MashaaAllah nakupenda kwajili ya Allah shekhe unanipaa elimu Sanaa jazzakahu khayra
@afric014 жыл бұрын
Shukran sanaaa Sheikh Othman.... Umeongea kweli kabisa. Hiyo ndio tabia ya wanaume wengi. Na hawana usawa hata kidogo. Ndio Mana mwanamke akisikia mumewe anaoa , anaitisha talaqa. Awe muarabu awe mgiriama, make bora ni yule anae mridhisha mmewe hakas. Na mume hana haja kumsifu moja na kumkashif yule mwengine. Shukran kwa kutetea wanawake
@rehemasalim45904 жыл бұрын
Wa siku hiz awana uadilifu kbsa
@zakiafaki76824 жыл бұрын
Ahsante kwa Darsa yako .ALLA azidi kukupa wepesi wa kufundisha Darsa nyeingine InshaAlla.akupe umri mfefu wenye manufaa na Afya njema.InshaAlla. Amin.
@HabibaHared Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mola akuhifathi
@aminamashaallahsaid98934 жыл бұрын
Nakupenda sana kwa ajili ya allah
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Mash Allah tabarakallah jazzakallahu kher shekh othman
@jasminyiddysulaiman98074 жыл бұрын
Maashallah tabaraqallah
@mohameeddoaan22964 жыл бұрын
MashaaAllah sheikh mimi hapa ninapo fanya kazi yupo zezeta yuapendwa kuliko chochote namipia nampenda sana
Na wengi wanateseka na hilo ila hawajijui 🤲 yarabb muongeze mja wako huyu umri mrefu wenye baraka tele awrze kueneza nuru yako ktk mgongo wa radhi na waponyeshe wagonjwa wetu .
@asmintambwe95474 жыл бұрын
Amiin
@lkshmykomar54724 жыл бұрын
Amina Yarab alamin
@lkshmykomar54724 жыл бұрын
Allah akubarki shehe Othman shukuran Kwa dawaq
@thomasthomas-sb5be4 жыл бұрын
Asante shekhe niombee dua mume wangu aweze kutambua majukumu yake
@fatumaaly74443 жыл бұрын
Mashaallah
@tumajunior60804 жыл бұрын
Mashaallah shukran jazzakallah
@meddykiju82894 жыл бұрын
Ni kweli sheikh haya yametukuta wengi asante
@aishaaisha14954 жыл бұрын
Pole
@sharmilarashid54014 жыл бұрын
Masha Allah,masha Allah masha Allah asant Sana darsa nzr na inamafundisho mazr asant kwa ukumbusho Allah akulipe kher insha Allah
@jasminihamisi60984 жыл бұрын
Mashaallah kwa mafunzo mazuri
@aminamooni14884 жыл бұрын
Mashallah akupe nguvu naumri mrefu. Uzidi kutuelimisha
@hadijajohn74342 жыл бұрын
Maan shaallah. Kweli kabisa AFYA njema ndio kila kituu kuliko mali ulizo zichuma.
@CatherinePhilipo-t9q Жыл бұрын
😢😢😢
@rehemasalim45904 жыл бұрын
Mashallah true that
@amenamaashaallahyasheikh34573 жыл бұрын
Maa sha Allah
@rehemamdemu4594 жыл бұрын
Maa shaa Allah tabaraqallah
@raomy823 жыл бұрын
Mashllh
@mahramarswad60413 жыл бұрын
Kweli hujakosea shekh mtihani watoto huku
@aminamashaallahsaid98934 жыл бұрын
True shekh thax
@afric014 жыл бұрын
Aslm alkm wtw.... Kweli kabisa Sheikh Othman. Dada moja alimvumilia mmewe miaka. Alipo fanikiwa , alienda kuoa na akawahi kumjengea hadi nyumba, huyu wa kwanza amekodishiwa nyumba na watoto hawana pakulala room moja Sheikh wetu. Wanaume wanatesa Sheikh. Heri ukae bila na haiezekani.
@shathusuu49263 жыл бұрын
Shukran sana shekhe wetu yani haya mawaidha nikama umenitolea mm wallah kama ni wana wasikivu wanaume niwaskie jamani
@asmaasmi90194 жыл бұрын
MashAllah tabaraka rahman wajazaaqa Allah kher
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Wanaume wengi sana wa siku hizi wanamshindwa kumuhudumikia mke mmoja tu na watoto wao ati anakwenda kuongeza mwengine, si afunge tu. Unakuta wan'ume wengi sana wa ulimwengu huu kakusanya wake analishwa akivishwa km yy ndio aloolewa ima hana kitu au pesa yake anaeka bank anajitia watengeneze maisha (biashara au kujenga) mwisho wake anongezea mke.
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Ulimwengu huu na maisha haya ya sasa tunayoishi km kweli unaangalia mke na wanao basi hata hayo matamanio yatapungua. Hao wenye mali wengi wao hawana nguvu kwa pirika na majuku waliyokua nayo. Unakuta wanaooa wake wengi, wengi wao ni masikini, mafukara na wenye uwezo kidogo pengine wakuangalia mke na watoto kuwasomesha na kuwatunza basi. Lkn tatizo wanaume wa siku hzi wavivu wa kujishughulisha wanakwepa huku wanakwenda kuoa kwengine. Mambo yote wanaachia wake zao majumbani. Na pengine hata nguvu za kuongeza hana sikwambii kuitunza familia yake, ilimradi ufakhari tu, fulani kaoa na yy aonekane kidume aoe. Basi km unataka kuoneka kidume lisha mkeo usimuache anahangaika mitaani kukopesha biashara na kuuza. Na wengine wanafika mpaka Uarabuni kupiga deni yy bwanamkubwa kakaa nyumbani ananenepeshwa ili aongeze mke. Wanaume wengi sana siku hzi wamegeuza mtaji kuoa wake wengi.
@maimunaabdalla71464 жыл бұрын
Shee c wanawake Tu,wanaume wanangombanisha mpaka watoto wao WA mama tafauti,Niko na udhaifu mume ana watoto wakiume wawili lakini mmoja kamtelekeza kisa yeye kipenzi chake niyule alizaa na mke ndugu,atakacho ndicho hupewa,maskini huyu mwengine yeye nikaa jibwa kwake mlangoni ,kukubali atarushiwa kikiisha nibasi.shekhe toa darassa la Baba wabaguzi Kwa watoto madhara yake.🇰🇪001
@nasradada70504 жыл бұрын
Jazakallah kher. MA Sha Allah Allah ya Afiki nina swali ustadh namba namba yako.
@saidahamisi80094 жыл бұрын
Asalmu Alekum shek nimependa ulivo sema na mola akuzidishie
@zammaulidi75073 жыл бұрын
Wallah umesem kweli nishaona hayo yote mungu akupe kheri
@douachiite30704 жыл бұрын
Mashallah.Huyo niukweli.
@saidahamisi80094 жыл бұрын
Wazidi kunijenga kiakili shukrani
@juliethkatabwa53063 жыл бұрын
Shekhe nimependa mawaidha yako mazuri. Hila wakina baba wapo wanaotoa watoto wao makafara. Mimi Nina ushuhuda wa kweli. Na Mara nyingi anatoa watoto wa mke wa kwanza
@shamimadam33653 жыл бұрын
Shekhe hii ni story ya maisha yangu kabisaa but inshaAllah mola ataniwezesha
@bndrbndr42234 жыл бұрын
From ubalikiwe Sana kwa maubiri
@rehemasalim45904 жыл бұрын
Mwenyewe mke mdogo ila uke wenza waliuweza mitume na maswahaba
@zuwenazuwena94984 жыл бұрын
Uke wenza hasa kwa kizazi hiki sana nikujichumisha dhambi tuuu
@kiemenafishingenterprises9434 жыл бұрын
Shekhe upo eneo gani na naweza kukupataje Shekhe wangu
@zohoraramadan45404 жыл бұрын
Chukua namba za simu hizo hapo zinazopitabkwenye skirini umpigie hawa hawa jibugi comenti maana muda hautawayosha ni mara 1 sana wanajibu
@saumuseif91894 жыл бұрын
Kweli kabisa
@MariamMohamed-bw8xf4 жыл бұрын
swadakta inshallah shukran shekhe
@mamussi68724 жыл бұрын
Shukran kwa darsa
@thurayaalriyamy86354 жыл бұрын
Maneno yako kweli shekh. Mwanangu yupo Canada mtoto wake wa miaka 6 kapiga cm polisi kashitaki mama kanigombea unaamini shekh wazee wamepewa warning kuwa akishtaki tena watawachukuwa watt wote. Tumewaambia waje za oman
@salmaabdalla36454 жыл бұрын
Hakika umesema kweli mvumilivu baada ya kula mbivu hula mbovu
@aminamashaallahsaid98934 жыл бұрын
The way unavyotoa mawaidha ya kunigusa moyo
@fatumaali86014 жыл бұрын
Swadakta
@shehabusakaki39884 жыл бұрын
AL MADRASATUL ISTIQAAMAH Kinondoni, Dar Es Salaam, Tanzania. Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh, uongozi wa madrasa unapenda kuwataarifu kuwa eneo la madrasa linalotumiwa kwa sasa lilitolewa kwa muda. Katika harakati la kutafuta eneo lingine, Allah amejalia kupatikana kwa eneo jipya ambapo inahitajika Tsh 15,000,000 milioni, kwa ajili ya kununua eneo hilo. Hivyo tunawaomba kuchangia upatikaji wa eneo hilo ili tuendelee kutoa elimu bora na mafundisho sahihi kama atakavyo Allah Subhana Wataala. Tumeambatanisha picha za eneo hilo.Tuma mchango wako kupitia Tigo Pesa namba 0679 983270 (RASHIDI KITADU)