KWETU HAKUNA WAFUNGWA, NI WANAFUNZI - SHEIKH ABEID KARUME

  Рет қаралды 84,159

Bin Seif

Bin Seif

11 жыл бұрын

Mzee Karume akiweka jiwe la msingi kinu moshi

Пікірлер: 39
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 4 ай бұрын
Adui wa Zanzibar alitoa hotuba nzuri yakinafiq siku ya uhuru kumbe moyoni alikuwa na dhamira nyengine kabisa ila nae mungu kamlipa hpahpa dunianai kamatadini tudani
@alirenge3432
@alirenge3432 5 жыл бұрын
Allah amjalie makazi mema inshallah
@hashirsalim9570
@hashirsalim9570 3 жыл бұрын
Ao ndo viongozi,xaiv wapi hakuna viongozi Tena , Sera zake ni km za mar-hum maalim seif , mungu awalaze mahala pema peponi
@biramsakh9212
@biramsakh9212 5 жыл бұрын
Alikua vzr huyu shekh karume mzalendo anae penda watu wake Allah mpe MALAZI MEMA amin
@hajihaji8153
@hajihaji8153 3 жыл бұрын
W
@aboudmsonde2890
@aboudmsonde2890 6 жыл бұрын
Kuliambiwa tukae nao kwa taadhali tatizo tunajisahau ssna
@hbminternationalco.7018
@hbminternationalco.7018 6 жыл бұрын
Heshima kwa muheshimiwa Karume
@artisttigisa7393
@artisttigisa7393 5 жыл бұрын
HBM International co. Mungu akurehemu ailaze nafsiyako mahara Pema peponi
@nicholausjunior4914
@nicholausjunior4914 5 жыл бұрын
Asante karume
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 5 жыл бұрын
Laiti Zanzibar tungejitegemea wenyewe basi tungefika mbali sana Na tungepata maendeleo mazur ya Zanzibar yetu Na ingekua Ni visiwa vyenyekuleta mfano ktk Africa mashariki. Naskitika Leo kiongoz kama huyu hakutokea tena mrithi wake wamebaki walafi2 wa madaraka Na kujinenepesha matumbo yao Na dhulma nyingi. Inaskitisha kwel . Allah akuhifadh mheshimiwa.
@weabdulabass7931
@weabdulabass7931 5 жыл бұрын
Saleh Suleiman we yaone tu maajabu hy mijitu inayojiita viongozi haina loloote
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 5 жыл бұрын
@@weabdulabass7931 yan inatia uchungu sometime sio kisiwa cha kusema kila jambo haliwezekan kufanyika wakat kwa wenzetu Zanzibar Ni kama mkoa2
@weabdulabass7931
@weabdulabass7931 5 жыл бұрын
@@salehsuleiman1218 mijitu inapenda matumbo ndio ttzo
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 6 жыл бұрын
Nyerere nuksi kishenzi
@asilclub
@asilclub 10 ай бұрын
RAISI MWONGO HATA HAJUI KUVAA NGUO HUYO MSHENZI
@husseinali9760
@husseinali9760 3 жыл бұрын
Allah akupe makazi ya Firdausi uko ulpo amiiin
@allysuleiman6022
@allysuleiman6022 2 жыл бұрын
Firiidas wamzee said au unaongelea pepo ya Allah kma nipepo sema Astaafru,,,Allah maanake ukiuwa au kushiriki basi pepo ya Allah niharamu kwako
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 3 ай бұрын
Usitoe hukumu muachie Allah(SWT) mm na ww hatujui hatma yetu Allah(SWT) atujaalie khatma njema na pepo ya Firdaus pamoja na waislamu wote waliotangulia maana jambo la kutoa shahada jambo lenye thawabu kubwa.
@ikramsafnes3019
@ikramsafnes3019 5 жыл бұрын
ALIKUWA KICHWAAA
@abdallahsuleimanhamad5634
@abdallahsuleimanhamad5634 5 жыл бұрын
Maneno mazuri na adimu sana
@nadhrakhalfan7375
@nadhrakhalfan7375 Жыл бұрын
Nb n❤neither one plus ipo iuj
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Zanzibari lmemezwa
@bakarimtangenange7455
@bakarimtangenange7455 7 жыл бұрын
Hakika zanzibar imepoteza mtu muhimu
@rogastianezekiel2257
@rogastianezekiel2257 8 жыл бұрын
tutawakumbuka daima,ila tuna mchapakazi rais wetu magufuri nchi iko salama mikononi salama.
@howardally8330
@howardally8330 6 жыл бұрын
Dah ishi kwa amani hakuna raisi kama karume milele hatotokea kama karume mm sikukuwepo ila ana utu ambao wengi wao ss ivi wameukosa
@yousufharthy6876
@yousufharthy6876 6 жыл бұрын
Howard Ally Samahani bahato Yako hujakuweko. Aliyofanya karume kwa wananchi na mauwaji hata kwa wenzake ASP ni ukafiri. Tizama maelezo ya Amani Thani in you tube ujuwe ukweli
@howardally8330
@howardally8330 6 жыл бұрын
Yousuf Harthy haya sawa sikatai ila mazur yake pia yapo na Mungu ndio anajuwa vp Amhukumu mwenyewe
@mwanaeidizenji8264
@mwanaeidizenji8264 5 жыл бұрын
Mh hayo maneno
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 5 жыл бұрын
Uyumzee anasera nzuri ilikuwa tuna nchi nzuri sana lakiniwapiiiiiii ndotusaaau watu wabaya wametutowa kwenye mstari
@abdulrahman282
@abdulrahman282 6 жыл бұрын
Hapo ndipo utajua huyu mtu kwa nini aliuwawa na wasio julikana!!
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 жыл бұрын
Abdallah Kassim Hanga Othaman Sharif Saleh Sadala Twala Amani Thani Nao hawa tusisahau kuwaombea Dua.
@mbarouknassor4177
@mbarouknassor4177 3 жыл бұрын
Azmtv
@allyramadhan3740
@allyramadhan3740 7 жыл бұрын
huyu jamaa hafanani mtu na nchi imepoteza kila kitu vipo kwa mabepari na wasomi we tu sisi wananchi wakawaida tunaangaika no new
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Wazanzibari au watanzania Watanzania umeitoa wapi nchi yako NA dola yako NA mamlaka yako watanzania gani tangu lini unaona mtu anauza nchi yake kwa kuwa NA madaraka huko kiyama tutaulizwa kwa nafsi ya watu waliouwawa tena hao ni wazanzibari waaslamu NA hata kafiri huna haki ya kumua sasa wazanzibari wanalia kwa uamuzi. Wako ya kijinga NA kutawaliwa tena baada ya kupata uhuru kamili kutoka ungereza
@bakarimtangenange7455
@bakarimtangenange7455 7 жыл бұрын
Hakika zanzibar imepoteza mtu muhimu
@faridkubanda5049
@faridkubanda5049 6 жыл бұрын
Hongera baba karume mungu akulaze mahalapema peponi amin
@nasseralbutrani435
@nasseralbutrani435 6 жыл бұрын
Vipi imepoteza mtu muhimu wakati yeye ndie sababu ya matatizo tuliyonayo sasa. Ameipindua serikali iliochaguliwa
@destiny4life439
@destiny4life439 5 жыл бұрын
+Nasser Al Butrani chanzo cha matatizo seifu alopeleka document muhimu za makibaliano ya muingano kwa nyrere
ABEID AMAN KARUME TALKING OF HIS YOUNGER YEARS!
10:01
Zanzibar Ni Kwetu
Рет қаралды 1 М.
UHURU MAANA YAKE NI NINII? SHEIKH ABEID AMANI KARUME
5:51
Bin Seif
Рет қаралды 80 М.
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 199 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 791 М.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
20. Amani Thani: Kutoka gerezani 1967
13:31
Hilmi Hilal 259
Рет қаралды 1,8 М.
HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 85 М.
"Sikuhusika na mauaji ya Mzee Karume" - Abdul Rahman Babu
2:08
Historical Zanzibar Tv
Рет қаралды 1,8 М.
MWL. J.K. NYERERE: HOJA JUU YA TANZANIA NA MUUNGANO
10:45
VIPAJI ONLINE TV
Рет қаралды 15 М.
Kumbukumbu ya Sheikh Abeid Karume 2016
1:01:16
Mwanahistoria MohamedSaid
Рет қаралды 32 М.