LEMA AFUNGUKA KUMGOMEA KUMSALIMIA MAKONDA MSIBANI KWA LOWASA "AMESHACHAFUA JINA LAKO"

  Рет қаралды 143,374

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 635
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 7 ай бұрын
Nampongeza sana mwenyekiti Mbowe kusalimiana na Makonda ameonyesha ukomavuu wa kisiasa na busara
@danielfaustine9503
@danielfaustine9503 7 ай бұрын
Kabisa
@ChoroTesla
@ChoroTesla 7 ай бұрын
makonda mnafiki anongea sana shombo na pumba yaaani anaweza zungumza hata uwongo wq wazi safi lema kwa kumtakaa huyo chizi
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 7 ай бұрын
Chiro acha ujinga sawa.
@JoalAlma-s2k
@JoalAlma-s2k 7 ай бұрын
Makonda he knows nothing kuusu politics
@musakihama7205
@musakihama7205 7 ай бұрын
​@@ChoroTeslahv unajua siasa wewe,au ndio mabendera fuata mwelekeo.?
@evancemapunda9512
@evancemapunda9512 7 ай бұрын
Kuna mtu alipata kumtukana na kumdhalilisha Lowasa kwa takribani miaka nane mfululizo kama Godbless Lema.?
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
Hapo sasa? Nyani haoni kundule mpumbavu saaana
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 7 ай бұрын
Wewe mbona unamtukana Magufuli
@hanifamziray277
@hanifamziray277 7 ай бұрын
Kwahy umepata nn au umempunguzia nn makonda hebu kuwa ss
@jdanny497
@jdanny497 7 ай бұрын
Amelinda heshima yake hakuna cha kupunguziana...wewe unaetaka kuongozewa na makonda kijipendekeze
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 7 ай бұрын
Maishani mwako fanya unachojisikia kikubwa usivunje amri za Mungu na sheria za inchi
@robertempire9542
@robertempire9542 7 ай бұрын
Lema unasema hutaki mahusiano na wahuni huku wakati wa kutafuta kura unajiita wewe ni muhuni na mtoto wana chuga....acha unafiki wewe muogope MUNGU siasa si chuki kama unavyoichukulia siku ukiwa rais si utanyonga CCM wote na kuwafirisi mali zao......Tulia brother.. Mzee wetu Mbowe, Mungu akubariki sana kwa kuonyesha ukomavu na hekima kubwa sana ya hali ya juu ingawa umekaa mpk gerezani lakini ulisamehe...Mungu akulinde sana... Pia Makonda big up kuonyesha heshima kwa wenzako.....
@neemanziku5403
@neemanziku5403 7 ай бұрын
Makonda cc tunakupenda mno tena mno lema dunia hii tunapita kwan ww umetukana mangapi
@Prax1
@Prax1 7 ай бұрын
Akuoe bac
@masubukopita7201
@masubukopita7201 7 ай бұрын
Et unmpenda makonda mbwa Koko wewe
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 7 ай бұрын
HIYO IMEENDA,,,NAMPONGEZA MAKONDA,,,BILA KUPELEKWA WATU HUWA HAWAPENDI KWENDA,,,,TENA TUNAHITAJI MTU MKAKSI ZAIDI YA MAKONDA.
@ChoroTesla
@ChoroTesla 7 ай бұрын
unafikir matatizo ya hii inchi inaletwa na Chadema ????
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 7 ай бұрын
Inaezekana ni chadema haoopoo
@musakihama7205
@musakihama7205 7 ай бұрын
​@@ChoroTeslawewe unaonaje?
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 7 ай бұрын
Kama ulimtukana marehemu lowasa. umeenda kufanya nini msibani we ni mchawi hufai kuwa kiongo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
kabisa
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
Halina akililipayukaji tu
@RahelRonoh
@RahelRonoh 7 ай бұрын
Lema ni muhuuni kama wahuni wengine,haendelee kukimbie nchi Bado chuki mpaka lini mwache jpmapumzike kwa amani
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 7 ай бұрын
Kama kweli lema hakutaka kusalimia makonda basi lema hawezi kuwa kuongoza au kuwa kiongozi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
Hawezi Uongozi huyo hafai
@msafiriamani1824
@msafiriamani1824 7 ай бұрын
Makonda mwenyewe mnafiki tuu
@paulokiwango21
@paulokiwango21 6 ай бұрын
Samahan. Hujamuelewa maana haujamuelewa kiimani sio kisiasa
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 7 ай бұрын
Mbona nyie mnatukana watu mitaani?
@salmaramadhan2725
@salmaramadhan2725 7 ай бұрын
Tena hakuna watu wenye matusi kama Hao chandimu
@HajiKassimu-ww5oz
@HajiKassimu-ww5oz 7 ай бұрын
Kwani we unauwongozi gani ikiwa boss wako kamsalimia lema mshamba sana wewe
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 7 ай бұрын
Wewe nawe ni MTU WA ajabu mshamba tu
@damasiasimba-lk5os
@damasiasimba-lk5os 7 ай бұрын
Huyu jamaal siasa hajui kabisa, namkubali sana Dr Slaa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 ай бұрын
Wewe kanye ulale hujswahi kugombea hata uenyekiti wa mtaa au Kijiji.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 7 ай бұрын
Wewe ndiye unajua
@Nyangindu
@Nyangindu 7 ай бұрын
Aijui watu wamenusulika kufa na nchi waliama sinich siyo mtu bro
@faustineonesmo5000
@faustineonesmo5000 7 ай бұрын
Kwamba Lema yeye huwa hatukani watu na kudharirisha duh😂
@omarkatesh3299
@omarkatesh3299 7 ай бұрын
Kweli kabisa yeye mara ngapi alikua anamtukana kikwete akiwa munger arusha au mara ngapi kamtukana magufuli
@judyngowi391
@judyngowi391 7 ай бұрын
Hajawahi kumsingizia mtu tuhuma kubwa kama Makonda alivyofanya kwa Mbowe
@fadhilimhussein3090
@fadhilimhussein3090 7 ай бұрын
Lema pimbi tu
@herybertsabai6503
@herybertsabai6503 7 ай бұрын
Kashamtukana lowasa kabla hajaenda kwao kua ni mwizi na fisadi​@@judyngowi391
@atutweve4160
@atutweve4160 7 ай бұрын
ROHO MBAYA PUUUH HUO SIO UTZ 😳😳😳😳😳
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 7 ай бұрын
Wewe mwenyewe Lema ni mhuni ti! Nyie mnavyotukanaga mnaona powa! Tulia dawa ikuingie! Hapana Chelsea Makonda!❤❤
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 7 ай бұрын
Kwani usipomsalimia Makonda anapungua nini ndiykwanza unazidi kumpa pawa. Makonda watoe jasho Hawa watu 😅😅😅. Ww mwenyewe mhuni
@awadhally1052
@awadhally1052 7 ай бұрын
Huyu kachanga nyikiwa 😂🤣🤣
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 7 ай бұрын
na wewe ni mchawi
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 7 ай бұрын
@@joycemfuru4752 🤣🤣🤣🤣 pole
@mabubambassa4882
@mabubambassa4882 7 ай бұрын
Wewe acha kujiona mwema, wewe mwenyewe tu ni muhini anayejufanya mwema, lakini huna lolote, ni muhuni tu.
@deuspaschal7616
@deuspaschal7616 7 ай бұрын
Uwe mkiristo kweli,makonda anakuzdi umaarufu Tanzania, kislaan cha nn,kukaa ulaya bado tu
@richardnganya2311
@richardnganya2311 7 ай бұрын
Canada ni Ulaya au .....!?
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 7 ай бұрын
​@@richardnganya2311acha nayo tuiite Ulaya atajua yeye mwenye mkimbizi Lema
@user-zy4ig1eh8q
@user-zy4ig1eh8q 7 ай бұрын
Big up lema, malizia tu mikono michafu huitaki
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 7 ай бұрын
Ww mwenyewe hunanidhamu pia mhuni wivu tu imekujaa unaroho mbaya sana ww ulitaka uteuliwe ww toka zako 😅😅😅
@beniardajuna2580
@beniardajuna2580 7 ай бұрын
Kwenda huko mhuni Ni ww unamkana kiongizi mwenzio mbele ya camera
@barakambasile2651
@barakambasile2651 7 ай бұрын
Wewe huwasemi vby watu majukwaani kamaniuhuni wewe mwenyewe ulishajiita mtoto wakihuni mjini Arusha nakama ruga chufu wewe ndiyo unaongoza na hata usipo msalimia hawezi kuacha kukusema majukwaani
@frankcosmas153
@frankcosmas153 7 ай бұрын
Kuna tofauti kubwa kati ya kumsema mtu Vibaya na uongo na kumsema Mtu ukweli wa ubaya wake..Ukisemwa ubaya wako sio mbaya kama uthibitisho upo, ukisemwa na kutuhumiwa uongo bila uthibitisho ndio shida
@barikmwakibete-yi1fq
@barikmwakibete-yi1fq 7 ай бұрын
Lema your out of hypocrisy...agree with you!👏👏
@jdanny497
@jdanny497 7 ай бұрын
Well said
@AloneChuga
@AloneChuga 7 ай бұрын
Wewe ni faraa tu
@damasiasimba-lk5os
@damasiasimba-lk5os 7 ай бұрын
Ninachojua msibani siasa huwa inawekwa pembeni, sasa huyu ana matatizo ya ubongo
@sewandomkuchu9267
@sewandomkuchu9267 7 ай бұрын
Hiyo ni wewe mimi naona yupo sawa. tuache unafiki...
@LatifaCharles
@LatifaCharles 5 күн бұрын
@@sewandomkuchu9267na ww. Acha ushabiki wako kwenye swala la Msiba ushabiki weka pemben
@frankaloyce1137
@frankaloyce1137 7 ай бұрын
Tatizo kubwa la Lema ni kujihesabia haki kwa kila kitu.Yaani anajionaga yeye anajua kila kitu. Mbowe ni mwanasiasa bora kuliko wote kwa upande wa vyama pinzani, ana ubinadamu sana.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
Exactly
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
Kachemsha saana Siasa hawezi
@hamismwangwale563
@hamismwangwale563 7 ай бұрын
Mbowe ana akili sana huyu mjinga tu subiri makonda awe rais utakimbia sana , ww na atakuwa raisi amini na pia hana mamulaka kumukumu mtu ,na atahukumiwa tu ipo siku
@judyngowi391
@judyngowi391 7 ай бұрын
Labda rais wako wewe mwenyewe acha kuota ndoto za mchana
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 7 ай бұрын
Judy ndoto za mchana za baba yakooo😂😂😂😂😂
@GoodluckMichael-hb1bv
@GoodluckMichael-hb1bv 7 ай бұрын
We mwenyew muhuni, unalolote
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 7 ай бұрын
Tena Lema ni mhuni sana hafai.
@leaherasto929
@leaherasto929 7 ай бұрын
Et sitaki mahusiano nawahuni dah Makonda Mungu akuweke naakulinde malaika zake wakuzingire usiku namchana Amen
@esterlaitetei5207
@esterlaitetei5207 7 ай бұрын
Lema nimekupend bure kweli ww ni mwana hipap❤❤
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
mmh hafai kuongoza Nchi
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 7 ай бұрын
Ujinga uwoooooh😊😊
@musakihama7205
@musakihama7205 7 ай бұрын
Kaskazini utawajua tu,
@user-yj9un6iz9c
@user-yj9un6iz9c 7 ай бұрын
Wewe nimgonjwa wa akili na kama uhuni wewe ndiyo muhuni unaacha kuongelea msiba unaongelea makonda hakika ningumu kichaa kushika dora
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 7 ай бұрын
Naye huyu washike Dola Sasa alafu apewe uwazili mkuu mbona atasababisha vita make anatudhihilshia kuwa ni mzee wa visasi mi Sina chama mbona anatukana sana akiwa jukwaani Tena hajui hata kutabasamu hata ya unafiki tu mwigeni mbowe anajua siasa hakuna mwanasiasa mtakatifu ndo hivo
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 7 ай бұрын
Kweli hakuna mwanasiasa mtakatifu kabisa yaan
@godfreymkinga912
@godfreymkinga912 7 ай бұрын
😮Kwenye maisha sio kila mmoja anaweza kuwa rafiki yako ukiwa na urafiki hata kwa wanaokudis utakuwa na tatizo hata yesu alimwaga bidhaa alipoingia hekaluni watu wakilangua bidhaa that is real humanity kwa wanao weza ni Karama yao kupendana hata na wanaotaka kukudhuru peoples have choice on how to associate na wengine
@zakarialuhemeja444
@zakarialuhemeja444 7 ай бұрын
Hahaaaa kutosalimia mtu inaonesha kuna changamoto ya brain
@chai_r
@chai_r 7 ай бұрын
Stop, you sound stupid.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
kabisa tena mwanaume anayejidai eti ni Mlokole
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 7 ай бұрын
Ndo apoooo
@bsmonline8482
@bsmonline8482 7 ай бұрын
Hata mimi kuliko kuwa mnafiki Mbele za watu ili tuu niwaridhishe nafsi zao. Bora nifanye ninachokiamini mimi nafsini mwangu kama naamini huyu mtu hafai jibu litabaki hafai. Lema yuko sahihi hata ndugu akizingua unamkaushia itakuwa sijui nani apite kushoto tuu kila mtu ale 50 zake.
@bsmonline8482
@bsmonline8482 7 ай бұрын
Salamu sio lazima na ni utashi wa mtu kuna watu humu hamongei na ndugu wa tumbo moja itakuwa mtu baki Lema yuko sahihi kulingana na nafsi yake inavuoamini juu ya Makonda msimhukumu.
@ezrayohana3541
@ezrayohana3541 7 ай бұрын
Nashauri Lema ajisikilize hapa alichokiongea et sijui kama malasusa alipga makofi😂😂😂
@msouthqualitymabati4657
@msouthqualitymabati4657 7 ай бұрын
God bless lema ni mtu kama watu wengine kabisa,mfanyabiashara mzuri wa siasa za uchumi bora lakini kumpa kiti kaskazini sio sawa kwa sababu kiongozi lazima awe na busara na hekima, hatujitumikii wenyewe tuna tumikia kusudi say no to makasiriko ya kitoto.
@kulwakayagamba1328
@kulwakayagamba1328 7 ай бұрын
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu .lema alishawahi kumtukana lowassa tena matuzi ajabu tu yaani yeye kuambiwa anauza ngada azira hadi salamu😂😂😂
@EzzyK438
@EzzyK438 7 ай бұрын
Jamaa jinga hili... But Mbowe ni mtu mzuri sana.
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 7 ай бұрын
Lema mwenyewe mhuni
@charlesjoseph1081
@charlesjoseph1081 7 ай бұрын
lema ni mchafu too criminal, achana na hilo gaidi
@bestjeremia9372
@bestjeremia9372 7 ай бұрын
Acha unafki lema wewe mwenyewe huwa unatukana watu😂😂😂
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
Anajifanyaga kuota mshenzi jambazi huyu hana adabu
@serndaynjumbo6912
@serndaynjumbo6912 7 ай бұрын
tatizo nyie mikundu hajawakuta nahis ni mafala2
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 7 ай бұрын
Lem Amna kituuu
@temesjames8867
@temesjames8867 7 ай бұрын
Nafikiri huja muelewa msikilize kwa makini utaelewa
@temesjames8867
@temesjames8867 7 ай бұрын
@@JoyceSarufumajina ya J huwa wanamatatizo pole
@cmoshi7014
@cmoshi7014 7 ай бұрын
Wewe mwenyewe ni muhuni. Eti Makonda anatukana watu ndio maana Mbowe mwenzio kamsalimia acheni vinyongo nyinyi wanasiasa. Hiyo ni kazi tu kama kazi nyingine mkikutana barabarani maisha yaendelee. Mwisho wa siku sote tutaonja mauti mavumbi wewe na mavumbini utarudi. Ulitaka Askofu Malasusa apige makofi ili iweje?
@user-cx1tv7bu7h
@user-cx1tv7bu7h 7 ай бұрын
Wewe Rema ukishaona mtu mchapa kazi humpendi Unataka usikike wewe Zama hizo zimepita pambana na yako tuu Umemfuata fuata Sabaya mpaka
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
Kabisa,Lema hafai
@sambulugu9988
@sambulugu9988 7 ай бұрын
Kweli wewe Lema kichwa maji sana! Unadhani unamkomoa Makonda ila unajikomoa mwenyewe kwa watu kukuona hujitambui!
@allykwaya
@allykwaya 7 ай бұрын
Jamaa mawenge sana
@PhilibetLadislaus
@PhilibetLadislaus 7 ай бұрын
Heshima ya viongozi iwe na mipaka mambo ya jukwaani yasiingie kwenye faragha za jamii vinginevyo sheria ichukue mkondo
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 7 ай бұрын
Asante sana hakuna unafki hapo kweny ishu ya makonda umetisha kinyama. Sio kujidai unazuga zuga kuonyesha upendo na moyoni una chuki
@user-zo7vl8bw8z
@user-zo7vl8bw8z 7 ай бұрын
Wemwenyiwe muhuni acha kujifanya ww hiyo ni siasa zenu watu kama ww ambao hamujakomaa kisiasa Ila namkubali Sana mbowe mtu ambae anajua siasa inafanywa wakati gani na wakati gani siasa inaaimishwa kupisha mambo megine Ila ninacho jua mm wanasiasa Hawa bebagi vitu kwa rohoo Ila ww hufai kwenye siasa
@dominiquemushy895
@dominiquemushy895 7 ай бұрын
Lema unafeli broo, ulitakiwa kusalimiana na makonda msiba hunganisha watu, mbona mbowe ana hata kiburi jmn?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
Tumeshaona hafai huyo
@mohamedrashid140
@mohamedrashid140 7 ай бұрын
Duuuh, Jamaaaa hamna kitu kichwani box siasa sio vitaaaa
@user-fu3hn1ms2j
@user-fu3hn1ms2j 7 ай бұрын
Safi hata akifa aliwe na nyenyele
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 7 ай бұрын
Lema wewe ni mvuta bangi usiyejielewa Makonda hata usipomsalimia hana habari na wewe mpuuzi wewe
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 7 ай бұрын
Makonda tu ndo kila kituuuuu kwa sasa.
@adilimbuba7044
@adilimbuba7044 6 ай бұрын
Kwako ni Kila kitu sio kwa kila mtu sorry lakini.
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 7 ай бұрын
Rema ana mental problem siasa ni watu na ongea na watu vizuri na si kutukana watu pasi na kuwa na ushahudi wakujitosheleza angalia sasa unavyo tukanwa mitandaoni😊
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 7 ай бұрын
Duuuh Rema tena badala ya Lema?!!😂😂
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 7 ай бұрын
@@salimkhamis3638 wewe haujaelewa nini apo labda?
@abuuabdillahtv8457
@abuuabdillahtv8457 7 ай бұрын
Acha wivu ww makonda ni mtu wa watu pia nikiongoz ambae anajitambuwa kwa makonda sema jingne tunampenda na tunamkubal uyu ni maguful kama unamkubal makonda gonga like apa
@GenesisReuben-d4o
@GenesisReuben-d4o 7 ай бұрын
Uko nyuma sana kimtazamo na wewe ndio wale wale msio jitambua
@abuuabdillahtv8457
@abuuabdillahtv8457 7 ай бұрын
Asantee
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 7 ай бұрын
​@@GenesisReuben-d4o wewe ndo ujitambui mbuz weeeeeh😅😅😅
@GenesisReuben-d4o
@GenesisReuben-d4o 7 ай бұрын
Hahaaaa uuuwiii!!!?
@zefamange7281
@zefamange7281 7 ай бұрын
Hata asipo msalimia kwan anasaidia nn?
@nyamizimpangule8640
@nyamizimpangule8640 7 ай бұрын
Huyo. hamjui. Mungu hata kdg. pole yake
@tycoon9540
@tycoon9540 7 ай бұрын
Wewe Lema si ulimtukana Lowassa kwamba ni mwizi na jambazi na anafaa kuchomwa moto,,, leo unajifanya eti wanae na Lowassa ni rafk zako. Mnafiki sana we jamaa Paul Makonda kazia hapo, piga spana wahuni hawa
@hubapessa913
@hubapessa913 7 ай бұрын
Unajua huyo anadhani watanzania bado tuna ujinga wa zamani hatufatiliii
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 7 ай бұрын
Hujui sislasa mkundu wew msenge wew kwenda zako choko wew ni shoga pia kama govi
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 7 ай бұрын
Lema ujue kuna maisha baada ya.siasa! Mara paa Makonda ni mwenyekiti wa .....utauwwka wapi uso wako? Hufai kuwa kiongozi hata mtaa! Pambana na hali yako!😂😂😂
@salummasoud2567
@salummasoud2567 7 ай бұрын
Wewe mwenyewe Lema unatukana watu sana hakuna aliyemkamilifu kwa mbele za Mungu
@why-ir8zl
@why-ir8zl 7 ай бұрын
Mara paa mbowe anabadilisha gia angani Makonda mgombea uraisi Chalema 😊😅😅😅
@musakihama7205
@musakihama7205 7 ай бұрын
Hilo si nilipuuzi halijui siasa pamoja na wanaolitetea,siasa ndiyo zilivyo,yeye kamtukana lowasa kwa muda mrefu tu,leo anaongea uboya,ila daah Mbogwe kabadili gia angani😅😅😅😅😅
@LeonatusMisalaba
@LeonatusMisalaba 7 ай бұрын
Wewe ushamba unakusumbua
@macdonamasali
@macdonamasali 7 ай бұрын
Kazi ipo, siku watu kama hawa wakiacha kutafuta kiki nchi itarndelea
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 7 ай бұрын
UNAJIFANYA MJANJA FARA TU KWA NINI ULIKIMBILIA CANADA?
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 7 ай бұрын
Sitaki mahusiano na wahuni...iyo line ya mwisho ndio amemaliza kila kitu😂😂
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 7 ай бұрын
Utajiua mwenyewe mbona wew umewaita ccm wez
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
Mbona hujaota msiba wa lowasa?? Jambazi kujiona wewe ndo wewe mchumia tumbo?? Hufai kwani MAKONDA ANAKUTAKA?? Ovyoooo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
hahaha
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 7 ай бұрын
Hahahaha uwiiih
@josephamos6636
@josephamos6636 7 ай бұрын
Mbowe ni mtu mmoja mwenye hekima kubwa sana tofauti na wapinzani wengine anamoyo wenye hofu ya Mungu anafaa kuwa kiongozi mkubwa Hana roho ya kisasi kama wengine hongera sana mbowe
@hope-cj9rh
@hope-cj9rh 7 ай бұрын
Acha siasa za chuki wewe lema hufai kuwa kiongozi! mbona wewe ulimtukana Lowasa mwembe yanga lakini tulichukulia poa au unadhani tumesahau?
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 7 ай бұрын
Unaona!!!!!!!!!
@salmaramadhan2725
@salmaramadhan2725 7 ай бұрын
Mwambie mjinga huyo,Mimi Ni daktari huyo jamaa huwa Ni dish,Tena linayumba sana Sasa kama mwenyekiti wake kasalimiana yeye kibaraka tu chadema,huwa simpendi huyu lema,haki YA Mungu huwa Ni dishi
@FarajiRashidi-z8e
@FarajiRashidi-z8e 7 ай бұрын
​@@salmaramadhan2725😂😂😂sio lazima kupendwa na Kila mtu hapa Duniani
@allykwaya
@allykwaya 7 ай бұрын
Anatafute umaafuru bila kujua wanaolewa wa namuona mjinga tu
@user-be2xx2cl7n
@user-be2xx2cl7n 6 ай бұрын
Humpend Kama lema au humpend Kama mgombea ubunge anaewasumbua ccm Arusha mjin
@rizikirichard7977
@rizikirichard7977 7 ай бұрын
wewe lema mnafikitu mkimbizi ulikimbia inch siyompiganaji mnafikitu
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 7 ай бұрын
Bifu za kishamba na siasa hazipo hivyo lema.
@CharlesSomeke-ml7ju
@CharlesSomeke-ml7ju 7 ай бұрын
Kwani usipo msalimia wewe atapungukiwa nini wewe una wema gani acheni kijiona wema wakati hakuna ulicho wahi kuwafanyia watu unaroho ya kisasi wakat wajiita mtumishi
@silvangabriel3592
@silvangabriel3592 7 ай бұрын
Makonda hovyo sana
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
​@@silvangabriel3592kengeza jambazi umesahau kwani makonda anamtaka fyooooo
@drgeraldcubwa481
@drgeraldcubwa481 7 ай бұрын
Nilifikiri Lema ana busara kumbe hamna kitu !! Daah
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 7 ай бұрын
VIVA MH. LEMA....UMEKUWA MKWELI KUHUSU MAKONDA....HUKUTAKA KUWA MNAFIKI....NA HAPO KWENYE MSIBA WA LOWASSA TUMEWAONA WANAFIKI WENGI!
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 7 ай бұрын
Wewe Lema unajiona ni nani kwa mfano! Usipomsalimia Makonda haimpunguzii chochoteee! Kwenda kule!😅😅😅
@ezrayohana3541
@ezrayohana3541 7 ай бұрын
Daaaaah huyu lema ni box😂😂😂😂
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 7 ай бұрын
Maisha hayapo ivyo
@emmanyerere6479
@emmanyerere6479 7 ай бұрын
Nasikiaga kuna wahuni ndani ya chama chetu sijawahi kuwajua. Sasa huyu kaka amenifikirisha. Hivi ni kina nani hao? Tujisahihishe
@PeasonJorampmaster
@PeasonJorampmaster 7 ай бұрын
Lema ni kiongozi bola 👍👍
@MelauMkivuyo
@MelauMkivuyo 7 ай бұрын
Sasa mpeleke kwenu akamuongozee mama wako
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 7 ай бұрын
​@@MelauMkivuyo acha upumbavu kenge weweee😮😮😮
@protusbishanje872
@protusbishanje872 7 ай бұрын
Mmmh lema acha kumtaja Askofu wetu Dr malasusa kwenye siasa zako
@abubakarinchimbi64
@abubakarinchimbi64 7 ай бұрын
Kichaaaa we lema kwapimwe akili kwanzaaaa
@DaudiCharles-v2x
@DaudiCharles-v2x 7 ай бұрын
Duu kamanda umeanguka puuuuu huyu nizaiidi ya viongozi kwanza nimwenye roho ya mungu ndani yake ukitaka lema ufanikiwe mseme vizuri makonda hujui kesho mwamba kama kweri unamwamini mungu muombee makonda
@judyngowi391
@judyngowi391 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ana roho wa mungu????????????
@ChoroTesla
@ChoroTesla 7 ай бұрын
​@@judyngowi391wengine hawajasoma kaka
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 7 ай бұрын
Mpumbavu ww kwahiyo usipomsalimia anapumgukiwa nini yeye kwenda zako huko
@ChoroTesla
@ChoroTesla 7 ай бұрын
mtu akwambie malaya,muuza madawa mwizi afu eti umsalimie unamkataaa tu cumalake
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 7 ай бұрын
Huo ni ukweli kabisa Hongera sana Lema kwa kulitambuwa hilo
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 7 ай бұрын
Mmmhh
@stellajohn8486
@stellajohn8486 7 ай бұрын
Asante lema mbai na iwe mbwaii
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 7 ай бұрын
Wewe mwenyewe lema uliwatukana boda boda
@calvinjoseph
@calvinjoseph 7 ай бұрын
Lema ni mjanja sana! Kwa kukata kumsalimia Makonda coz alijua lazima itatoka kwenye news 'LEMA AGOMA KUMSALIMIA MAKONDA" Na hiyo inafanya yeye azidi kufuatiliwa na kupata public milestone. This man is smart, he knows how to make bombs💥
@josephmabula9658
@josephmabula9658 7 ай бұрын
Nyie mbona mlimtikana sana lowasa
@yonaseni3945
@yonaseni3945 7 ай бұрын
Lema huna jipya na huna lolote maneno yako ni yale yale kila siku wewe majukwaani unasemaga hovyo tena kauli chafu tu leo wewe hata Makonda hawezi kukuzungumzia popote c wa levo yako acha ushamba
@johnsteven8528
@johnsteven8528 7 ай бұрын
Lema uko sawa
@mamamdogo409
@mamamdogo409 7 ай бұрын
Wewe lema acha unafiki hujakomaa kisasa mshamba kwani huna roho ya mungu?makonda ameumbwa kama ww nampongeza mbowe amekomaa kisasa ,naisitoshe salamu ni upendo mbowe hoyeeee3
@ukk9798
@ukk9798 7 ай бұрын
Kumbe Lema mshamba kiasi hicho
@e.d.h.mrumah4777
@e.d.h.mrumah4777 7 ай бұрын
wanaume hawanuniani hizo bang
@fatawifatawi7295
@fatawifatawi7295 7 ай бұрын
Acha ayo yashapitwa na wakati
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 ай бұрын
Hahahahah Lema umechemsha kwani kwa sasa Makonda ndo habari ya mjini We endelea tu na maisha yako tuachie Makonda wetu tunampenda sana 😂😂😂
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 7 ай бұрын
Tena kachemka Sana tuuuuuh😢😢😢😢😢😢😢
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 7 ай бұрын
Mbowe kiongozi lema mmh analipa ubaya kwa ubaya hii sijaipenda japo inaumiza Ila sisi nibinadamu twende nao mungu atawalipa hapahapa duniani
@tithomhagama
@tithomhagama 6 ай бұрын
Hapo umefer bro
@masubukopita7201
@masubukopita7201 7 ай бұрын
Safi sana lema achana na hao wahuni wanafiki
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 15 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 41 МЛН