Mwandishi uliza maswali yenye tija ili wasikikizaji wako tupate faida
@jimmymnuano7165Ай бұрын
Wame washutikieni viwanja vya Dar mmevichafuwa kwa chakatu chakatu mahepe ndiyo maana mmekasirika na wanga wenu mpaka mapovu yanawatoka
@salimmalaka256Ай бұрын
WEHU NYIE NANI AENDE ZANZIBAR NAULI KWENDA NA KURUDI HOTELI USAFIRI WA KWENDA BANDARINI NA KUTOKA BANDARINI KWENDA UWANJANI NA KURUDI BANDARINI KISHA BANDARINI KURUDI MTAANI KWAKO MACHOFU SIKU MBILI UHARIBU KAZI YAKO KISA VIBOVU MNACHEZA 😂😂😂😂😂 KURUJUWANI IMESHA WAPIGA MATOPOLO 😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE
@bone102Ай бұрын
Sasa nani anayefanya hayo kama sio nyny mliokimbilia zanzibar baada ya kuona uchawi wenu haufanyi kazi si mlienda uwanja wa kmc mkaloge kisa Simba anapata point na goli nyng ule uwanja 🤣🤣🤣🤣
@yasinramadhan6829Ай бұрын
huyu jamaa kichwa maji
@mkilwaabdul9230Ай бұрын
wewe kichwa mavi mpuuzi.kuna ulazima gn ku comment utopolo mpuuzi
@salimmalaka256Ай бұрын
MAJINA MAKUBWA KICHWA KIMEJAA MATOPE 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO 😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE
@HamzaMdudaАй бұрын
Ww unashangiliaga mwanzo mwisho
@salimmalaka256Ай бұрын
NDIO
@andrewsalufuАй бұрын
Waambie waache ubaguzi , kwani Zanzibar ni sehemu ya Tanzania , na mpira siyo uhasama , na vile vile apunguze ukali wa maneno , anaposema "amebemendwa " akumbuke anamtukana Mzee Shabani Kamwe , ambaye ni mtu mwenye heshima yake , maana unaposema hivyo ujue aliyefanya hivyo ni huyo mzee na wala siyo Ally. Kwa hiyo Japhet uwe unaangalia watu wa kuwahoji wawe na hali gani...