Leo nimeamka nikaukumbuka uu wimbo daa ninoma sana much love ditto 23.5.2023
@May-hs2nx10 ай бұрын
This is 2024, bado nafurahia nyimbo za huyu Mwamba. MUNGU akutunze na kukubariki popote ulipo
@stewartnairo48977 ай бұрын
2024 anybody?
@ericksonmeshack66407 жыл бұрын
Yani kuna wasanii na wanamuziki lakini huyu jamaa ni Kati ya wale wanamuziki wachache tulio nao gonga like kama unajua kuwa ditto ni mwanamuziki ni si msanii
@esterkalimbo97998 ай бұрын
Mwamba anajua ❤❤
@HappyJohn-h8qАй бұрын
@@esterkalimbo9799mnoooooo
@danielmsafiri30187 жыл бұрын
Dito ur de best naelewa an unachoimba km unamkubali dito gonga like yako hapa
@tinnyjulius59304 жыл бұрын
Mda mwngne hua nashangaa Sana ngoma kal Kama hii inakubalka Sana ktaa Ila Cha ajab hata viewers hata 500k haijafksha
@marydominic90336 жыл бұрын
Team ditto na ngoma kali kama hii. Kama unamkubali dtt gongaa lk yk hapa
@jeneralAthanoel7 жыл бұрын
Mamamamaeeee hiii nyimbooo nimeshawaomba ma DJ wanne sehemu tofauti warudie
@6paprildate116 жыл бұрын
Kazi za wahenga ni nzuri sana hasa Mzee babu ditto noma sana Kama umenielewa like twende sawa
@rosechami6497 жыл бұрын
Woyoooooooo unakuja kwa kasi kama umekubali nyimbo gonga like apaaaaaaaa
@omarysaidy66337 жыл бұрын
mkumbwa uko vizuli wafundishe hoa
@rashidgwebe48737 жыл бұрын
Rose Chami kweli kabixa tusambazeni
@mwahijamnyakumi8166 жыл бұрын
Rose Chami nzur mnooo
@yusuphmasinzi15756 жыл бұрын
bro ww ni fire
@akhamedimaster64002 жыл бұрын
24 may 22 listen this song from west lion Vancouver Canada 🇨🇦 imis home Tanzania 🇹🇿 est Africa ❤️ ❤️🌹
@kamandab79767 жыл бұрын
Mashahiri yalionde shule
@NGUFUSALOMI Жыл бұрын
2023 and you still listen to this beautiful song, hit like button!
@ambrosekwezi9507 жыл бұрын
Huyu jamaa hajawahi kukosea nani anakubaliana na mimi?
@clemensefabby50947 жыл бұрын
KABISA AISEEE
@mwanatashamimiapa38087 жыл бұрын
Yani mimi nauludia kila saa kuutizama yani huyu kaka yupo good
@omarhajji24987 жыл бұрын
mm nakubaliana na ww kabisaa
@gracechris76627 жыл бұрын
Yaani mm na mume wangu tunaupenda mno hadi nashindwa kuelezea jamani
@fatmaomar30137 жыл бұрын
Ambrose Kwezi jamaa anajua san yan ,,bas tu
@hadassperez4947 жыл бұрын
Yaani huu wimbo mtamu. Ila views hazipandi. Jomoni toeni support kwa wasanii wote haswa wenye kazi nzuri 😕😕😕
@mumlulu34017 жыл бұрын
hadass perez bongo bahati mbaya
@mumlulu34017 жыл бұрын
hadass perez watu wanaubaguzi jamanii...wako wcb tu na kwa king kiba
@barkeysharobling67597 жыл бұрын
hadass perez ndio nashangaaa.mimi ni mkenya namkubali huyu jamaa sana
@enockwilliamkulwa93457 жыл бұрын
hadass perez raia wanazngua na team zao
@gadsonmrema57393 жыл бұрын
Mzee Ditto
@mkapamollel69905 жыл бұрын
We jamaa unajua sana ,tatzo nyota
@happymrutu72872 жыл бұрын
Ditto kwangu bongo nimwalimu. Nakubali sana nyimbo zakee kal cnaaa yaan anajua mpaka bc
@evaresthamaro52207 жыл бұрын
Kweli kilicho baki ni kubembea maan sijielew
@hilarymungure85903 жыл бұрын
Sitokusahau hii nyimbo enzi nikiwa chuoni
@marwasibena75903 жыл бұрын
Where did you go Lameck? We miss your beautiful lyrical charms man. Please resume your production and entertain us with your good muzik.
@mwanatashamimiapa38087 жыл бұрын
Uwiii jamn mie sichoki kuisikiliza
@faridachangarawe76985 жыл бұрын
Lameck yani we ni fundi hadi leo nyimbo ikojuu
@shaurikiyanga60337 жыл бұрын
Nakuelewa sana ndugu yangu na wimbo huu ndio wakuitia ktk simu yangu
@Bravin116 Жыл бұрын
Huu uandishi ni wa a million dollar pen.
@chrisbee78767 жыл бұрын
ditto anaweza sana uwaga nampenda kama rama dee vile
@sashoright82132 жыл бұрын
Tanzania house of talent THT inajengwa na wengi lkn Ima the boy na dito ao naona Kama watu muhn mnoo
@ashangohi4506 жыл бұрын
bado nabembea kupendwa natamani ila naogopa
@asiamwarabu75107 жыл бұрын
kama umeipenda mpaka unaishiwa nguvu kutype gonga like twende
@paulkimweli77186 жыл бұрын
Asia Mwarabu
@elishafungoishoboy556 жыл бұрын
Mmh
@momabruky4 жыл бұрын
Wapi wale tunambembea bado Hadi 2020???
@NnNn-cd3to4 жыл бұрын
Yaan hili song unaweza umbea mkopo aki!
@johnsongirbert1416 Жыл бұрын
2023-11-29 ❤️🔥🔥🤞🤞🤞 nikitendwa nautafuta huu wimbo, kila nikiwa single😊😂😂
@AbdallahMhando-if8fr9 ай бұрын
Janja unajuwa sana
@erinymwanuka63455 жыл бұрын
nyama kama laini ila kisu naona but😍😘😍😘😍😘😘😘🤗🤗🤗🤗
@esthermichael6986 жыл бұрын
Oyooooooo to a wimbo Ababa we we ndio no 1 wangu bongo.aiiiiiiiii mtunzi mia mia kuimba aiseee
@hancenestor39464 жыл бұрын
Washaaaa,,,,
@sebastiankulaya24324 жыл бұрын
Kama kuna m2 anabembea kama mm 2020 gusa
@Ruddybwai Жыл бұрын
2023 still one of my favourite songs
@AbdulMajeed-mz8bo7 жыл бұрын
Hujawahi kukosea
@samsonmwakalasya25913 жыл бұрын
Dito hauchoshi kukusikiliza. Rudi kazini
@abdallaabedi23545 жыл бұрын
Du wimbo mzur kwakweli good broo👏
@frednjeleka8757 жыл бұрын
Everything about this song is on point. Keep up the good work brother