Lava lava uko poa dear, wewe ndio Simba wa kesho🤩🤩 kila la heri 🙏🙏🙏, Wapi likes za Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@juniorlefti2 жыл бұрын
This is wow!
@janjaneston016 жыл бұрын
LavaLava toka kilio mpaka Leo unaliaa bro.....nipo naww kweny majanga hayo ya mapenzi......kila wimbo wako unaniimba mm tuu.....#WenyeGunduInLoveNdoTunaelewaa kamaanisha nn.......🙌🙌🙌🙌 ww fundiii sana
@zubedakilango63386 жыл бұрын
love this song
@douglasisayasemu31346 жыл бұрын
Nelly Wangu du pole ndg
@irinekaganga47326 жыл бұрын
penda xn ww
@janjaneston016 жыл бұрын
@@irinekaganga4732 blessed Reine😍
@kevinsila-r2h7 ай бұрын
Nyinbo zake zote kateswa. But I like his creativity
@GloryJohn-nm5wo6 ай бұрын
Ambayo tup. 2024 hapa tujuane kwa like
@mohaweheliye88525 жыл бұрын
Gonga like kubwa kwa lavalava ka we ni fan Wake toka Somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴
This song really comfort me at this time when I'm heartbroken... Nimegundua ukiwa heartbroken songs huwa inakucomfort... May God bless these Artis... Please I'm just requesting for like ...
@bessynimwaka15103 жыл бұрын
Helloo lady
@fatumabakari14803 жыл бұрын
realy tunaopenda.kwel alwayz we cry😭😭😭sijuii n.bahat🙆🙆
@sonylove21963 жыл бұрын
@Alice Anyango I hope you got healing...
@farruckahmed15363 жыл бұрын
Pole jamani
@liliaoko87652 жыл бұрын
Tuko kwa same situation dear
@runsdn89492 жыл бұрын
nazipenda nyimbo za lavaLAVA sana kamauko said yangu dunga like😍😍😍✌✌✌
@fredjohntz67324 жыл бұрын
Kulia nimelia nikiomba like zenu 🇹🇿🇺🇬🇧🇮 jaman gundu wangap wameipitia hii ngoma 2020
@abdiazizabdinoor94464 жыл бұрын
Mm
@amissamugisha60534 жыл бұрын
Tup wengi san
@amissamugisha60534 жыл бұрын
Tup wengi san
@jacobwek14244 жыл бұрын
U don't get likes coz ur only thinking of only three countries!!;instead it's Eastern Africa at large!!
@salimlupatu83074 жыл бұрын
Nyimbo mnzuli sana inamaana sana Mimi mmoja wao mpaka sasa
@Nonie-up4wr9 ай бұрын
Who is here 2024,nimetendwa tena 🥺😭😭am back to listen to my favourite song and am crying uncontrollable 😭😭😭😭aki moyo wangu waumia sana😣😢🥺😭😭😭😭
@RumeyRuji8 ай бұрын
We're back😢
@paulinesimiyu38097 ай бұрын
Hugs dear ❤
@PeaceMwantisi6 ай бұрын
Am here
@verahmosomi20243 ай бұрын
Pole mwenzangu😢
@Fatushimbegaz2 ай бұрын
Lavalava analia amekosa kipenda roho..vp nawwe mwetu pia ulikosa km mmi na lavalava😢😢😂😂❤
@RahmaVava-lb2ts9 ай бұрын
Siwezi kosa like zangu za 2024hatakama humkubali mwamba aliupigamwinga
@MariaYusuf-ch7fz7 ай бұрын
Mimi niko baada yakuambiwa niache kumuita beb tukiwa live TikTok 😢😢😢😢😢😢
@SelemaniMkondela4 ай бұрын
Kayumba@@MariaYusuf-ch7fz
@DEGESTAR6 жыл бұрын
Duhh nimechelewa ku weka comment hapa dah. Hivi kweli coment yangu muna hiona??😀😀😀gonga like kama wa mkubali lava lava
@quintadial14316 жыл бұрын
Juma jux star hauko late Sana mi ndio late better late than never
@scholarmsaki60286 жыл бұрын
Uko vizuri aseeee
@DEGESTAR6 жыл бұрын
Dahh. Kumbe nipo ewani mi kuzani na late
@TechSwahili6 жыл бұрын
kaswida
@TechSwahili6 жыл бұрын
Kaswida
@gshdhshhshs33626 жыл бұрын
Kaka unaimba sauti mungu kakubariki nakupenda😍😍😍❤❤❤🔥🔥🔥❤❤❤😘😘😘😘😘😍nyimbo nzuri
@easterjuma16706 жыл бұрын
Namby
@volinceogolla70136 жыл бұрын
Lavalava yuko sawa
@eunicethikuyu77106 жыл бұрын
Uko sawa kakangu
@kingcolloofficial93445 ай бұрын
Who is here in 2024 😢 after heartbreak 💔 kama mimi mie hapa na Adundo wangu😢
@Eliabthmwambeke3 ай бұрын
😢😢pole
@Fatushimbegaz2 ай бұрын
Am here..bonge 1 heart break 😢😢😢
@kingcolloofficial93442 ай бұрын
Adi nilitoa ngoma moja ya hrtbrk iko hapa you tube -Mazoea by Kingcollo🥲💔💔
@Toribee1526 күн бұрын
Nani mwingine amewatch december 2024
@TOKDADDY-vc6gj17 күн бұрын
✌
@WabwileCentrine12 күн бұрын
3
@KevinOnyango-s8oКүн бұрын
Oyaaaa
@victorrogath62736 ай бұрын
Tuliorud kuitazama hii mwaka huu 2024 tujuane kwa likes
@asomahevans5 ай бұрын
me
@yasirsalim7495 ай бұрын
Bana
@SolomonNganga-f1v4 ай бұрын
❤❤❤ BEKA SAID BEKA
@maimunangare54123 ай бұрын
Mimi hapa nimerudi tena sai
@RASHEEDTV-c3s3 ай бұрын
Mimi hapa😢😢😢
@bernywachira2417 Жыл бұрын
Mwenye mapenzi atokee anitetee. One of the best songs from Lava Lava still here in 2023 it never fades. Raises my spirit whenever am falling apart.
@theolemmenyane67792 жыл бұрын
M from Botswana and I listen to Tanzanian music daily I deserve an award for that. Tanzanian music is so nice
@iddykisome3126 Жыл бұрын
Karibu sana
@saudasaid Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bnTQfZimlJeDq8k
@Thekidp3702 Жыл бұрын
Asante sana ,Wewe ni mtanzania kuanzia sasa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😙
@neigepiranha9320 Жыл бұрын
Did u know kiswahili
@jasminebaibe73556 жыл бұрын
Nampenda sana lavalava,😍😘ana sauti tamu then nyimbo zake hazina fujo unaskiza hadi raha big up broo +254
@wardahamadi23566 жыл бұрын
Jasmine baibe y
@graceerias76455 жыл бұрын
Hi
@salimsalat73815 жыл бұрын
Hi
@kenotambo78815 жыл бұрын
True
@aliceniyubahwe85555 жыл бұрын
Jamani anasauti tamu kama nini Ira na me nampenda sana
@sakinaabdallah77134 жыл бұрын
No body cant ' imagine far'away WE are iwapo tunaona hawa ma stars wetu wa . Tanzania vile wanaendelea n'a music yao mizuri Sana machaallah , thé little comédiens. Mai, n'a wenzake wôte, au teseme, . Diamond. Mbosso. Ali kiba or lava lava mashaallah angaliyeni n'a wale wadogo wanaochomza sasa like yule aloimba nyimbo ya harmonize Pia nae afike mbali kwani anakipaji best of luck wapenzi ndugu zetu' We lôving you all
@strongnana22266 жыл бұрын
Wakenya amjafika jameni..fire fire so swit..video dope..nimeifell hii.iko sawa lava lava hongera sana
@iamfriedrich3 жыл бұрын
Tunatafuta meaning ya gundu still
@CatherineNzeki5 ай бұрын
@becomingfred 😂😂😂😂 sai ulipata meaning yake
@esthermutali72706 жыл бұрын
Naona Maajabu, Kinanizonga Kizaazaa. Kila Mahesabu, Ninayopiga Yanakataa. Nahisi Mababu, Mizimu Yao Imechachamaa. Au Sina Thawabu, Mola Nionyeshe Nyota Ya Jaa. Kulia Nimelia Nikamaliza Leso Nimekosa Kipenda Roho. Mi Nikasubiria Huwenda Akaja Kesho Nilipodososa Kote Ngoma Droo. [Chorus] Mwenye Mapenzi Atokee (Anitetee) Joto Pepeee (Anipepee) Niwe mtoto tete (ohh tete) Anidekee (Dekeedekee) Eeeeh Mi Niepuke Gundu (Oooh Gundu) Penzi Linanichachia Gundu (Oooh Gundu) Nuksi Imenishukia Gundu (Oooh Gundu) Penzii Chachiaa Gundu (Oooh Gundu) Nuksi Imenishukia Gundu. [Verse 2] Ama Sina Bahati Jini Gani Kanivaa Asio Na Jema Kwangu. Ninaemtaka Simpati Vioja Tu Na Karaha Yani Vanguvanguu. Nahisi Nalala Na Bundi Najisonyasonya. Penzi Sasa Bila Hudi Ni Malonyalonya. Nishapangwa kwa Makundi Nikabonywabonywa. Licha Ya Wangu Ufundi Nikapokonywa (me nataka)
@mwajabumanjoti3076 жыл бұрын
Esther Mutali nomb ex
@mwajabumanjoti3076 жыл бұрын
Xbox
@mwajabumanjoti3076 жыл бұрын
diamond nyimbo
@sacdiamohamed4466 жыл бұрын
Www
@wardatema77686 жыл бұрын
Esther Mutali uko juu dada wewe.
@patriciawanjiru-df5neАй бұрын
Mungu ametulinda mpaka sasa 2024 yaisha wengine ambao tuliupenda wimboo huu pamoja hawamo Tena...God has been merciful to us...
@middlesimba6 жыл бұрын
Kama unamkubali lavalava gonga like Hapa
@morinlazaro72956 жыл бұрын
i lo u simba
@mahendemaro19276 жыл бұрын
Middle simba ngoma imekaa good sanaaaa**100%
@ramsonmkama15996 жыл бұрын
Middle simba gundu kweli
@salumubaraka24766 жыл бұрын
ikopoa sana maana hili gundu siopoa
@halekneyshahery48036 жыл бұрын
Fundi huyu
@depampam18983 жыл бұрын
Nakupenda mke wng japo tulitengana zaid ya mwaka lkn kwa Sasa tumekua mke na mume najiona gundu limeniisha ❤️❤️no one like u my wife sanaiya #mama fahad
@diackmane65502 жыл бұрын
from Sénégal, i love uganda and Tanzania music. nakupenda 💪💪🇸🇳🇸🇳
@zaitunjumakeji41202 жыл бұрын
Thank you brother. We have a lots of people from Senegal living in Uganda 🇺🇬
@Thekidp3702 Жыл бұрын
Thank you 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😎
@Sabestianthetraveller4 ай бұрын
Naka yaye cool
@OmanOman-gc1zu5 жыл бұрын
kulia nimelia 😭😭😭nimekosa kipenda roho... penzi limenichachia gundu, ama sina bahati jini kan kanivaa,, naisi nalal na bundi.... mweny mapenzi atokeee anitetee,, liniepuke gundu....
@castoljmwalyego37785 жыл бұрын
Kaliiii.... Swahili to the world.... East africa to the world..... 🇹🇿🇰🇪🇺🇬,,,LIKE ZANGU PLEASE....
@katendenadia33194 жыл бұрын
Kastol Jackson Mwalyego wow I can see Uganda flag
@JulesMugina-oy1yh9 ай бұрын
1:56
@cliffordmutuma1426 Жыл бұрын
2023 still listening to lavalava. Whoever broke his heart, there are no words.
@EmmaMwesh-mp3go Жыл бұрын
Still listening to this song 💔💔😭
@sharonkathini9419 Жыл бұрын
Still here crying this heart break 💔💔💔,may God remember me permanently Juu weuh 🙈🫣
@eunitahnjoroge626 Жыл бұрын
For me ata si heart break..... But inanisaidia kufocus na life
@bintsaid7696 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂@@sharonkathini9419
@naomikageha56011 ай бұрын
True ukweli sana heartbreak 😢
@aminadaudi46806 жыл бұрын
Uku yani nampenda sana iyo sauti yake tuu aina makelele imetulia tuliii unasikiliza wimbo ata auchoki
@winnienjau54866 жыл бұрын
Amina Daudi hauko pekee
@clementmarwa65926 жыл бұрын
Amina Daudi ew
@zeinabmussa15156 жыл бұрын
sina say kwako lavalava uko juu sana. nazipenda nyimbo zako mashallah.
@richardmatonya55204 жыл бұрын
💘🙌🙌🙌🙌
@yaaishbaybe74776 жыл бұрын
mwnye mapenzi atokee..jamani 😢😢😢😢😢penzi linanichachia Gundu tena nkiwa Dubai hahahaeee from 💃Kenyaa goma lanimalizaaa hili yaani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍✌👌👌👌👌👏✍
@muhalito90116 жыл бұрын
yaaish baybe pole mami nuksi itakuondokeya 😂😂😂
@aventkalumiana44216 жыл бұрын
yaaish baybe vp
@kayden25426 жыл бұрын
yaaish baybe nini maana ya gundu
@stephenmwangi6053 жыл бұрын
People talk a lot about Diamond kuwa Simba but Lava Lava is equally a hero. This guys knows how to write and sing. Well done Lava Lava
@nancymwanyae77303 жыл бұрын
True ,his lyrics are rhyming,
@neatkid24413 жыл бұрын
Which guys???,, Just say lavalava tf!!!
@saruniparsanka50143 жыл бұрын
#Absolutely.
@Onemore13 жыл бұрын
Ni kama wimbo ume gusa pahali ndipo
@periswanyaga11973 жыл бұрын
This is true
@joysonsamuel6906 жыл бұрын
254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tupooo ila sisi hatuumizwi na gundu😂😂😂twaumizwa na mercury kwa sukari😂😂😂😂😂kazi nzuri our brother
@reginahmuriithi58945 жыл бұрын
joyson samuel 😂😂😂😂😂😂😂
@officialmrtop10186 жыл бұрын
Fanya mambo kaka achana na wavivu wanaokimbia kazi WCB
@quintadial14316 жыл бұрын
Nzisabira Ernest nimefanya
@officialmrtop10186 жыл бұрын
Quinta Dial safi sana kaka pamoja sana
@aliyah8473 жыл бұрын
Me Sina bahati ,,,kulia nimelia mpaka Sina machozi Tena moyo uliwacha kupenda ,,,jini lililonivaa limeharibu maisha yangu
@dottoabdul41836 жыл бұрын
Lava lava alie toa wazo la hii video ametisha sana inasisimua mwili ukimuona mtyu unaempenda yupo na mwengne kwel unais uchz
@abdisamadmohamedhirsiabdis36095 жыл бұрын
Without Somalis this song wouldn't be known Shoutout to all my somali Kenyans Somali Tanzanians and world wide 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴
@najmaabdi82732 жыл бұрын
We are here bro #somali kenyans 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴
@khalidyare30172 жыл бұрын
How bro?
@Thekidp3702 Жыл бұрын
Lol
@barnettayo82493 жыл бұрын
Lava lava is the GOAT! This guy never disappoints always bringing his A game to the music scene. Simply he's a top notch musician
@michaeljeremiah6346 жыл бұрын
Nimechelewa kinoma...waliochelewa kama mimi gonga like ya nguvu kwa lavalava..gundu
@godfreypatrick94476 жыл бұрын
Omb mung akpunguzie gund
@alysaleh39305 жыл бұрын
Nafsi inakupeleka siko acha mziki tumeletwa duniani kumuabudu allah sio kufanya mambo yasio eleweka.sw
@briemaiashie83846 жыл бұрын
Tanzania has so much talent luv u my fellow Africans ...much luv frm Zimbabwe
@tafaramakwara56694 жыл бұрын
true zvinorwadza kuti l dnt understand knackered one thing but still l love thm
@rosekadzo83974 жыл бұрын
Mwenye mapenz atoke anitetee, napenda unavo kimbia 2020 mko wap tupia like tumtetee huyu jamaa
@augustuscaesar28164 жыл бұрын
Me nimekuja nkutetee wewe
@rosekadzo83974 жыл бұрын
@@augustuscaesar2816 welcome
@najatjaphet45244 жыл бұрын
Daaaah love mkak unajua 😘😘😘
@samirakenya78404 жыл бұрын
Niko hapa na nampenda sana. Nairobi lady. Namtetea
@eliudwambugu51854 жыл бұрын
Karibu useme unapenda kivuli chake 😂😂
@saidahj25436 жыл бұрын
Wakenya mpo🇰🇪🇰🇪wapi likes za lava lava...wcb💪
@quintadial14316 жыл бұрын
KENYAN GIRL tumeweka kumanisha hatujawachwa nyuma hata
@stareast36346 жыл бұрын
KENYAN GIRL nice
@adamnasoro38076 жыл бұрын
lava lava nimekuelewa bro
@timamohamed53456 жыл бұрын
KENYAN GIRL tupo hapa saana
@fartunabdullahi50536 жыл бұрын
Tuko
@melvinniceanyango29192 жыл бұрын
Nilimpenda sana mwimbaji huyu niliupenda wimbo wake mno!!
@maximemasinga9504 Жыл бұрын
Uko wapi wewe?
@michlins75243 жыл бұрын
I love this guy waah.....wayachagua maneno poa sana mtaani wangu wanguvu......nakupenda
@michlins75243 жыл бұрын
Iam heart broken......imenifariji oooh napenda santiii wako broo
Thank u for making good songs Lava Lava even if i don't understand. Much love from the Caribbean. African diaspora from Haiti 🇭🇹 to St-Martin 🇸🇽
@lillypendo41372 жыл бұрын
This guy is equally to Diamond...Tena ni mkali kushinda Simba❣❣I am proud to be a Tanzanian🔥🔥🔥🔥🔥
@saadmgendi85376 жыл бұрын
Mbona Lava lava anafanana na mapenzi 💞🔥🔥🔥
@quintadial14316 жыл бұрын
Sam4really Tz juu animba mapenzi
@raizaabdallah21226 жыл бұрын
sana
@immanuelsamwel94096 жыл бұрын
Dah kwa kweli wimbo mzuri Kwa waloumizwa na mapenzi wamenielewa apo 😓😓😓
@gumaakayrash78746 жыл бұрын
San. Lvalav
@rosemarysebea85226 жыл бұрын
Wa kwanza mimi. Rosemary sebea. Nimeumizwa na mapenzi. Oo gundu
@huseinmabula78226 жыл бұрын
lavalava nampenda so moch
@Faithdolls2 жыл бұрын
I feel umenifinza ajabu......this song imenitouch sana na imguza sana life gundu ukweli naipokea
@onowuizuchukwu72576 жыл бұрын
All the way from Lagos Nigeria, i say keep it up bro. am one of your biggest Fan here in Nigeria. Music is Life. salam Dada.
@FreddyAjali3 жыл бұрын
Anyone who hurts Lavalava is Godly sent.. Wanafanya anaonyesha talanta sana
@barryleger87335 жыл бұрын
Kulia nmelia nkamaliza leso....napenda sana huu wimbo...wapi likes zangu .....
@dembaacisse9936 жыл бұрын
Na register wa Kenya hpa pita na like tumtetee hyu jamaa
@rahimyusuph72266 жыл бұрын
Chombo kwa hewa Nisheeeeeeeeeeda!!!
@lisandrocoelho29604 жыл бұрын
Boa dica
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
👌👌👌👌💔💔
@sish70126 жыл бұрын
Yani hinyimbo umenimbia mm kabisa asakile kipande chako richa ya ufundi wangu
@visionstudios68046 жыл бұрын
Si Sh pole
@quintadial14316 жыл бұрын
Si Sh wabkweli
@CollinsKamone5 ай бұрын
Hii nyimbo yanikumbusha mbali kaka much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@enosjaji16194 жыл бұрын
Lava lava Umepotelea wapi,, we miss this type of music maan
@mamashani9543 жыл бұрын
My favorite lava lava love you from Kenya...
@saumjonsonh70193 жыл бұрын
@@mamashani954 lo
@Aggiejulius5 жыл бұрын
The way I love your songs, your voice, your smile on your videos,like everything is dope. 😍Hii nayo imeweza, when I heard it in a matatu I was asleep but I woke up to listen. Thumbs up Lavalava keep up, +254 we appreciate your work
@bernie.213 жыл бұрын
Kabissa
@ruthmoraa8764 жыл бұрын
Mwenye mapenzi atokee anitetee I love the song very much keep up bro
@divinahkerubo86352 жыл бұрын
Who is here sai 2022 Dec kuskiza huu wimbo after heartbreak 😭😭😭let's gather here tusaidiane kulia wadau
I don’t understand what he saying but I feel like he’s talking about love 💙I wish one day I will understand what he saying 😢😔😍😌😉one love from Djibouti 🇩🇯 keep up brother💐💐🤙
@happyjacline9885 жыл бұрын
Rayane C Key wawoo nice 👍 if you understand he talk about love ❤️ this is swahili language
@kamandacobra4985 жыл бұрын
ni nzuri
@abbabaccarat69395 жыл бұрын
Rayane C Key am coming to Djibouti very soon I will tell u girl Plus i liked u
@chrismmwas5 жыл бұрын
Rayanita. C. Key i
@sullyderek80175 жыл бұрын
Abba Baccarat ❤️❤️❤️
@makumbigouchie10362 жыл бұрын
A socialite makumbi Nicholas from ug I don't clearly understand swahili but this jam is wowww I love the beats n voice ohhh my God 🙏 Hindu 💃💃💃💃💃
@halimamangi6414 жыл бұрын
Pole lover wangu 😘😘😘😘 wenye mioyo yetu mwepesi tunatesekaga kweli! Acha tujikaze. Mtume njiwa akuletee..........
@joetulele98126 жыл бұрын
Massive love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍 hii video iko🔥🔥🔥💯💯
@elgringopapito30626 жыл бұрын
Wa braah pia uko uku😂😂😂
@elgringopapito30626 жыл бұрын
From ortum au sio
@joetulele98126 жыл бұрын
Ushapata mwanangu, hii vidaa nilikuwa nimetegea ajabu😂
@elgringopapito30626 жыл бұрын
Una gundu pia
@michaelntambi8162 жыл бұрын
Uganda 🇺🇬 approves the mighty East Africa. Big up TZ……we miss #Magufuli
@florencekolie43284 жыл бұрын
Mmmmh,,,,I see now your situation is mine too,,,tumwombe Mungu atuletee vipenda roho,,,wawe waaminifu kwetu na wawe na mapenzi ya kweli kwetu,,,tuzidi kuombeana kaka Lava Lava
@skyvee42706 жыл бұрын
Here before 1million views yiiiiey its big😍😍😍wasafi represented nipewe likes😂
@benimagaya79666 жыл бұрын
Vivian skyvee😃😃😃
@quintadial14316 жыл бұрын
Vivian skyvee iko poz
@skyvee42706 жыл бұрын
Beni Magaya 😍😍naipenda
@skyvee42706 жыл бұрын
Quinta Dial yeah sana
@ayoubmwaleba74166 жыл бұрын
Vivian skyvee wacha mamb n ☆☆☆☆☆👍
@sheriff12374 жыл бұрын
King Lavalava walai I can't lie I always listen to ur music Nyimbo zako zikona Message am proud of u .. U know how to sing .. One day INSHAALLAH you will make it buff respect to you
@habibakirungikirungihabiba94075 жыл бұрын
Nakukubali sana lava boy nyimbo zako nazipenda sana ila nitafurahi mno ukiimba na mbosso k nahisi itakuwa Kali sana jitaidi kaka hapo moja
@khatibhaule65986 жыл бұрын
Naangalia hata sichoki video nzuri misemo mizuri uhusika umehusika vizuri
@Lumatimboya6 жыл бұрын
Khatib Haule kwanini amemkopi Jiddena kwa wimbo wake bambi
@rehematindwa15566 жыл бұрын
Sana
@khadijaabdallah79916 жыл бұрын
Yupo vzr kwa kweli
@tumajuma69176 жыл бұрын
Lavalava una sauti nzuri😍.Ila gundu ndio linakuponza😥Kila siku kuumizwa.
@binwaheedalharthy93366 жыл бұрын
Jamaaa akaoge baharini ana mkosi uyu
@tumajuma69176 жыл бұрын
Binwaheed Alharthy hahaha kweli jamani.
@mocommy80276 жыл бұрын
Upo vizuli saut mm hoi
@AbdulWahid-hp8qr6 жыл бұрын
Nakupend buree kk yangu
@queenbae56316 жыл бұрын
lol
@lareineminah13533 жыл бұрын
Dah😭😭 mwenye mapenzi atokeyeeee💔💔💔
@alishaaden93455 жыл бұрын
A day cant end witout mi listening even while am sick am addicted to lavalava💖💖💖💖💖💖💖💖
@mohaofficial14774 жыл бұрын
Boring as hell
@reginaedward48833 жыл бұрын
@@mohaofficial1477 ,
@mrshadad28573 жыл бұрын
Me tooo
@hussendhicis11483 жыл бұрын
Wow classic that is good lova💖💖💖💖💖💖💞💞💞🤴💯🤩🥰🥰💗 lava lava thet sweet and
@thelardhys65373 жыл бұрын
Even in Ramadan
@hamisiabdalla93812 жыл бұрын
My song of all the time sana sana nikiwa heartbroken Gundu... Lavalava 👊
@madimpoz98742 жыл бұрын
Nikiamka mm hutaka tuh nisikilize lavalava ndio nianze siku yangu nampenda sanaa haswa ngoma zake 😘
@shadiidinyo165711 ай бұрын
Sikia kwa watu Kuhusu gundu Ila usiombe uwe na gundu, 2024 here we are ✌🏽
@suthnr3igns9926 жыл бұрын
Team Kenya. I'm the 50St viewer. +254 hit like kama unamkubal lava lava
@xophiamamwindy53386 жыл бұрын
I like it
@suthnr3igns9926 жыл бұрын
Xophia Mamwindy hio song na clip iko juu tu sana
@xophiamamwindy53386 жыл бұрын
yaan ww acha to Kila wakati naiangalia Wala ciichok
@quintadial14316 жыл бұрын
ÇHĄMP Ř3ÎGÑŚ tuko ndani pap tuende wapi saa bado
@RehemaGeorge-c9b9 ай бұрын
Wimbo wako unakosha haswaaa ukiwa kwa situation kama hyoo umeachwaaa umeachika umeachiwa na kuachiliwa duuuh! Unajua kufariji kaka mkubwa solute to you an be blessed for sure so talented❤
@dyphannykerubo23926 жыл бұрын
likes za lava ktka 254,jaman dah ngoma nzuri sana
@dyphannykerubo23926 жыл бұрын
Anas Rashka no n ya nn
@soinagetvonline24516 жыл бұрын
dyphanny kerubo mwenye Gundu kama mm anipigie 0621829203
@ramazanabed15326 жыл бұрын
Mamb vip
@amosnasiali72066 жыл бұрын
for once am here before 1000 views...ebu mnichapie congrats na like..
@dicksonananda52443 жыл бұрын
Mwenye mapenzi atokee,aniteteee🥺😢 Ninaye mtaka simpati,vioja tu na karaha☺️🎧✊🏿
@MINDTVtz6 жыл бұрын
kama ngoma hii ime kugusa basi acha like hapa kenya ozaa
@Hijaby_Gal Жыл бұрын
2023 nimekuja hapa kulia😢😢yani mapenzi ushuzi kabisa 💔💔
@mosesmatula8788 Жыл бұрын
Your so beautiful yu deserves true love😢
@alistarboy57062 жыл бұрын
Hi nyimbo aki yaani bado rewatch coz kikweli ilikilua kazi safi big up lava lava
@odhiamboamayo14365 жыл бұрын
Nahisi Mababu, Mizimu Yao Imechachamaa. Au Sina Thawabu, Mola Nionyeshe Nyota Ya Jaa.
@starnewstvtv11266 жыл бұрын
Uko vizuri lavalava big up
@davidkyengo8696 жыл бұрын
Good
@quintadial14316 жыл бұрын
STAR NEWS TV TV big up sanakwake
@marthamrema84296 жыл бұрын
STAR NEWS TV TV nc Kak katika ubora wako
@ramazanabed15326 жыл бұрын
Hahah
@jipsonisanga61006 жыл бұрын
Makini sana lavalava
@lightnesssiriwa50933 жыл бұрын
Nakukubali lava ngoma zako zinanipa hisia sana😍
@triplea40806 жыл бұрын
🔥 🔥 🔥 am deeply in love with this song,the video and the guy himself ooooh #gundu.......😘😘
@hadijaabdallah54776 жыл бұрын
Triple A lkn una gundu
@Husseinmwanakombo0256 жыл бұрын
Hadija Abdallah mi nakufata weyee
@quintadial14316 жыл бұрын
Triple A ni kamw tuko pamoja sana
@jenephjany74456 жыл бұрын
Yea the song is very good
@nebuhcnyunza54816 жыл бұрын
gwajima
@ambrosesergi71195 жыл бұрын
hakuna mapenzi ya kweli.....good lesson in a hard way #big.ups bro
@sellahmulembo51003 жыл бұрын
Sema kutulizwa roho!!!!!! Team kuvunjwa nyoyo mpoooooo!!!???
@moviezupdates1706 жыл бұрын
255 Tanzania gonga like hapa kuonyesha tupo wengi kuliko 254 Kenya
@wamichdoc3 жыл бұрын
This guy is so underrated and writes the perfect break up song
@sonluckyayoo92833 жыл бұрын
This song is so xwrty
@saudasaid Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bnTQfZimlJeDq8k
@yvonnemumo6714 Жыл бұрын
Lit
@DamarisMutheu-ux5hh Жыл бұрын
Absolutely 💯
@aliceayua3382 жыл бұрын
True ukiwa heartbroken ngoma ndio ukufanya unasahau alafu pia ukidance kila kitu unasahau God bless all the artists in the world
@lydiahmwangi52166 жыл бұрын
Who broke your heart babe??? listening to your music has become a habit! Cant get enough of it.
@sharonmoraa92396 жыл бұрын
Can't get enough of this. Lovely voice. If you agree, piga like
@cwemapembe50484 жыл бұрын
Sharon Moraa very yhh
@halkbazu33263 жыл бұрын
Amzing
@sarahgichuru49823 жыл бұрын
Amazing is the word
@fatumaabdi42902 жыл бұрын
I love this ❤️ song really 💖 imenigusa sana Mimi mwenyewe nimetendwa
@obacktv44686 жыл бұрын
Mr love bite I appreciate u bro kwa melody kaliii...🔥🔥🎧