Anawabembeleza sana aiseee,hawa watamsumbua sana,serikalini siyo sehemu ya kubembeleza
@awatifalghanim1106 Жыл бұрын
Hawabembelezi huyu Rais yuko diplomacy. Anajuwa nini anacho kizungumza. Tusimhukumu tunavyo taka sisi.
@Worldunite Жыл бұрын
Dawa ni kuwatumbua na sio kuwakanya aisee
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@awatifalghanim1106diplomatic kwa nchi hizi za Africa will get u dead. Mnafikia diplomatic baada ya kuwa na utaratibu imara
@SuwediYusufu Жыл бұрын
Upole na tanzania vitu viwili tofauti
@timboxlee919 Жыл бұрын
Mhhh si kweli, mbona huwatumbui wakurungezi na mawaziri wako wakula hela,na miradi inasuasua
@victorjames3730 Жыл бұрын
Kero ingine ni bandari zetu sikiliza hizo kelele pia?
@CrissManda Жыл бұрын
HUYU MAMA ANAONGOZA HII NCHI KIMWINYI SANA NA KIZANZIBA, NCHI IMESHAMSHINDA HII
@khamismwadini2169 Жыл бұрын
Umwinyi huo huo Leo ndio unakufanya ujambe
@David-if6nk5 ай бұрын
@@khamismwadini2169Aawapi
@Worldunite Жыл бұрын
Mama ungewaondoa hao wapigaji, umewasamehe? ina maana hiyo pesa iliyokusanywa kwa udanganyifu jee? Naomba utumbue wote hao vinginevyo huu mchezo hautaisha aisee, naomba uwe mkali sana usikanye wewe ondoa tu watendaji wasiokuwa waaminifu 7:38
@robsonlotyloy5678 Жыл бұрын
Kwa hili,do' sikupingi mama. Gonga nyundo. ❤
@TheQaled4 ай бұрын
PM Kassim, we salute you kwa kazi nzuri....ila bi mkubwa wapige pini hao wezi
@JayjayNgare Жыл бұрын
Mama yy atumbua ma DC na rc daily lkn mawaziri wezi walao mabilion utamskia akiongelea we ss akil kichwan wetu😢
@mkude Жыл бұрын
Tutajie Kwa ushahidi waziri gani sasa aliekula mabilioni
Leo ndo unajua wamekuweka hapo , hii tabia ya kùpuuza kero za watu wamekoi kutoka kwko
@godlovemsuya84775 ай бұрын
Nakushukuru sana Mama Samia kuyasema hayo ya kero zetu, hakia ya Mungu viongozi waliopo chini niwa nafiki,nikusifia tu, haiwezekani chini ya mbingu kila kitu hakiwezekani kufikia 💯 done. Kuna matatizo chungu nzima huku chini, wananchi hatujui ni kiongozi gani aahihi wakumpa hizi kero zetu. Yani kama ulivyosema kuna system zakuwakandamiza au kuwaibia wananchi kodi zao. Kuna vilio vingi ambavyo inatakiwa kujiandaa kupambana navyo.Ni vita Kubwa nakuambia Mheshimiwa Rais.Hawa wanaokusifia tuuuuuu wana lao jambo.Kweli yapo mazuri uliyofanya, unastahili kusifiwa ingawa sio wewe mwenyewe ulifanya.
@GodfreyKebu4 ай бұрын
Mama uko sawa katika haya Mimi binafsi nakukubar kwa kutekeleza miradi aliyo iacha baba hongera mama angekua mwingine angepuuza
@abuukarata9653 Жыл бұрын
Hao ndio wa bara bwana
@elyotchisanga138 Жыл бұрын
Anza na Tulia Aksoni atimuliwe yeye ndie mwangalizi na mwakilishi
@husseinmpuruti1372 Жыл бұрын
mama mama mtu amebainika ameharibu rushwa au wizi mbona unawaacha kama vile zamani mtumishi kibaha Dareslaam eti adhabu yake anahamishiwa mwaza mama hivyo tumbua ili iwe fundisho kwa watumishi wako ukiwaacha wanakuchukulia powa tu eti mama ni mpole tumbua mama usiwaache
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
RAISI ACHANA TABIA YA UPOLE KUPITA KIASI! HAO WOTE WAONDOKE WAENDE KWA MAMA ZAO!!
@awatifalghanim1106 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@khlafanmwassa Жыл бұрын
Huu sio upole isipokuwa yeye mwenyewe ni tatizo
@amaniabdi9755 Жыл бұрын
Wewe ndo tatizo unataka akamatekamate tu bila ushaidi
@elishakayagwa9371 Жыл бұрын
@@amaniabdi9755Kama wewe ni muislam na unaandika haya basi ni musibaaa kweli
@khalfanikaabuka6 ай бұрын
Kazi inafanyika nyamagana Mwanza Mkuu Wa wilaya kila baada ya mwezi miwili makilagi anapita kuwasikiliza wana nchi ongela yake
@mohamedmohamud96915 ай бұрын
I salute you Madam President. You deserve utmost respect because you are one of the most charismatic leaders of Africa.
@IbrahimHimiri4 ай бұрын
Aa
@patrickjohn4086 Жыл бұрын
Mama Samia i will blame you, umeamua kuwaachia. I miss magufuli
@Ibnimohd-tr6qc Жыл бұрын
Following Magu
@festokemibala5832 Жыл бұрын
Kama umewabaini waondoe katika ofisi walizopo, mtaani soko liko saturated watu wanatafuta wapi pa kuonyeshaea umahili na weledi wao katika kuhudumia umma.
@abuumuhammad71334 ай бұрын
You miss udini not mg
@EliatoshaLema-rw5hm Жыл бұрын
Leo umenifurahisha sana mama yetu .hiyo fuatilia wapo wengi
@SangioNgoo Жыл бұрын
Atafuatilia wangapi na nchi ni kubwa? Bila kubadilisha mfumo ni bure! Kuna mtu alikuwa anatumbua kama Magufuli? Mbona hakuwamalizika? Mnakuwa warahisi sana kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
@@SangioNgoomfumo yeye samia ndio kaubadilisha adi sheria kazibadilisha alivoingia tu kama huamin kasikilize hutuba zake za mwanzo alivo apishwa tu akasema kuna sheria ziliwekwa kubana watumishi wa umma na kubana wawekezaji ambao ndio hao wawekezaji wizi akasema anazifuta hizo sheria na mfumo wa mtangulizi wake sasa we ulitaka mfumo gani wakat wanabadilisha kwa masirahi yao awam hii wizi umezidi mfumo wa jpm ulikua mzur wizi walibaki kidogo sana waishe sema wakamkata uhai wake ila mifumo inabadilishwa na ndio kilicho fanyika sasa huyu anaongea. tu ila udhibiti wa wizi hana ye mwenyewe anaiba ndio maana anakwambia nanyie mle urefu wa kamba zenu kwahiyo mfumo unabadilishwa ndugu
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
@@SangioNgoo kweli maneno yako ndio mgawanyo wa madaraka..!
@ahmedissa7882 Жыл бұрын
Kila la kheri Mama
@daudykasherente8667 Жыл бұрын
@@SangioNgootru
@huseinshedrack6180 Жыл бұрын
Mama mm mwanao nakupenda sn lkn namna unavyo ongea na viongoz wanao kwenda tofaut na muongozo wa Nchi una fanya nimkumbuke Magufur,nimesikiliza hutba yko ila nilivyo fika kwenye wafungaj na watu walio nyanganywa aridh yao nineumia sn namna ulivyo hitimisha hlo, yaan umesha jua waz hawakutendewa haki kwa sababu hawana kipato ww km mkuu wa Nchi na mtetez wa wanyonge unashindwa kutoa tamko la wao kupata haki yao et unamuagiza mkuu wa Mkoa wkt unajua waz na yy ni miongon mwa walio wazulum,hapo ndio utaona umuhim wa baba yetu Magufur 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@omanoman-ir1ez Жыл бұрын
hahahahaa kweli kabisa mama ni mama tu hawezi kuwa kama baba mama yako amefeli
@gloryarnanidaud8748 Жыл бұрын
Aseme wakati mpango mzima anaujua hiyo ni vunga TU.
@jackisonmlaari4556 Жыл бұрын
Utatoka 2 2025 c ni kesko
@Ibnimohd-tr6qc Жыл бұрын
Kila zama na nabii wke zam ya mama wa Taifa
@simontamba2189 Жыл бұрын
You make me cry
@ABDULMAJIDAZIZ-f8l22 күн бұрын
Umeongea ukweli mama chapa kazi mungu akutangulie katika kazi zako
@geofreykajengile97484 ай бұрын
Asante sana mama yetu mungu akupe maisha marefu
@josephudoba5563 Жыл бұрын
Asante raisi ila wewe ni mpole sana tunataka tukuamini ila kitu kimoja tu mama uwe makini na watumishi wako pengine unapoona mabango ya kukupongeza achana nayo pengine unapopongezwa mamluki wametumwa pengine jambo hilohilo unalopongezwa kulifanya linakua halijafanyika wanakupongeza Ili kukuziba macho hivyo nakushauri uachane na pongezi pokea na malalamiko kama unavyopokea pongezi utajua pabovu
@MustafaHimid3 ай бұрын
Mama anaongea kwa ustaarabu na upole sana anajua kuongea na watumishi wake Allah amsaidie inshallah ❤
@gorgorabokor7509 Жыл бұрын
Mashallah ,mama sifa zote za kiongozi Bora unazo ,kuwapa nasaha ,kuwaadabisha, ,kufatilia,na kutoa maamuzi sahihi , mashallah nakuombea dua njema ,afya njema ,ibada endelevu ,umri mrefu wenyewe ibada na mwisho mwema.
@AlindaShuzary-bs5wr Жыл бұрын
Shusha rungu mama😂😂😂
@neemakingdom4816 Жыл бұрын
HAWA HARIMASHAURI NI WAIZI SANA SISI WANAICHI TUNABANWA KULIPA UTITIRI WA KODI NI SHIDA MAMA
@omaryluhanga9387 Жыл бұрын
Asante Kwa kuliona hilo
@peterbangari4273 Жыл бұрын
Samia rais wetu sisi Wana nchi tunzidi kukugundua kuwa huna Nia njema na nchi hii kwa maneno yako haya Yani tatizo unaliona halafu eti unataka lipoti niyanini kama huwezi kuchukuwa maamuzi ya hao wezi unatudanganya kwa kutulagai mbona huchukuwi hatua kwa hao wezi?
@FredyLazaro-us5mu5 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@estherkibajiro34804 ай бұрын
😅😅😅
@Aeon10194 ай бұрын
Kikwete.. .
@jumaamsuya54 ай бұрын
Mm upo sahihi sana naona wadau wengi wanafikiri kutatua tatizo niukali au ubabe noo
@albertbunyinyiga7581 Жыл бұрын
Shida kubwa umerudisha wezi watumbue
@DONALDMTOWE-u9g Жыл бұрын
Sasa semina kashiriki itakuaje?,au hawalipwi hapo?.kweli unaweza kufa nimeona huruma.
@gabrielmwikanu1160 Жыл бұрын
Wanakudharau Mama kwa sababu unawalea. Matukio ya wizi wa fedha huchukui hatua mfano ripoti ya CAG inayowahusu hata Mahakama mbona kimya ? Ripoti ulikabidhiwa ya hayo madudu, Watu wanakosa imani na wewe kwa sababu huchukui hatua kwa wakati na wananchi wakajulishwa. Ndo maana watu wanasema hii ndo Tanzania yetu kiunyonge, rohoni tunaumia.
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Overhaul the whole Mbeya government system kama kweli uko serious. Usirudie kosa kuhusiana taarifa ya CAG last year ulipofikia hatua ya kuwatukana wezi wa fedha za Serikali, ... Shenzi kabisa, ... Ajabu hukuchukuwa hatua yoyote hadi leo. Hapo ndipo mnawapa nafasi Chadema kuwapiga mawe.
@mohameddossa76425 ай бұрын
Siku hizi MAMA w 3:41 atu wanakula kwa kushirikiana wote uliowataja wanakula kwa pamoja. Wanagawana na kila mmoja anapelekewa Mgao wake ndiyo maana wanajifanya hawaoni.
@amadeokinyekile8804 Жыл бұрын
Asanteee sana mheshimiwa Rais dokt Samia kwa kusimamia vizr seriiali
@mgazamadigamadiga-sg5cd Жыл бұрын
Mungu awape maisha maled dunian na akher
@EliyaMwaipopo-hf6nq Жыл бұрын
Mama umekua mpolesana nandiomana nchi iinachezewa takukulu mbeya niwala lushwa ukipeleka tatizo umepeleka ulaji wachukuliweatua
@MaulidAbdalla5 ай бұрын
Hongera mama umeongea maneno mazima mungu akuzidishie
@jumbeojaso5767 Жыл бұрын
Suluhisho ni katiba mpya, na maoni ya wananchi, wakuu wa mikoa (magavana) wachaguliwe na wananchi, na asipofanya vema anapigwa chini kwa kura au kushtakiwa ( impeached). Kila.mtu atafanya kazi kwani haiwi kazi ya hisani ya rais,urafiki na kubembelezana kama sasa, Kila Miaka 5 anarudi kuomba kura na umma unaamua aendelee,au wanachagua mwingine wanayemtaka.
@malupex6299 Жыл бұрын
Mh. upo sahihi kabisa
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Ooooh my god. WATUUUUU jamaniiiii khaaaa😢😢😢😢
@PaulNtobi-t7n Жыл бұрын
Hongera mkuu kazi unaenda poa. Viongozi matatizo tusafishie mama
@patrickjohn4086 Жыл бұрын
Mama kama ndio namna ya kukemea watumishi waizi basi hakuna nchi
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Very true!
@mkude Жыл бұрын
Unataka akemee vipi au unataka atukane,
@hamisisonga9342 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@estherkibajiro34804 ай бұрын
Hawezi kuongoza ukweli ndio uwo@@mkude
@KhamisHaji-fd5lw5 ай бұрын
Ahsante mama samia ipo cku inshllhu watakuelewa 2!
@geofreydamas1697 Жыл бұрын
Toa oder don't complain these people of ccm wanafanya kazi kwa mazoea
@ummimustafa5330 Жыл бұрын
Mama usiwaachie hata hao wakuu wa mikoa wawajibishe ili wawe mifano. Hao ndio wanaokupaka matope. WAPE ULTIMATUMS ili wajue upo serious. Kwa mwendo huo wananchi tutakuamini tu.🎉
@subiramwaka9792 Жыл бұрын
Mwisho wa siku mwananchi ndie anae teseka. Makato na maendelea pia yanacheleshwa. Hongera mama leo umeongea mule mule.
@magrethmeela154 Жыл бұрын
Mama ni mzalendo hapendi dhuluma hapendi rushwa hapendi wabadhilifu hongera mazaaa❤
@senixdanethox Жыл бұрын
mama hao wamesha kuzoea na wamesha kuzoea watendaji wako ni changamoto sana wao ni ziara na posho tu vingine wananchi wanajijua hizi maneno umeongea sana tuonyeshe mfano venye unafanya maneno tumesikia sana kuna muda bora utuachie nchi tu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
SIJAWAHI KUSIKIA KIONGOZI MKUBWA ANASEMA KWAMBA ATAENDA KUULIZWA NA MUNGU JUU YA UONGOZI WAKE ,MUNGU AKUTANGULIE MH RAIS TUNAKUPENDAAAAAA❤❤❤❤
@gabrielmarcel3776 Жыл бұрын
Tatizo mama unaongea kuliko kutekeleza, unabembeleza watu wanaokula mali za nchi😢
@judyngowi391 Жыл бұрын
Yanaishia hapohapo
@AgripinusSenga Жыл бұрын
Kwa nini raisi alalamike wakati ushahidi wa 8:36 😮 ufisadi unaoendelea kila kona ya nchi?Nenda Mahenge wilaya ya Ulanga mashariki Kijiji cha Epanko kaone jinsi wanakijijj wavyo nyanyaswa na mwekezajj wa kuchimba graphite.Mkuu wa wilaya hasimamii kero za wanakijijj hata kidogo.Rushwa imekithiri kwa viongozi wa wilaya ya Ukanga kwa kuhongwa na huyo mwekezajj.Nenda mama kajionee mwenyewe.
@RamadhaniSuru6 ай бұрын
Mama niteuwe hata mimi niwemkuu wawilaya nitaweza cyo kama hao walafi wanakula hawakumbuki hata wenzao kama wapo😊😢😢😢
@PauloMhagama-ld8xq5 ай бұрын
Dr Samia nakuomba atakaye shikwa Kwa rushwa afilisiwe au,apigwe risasi kwani hawaitakii mema Tanzania.kazi iendelee.🇹🇿👍🌹🌹🌷🌺🌸Bongo iwe kama Beinjin.
@AsteriaPastory-y1i5 ай бұрын
Nakuombea Kwa MUNGU Mama kuongoza ni kazi MUNGU akufanikishe....Unaweza
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Kuupiga mwingi maana yake huo wizi mama! Awamu yako inatisha na hutafika mbali ukiwabembeleza hivyo.
@meshackmayenga969 Жыл бұрын
Moja ya maeneo ambayo yanarudisha maendeleo ya nchi yetu kwasasa ni ulaji mkubwa wa hela ya serkali.Hili nidoakubwa kwakweli.Kwa vile sasa mama umeanza kuyaona kuyafuatilia naona mbele majizi yataanza kuogopa.Hongera sana mama yetu.Tupopamoja nawewe mama.
@kisokimhagama9526 Жыл бұрын
Asante sana Mama chapkazi.
@EliasEmmanuel-kw8wi Жыл бұрын
Si ndio hao wanaokusifia unaupiga mwingi, acha kazi iendelee mamaaaaa..
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
nayeye akijisifu kuwa anachawa wake ndio hao
@sulemanmndeme8961 Жыл бұрын
Km anafanya kazi ana wajibu wa kusifiwa. Wizi ni sifa ya mtu. Dawa yao ni kutumbua.
@allanmbilinyi4826 Жыл бұрын
KAMA HUTAKUWA MKALI NCHI ITAKUSHINDA UWE MKALI PESA UNAKOPA MAJIZI YANACHUKUA.. KINASEHEMU ZILITOWA ML 130 KWA AJILI YA DARAJA MKARARASI ANALALAMIKA AMEPATA ML75 TU DARAJA CHINI YA KIWANGO PIA HAIJAISHA...UWE .KALI MAMA.
@ElishaMtakii5 ай бұрын
Mama namukubali kwao kuchapa kazi hongeraa
@agastokissatu2667 Жыл бұрын
...... Tumsifu Yesu kristo,Leo angalau nimekuelewa kidogo mama,gap ni kubwa mnoo kati ya watawala na maskini,chunguza sana maafisa elimu,kila sehemu ni rushwa tuu
@bellam.vyampi5528 Жыл бұрын
Nchi inahitajii viongozi wazalendo ili tuweze kusonga mbele,,ila ngozii nyeusii na uzalendo mmh tutasubiri kwakwelii.
@shebitaufik4607 Жыл бұрын
Kwa sasa mkurugenzi kawa waziri na waziri kawa raisi wakuu wa wilaya ndo usiseme mama yupo vizuri ila watendaji wake daa mungu atusaidie.tuu kwa kweli.
@wanainchitvrdc6705 Жыл бұрын
Uyu mama sijui ni kiongozi wa aina gani . Yeye kila siku kazi yake kulalamika kuliko kutoa majawabu na way forward. Kwa kifupi kazi ya uraisi haiwezi .
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
MIMI KILICHO NIACHA HOI WALIO TENGENEZA MTANDO WA WIZI WAPO ILA ALIYE PELEKA MAJI UPANDE MMOJA AMEFUKUZWA LAKINI WALIO TAJWA WAPO MKUU WA MKOA MKUU WA WILAYA DASI SIMTETEI ILA HAKI YULE ALIKUWA WA KUONYWA KISA KADI, ZA CHA ILA HILO LA MBEYA AAA TUME KWAKWELI HAKI HAPA DUUUUU ALLAH MWENYEWE ANAJUA
@AliMazur-o8m5 ай бұрын
Asante mama kwa hotuba nzuri uko sahihi kabisa mama yetu
@victorcephas3618 Жыл бұрын
Tumbua hao wote ni mtandao huo wa ulaji wa fedha zetu sisi wananchi
@Fundi12345 Жыл бұрын
Mama huo ndo wizi wa tz kufanya tepng ndo zao hao piga chin usilembe mwandiko mswahili humuwezi tunaumia sana Hali mbaya sanaaaaa
@jiverkasigara6504 Жыл бұрын
Asante mama kutujari
@shabanimungazija7272 Жыл бұрын
Mama kama umeuona hayo hongera sana keto ni nyingi lakini hazifiki ukiongea tu ni kichapo
@eliasmshiu Жыл бұрын
Funga watu mama. Lawama zitakuangukia wewe
@ramadhanisalum2271 Жыл бұрын
Mama hongera xnaa, but punguza upolee penye ukali fanya kweli unaachaje watu 700 wanateseka kwa ajili ya manufaa ya mtu na familiya yake! Ni bora wafe 20 wapone 200 coz katik hao watapatikana wazur watao lipizia hao wapumbavu wanaoharibu then unatukanwa wew kuw nchi waendesha vby coz yao, wape adabu wanayostahik kwa uadilifu, ahsante Allah akuongoze pale penye mapunguf yako:
@Ndu-wa.uroony2 Жыл бұрын
Bora hata aliyetumbuliwa kuliko mtumbuaji
@zianasalimuhivikunamchunga5224 Жыл бұрын
Huna hayaaaa wewe,
@MiriamAbdallah Жыл бұрын
Kunywaa ntalipa ndugu
@Ndu-wa.uroony2 Жыл бұрын
@@MiriamAbdallah thenkyu!
@AthanaseKiyoja Жыл бұрын
Kwa kauli hizi,mambo yatakuwa magumu zaidi,ulemba mbele ya majambazi.Mimi naiona 2025 mbele.Sijui Kama kutakalika.Wenzetu huko Zanzibar najua mko Waungwana.Haya yalitukuta kwa Mwinyi.Nchi ilidorora.Hotuba tamu tamu za nini !!
@ottumachachary8925 Жыл бұрын
😂😂😂 ulemba mbele ya jambazi..
@The1979bornagain6 ай бұрын
Hakuna Rais hapa. Hapo wanaume wanamng'ong'a tu na kumuona kama mshamba fulani hivi
@estherkibajiro34804 ай бұрын
😂😂😂
@richardgaya39655 ай бұрын
Interesting to note that seems to be talking about the state of affairs in Kenya!!!!!!
@masungakibinza13124 ай бұрын
saruti kwako mama piga sipana tu watu kama hao ndio wanaotuharibia Nchi tumbua
@clarencelazaro9600 Жыл бұрын
Yaani mama unachofanya ni k.m mbwa anayebweka harafu hang'ati
@JohnsonCharo-z3q6 ай бұрын
Mama Dr Samia Suluhu Hassan Mungu akupe nguvu utekeleze azima na ilani ya Chama kwa wananchi. Na watendaji na maofisaa wanaoporw pesa waende nyumbani.
@fikiriadriano4251 Жыл бұрын
Udhaifi wa Mama aliutangaza toka mwanzo wakati anakabidhiwa kijiti" uliposema kutumbua ni siasa chafu na kwako Haina nafasi" Sasa kama Hilo umeliona unasubiri lipoti Ili iweje" watu wanapiga pesa sa serikali" upo kimya"🤣🤣
@kunyaobelela4062 Жыл бұрын
Warudishe madarakani MAKONDA na ALLY HAP wao walisikiliza wananchi wao na kutatua karo zao
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Yaani shida mama shida ametafuta mwenyewe. Makonda na Hapi walipiga kazi. Ukiona mpizani wako analalamika ujuwe umemshika pabaya!
@Muhunjikatemana-fj8dd4 ай бұрын
kuyaendea haya mambo kunahtaj hekma san mama mungu akuhifadhi san
@evarestkway-md1qn Жыл бұрын
Leo mama kidogo. Sana nimekuelewa lkn shida umezungukwa na watu wanafiki chawa wenye tamaa wezi ukichanganya na hicho chama Chakotena yaani ni shida ccm ni mwizi anayefunga wezi yaani nichama cha ukoloni mambo leo pango la wezi na wanyanganyi
@emmanueljoseph9188 Жыл бұрын
Ivii unapenda mwizi wa Inch malara wa wataifa wee
@REHEMAMWAKIKUTI Жыл бұрын
mama jalibu kuwatimua uku kwetu ATA nizamu kazini Amna watumishi wanaingia kazin wanavo jua
@LetionLengima-br8gh6 ай бұрын
Mama yetu we love you so much❤❤❤❤❤❤❤
@thomasmnally87935 ай бұрын
Mheshimiwa Raisi mama Samia, tunamwomba mheshimiwa Makonda usimwache azeekee Arusha tu, mpeleke mkoa wa Lindi,na ukimwamishia mkoa wa Lindi majibu utayapata na yatakuchukiza,na utaliafiki hili tunaliomba wana Lindi.Natanguliza shukrani
@gracemima5234 Жыл бұрын
Mama uongozi umekushinda. Watanzania wanafhulumiwa na watu wachache . Lugha yako hafifu. Chukuwa hatua
@charles-lc4pp5 ай бұрын
mama samia allah/mungu akulindesana manenoyako niyahekima sama wateule wabadilike wachape kazi.
@SilvesterRaphael-xb6it Жыл бұрын
Kaz iendelee imegeuzwa kaz irudi nyuma mama upole wako unakuponza sana serikali yako machawa kila kona yakikusifia lakini lengo lao ni wizi tu namkumbuka kamanda magufuri aliwanyosha wapuuz hao mpaka kudiliki wengine kumkufuru Mungu kwa kumuita magufuri Mungu wakazie mama hata mawazir wako wabovu ni wengi tu walitumbuliwa na mzee wew ukawarudisha harufu heti kaz iendelee uongo mtupu
@longinoludovick79095 ай бұрын
Kiongozi Safi upokea lawama nyingi na kiongozi dhaitu upendwa hapa Mama Samia Bora lawama kuliko fedheha
@KhamisHaji-fd5lw6 ай бұрын
Mama samia nakupenda sana kwa uchapakazi wako M/mungu akuongoze,kutokn na nia yako njema watajidhuru wenyewe hao mafisadi ya kiuchumi!
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Mweshimiwa Rais hao wote wanaofanya hayo Madudu hakuna haja ya huruma tumbua wote ,kuna vijana wengi wenye elimu na weledi wa kufanya hizo kazi. Mama hao wabovu wote ndio wanaokuharibia.
@severamtungi7036 Жыл бұрын
Weka watu wenye hof u ya Mungu,mama ikiwezekana waarabu
@oskamsafiri2814 Жыл бұрын
Unakuwa mpole mno, kwanza ilitakiwa uwe umewasimamisha then yafate.majitu hayo ndio yanatutesa na kutunyanyasa wananchi
@Deonfnyoni Жыл бұрын
Mama mh Rais upo vizuri shida wanaokuzunguka ss tunajua pia huna maamuzi ya Moja kwa Moja ni mpole sana kwann usiwafukuze hao.....ss wasio na vyeti mlitufukuza bila kigugumizi lakini mafisadi wahujum uchumi wezi na wapiga dili wa nchi hii hubembelezwa
@designdesign4426 Жыл бұрын
Mama anasema kabisa wafanyakazi wamejitengenezea mtandao wa kujichotea mihela alf sisi wananch umetulundikia mitozo nawao wanainjoy tu maofisini, alf unaongea simposimpotu unazani tunakuchukuliaje? tuache kumkumbuka JPM bora usingesema ,lkn sio kosalako ulimzalau magu kuwakimbiza na alio wakimbiza wote umewarudisha ulijua kawaonea sasa acha wakwapue mihela sasa sio haotu wapo wengisana
@emmanuelmlowe-ew7gx7 ай бұрын
Mama anaweza sana, tuhuma nzito kama hii kukusanya pesa ya serikali ya serikali nakuila bado hakuna kauri anato? Et anasema kaangalieni mara kajiangalie, kweli?
@melkizedck4 ай бұрын
Mama umeongea ukweli mtupu. Kama utagombea kura yangu UMEPATA
@rajabusaimon76624 ай бұрын
Mmm kumbe tunahenyeshwa kulipa Kodi halafu pipa limetoboka