MWANAMKE KAMA HUNA TABIA HIZI CHAFU | JUA WEWE NI MKE MWEMA | SHEIKH OTHMAN MAALIM #MasjidMtoroTv #OthmanMaalim #NdoaNikaah
Пікірлер: 562
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Mungu akutunze shehe mie nmekuupata na Kuna tabia naziacha kuanzia leo
@MwanamkuluShabani Жыл бұрын
Sheikh maalim napenda mawaidha yako yana mafundisho na allah akuhifadhi na akulipe fridaus inshallah
@harimamodrick9263 жыл бұрын
DAAAH eeh mung tujaalie waume wema na wenye HOFU ya mung sote tusioolewa, inshallah ameeen, na tukawe wake wema kwa waume zotee
@aminsalum57312 жыл бұрын
Ameen
@nooor1120 Жыл бұрын
Aameen
@kassimsalim6160 Жыл бұрын
Ameen Ameen yaallah
@SharifaOman-bf1bn Жыл бұрын
Aamiina insha allah
@kellyngogo33193 жыл бұрын
Salaaam! Na ukristo wangu NIMEKUPENDA MAHUBIRI YAKO MAZURI SANA. Mungu Akubariki🙏
@mariammjuwanda16073 жыл бұрын
Karibu tena sikunyengine kwani yapo mengi yakufaidika nayo
@masasitanga88653 жыл бұрын
karibu katika uislam
@zeyanasaleh83443 жыл бұрын
Karibu katika uislam kipenzi
@tabassammohd55882 жыл бұрын
Mashaallah
@asilahassan99652 жыл бұрын
Karibu kpnz ktk dini ya hakki
@rahemaissa9867 Жыл бұрын
Allah atuongoze sisi wanawake ktk tabia njema inshalah Amiin 🤲
@zuenasadick94332 жыл бұрын
Tatzo langu Moja shekhe mm n Islamic lakn nimepata mwanaume wa tofauti na dini yangu na ana Kila sifa ya kua mume Bora manshaallah lakn nafanyaje awe muislam
@AliMohamed-pj1sb Жыл бұрын
Kama hatosliimu hufai kuolewa nae
@ysgtge81144 жыл бұрын
Allah atujaliye tuwe wanawake bora kwenye famillia yetu namuke bora kwamume wangu ❤💓
@TheLegend-vj5zt3 жыл бұрын
Ya Allah subhana wa taala nijalie Mie na wanawake wote wakiislam tuwe Katika wake wema na Mwanamke wa peponi
@fatumahamadi13794 жыл бұрын
Shukran Shekhe Athman ALLAH akuhifadhi n Elimu yako n akupe Kher y Dunia n Akhera asante sana kw Elimu nzr tunafaidika n kuelimika ALLHMDULLILLAH
@ashurasaid50173 жыл бұрын
Wallahi huwa napenda mawaidha yako shekh kwani yanaeleweka sana na unaongeaga kwa msisitizo mungu akupe mwisho mwema
@saudaomar71054 жыл бұрын
Nilianza kumsikiliza sheikh othman maalim from 2005/2006 15yrs+i get to see him from my tablets those days i used radio
@zenaal-baalawy32624 жыл бұрын
Sauda Omar@ Even me, nilianza kumsikiliza since 2007
@saudaomar71053 жыл бұрын
@@zenaal-baalawy3262 walahi sheikh mawaidha yake inapendeza
@zenaal-baalawy32623 жыл бұрын
@@saudaomar7105 Ni kweli
@rehemamgunga88543 жыл бұрын
inshallah Mungu atatuepusha na maaswi haya tuliyo nayo wanawake sheikh othman maalim Mungu akupe kheri uzidi kuishi maisha marefu inshallah
@kassimsalim6160 Жыл бұрын
Ameen Ameen yaallah
@abeliever6823 Жыл бұрын
Namuomba Mola Allah ampe Sheikh Othman afya kamili pamoja na ikhlaas, taqwa na mwisho mema. Allah amhifadhi yeye na watoto wake. Allah abariki elimu yake.
@jumaabdallah51543 жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh. SHEIKH Othman Maalim hongera sana ALLAH akulipe hapa duniani na kesho akhera. Kwani unatupa mawaidha mazuri yenye kujenga Iman ALHAMDULILLAH
@zainabmaulidi98463 жыл бұрын
Sheikh Allah akupe Afya njema na akupe mwisho mwema nakupenda kwa ajili ya ALLAH
@fat-hiyamachano65574 жыл бұрын
Mashaallah uo wote ni uzuri wa dini ya kiislamu dini ya haki ladhaa isiyoisha kwa tunaoipenda alhamdulillah
@gildaswai80653 жыл бұрын
Mashaallah
@thimeahmed59854 жыл бұрын
Masha Allah nimejifunza mengi Allah atujaalie waume bora wenye mfano wa mtume Mohammad S.A.W
tunajifunza mengi kwa kweli allah akupe umri mrefu wenye manufaa na kheri nyingi inshaallah
@bintyy_sultan35694 жыл бұрын
Allah atuwekee Masheikh wetu, tuendelee kuchota ilmu kwao... Amin yaa rabb Alamiin....
@ZuwenaSalim-dn3qb Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye kheri utufunze sisi navizazi vyetu amin amin
@aishaaboud44063 жыл бұрын
Subhanallah Mungu atuongoze katika ndoa zetu yarabbi Golden speech Shukran sana Shheikh wetu
@TunnuAlly-bp7ur15 күн бұрын
Allah atujaalie kuwa wake wema kwa waume zetu
@morrisuhuru Жыл бұрын
Shekhe uthman nakubali nasaa zako za ndowa twaumia vijana majunba yetu ni kama magereza ila twaomba mungu atupatie subra amiin
@apexmombasa6809 Жыл бұрын
Ma Sha Allah ya Sheik Othman Malim kwa mawaidha nzuri
@naswidiaabdulkarim50054 жыл бұрын
Mashaallah allah akupe umri wa kheri akuripe pepo ya juu firdausi NIMEUPENDA MUQADDIMA WAKO WAKIBABE jazaakallahu kheri
@SharifaMuhamed-od5dl Жыл бұрын
Yaa Allah, tujaalie tuwe katika waja wema wanaofuata maarisho yako na Mafundisho ya Mtume (s.a.w)
@Dalilahothaman Жыл бұрын
Mawaidha mazuri Sana ila ustadhi naoutaje na sifa za wanaume wanao owa Kisha mwanake ndie muhudumu wandani ujilishe ujivalishe kwaiyo mwenye ndio ndoa zinakuwa wanawake hawaheshimu waume zao wambie wajitahidi majumbani mwao ustadhi
@khadijahamza98254 жыл бұрын
Tunakupenda shekhe Othman maalimu kwa ajili ya Allah 🤲! Mungu tujalie kheri wanawake wote duniani tuwe na moyo kama wa Bi khadija mke wa Kipenzi chetu Mohammad S. W. S
@sakinat25274 жыл бұрын
Ameen yaa Rabb
@khadijahamza98254 жыл бұрын
@@sakinat2527 🤲
@mohameeddoaan22964 жыл бұрын
Aamin InshaaAllah yaarab
@aishaabdullah2334 жыл бұрын
Allahumma amiin
@aishakhamis29964 жыл бұрын
Ameen....
@jdjdjdu85424 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka llah.. Allah azidi kukuongoza.. Nmeambiwa n mchumba wangu nisikize hii ili nijiandae kwake shkrn ya shekh jazakallahu kheir
@AshaHassan-fl8tw Жыл бұрын
Mashallahu asante shehe kwa mawaidha mazuri kabisa nimefurahi mno nakufuatilia shekhe vipindi vyako na mungu atujaalie tuwe miongoni mwa.wale wanawake wema inshaal
@youngsimbawcb18143 жыл бұрын
Shekhe mawaizaa yako nimeyapenda na nimejifunza Sana ............ Ahsante Sana shekhe
@fatumaombebi493 жыл бұрын
mwenye mwenyezi mungu akupe maisha malefu uzidi kutuelimisha inshallah
@mwanaharusizubeir97464 жыл бұрын
M.Mungu atujaalie tubadilike tufate nyayo za mama yetu bibi Khadija ili mwisho wa maisha yetu tuingie peponi inshaallah
@ammaralhazmi42574 жыл бұрын
Shukran shehe kwa mawaidha mwenyenzi mungu aku jalie kilalaheri nasisi wanawake. Wakislamu atujalie tu we kama bi Khadija
@tumajunior60804 жыл бұрын
Jazzakallah shekh Othman maalim umma wa Allah wakuelewe hapa duniani na kesho aakhera akulinde na kila shari
@frdmedia62354 жыл бұрын
Amin ya rabby
@mishymasare29564 жыл бұрын
Amiin yarabi
@YvonneMukoya Жыл бұрын
MaashaAllah sheikh Othman nmejifunza mengi kupitia hii mawaidha acha nijitahidi nisiwe mwanamke mchafuvkwa mme wangu lnshaAllah
@HabibaSaid-q1m Жыл бұрын
Upo vzr shekh wang Allah akuongoze akupe daraja LA juu
@kabarekemussa99294 жыл бұрын
Kama mtu wetu angekuwepo hai... Sheikh Othman maalim angekuwa miongon mwa swahaba bora saana.... Allah akuhifadhi sheikh wngu nae kupinda kuzidi maelezo.... Hekima kubwaaa jameni...
@fatmasuod64394 жыл бұрын
Unaongea kwa Umakini na unaeleweka mashallah. Allah akupe umri.
@ayshankadushi7403 жыл бұрын
Shekh Allah akulipe
@nooraallahuakibarumwenyeez30794 жыл бұрын
Shekhe othumani maalimu Allah atukutanishe sote fridauthi inshaa Allah na Allah atuongoze ktk njia ya almustakim Allah akuzidishiye shekhe
@nasmajuma42364 жыл бұрын
Allah akujalie umri mref uendeleee kutukumbusha tuliyosahau na tusiyoyajua na mwenyezimung atujalie kuwa wake bora kwa waume zetu dunia na akherah insha Allah
@swabreenaali64414 жыл бұрын
Jti
@sharifasuleiman91344 жыл бұрын
Mashallah shekh Othuman mwenyezi mungu kakupa Elim na azidikukupa zaidi elim
@hawaramadhan7437 Жыл бұрын
Shukraan jazillah sheikh wetu Allah akujaze majazo memah❤kwa jili ya Allah
@tawsi-yc3nk Жыл бұрын
Mashallah mawaidha yamenikosa mungu akufanyie wepesi undelee kutuelimisha
@muzdatseif35403 жыл бұрын
Mashallah allah atujalie tuwe wanawake wa peponi
@abeliever6823 Жыл бұрын
Mola amhifadhi Sheikh Othman pamoja na family na watoto wake na waislamu wote
@fatmashamte46112 жыл бұрын
Maashaallah shekh Othman Maalim,Allah akutulize zaidi nazaidi kama mbingu angani na akuepushe nahusdaa zawafitini,Aamin.
@ruwuianjojorachide189 Жыл бұрын
Amin
@zuhoor-mc7hq Жыл бұрын
شكرا ما شاء الله تبارك الله جزاك الله خيرا يا شيخ صدقت❤❤
@zainabndete16083 жыл бұрын
Maashallah Sheikh ujumbe mzuri,kwa hakika kulikuwa na Muhammad akapatikana Khadija katika zama zetu hizi hawapatikani wenye sifa za muhammadi ndiyo maana hawapatikani akina Khadija.Baada ya kujua hili ni wajibu wa kila muislam kujitathmini kama mume je una sifa za Muhammad na kama mwanamke je una sifa za Khadija.
@asilahassan99652 жыл бұрын
Naam
@maryamkhamis9493 Жыл бұрын
MashaAllah shukran kwa ujumbe wako mzuri na na vip kuhusu wanaume maan na wao wanapenda kukutumia hilo neno la talaka waandalie na wao wajue si kwetu tu
Jazakha llahah kheira shekh wallah nimejisikia vizuri Sana na mafundisho yako nimeyaelewa mungu anifanyie wepesi niyaepuke yote mabaya yasiyotupendeza wanawake Kwa waume zetu
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
Mungu mwema atujalie mwisho mwema 🙏🙏🙏🙏🔥🙏
@sheikhasalimhilali31314 жыл бұрын
Shukran sana sheikh kwa mawaidha mazuri yenye kutufuza sisi wanawake.
@bintmwanyello2350 Жыл бұрын
Mashaa Allah allah azid kukusimamia shekelhe
@salimgonda44573 жыл бұрын
Ma Shaa Allah. Hakika sheikh Othman mtu akukusikiliza anabadilika kuendea njia ya sawa. Allah akupe umri mrefu utuongoze wengi.
@abdullahiddykawambwa-lq2in Жыл бұрын
Namuomba Allah kupe umr mrefu shekh wangu
@AshaHassan-fl8tw Жыл бұрын
Shukrani shekhe kwa kutuelimisha mungu akujaalie inshaal
@faizanassor63364 жыл бұрын
Mashallah shukrain allah atujaliye tuwe tumfuwate nyonyo za bi khadija kwa uwezo wako allahuma ameen
@iyayummy99414 жыл бұрын
Mashallah mawaidha yametugusa wengi... tunaomba shekh utuandalie na mawaidha yanayohusu wanaume wanaosumbulia hata ukinywa maji ...wanaolaumu kwa kila kitu...wanaodharau wake zao na kuthamini marafiki au wanawake baki...
@musasisia98033 жыл бұрын
Mawaidha masuri inshallah na mwenye ezimungu akujaze hikima
@fauziamukhwana52114 жыл бұрын
Masha Allah a nice darsa may Allah bless you abundantly
@siti72652 жыл бұрын
Allah akupe kila la kheri ktk kaz yko mashaallah
@abdulmalikhamadi86344 жыл бұрын
Shukran shekhe wetu Allah akupe umri uzidi kutuelimisha Insha Allah
@sakinat25274 жыл бұрын
Ameen
@bellbell92944 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu kwa ujumbe mzur Allah akubariki jazaka Allahu khaira
@ashakala46874 жыл бұрын
Mashaallah sheikh Osman Maalim. Allah Akulipe na Atupe mwisho mwema.
@mlolimloli2665 Жыл бұрын
Hakika anatoa mufundisho boa zaid
@rahmahmussa59803 жыл бұрын
Shukran shekh
@swaibajafari44273 жыл бұрын
Allah atujalie tuwe wake wema Allahuma Amiin
@NurrKipsang-yz8oy Жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu NIJALIE mke mwema kama hadhija
@zamdamuhamed75032 жыл бұрын
Mashallah 🙏🙏 darsa zurii saana Allah akulipe kheriii pia atujalie na sisi tuweiongon mwa wake wema kwa waume wetu Inshallah 🙏🙏
@fatinasudi38064 жыл бұрын
Nimekupata Uzur Maalim...Allah azidi kukupa maisha marefu ili uendelee kutupa elimu zaidi.
@husseinali97604 жыл бұрын
Masha Allah allah akupe afya njema, umrii mrefuu kutupa elimu kubwa ya dini yetu ya uislamu insha Allah
@ShafShamat4 жыл бұрын
Mashallah, jazaakallahu khaira fil dunia wal akhera in shaa Allah
@saidahamis93003 жыл бұрын
MaashaAllh
@fatumamh62883 жыл бұрын
Mungu akuzidishie jaman
@hadijahamssin89414 жыл бұрын
Maa sha Allah darsa zuri Allah atujaalie tuwe wake wema na waume wawe waume wema .... Mola akujaalie pepo ya hali ya juu Shekh Othman Maalim
@daulamuni89963 жыл бұрын
Mashallah sheikh. Umetugusa kwa baadhi ya sifa
@thuwaibamohd82333 жыл бұрын
Mashaallah sheikh othman Allah akulip kheir nakupend sana sheikh othman nataman hata ungalikuw mmoj wa watu wa familia yng .
@saidahamisi64044 жыл бұрын
MashaaAllah jazzakallahu kher sheikh othman yaa Rabbih akulipe kheri fill dunia wal akhera Amiin
@shanimwakilima9683 жыл бұрын
Mashaallah Shekh ubarikiwe Sana na Allah adhawajaallah
@hasi-uh1dm Жыл бұрын
Maashaallah Allah akuongoze zaidi
@MaiyaSleiman Жыл бұрын
Mashaallah tunajifunz mengi kutok kweny mafundish yak Allah akujaalie wepes inshaallah
@shahidarashidy52724 жыл бұрын
Waleykumsalam warammatullah wabarakatu Allah atujalie wanawake tuweniwenye kubadili tabia zetu.Amiin
@musasalimu45923 жыл бұрын
Allah aw ape afyanjema wanawake wote waskifu
@shadyaadam89193 жыл бұрын
Mashaallah Nafaidika sana na mawaidha yako sheikh othman. Allah azidi kukupa umri mrefu, uzidi kutuelimisha.
@naimamunishi12414 жыл бұрын
wallah sheikh othman nakupenda wewe kwjl ta ALLAH!mawaidha yako hunitoa machoz sn😥,Allahu main as aluka husnul khatima
@rahmaabdillahi27954 жыл бұрын
aamiin
@salmaalimusa5474 жыл бұрын
Amiin
@salummindu2804 жыл бұрын
Asalaam Alaykum sheikh Othman. Ki ukweli umegusa panapo itesa jamii yetu tunayo ishi nayo duniani kwa sasa. Kwani siku hizi ni kama bahati mbaya vile. Kumpata mke mwema. Sasa ni ajabu kubwa sana sana sana kuwa na mke ambaye ni mwema na mwenye nizamu ya hali ya juu. But Allah atupe wake wema sisi na vizazi vyetu. Amin amin aamin
@ayshasalimaysa20304 жыл бұрын
Shehee maashallah Mawaitha yako sn mazuri Mwenyezi mungu akujarie Kilalaher
@asharamadhan36674 жыл бұрын
Masha allah allah ampe umri mrefu wenye manufaa shekh wetu
@abdallajuma88992 жыл бұрын
Assalam alaikum warahmatu wabarakatu, wasia wangu kwa waislam wenzangu dunia ni mapito tu
@AliMuhammad-ik3yf3 жыл бұрын
Mashallah maalim Athman Allah akupe umri mrefu uzidi kutuilimisha in shallah
@zuenawhite47774 жыл бұрын
Allah akupe kheri nyingi uzidi kufaidisha umma sheikh
@hammadyndonga33152 жыл бұрын
Asalaam aleikum kaka Alhamdulillah Allah Kareem wallaih nko n matatizo ambayo yanaitaji subra ya Allah kuyashinda kwa kweli mm naitwa Hemedy ntokee n mkaazi wa kenya lkini tatizo langu nko n mke ambae najaribu sana kumuelekeza kwa misingi ya dini lkini tabia zinaghalifisha sana ila n subra ..Ambiliki jeuri heshima matusi na n mke mkuu najiribu kumueleza lakini mara una kuwa mzuri mara anarudi vile vile NTAFANYAJE
@giseleamida6944 жыл бұрын
Mnyezi mungu akulipe kila lakheri Sheikh wangu
@mkuuissah10373 жыл бұрын
Mashallah shukran kwakutuilimisha shukran aza wahala mkuu Issa Nairobi pangani mudhainga
@mahramarswad60414 жыл бұрын
Shekhe wetu Allah akulipe kheri amin yarabil alamin 🤲🤲lakini hayo yote unayo yaongea wanaume wengine ndio wanazo wao maana tunachoka tunastahamil sana na ukiwaona huwafikiri
@salimmariga1492 жыл бұрын
Jazak Allah kheiryan nakupenda Kwa Ajili ya Allah
@saidi.s.lihondo37674 жыл бұрын
nashukuru sana shekhe othman maalim
@shabanijmrisho4715 Жыл бұрын
Na'am ma'alim mashaallah
@zubedaally35534 жыл бұрын
Nashukuru sana shehe nimeelimika kupitia darasa lako alla akupe mwisho mwema