetisha sana hongereni sana wapendwa katika kristu
@rosaliamarcel35882 жыл бұрын
Hongera sana! Wimbo mbona pambe💪🙌
@danielmatemu96984 жыл бұрын
Utunzi mzuri sana. Mmeimba vizuri. Kazi nzuri
@saintjosephcathedralchoird37694 жыл бұрын
Ahsante Sana, tumshukuru Mungu kwa mema haya
@aidankilapilo96384 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo bhana... Wimbo uimbe, au uusikie uhisi hali y utakatifu sio uanze kufikiria huwenda ni midundo ya Club Bilicanas 😀
@raphaelngoy16802 жыл бұрын
Tu mshukuru mungu wetu na vietu vyote
@spicarkilapilo4 жыл бұрын
Safi
@aidanvincent7084 жыл бұрын
Ni kazi nzuri🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Mungu awabariki daima.
@lynniecharliey364 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️✨✨🖐️🖐️ Mungu awalinde sanaaaaa
@TheresiaCharles-ys9iy Жыл бұрын
Hongereni Sana kwa wimbo mzurii
@evancebartlomeo25064 жыл бұрын
Verry good singers
@salomemhalule52133 жыл бұрын
Hongereni sana na Mungu zidi kuimarisha utume huu
@emilianamchomvu18614 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana vigelegele na pongezi kwenu ila sifa kwa Mungu juu mbinguni
Hongereni sana nahitaj kupata audio yake naipataje?
@saintjosephcathedralchoird37694 жыл бұрын
Kwa Sasa inapatikana hapa kanisani St.Joseph Cathedral DSM Kama uko mbali tuwasiliane 0621884078
@catherinerugalema55634 жыл бұрын
0746617223
@herbertfaustine44253 жыл бұрын
@@catherinerugalema5563 ulishaipata audio yake
@felisterligwa4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 Hongereni sana na sana kwa nyimbo nzuri,mavazi,kucheza kwa nidhamu ya kikatoliki,inshort everything is on point.Mungu azidi kuwadumisheni kwaya yenu idumu daima dawamu