TUNDU LISU ;AWAGOMEA POLISI NITALALA HAPA HATA KAMA MTAONDOKA WOTE WAMEKUJA KIVITA

  Рет қаралды 8,203

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 19
@EmanuelSolomon-ij1is
@EmanuelSolomon-ij1is 28 күн бұрын
Jembe 💯💌
@user-zg5sg1bc9b
@user-zg5sg1bc9b 28 күн бұрын
It is true that what Honorable Vice-chairman Tundulisu said is absolutely the very prophetic words. What he said before really went on as he predicted!! Well & good.
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 27 күн бұрын
Hy ni siku ya umoja wa mashoga
@BabaZuu-fq8zj
@BabaZuu-fq8zj 27 күн бұрын
Ku.... We
@Dafetty
@Dafetty 27 күн бұрын
😂😂😂 umeonaeee
@twahirshali8014
@twahirshali8014 26 күн бұрын
Hana Kitu lisu. Mdomo tu
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 27 күн бұрын
Machizi ndo anakuzikiliza ww shoga
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 27 күн бұрын
Lakini kumbuka Magufuli alichaguliwa kenge wewe.
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 21 күн бұрын
Huyu mpigeni ndani tu bc mnabembeleza nn juha hlo kwan yeye ni nan anasema nchi haina amani na huku anaongea kwa uhuru kama hvo kisha anasema nchi haina uhuru wala Amani mpigeni ndani mchochezi ili ajifunze mwehu kabisa hili jama lina matundu
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 27 күн бұрын
we shoga wewe.. mbona mwanaume mwenzako magufuli ulimkimbia.. sasa leo unataka kushindana na mama? Kilema wewe..
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 28 күн бұрын
viongoz wa ccm wanafanya Tanzania kuwa nchi ya ajabu (haielewek), sion utawala wa sheria
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 27 күн бұрын
Wewe kibaraka. Wajinga wenzio ndo wanakuelewa.
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 27 күн бұрын
Uyu chizi mulemavu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 27 күн бұрын
Poleni sana wapendwa wetu. Na pole Lissu Mungu atakuwa pamoja nanyi hatawacja tunawaombea .
@user-qi7px6nb8r
@user-qi7px6nb8r 27 күн бұрын
Usimchafue rais wetu kwa njama zako za kutaka kuleta vurugu.
@Dafetty
@Dafetty 27 күн бұрын
Kabisa nakuunga 🤝💯
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 28 күн бұрын
vituo vyote vya police, hospital zote za serikal, mahakama zote, na sehemu nyingine zote zenye huduma za kijamii zifungwe cctv camera. miaka na miaka ni yaleyale, huu ni wazimu uliopitiliza
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 28 күн бұрын
wanapomteka mtu, maana yke ni nn ? kama mtu ana makosa, akamatwe, afunguliwe mashitaka na apelekwe mahakama. Sio kumteka nakumpeleka na kumpeleka kusikojulikana.
TUNDU LISU
5:39
Marhaba Online TV
Рет қаралды 36 М.
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 82 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН