Рет қаралды 12,431
Katika hotuba kali kama ilivyo kawaida yake Mbunge wa Arusha Mjini Bw. Godbless Lema ameliambia Bunge kuwa ni wakati wa viongozi kuwa majasiri na wasioogopa mbele ya kile alichokitaja kama ni jitihada za kunyamazishwa. Msikilize akifunguka!