No video

LEMA AIKAANGA SERIKALI KISA UTALII, NANI ANAMJUA WEMA? "MWAMBIENI MTOTO WA RAIS SAMIA AENDESHE BODA"

  Рет қаралды 2,666

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Ай бұрын

#TANZANIA: Godbless Lema aikaanga Serikali ya Rais Samia, atoa nondo za kuboresha utalii, adai badala ya kumtumia Rais Samia au wakina Steve Nyerere na Wema Sepetu kutangaza utalii wawatumie mfano Ronaldo au Messi kwa sababu wao wana wafuasi wengi zaidi.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 15
@sjdbxjdhsudjxjhd615
@sjdbxjdhsudjxjhd615 Ай бұрын
Nimekuelew kaka Lema lakinpunguza maneno makali ccm tatizo mfumo wao umechoka kufikiria kuondoa umaskini.
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Ай бұрын
Hapo na mwika kwa Tengia hakuna maji. Ndio moja 500
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 Ай бұрын
Great visionary,
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Ай бұрын
Bango la Samia na Stiiv Nyerere 😁😁😁😁
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Kwakweli lema unamaarifa
@mlyamalitv1789
@mlyamalitv1789 Ай бұрын
Huyu Bwana ni mashine, Rasilimali ya nchi.
@yomseyyomsey5114
@yomseyyomsey5114 Ай бұрын
Huyu jamaa Anajua NAMKUBALI SANA Anajua Sana SIASA Hakika Anajua Namkubali sana na Mungu Amlinde sana HAKIKA Ni mchambuzi Bora Na Nguli wa Uchumi, Jamii, SIASA Na HAKUNA Mwana-ccm ATAMUWEZA Kwa Hoja Huyu bwana.
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx Ай бұрын
Cy siasatu! hadina akilianayo
@mlyamalitv1789
@mlyamalitv1789 Ай бұрын
Kweli tuna wabunge maboya yanaelea elea tu.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Wameuwa viwanda vyote zaidi ya yote ati sasa wanauza Bandari iliyokuwa imebaki. Ndege waliuza ikafa Masikini Magufuli akaifufua mara wamemuondoa ili wakataifishe. Kweli tunawatu na akili bungeni kweli. Tuna wabunge wachawa wote wa Samia. Wakisha sifia Samia mjadala umekwisha. Mbunge Mpina wamemfukuza kwa sababu alikuwa anaongea kuhusu wanainchi. Kwao ni kudharau bunge la wachawa.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Hiyo Royal tour ilikuwa anataka kujionyesha watu wamwone. Kwani alikuwa ndiyo ameingia offisini na alikuwa hajatalii kama anavyofanya sasa. Je sasa bado anakumbuka hiyo Royal tour. Samia anadhani kuwa raisi kila mtu anamfaham duniani kote. Africa hatuna watawala wenye akili. Hasa Tanganyika na watu wenyewe pia hata Zanzibar tu wanatuzidi kufikili. Zanzibar ina raisi wake mzanzibari, serikali yao, na maamuzi ya Inchi yao. Kwani Tanganyika iliungana na Inchi gani sasa? Sasa Tanganyika haina serikali yake kwa sababu ati wanainchi wote Tanganyika hawawezi kuwa raisi. Mpaka ati Zanzibar imetuazima raisi. Kweli watanganyika wako na akili?
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w Ай бұрын
👋👋👋👋
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Msingi ni wazo, wametangaza mpaka hapo, wanaweza kuboresha zaidi kwa kutumia hao watu maarufu. Msingi Rais kwa uweka tayari tuboreshe zaidi
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s Ай бұрын
Ikiwa wa kwsko haenxeshi bodaboda vipi wa Raisi?Mlikimbia hapa wakati wa magu mukenda Ulaya tofauti na viongozi wa aACT WAZALENDO walibakia na watu wso wakati wa shida japo kina Jussa walipata ulemavu wakini walionrsha kwa vitendo kuwa wapo na wenxao wskati wa rsha ns shida.Nyinyi CHADEMA kazi yenu maneno tu yasio na vitendo.
@YassinRajabu
@YassinRajabu Ай бұрын
😂😂😂😂
UMAKINI wa MLINZI wa KAMALA HARRIS Mbele ya RAIS SAMIA IKULU DAR
6:42
PATAELEWEKA: CHADEMA KUWASHTAKI AWADHI NA NYAHOZA
6:25
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 1,4 М.
Я не голоден
01:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 9 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 24 МЛН
MWANZO HABARI LIVE: CHADEMA KUWASHITAKI AWADHI NA NYAHOZA
22:12
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 2,6 М.
BALAA! POLISI MASHAKANI KWA KUWAPIGA VIBAYA VIONGOZI WA CHADEMA!
4:26
Я не голоден
01:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН