Kamanda Mbowe AMEYATIMBA kama tuko pamoja hebu like hapa😂😂😂
@jamaliddiin93576 сағат бұрын
Kamanda kawa kama mgambo Kayatimba kweli kweli
@JosephineKabuka5 сағат бұрын
Kalikoroga alinyweee
@neddon582213 сағат бұрын
Ongera Sana JAMBO TV, mmekuja vizur tena Kwa Kasi kubwa
@EmmanueNzilano11 сағат бұрын
Lisu ni Nyerere WA pili Tanzania Kwa uhuru, Haki za Taifa letu 💯🙏✌️🔥
@Leodimk-n5c13 сағат бұрын
Duuuuu hii kali. Mbowe wapambe wake na ccmwapambe ndio basi tena 😅😅😅😅
@MalaikaHome-b6r14 сағат бұрын
Lisu top in Africa
@bsmonline848213 сағат бұрын
LEMA KAPIGA BOMU AMBALO WENGINE WOTE WALIKUWA WANAMUNG'UNYA MANENO😂😂😂
@Zanijasy-hy7vm12 сағат бұрын
Bonge la BOMU Na ndio limeondoka na Mbowe mazima. Hatakuja asimame tena kwenye ulimwengu wa SIASA 😂😂😂
@jamaliddiin93576 сағат бұрын
Lema kaichafua ana hali hew
@JosephineKabuka5 сағат бұрын
Majamanda wa mbeya nawakubali sana! Huo ndo msimamo wa watanzania wote!! Piga spanaaa
@ShomaryMapunda14 сағат бұрын
Kaka mbowe shida nini kaka jitoe...🏃🏃🏃🏃..tazama aibu hii inayokupata leo😋😋😋😋
@elikyusimsigwa660813 сағат бұрын
Mwacheni, ashindane hiyo ndiyo demokrasia aliyoijenga lazima aipractice, aone kuwa imekomaa! Ikimnyoa na yeye.
@charlzmboya13 сағат бұрын
JAMANI MBONA HAMUELEWI MH MBOWE ANATIMIZA TAKWA LA KIKATIBA NA NDIO DEMOCRASIA ....WACHA WASHINDANE NA DUNIA INATIZAMA ...ASIPO CHAGULIWA NI SAHIHI TUNAENDA NA ALIO PITISHWA
@charlzmboya13 сағат бұрын
Mimi ni CHADEMA damu dam yaani kindaki ndaki haswa ..NAWAPENDA VIONGOZI WETU WOTE NA WANACHAMA WENZANGU ....PALE ATAPO CHAGULIWA KATI YETU TUNAWEKA TOFAUTI ZETU SOTE TUNAUNGANA PAMOJA ...KUIFURUMUSHA CCM MADARAKANI .....
@msafirimaulidi505413 сағат бұрын
Sio kushindana shida mwamba anatak kwa lazma tuwe tunaelewa
@abdulkiyumbu-ll1bs13 сағат бұрын
Nashauri mbowe Kwa heshima yake atangaze kujiondoa uchaguzi nguvu ya umma inamkataa
@jamaliddiin93576 сағат бұрын
Kayatimba kamanda kunja ngumi hawezi kujitoa sas hivi ,ni fedheha kwake ,itaonekana kakimbia mtiti wa lisu
@@MkumboMartin Mwana demokrasia halisi hawezi kukimbia maadamu anaielewa vema, kikubwa washindane kwa haki. Lakini kumlisha maneno, kumbembeleza hakuna maana yoyote. Kwanza kama ni lawama ni zake siku zote! Kikubwa historia itamtaja kuwa mmoja aliyeijenga demokrasia naye akaonja makali yake hiyo nayo heshima na ni faida kwa chama chenu! Fikiria kama Mbowe asinge gombea umbeya wote tulio usikia unge kujaje?
@cyliacusselestine884714 сағат бұрын
Mbowe safari hii hakuna rangi ataacha kuona.
@asedimaketa86947 сағат бұрын
😂😂😂
@jamaliddiin93576 сағат бұрын
Huenda pesa ikafanya kazi !!!
@Leodimk-n5c13 сағат бұрын
Hapo mmedhihirisha ngumu ya umma
@ChrisUromi11 сағат бұрын
Mmbowe nilikuambia achia kiti kwaheshima ebu ona unavyozalilika sasa adi swaiba wako lema kakukataa
@tumpedaudi66812 сағат бұрын
Lissu & Heche ❤❤❤
@rbmdavies8813 сағат бұрын
Mbowe tunampenda tunamweshimu kwa kazi nzuri alioihanya kwa hiyo tunamwomba tu baba akapumzike ili tupate mwenyekiti mpya siasa za sasa ivi ni ngumu mzee
@elikyusimsigwa66085 сағат бұрын
@@rbmdavies88 mpumuzisheni kwa njia ya kidemokrasia
@MusaOgwoko14 сағат бұрын
Mbowe hauoni haibu Achaa chama sio chako ni Chama umaa
@ValeriJummane12 сағат бұрын
Lissu hoyeeeeee
@jamaliddiin93575 сағат бұрын
Jamani boni yai yuko wapiiiii chawa wa mbiwe
@JumaLitto12 сағат бұрын
Tunataka mabadiliko bana sio kila siku mbowe
@BensonMpete14 сағат бұрын
😂😂😂hakuna mwaisa mshamba
@yustodonald97722 сағат бұрын
Nimekubali hakuna mwaisa mshamba
@abdalahasuman874012 сағат бұрын
Mzee kang,a ng,ania madaraka sijui ana maslahi gani ana pata kwenye uwenyekiti mbona ana tutia mashaka
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp12 сағат бұрын
Pamoja sana mbowe pembeni olewenu mtaomchagua mbowe
@RobertChacha-si1js13 сағат бұрын
Mbowe upole,busara n msimamo umekuponza,nchi ilipofikia busara na upole haufai,ccm wamedhamiria ubaya kama wanaua kisa kitongoji uchaguzi mkuu Mbowe huwezi
@abuubaya761414 сағат бұрын
MBOWE KISHAPATA UJUMBE KUTOKA BAVICHA TEAM MBOWE IMEPGWA CHINI NA HADI BARAZA LA WAZEE😂😂😂
@GoodTeck9013 сағат бұрын
Acha uwongo .....Suzanne Lymo aliyeshinda Uenyekiti BAZECHA alikuwa team gani !!?? .......Siyo Kila mgombea alikuwa na Team
@rebekakulwa61594 сағат бұрын
Bora pesa ya ubeligij ni ya haki. Kuliko ya abdul maana ni ni kodi zetu hizo niza dhuruma tunachagua haki ni lisu
@Alphonce22311 сағат бұрын
😂😂😂😂 Atari sana
@omarramadhan511112 сағат бұрын
Wahesabuni hao wajumbe kutoka Kila mkowa mukiona wamezizidi muwashughulikiye
@AbelJohn-tx4in13 сағат бұрын
Yaani nyie wajumbe Mungu anawaona, yaani maombi yote haya Kila Kona ni Lisu tu hebi sikilizeni maombi ya wananchi maana hao ndiyo wapiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa taifa, wanamtaka Lisu, sasa mkienda kinyume na matakwa ya wananchi mtakutana nao mwezi wa kumi, hasira zao watazihamishia kwenu, kura zote zitaenda ccm, kuweni makini kufanya maamuzi msibabaike na visenti hivyo vya ccm
@fredimtaze9982Сағат бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿lissu heche ameeniiiiiii🙏🙏🙏
@bsmonline848213 сағат бұрын
MBOWE Hatoboi hapo.
@BoayHotay14 сағат бұрын
Mbowe Jiengeue Chap
@mosesm160813 сағат бұрын
Gusa, achia twende na Lisu 😂
@malackedson770614 сағат бұрын
Safi.
@drallan687913 сағат бұрын
mbowe mikoa mkubwa Ka dar mbeya nk hawakutaki;jitoe aibu itakufika
@AlexMkwama11 сағат бұрын
TAHADHARI... Msije mkapitiliza misisimko yenu na kuacha kurudisha Shukrani kwa mbowe aliyenyenyua chama hiki.
@amoursalum82665 сағат бұрын
shukrani kashapewa nyingi hajaamua tu kuziheshimu
@elikyusimsigwa66085 сағат бұрын
Mimi, sijaona shukrani kila anayekuja humu hasa wa upande wa mnyampaa! ni kulaumu na shutuma kwake! mnafeli sana yaani. Hata kukosoa kuna maneno yake lakini ninyi lo hatari, sijui huyo mtu wenu akichemsha mtaweka wapi nyuso zenu!
@AlexMkwama4 сағат бұрын
@@amoursalum8266 Sawa
@JuliethNyoni3 сағат бұрын
Lisu oyee
@deusdeditishengoma43355 сағат бұрын
Lissu oyeeeeeee, sugu usijarubu Kambi yako ya Mbowe hapo Mbeya utatoka hapo bila kupenda!
@yustodonald97722 сағат бұрын
😂
@sagandamalechampullo659Сағат бұрын
LISSU IS NOT ONLY NATIONAL LEADER BUT ALSO INTERNATIONALLY LEADER AND TRENDED WORLDWISE
@RichardbituroMakole2 сағат бұрын
Kichwa hiki mbowe achia kugombea ,ujenge heshima .lkn Kwa sababu Kuna ujanja wa maslahi ,kificho Dunia ya sasa haiwezekani.watu ni waelewa.
@joachimngereja760813 сағат бұрын
Mi najaribu kujiuliza hivi kuna nini nyuma ya pazia kwenye kukitaka kukitaka tena kiti hicho kwa MBOWE?
@FrankMwakatundu-cu6bd51 минут бұрын
Ni mbinafsi na wengi hatukumjuwa!!!
@jamesbayo191013 сағат бұрын
CHADEMA BILA KUMCHAGUA LISU CHAMA CHENU KITADHOOFIKA.
@kibwetere141814 сағат бұрын
Mboe ana roho ngumu jamaniiii hivi hata ikitokea ameshinda atafanya kazi na nani??
@JoelKilemile3 сағат бұрын
Kwa hii sunami Mbowe hashindi,ajiengue mapemaa kabla moto haujakolea kivile.
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp13 сағат бұрын
Tuko pamoja bloo
@AfwilileNisaidie4 сағат бұрын
Uhakika wa mambo
@FrankMwakatundu-cu6bd55 минут бұрын
Lisu anewapigania wengi sana waliodhulumia kupitia UWAKILI wake bila MALIPO!!! KWA KIFUPI NI MTETEZI WA WANYONGE(MASIKINI)
@devissyprian152612 сағат бұрын
Mbowe umeyatimba round hii
@ValeriJummane12 сағат бұрын
Lissu popote pale
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp12 сағат бұрын
Atakae mchagua mbowe abaki kwambowe
@BonifaceBonala-w9j14 сағат бұрын
Mbowe jitoe uheshimike pesa za mama kizimkazi ulizokula azina liana ira cdm kwako inaraanakwako
@TallTallmysha-v3uСағат бұрын
Safi sana
@AbdullahAhmed-t7p6l14 сағат бұрын
Vary emotional messages from this ordinary chadema political sapotor sending messages poison of chadema election on national potion between tundulisu and freeman mbowe
@jumamagoma174314 сағат бұрын
Ccm.na.mbowe.hii.taa.kijani.mnaiona.???
@mussakimaro558813 сағат бұрын
Mbowe akaandae shamba alime atulie heshima yake
@MichaelAlbertin-b1k13 сағат бұрын
Mbowe anatafuta kupata fedheha aibu.
@kibwetere141813 сағат бұрын
Kazi ipo kwakweli
@petsmore995548 минут бұрын
Lisu angojee kipindi kingine. Acheni longolongo za kimbea. Katiba izingatiwe na uchaguzi uwe huru na haki. Full stop!
@williamgeorge-hd2tnСағат бұрын
Waliomshauri mbowe wamempoteza
@JuliasMsongole-c5k13 сағат бұрын
Achia tu mbowe utafedheheka siku hiyo ivumayo haidumu
@mwansasu12 сағат бұрын
Jambo TV
@drallan687913 сағат бұрын
mbowe jitafakari and step down
@rbmdavies8813 сағат бұрын
Siasa za sasa ni kwenda nao ki ulalo ulalo
@ahmedalkiyum7592Сағат бұрын
Mbowe kaharib pale aliposema anataka angalau atimize miaka 20 kama Mzee mtee sijuwi😂 hapo kaharib
@salomeurio56014 сағат бұрын
Kwani CCMwalishaqahi kupiga kura kwa kutumia machine au mnasema tuu... Mwacheni Mama kumtaja kwa uongo tu, Mungu anwaona ninyi... Ongeeni Sera siyo Mbowe na Mama...
@Kibiritij12 сағат бұрын
Mbowe alikuwa na nia ya kukiua chadema, kwani huwo ni mkakati wake na hawa jamaa ma ccm. na mikakati hiyo niyamuda mrefu sana aliufanya, ana maslahi makubwa sana na huyu mama alitoa mamilioni kwa mamilioni. ili tu abaki kwenye kile kiti huo ulikuwa ni mkakati wakumtengenezea kizimkazi njia nyeupe, aje kuwa kama kagame au museveni. chama kile cha ccm kije kushika hatam. wapate nafasi ya kuumiza watu zaidi na kupoteza watu wa watu wasio kuwa na hatia, hata katika mipango yao hiyo mungu huwa yupo kazini anapingana nao. kutokana na damu za watu wasio kuwa na hatia mungu amesha wachagua watu wake tayari, wakuja kurudisha tumaini kwa wanyonge. lisu+heche+lema na msimamo wa lema ndio kama ule...
@ChristopherShaban10 сағат бұрын
Daaaar kamanda za mwisho arobaini kamanda hatoboi
@FrankMwakatundu-cu6bd43 минут бұрын
TAMAA YA MADARAKA YA MBOWE IMEONDOKA NA HEKIMA NA BUSARA ZAKE ZOTE KIASI KWAMBA HATA USHAURI WA WENYE HEKIMA WA KUMTAKA UMEDUNDA!!!
@sebastianmwantuge55972 сағат бұрын
Ukiona mtu anajiita Mnyakyusa halafu mnafiki huyo ni feki. Wanyakyusa ndiyo hawa.
@JosephChrisant4 сағат бұрын
Kwanini Mbowe asiache tu ili kutunza heshima yake?.
@sagandamalechampullo659Сағат бұрын
MBOWE KANG'ANG'ANIA MILE NA MILE MADARAKANI SASA KAPATIKANA
@dbogohe6 сағат бұрын
Omary Ismail Nyahega anatema madini..
@simonsadala238613 сағат бұрын
Hadi uchaguzi umalizike Jambo Tv mtakuwa metajirika Kwa pesa za Ubelgiji maana mejitahid kumnadi Lissu
@SalambaPeter13 сағат бұрын
Utaelwa hata kwa maumivu maana inakuwasha ya lisu bado heche na lema
@HaroldTarimo-g6f12 сағат бұрын
Nawe nenda ubeligiji ukachukue pesa zipo zinakusubiri Akili matope
@williamkeita1519Сағат бұрын
Mugabe atolewe kama lipumba abaki na chama zaifu
@petsmore995545 минут бұрын
Kama lisu ni nyerere mwingine kaiambie ccm si chadema.
@dafrosamonko825412 сағат бұрын
Nlikuwa chadema ila ccm forever
@JuliasMsongole-c5k13 сағат бұрын
Utaona unajikaza kisabuni maneno matupu hayavunji mfupa au ni mawe ya mtandaoni hayakutishi,
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs3 сағат бұрын
Tuna mtaka na sugu aseme yuko upande upiiii
@yustodonald97722 сағат бұрын
Nae sugu ajitokeze tujue tunaenda nae ama tunamkaaanga
@godongladnes-kn7ei6 сағат бұрын
Hawa watu hamna tofauti na joan wa matha
@rbmdavies8813 сағат бұрын
Kwani kuna ubaya mtu kugombea uwenyekiti acheni zama ziongeee
@JenniferSitta14 сағат бұрын
@daniel. Hii inchi ikipata mawazo kama Yako. Tunaludi kwenye utumwa rudisha akili zako za uchwa ulikozitowa. Hii ni KIMBUNGA HII NI SUNAMI😅
@SowetoBanks2 сағат бұрын
LISSU
@SaidiMohamedi-n2u2 сағат бұрын
Mbowe kaponza na yariko
@wazomyakinifu230111 сағат бұрын
Mbowe kwa upepo huu ulivyo km wewe si dikteta basi u dikteta kiziwi. Ushauri wa bure kwako ni wewe kujiengua tu
@Kibiritij12 сағат бұрын
10:26
@wolframkifaru122611 сағат бұрын
Hakika hatutaki ujingaujinga
@MohamedRashid-py7ro12 сағат бұрын
Chadema hakuna qanacha ni wahuni tu huyo TUNDU LISU HANA MANGO YOYOTE CHAMA KINAPOTEA
@MohamedRashid-py7ro12 сағат бұрын
MAPEPO YAMECHANGAMKA
@NOELKISONGA8 сағат бұрын
Sugu hatujamsikia
@yustodonald97722 сағат бұрын
Hawezi tokea yule chawa wa mbowe anaogopa na mbeya ipo team lissu😂😂
@dorahy157911 сағат бұрын
No Tundu Lissu
@DannySanga-gh1oj14 сағат бұрын
Acheni upumbavu wenu anzisheni chama chenu mumuweke lisu
@PhilipoMwita-b2x13 сағат бұрын
Ww acha upumbavu chadema ni Chama Cha nani..? Acha uhuni tutawapiga kwenye box hakuna kuhama
@sebastianmwantuge55972 сағат бұрын
CHADEMA ni chama cha Mbowe? CHADEMA ni taasisi, na taasisi si ya mtu,ni ya watu. CHADEMA ingekuwa ya Mbowe ingeitwa Kampuni.
@DannySanga-gh1oj14 сағат бұрын
Ninyi ni wapumbavu hamjui democrasi apite kwenye uchaguzi
@RobertMshiko14 сағат бұрын
Kama upo Kwa mbowe ni ww ss tuache na lisu
@StivinPasco14 сағат бұрын
Huyo mm naona hana jipya
@nicholouskennedy981314 сағат бұрын
Wewe ndio mpumbavu Sana Tena huna akili kabisa .usiyejua kusoma alama za nyakati. Eti sanga mkinga gani huwezi kujielewa pumbavu wewe mfyuuuuuuuuuuu