Yani uyu sheila anavyonikosha anafaa kabisa kupewa kazi serekalini anajua sana uhusika❤❤
@AshreyMartine-gz5vu11 ай бұрын
Kishapewa mwayaaa😀😀😀😀
@nurafedrick37811 ай бұрын
Duu sheila noma Haha kinasasauti pap chezea mpelelezi wakujiamini
@BiisheBugao11 ай бұрын
Congratulate sheila 😂😂😂 Nakupenda msichana hauna mbambamba kwenye kazi zako....kma umemkubali sheila gonga like tukisonga jamanii...
@Malandodaudjr11 ай бұрын
Hii Kali sana 😂 kisai kazi anayo
@sharifmwinyi528211 ай бұрын
Saum nikiwa saudi,,pongezi Kwa wote, yani hoo movie Muli ipanga ikabakika kweli,Sheila ongera Sana,nimepeda Leo ulifo weka SIM Kwa box kisai amebaki mdomo wazi ,Kwa kweli nawapeda nyote
@mang220211 ай бұрын
Mimi hua nibaili kutumia MB KZbin ila kwa hii movie imeniteka sana pongezi kwao👏👏👏
@fatumasalim174511 ай бұрын
Nampenda San sheila na mzee Likoma na kp hongeren sana
@Soda-c9x11 ай бұрын
❤❤❤❤Sheila good girl
@NancySibiaOnguti-gb9yq11 ай бұрын
Shey shey haki wewe na akili mnaedana sana sijui nikushake unigawe kidogo
@SarahWanyonyi-dz6hq11 ай бұрын
Mrs shayshay we n mnoma sana aky mungu akuzidishie mpendwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@gracejastini11 ай бұрын
Mres shei shei uko vzur kweny kazi yako nakupenda bule
@abasskamanda776111 ай бұрын
Ms shei kiukweli uko vizuri ktk kazi yako
@ishladyishlady789711 ай бұрын
Mrs sheishei na mr kp mpewe hongera kwa kazi nzuiri sana pig up team last card 🤜🤜🤜❤
@AshreyMartine-gz5vu11 ай бұрын
Nawajibia tunakushukuru
@abdallahassan637811 ай бұрын
Waooo sijachelewa sn jmn ❤❤❤❤ naipenda sana tm KP Mungu azidy kuwapigania
@MarthaIsrael-kn7ud11 ай бұрын
Kp nakuoneya urumasana kupambana akiyako kisai nimekuta nimekuchukia kuwagombanisha zebuu na kp unaakilinyingi kwenye last card fram Australia gali bado natafuta ela kwasababu yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😮😮😮😮😮😮❤❤😢😢😢😢😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ninalia kp nakupenda mimi nimuzungu nimeanza kupitia tanzania❤❤❤❤❤❤
@AshreyMartine-gz5vu11 ай бұрын
Tunakupenda pia
@ulediSada22 күн бұрын
Haki mss shei shei haa umenipa raha sana kwenye hiyi mouvi yani umewuva uwusika kama nikweli vile haki unastaili kazi serikalini nakupenda wewe
@ulediSada22 күн бұрын
Na kp na zebu haaa mweye namweye ninoma sana duu
@Mummywamulumewe11 ай бұрын
Nimependwa hiii ya Leo sheilaa Binti likoma hongera sna Kwa kujua kucheza hii move aki 🎉🎉🎉❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹
@AshreyMartine-gz5vu11 ай бұрын
Anajua mpaka anajua tena
@faithnyansera112411 ай бұрын
Jibu atasema nn WOW I like this game Sheila much love to you na kp na zebuu good work make me happy ❤❤❤
@AshreyMartine-gz5vu11 ай бұрын
Furahia mwaya uongeze cku za kuishi
@celinandyamkama182111 ай бұрын
Miss Shei shei nimekupenda bure yaani umecheza vizuri ❤❤
@MasikaCom-dv8vf11 ай бұрын
Heee yaani leo muna juwakuni furahish Mrs sheishei well done ayiiiiyaa nahitaji mwendelezo hata sahiii ila uwezo hanina asanteni watu wangu Mungu awa zidishiye
@Zadig_Le_Juste11 ай бұрын
Best Team ever to see, Kp's lovers gonga like hapa
@ChristianRugenge-kd1xh11 ай бұрын
Sisi wengine tunakesha KZbin Kwaku subiri serie yetu last card muwe Na towa ata mbili mbili Kwa Siku. Sheila apewe mauwa yake jamani Kwa sababu ana igiza vizuri sana thanks Sheila ❤❤❤❤
@AshreyMartine-gz5vu11 ай бұрын
Asante mwaya
@purity13411 ай бұрын
Much love Sheila,you fit every character dear talent pays
@damawangoni11 ай бұрын
Much love from 🇰🇪❤❤ great job kp and your group congratulations
@RebeccaMasika-p7c11 ай бұрын
Shei shei umeweza kwenye mtego wako Nina Imani Mzee dipoz hatomwamini tena kisai nawapenda sana kazi nzuri Becky mpole from Kenya ❤❤❤
Sheila bonge la mpelelezi upo powa sana uku unashirikiana na master plan kp
@AshaMbeyu11 ай бұрын
Chezea ms sheila ww utakamatwa kisai ❤❤❤🎉
@NuruJuma-f9q11 ай бұрын
Kbsaa sheila nakupenda tu bure kwa kaz zako
@RuthNyatuka-qe3kd11 ай бұрын
WA kwanza from Kenya,,, wakenya show some love ❤❤❤❤❤
@BebecheriLadyswineipupa11 ай бұрын
Haaaa Ms Shai wewe umefanya makubwa kabisa
@eliphasethobias113311 ай бұрын
❤❤❤❤ pongezi sana kwenu nyote chukueni 🎉🎉🎉🎉yenu Napenda kucheza hiii karata Sheila na Kp napenda sana Mbinu zenu nzuri sana natamani Kisai ashindwe hiii video
@oswardjaphal-cd6np11 ай бұрын
Kwahiii Sheila ume wua haki yamungu ume kava nafasiyako vizuli sana. Kwabwembwe kama zote hongela
@nancyshikuku-vs9le11 ай бұрын
Good job guys am watching from Saudi Arabia.
@magaliesalal605411 ай бұрын
Nimeipenda iyo, da sheila twende kazi , msichelewe sana
@MulukweJohari-ip2cs11 ай бұрын
Sheila nimenza kukupenda sasa 🥰
@JescaFelix11 ай бұрын
Safi Sana Sheila akili kubwa Mr kisai kisayakanyaga
@elishamartine674411 ай бұрын
Wakwanza jamani naomba like hata 10
@douglasmuthee14588 ай бұрын
John Deere
@matanoathman11 ай бұрын
Kp naja bongo kumwangalia miss sheishei mashallah ako juu
@Lucksrenmwaz11 ай бұрын
Great job .waigizaji wote wanacheza role zao vyema inapendeza sana
@AshreyMartine-gz5vu11 ай бұрын
Very tarented
@Wanzoho-g7n11 ай бұрын
Kazi nzur san jaman huyo kisai lazima tumfunze adabu 🤜🤛🤜🤛
@SirJustuskimKimeu_25411 ай бұрын
Your Kenyan number 1 fan is here with you........I love your work
@MWANAIDIMBETO11 ай бұрын
Nan km Sheila,hakunaa
@AronMerchory11 ай бұрын
Jaman suraj🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FaustinaAngelo-d4d11 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢 kisai kimekulamba Sheila uko wap uje na polis huyu ksai simwamin kabisa
@eliphasethobias113311 ай бұрын
Hahahahaha jamani Suraji na likoma mmenichekeshass😂😂😂😂 Suraji una Mimba 😂😂😂😂
@aminaramadhan973111 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@AshreyMartine-gz5vu11 ай бұрын
Muache anko hana baya
@MusaMulima11 ай бұрын
Hapo Ndipo mnanituliza sasa nasubiri 22 . Sheila ana plan nzuri mno
@marynamachanja183611 ай бұрын
Wow hongera sana miss Sheila na kp 😂😂😂😂❤❤mpewe kazi kwa serikali sasa
@jeanpierrelouisfilskalunga42511 ай бұрын
Miss sheishe we niatari kabisa
@dancankawa200711 ай бұрын
Sheila is actually more intelligent than any other,,she has even to given some position in courts mostly in Kenyag,,we are aware of lies and corruption ,,love you miss shiela good job,, from. Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪,, watching
@AshreyMartine-gz5vu11 ай бұрын
Thank you but you have to congrats all team because if she can walk alone no body can see we have to respect all the team and apriciate them all thank you we love u❤
@IssaShahibu11 ай бұрын
O my god😂😂
@VeroHerman11 ай бұрын
Safi sana sheishei nakupenda bure
@ZiporahMs11 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 good job 👍
@REHEMA-t1m2 ай бұрын
Wife snatcher huyu hapa sasa Mr. Kisai😂😂
@HazinaSaid-ze8lk11 ай бұрын
Team Kp &Zebuu mkiwa gulf gongeni likes zenu apooo❤❤❤❤
@AdreckBrugedia8 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MaqiuletPaul-jk7xn11 ай бұрын
Madam shei shei upo vizuri natamani kukuona
@stacymutindi769911 ай бұрын
Much love from Israel ❤
@DavidTheobord-yv3cf11 ай бұрын
Soo interesting
@magnibrondi315211 ай бұрын
Cheilla umecheza kama pele pokeya 🌷🌷
@christinamethod236411 ай бұрын
Kp unaweza bhn.. Binafsi me siwez kulalamika et unachelewesha kaz coz ni waz kuwa unatumia akili nying so unahitaj muda mwing pia😁 thus why unatutulea vitu conkiiii💪🏻❤❤❤
@AshreyMartine-gz5vu11 ай бұрын
💙💙💙
@Dibozi_manuva11 ай бұрын
Best comment of the year ❤
@christinamethod236411 ай бұрын
@@Dibozi_manuva thanks dadaake🥰💪🏻
@Mjingafaki11 ай бұрын
Shey shey nimempenda sana❤
@gogoloveofficial566611 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
@sofiaswedi728411 ай бұрын
Love Sheila kazi nzurii
@naomiehakizimana500011 ай бұрын
Miss cheichei mwenye mpango songa mbele nawakubali san kisai kinakuramba 😂😂😂eti unamtaka zebu pôle niwa kp❤
@nyamiziramadhani423211 ай бұрын
Sasahv kp na sheila washirika 😂😂😂😂 bac kaz nzr sanaaa
@gaf987411 ай бұрын
Congratulations guys Kp&Zebuu Nawapenda sana wote❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Elizakilisipinilikolika199611 ай бұрын
Congratulations sheila nakupenda sana mwaaaaa l love you baby ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@aliyahaji851211 ай бұрын
Good job na zebun na all the team ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@FrancisLemu-s6k11 ай бұрын
Jmn cjui sheila unaakili gan ww congratulations 2 ue
@IreneMwai-r3k11 ай бұрын
Great job miss shei shei 💖 I like your idea and deaks❤❤❤
@rayyanKassim-s8x11 ай бұрын
Yan hii ya leo imejua kunifurahisha😅😅😅😅😅😅 duh yan shei shei nakupa saluti we love you hauna mamba ktk kz zko tena ❤❤❤
@Eldaheliya-zl5to11 ай бұрын
so siri sheila nakukubali san dad unajua kunifurahisha
@RoziDocta-cq6bb11 ай бұрын
Wanaoamini kp na ms sheila watamaliza hii pambano
@MariamKaluki11 ай бұрын
Kazi safi sna kp en ur group,,,sema kp umempa salut miss sheishei😅😅😅😅❤
@purity13411 ай бұрын
Can't wait next episode guys 😍
@chambomvungi11 ай бұрын
Miss shei shei we n noumaaa kweli utamlamba kisai
@gerardnduwimana960311 ай бұрын
Much ❤ from BURUNDI 🇧🇮
@GoshenKaylah11 ай бұрын
Very interesting,,,much love Mrs Sheishei❤❤
@NajmaMohammedy-u4y11 ай бұрын
Bila mzee likoma na suraj movie isingenogaa🤣🤣🤣hongereni sanaa team kp 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@jaymapepefatma593611 ай бұрын
Together we can 🤝💪 This is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
@LilianWanyonyi-d3k11 ай бұрын
Congratulations Sheila gud work siz APO umeweza kabisaa siz much love you
@MildredNyongesa-g7n11 ай бұрын
Good job miss sheyshey na Kp,, nawapenda sana ❤❤❤ from Kenya.
@PerpetuaJackob-sg5yq11 ай бұрын
Sheila upo gud iseeeee unajua kuigiza 🎉🎉🎉maua yako miss sheishei nakupenda na team yote Kwa ujumla