Mungu wangu dah ! mboye msaliti utalipa usaliti wako hakika!
@EmmanuelThomas-bd6rn9 сағат бұрын
Unataka aongee vipi ? Hutaki aseme ukweli? Ukweli humuweka mtu wazi mbowe anatumia fedha kukihujumu chama sasa wenzake wamechoka kuburuzwa! Lema God bless you
@francisnsee382351 минут бұрын
😊😊
@philipsilayo6 сағат бұрын
Dj machale kukundesa ,brand zina masponsa!
@Laluma202310 сағат бұрын
Kumbe zengwe la mikutano ya Lissu ilikuwa inafanywa na Mbowe duh! Mungu anamuumbua sasa na trh 21 tutamng’atua kwenye box.
@Teacher_018 сағат бұрын
😂😂😂
@IbrahimuMshamu10 сағат бұрын
Kiukweli mboye kachemka sanaaaa
@VitalisMmassi-oh4jb5 сағат бұрын
Stori za kijimga sana kumbe chadema ina viongozi zaifu kwa kiwamgo hiki.
@kambamazig020242 минут бұрын
Things fall apart!
@kelvinmasungakilunguja753910 сағат бұрын
Lema leo unaongea kitoto kumbe siasa uwez
@simonmagembe74169 сағат бұрын
Msukuma mjinga haangalii upepo ni wewe
@karloladislaus459 сағат бұрын
Ila story ya Lema ni ya kitoto sana....Mbona kundi lenu lina hoja za kijinga sana???...Why mnazuia wengine wasigombee ili kuwalinda wengine????
@JumbeOjaso4 сағат бұрын
Yaani wewe ndiye mtoto kweli kweli, hutaki au hauelewi,jinsi Lema anavyotoa picha halisi ya Mbowe? Thanks Lema leo wana Chadema wamejua,nani anakivuruga chama hiki, umesema ukweli na machawa hawatalala leo.
@bsmonline8482Сағат бұрын
Hapa ni Lisu tuu we mwenye akili za kikubwa unalala kichwa chini miguu juu kichwa chini km popo ama?
@Laluma2023Сағат бұрын
@@karloladislaus45 sasa Mbowe alikuwa anatengeneza safi yake ya uongozi ili iweje? Hiv Lema na ww nan hafikirii sasa na ni mjinga?
@najimsuleiman369020 минут бұрын
Lema yuko sawa. Kumbe kuna mambo yanatokota huko hatujui...