Mnamaliza lini na ukaguzi? When are you starting the operations officially ?
@HajiKlein-so1rk4 сағат бұрын
Safi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫡
@DafiMohamed-dz8xk8 сағат бұрын
Hongera sana kazi nzuri
@JustinMwashilindi4 сағат бұрын
Jambo zuri san
@ernestsinje97003 сағат бұрын
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
@renatusblandes11313 сағат бұрын
Speed hikoje?
@erickbabu44044 сағат бұрын
Nulisoma Ka tren ya mchango du
@AAAAlphan4 сағат бұрын
Me nataka ya ghorofa maan sisikii tena
@aliakrabi83216 сағат бұрын
LATRA wanakagua nn sasa wamekaa juu ya viti kama wasafiri
@cidewashington6706 сағат бұрын
Hovyoo kabisa kila siku maneno mengi vitendo vichache
@kilogreekachananawatuwasio4054Сағат бұрын
HIYO SI BULET????
@KibwayaMsouth9 сағат бұрын
Mnazingua kilasiku majaribio aumumeleta kama fashion
@karimmkejina9808 сағат бұрын
We vitu vya mabilion uwezi kuweka relini2 haraka haraka
@highlife6779Сағат бұрын
Oya hayo ni maisha ya watu mzee. Lazma ukaguzi ufanyike wakutosha
@ernestwegga65577 сағат бұрын
Utaalam mmepata wspi
@karimmkejina9806 сағат бұрын
@@ernestwegga6557 kwani sikuna ile nyingine inatembea au tatizo watanzania baadh mnapenda sana haraka haraka hicho chombo kitaishi zaidi ya miak30 lazima umakini uwepo kabla haijaanza kazi alafu ndio kanuni za treni sio kama wanajifanyia2
@abuelolongavida72614 сағат бұрын
Ni dhambi kubwa kujidharau.....je Kama ingekuwa wazingua ungeuliza hili swali?
@BernardBenedicto-o9w7 сағат бұрын
😂
@utopolo5439 сағат бұрын
wanakagua nini kwa wao ni ndo waundaji? Posho tu
@agapemunyi20958 сағат бұрын
Likitokea lolote utarudi kuuliza kwa nn wanapokea tu vitu half hawakagui
@zzy11417 сағат бұрын
Kweli utopolo
@utopolo5437 сағат бұрын
@@agapemunyi2095 sasa wanakagua nini wakati wao sio wataalamu wa fani husika? Au latra wana engineers wa hyundai?
@mosesnyelo13807 сағат бұрын
@@utopolo543 unajuaje sio wataalam ila akili za wabongo ni 0 kabsa