LEMA AMVAA MAKONDA NA LAND ROVER FESTIVAL ARUSHA"WADADA WA ARUSHA HAWAPO ROMANTIKI"🤣

  Рет қаралды 58,060

SWAHILI MEDIA

SWAHILI MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 308
@josephmabula9658
@josephmabula9658 2 ай бұрын
Lema hapo huna hoja,hii ishu imewapa ela sana arusha
@AswilaSeif
@AswilaSeif 2 ай бұрын
Makonda tunampa mauwa yake,💐💐💐💐kicha kinapada 😂
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Ай бұрын
Kuna vitu vingne ni kheri ukae kimya tu 😅 nlkuwa namchukuliaga huyu Lema kama mwanasiasa mzuri ,sasa nmegundua jamaa huwa ana wivu sometimes ,VIVA MAKONDAAA🚀🚀🔥
@Jal210
@Jal210 Ай бұрын
Huyu si muhuni tubna alikuwa mwizi wa magari hapo Arusha
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Ай бұрын
Watu wafki sana alikuwepo bungeni, tumuulize alifanya nn ad jamii ikanufaika
@6godmsaki941
@6godmsaki941 2 ай бұрын
Daaah pole sana lema,ulipata nafasi ila uliichezea Bro too late Mkuu.
@omaryshabani3480
@omaryshabani3480 2 ай бұрын
Sio landrover tu kuna baloon festival inakuja yani Arusha hatupoi wala hatuboi we nenda kenya kwanza kakae uje mwakaniii..#Makondaforever
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 2 ай бұрын
We mubwa unamusema vibaya rema rijinga kweri
@JaneMbilinyi-by6ix
@JaneMbilinyi-by6ix 2 ай бұрын
Wewe Lema ni mjinga sana na ndiyo mbumbuwazi, Huna chochote cha kutunufaisha sisi kama wananchi. Hakuna cha People's Power
@musa-v3f
@musa-v3f 2 ай бұрын
Lema ana akili huenda kuliko ukoo wako wote
@TajewuoMoseka
@TajewuoMoseka 2 ай бұрын
Wewe akili Yako tope tafuta lakusema
@Eliasa-h5t
@Eliasa-h5t 2 ай бұрын
Mh rema kunawakati wananchi wanachoka na sihasa zenu tafuteni namna nyingine yakuwafikia wananchi tulichoka na sihasa zenu baada ya wengiwenu kuunga juhudi za magufuri kuaziahapo tulijua nyinyi mnatafutia matumbo yenu nafamiria zenu ndiomana watu wamechoka na sihasa zenu.
@EmmanuelSeleman
@EmmanuelSeleman 2 ай бұрын
Atakae fanyia kazi,mambo ya Lema ni mjinga kama yeye
@boscoboyamchafu
@boscoboyamchafu 2 ай бұрын
Hahaha duuu🎉
@RaheliMollel-v3d
@RaheliMollel-v3d 2 ай бұрын
Lema naona una maleria na arusha hakuna malaria makonda oyeee
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 2 ай бұрын
Hawa jamaaa wameishiwa kabisaa 😂😂😂😂😂
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 ай бұрын
😂😂😂
@azizimtege
@azizimtege Ай бұрын
Saaaaaaaana
@paulmaziku240
@paulmaziku240 Ай бұрын
Kwa pumba anazotoa.., Ni dhahiri kuwa anataka madaraka kupitia huruma. Atafute namna nyingine ya kutafuta madaraka. Sio,kwa matusi na taarabu hizo.
@JaneMbilinyi-by6ix
@JaneMbilinyi-by6ix 2 ай бұрын
Hukutekwa ulichukuliwa na Polisi😂
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 2 ай бұрын
Makonda hoyeee, tumpe maua yake MAKONDA . Tanzania tumeweka rekod hoyeeee.
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 2 ай бұрын
Mpe Maua yake kwa kuwa ni mpuuzi mwenzio
@benotayari5970
@benotayari5970 2 ай бұрын
Hata aibu uoni na ubunge upati hapo arusha ongea mpka sauti ikauke
@musa-v3f
@musa-v3f 2 ай бұрын
tutampa ubunge ni mtetezi wa wananchi
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 2 ай бұрын
Acha kutufundisha kulia lia, kwa Dunia yako,, Mjomba mjanja sana kuna hata mtu uliyemsaidia mtaji,, kuajiri vijana,, kuna mambo Kama mungu kanyamaza na wewe nyamaza usijifanye unatuhurumia sana,, huku mnakula maisha kiaina.. lete solution sio kukalamika,,
@rashidibrahimshemlugu7845
@rashidibrahimshemlugu7845 2 ай бұрын
Sasa badala umwage sera unaanza kutuambia umeenda jela sana
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 2 ай бұрын
Hahahaha Lema kweli mwehu. Wacha watu wale bata . Wamekutosa,washakuchoka.
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 Ай бұрын
Unajuwa mama samia alimtrua makonda kumleta huko kuwanyoosha 😂😂 kwisha nyinyi
@adiaygo8546
@adiaygo8546 2 ай бұрын
Lema soma comments 😂😂 ndiyo ujue watu wamekuchoka na magwanda yako kama ZCC 😅😅
@KwanduHumo
@KwanduHumo Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@josephmpigauzi8402
@josephmpigauzi8402 2 ай бұрын
Kumbe Lema hanaa Range Rover 😂😂😂 lazima haponde anaowahutubia wanmuona pimbi tu
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 Ай бұрын
Huyu kinacho msumbuaga ni wivu na roho mbaya tu,hapa watu hawajui tu ila ukweli ni kwamba anaongelea ya moyoni ambayo ni wivu na roho mbaya,hapa ameongea na kuonyesha ninibkwamba anaweza kuwasaidia wanachi?anaponda Makonda ambaye anahangaika kuwaweka watu pamoja kama marafiki,sasa hivi hao wenye Land Rover wakikutana hata huko Tunduma au Korogwe watasalimiana maana walikua pamoja Arusha,watashirikiana huko kikazi,kibiashara na mahusiano mazuri,huyu yeye eti anaponda jambo hilo...huyu hamna lolote huyu,wivu tu na roho mbaya
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 2 ай бұрын
Si uliamia Canada basi nenda Kenya sasa.
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 2 ай бұрын
Hamujitambui wasio muerewa rema
@HamisiHemediWaguga
@HamisiHemediWaguga 2 ай бұрын
Duh nimesomakoment ❤
@Eliasa-h5t
@Eliasa-h5t 2 ай бұрын
Lema unasifia lakini hakuna nchi ngumu kama kenya kenya demoklasi yao haiwassidii kitu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
EXACTLY WENYEWE WANATAKA KUHAMIA BONGO 😢😢😢
@yusuphabel5530
@yusuphabel5530 2 ай бұрын
Kenya raia wanajitambua,wa bongo ni misukule
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
@@yusuphabel5530 JIDANGANYE TU MAFUTA WANAENDA JAZA FULLTANK NAMANGA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾COST OF LIVING NI HIGH
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 2 ай бұрын
Tanzania ni pepo akina lema ni vitawi vya shetani
@BenezethBwikizo
@BenezethBwikizo 2 ай бұрын
Lema kenya kuna viwanja hamia huko
@giftemmanuel9171
@giftemmanuel9171 2 ай бұрын
Acha wivu,Huna jipya buni chako.
@teophilynichombe3623
@teophilynichombe3623 2 ай бұрын
Fanya kaz ww acha pumba unajua kiwango gan leo wtyu wa arusha wame make money kisa hiyo event
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 2 ай бұрын
Ivi wew unataka tukusapoti wakati wew una tafutia tumbo lako.....sis tunatafita maisha yetu ..wew ukamatwe utiwe ndani ....utajuwa mwenyew.una kimbilia Canada....sisi hatuna maisha...kwaiyo utuache..tutafute maisha....
@cassimoa9217
@cassimoa9217 2 ай бұрын
Hili jamaa pumbavu sana. Wananchi ulitaka wafanye nini kwa upumbavu wako? Muvunje sheria kusudi utegemee huruma kwa wananchi? Mjinga wewe nenda kaishi Kenya, jambazi mkubwa ww.
@zerubaberynyaluke
@zerubaberynyaluke 2 ай бұрын
We ndo mpumbavuuu ambaye hujielewi kabisa.
@alisuleiman303
@alisuleiman303 2 ай бұрын
Mnafanya mkamatwe ndo kiki zenu acheni izo😊
@alisuleiman303
@alisuleiman303 2 ай бұрын
Mmeishiwa usitufananishe na kenya unaona wivu kwa wanaoumwa
@teophilynichombe3623
@teophilynichombe3623 2 ай бұрын
Mwenzii anabini mbinu nawe buni mbinu arusha iamie kwako si kuponda kaz ya mtyuu yeye akili yake ndo imeishia hapo onyesha utofauti si pumbaaa
@RonnieBertin
@RonnieBertin Ай бұрын
Wabongo wanalalamika kuhusu maisha bongo nenda kaishi Kenya uone joto la jiwe. Kenya maisha magumu msiombe ndo maana wanaandama kila siku
@eliusnguaro8806
@eliusnguaro8806 2 ай бұрын
Kweli nimeamini kuwa lema Hana AKILI umeishiwa sera
@MariaSimfukwe-i5r
@MariaSimfukwe-i5r 2 ай бұрын
Kwahiyo unataka wananchi wasiingize pesa wafanye siasa tu
@godshanthomas3297
@godshanthomas3297 2 ай бұрын
Yani ulishakua chadema lazima uwe tu na akili ndogo
@musa-v3f
@musa-v3f 2 ай бұрын
chadema ndio chama cha watu wenye akili nyingi ndio maana CCM inawaghiribu na kuwapa uwaziri na vyeo mbalimbali
@azizimtege
@azizimtege Ай бұрын
Haaaaaaa haaaaaaa 😅😅
@mzalihalisi4357
@mzalihalisi4357 Ай бұрын
Aah kaka unarudia vitu vilvile kila siku jukwan kuwa mbunifu zaidi kwa style hiii kazi ipo kweeeeli
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 ай бұрын
Ww Lema unawivu yani kila siku huishiwi kumsema Makonda kila analofanya wahutubie wananchi utafanya nini ukipata uongozi?? Ww kilasiku Makonda kwanza ujue unamuongezea pawa. Wivu unakusumbua pimbi ww, makonda oyeeee
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Huyo anasumbuliwa na toho ya kwanini aliye tu na bado utakiona cha moto you kila siku matusi tangaza sera zako mkuchukua dola mtawasaidia nini wananchi hupati kitu Chadema Saccoss
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 ай бұрын
😂😂😂
@verombwambo3703
@verombwambo3703 2 ай бұрын
Makonda oyeeeeeeee ❤
@ErickyKatunzi-gx3mi
@ErickyKatunzi-gx3mi 2 ай бұрын
Kitu gani cha kupongeza hapo, wakati unamdogo wako kamaliza chuo nahana kazi huu mwaka wa 4,mkuitwa misukule mnakataa.
@wilfredkahumuza9459
@wilfredkahumuza9459 2 ай бұрын
Mimi Nilisema huu msafara wa Land Rover utawafanya wenye hoja wajishushe na wasio na hoja wajipandishe. Sasa Lema amejilipua kabisa!
@yahayamtonga9762
@yahayamtonga9762 2 ай бұрын
Unasema ulitekwa huku unasema na polisi hukutekwa ulizuiliwa na polisi
@adkajisi4536
@adkajisi4536 2 ай бұрын
Hawajui maana ya kutekwa hawa
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@JoyceJulius-r6g
@JoyceJulius-r6g 2 ай бұрын
Huna jipya wewe 😂😂😂😂sasa mmeishiwa. Jamani khaaaa Mpaka tumewachoka aisee
@AswilaSeif
@AswilaSeif 2 ай бұрын
Wewe lema mjinga sana😂hujui kitu chochote tazama hujui WAla siyasa makonda hodari Sana wivu unakuzumbuwa mjinga wewe chizi😂
@ezrasanga506
@ezrasanga506 Ай бұрын
This guy is very smart....Lema ana akili sana unahitaji akili nyingi kumuelewa...NCHI IMEJAZWA UJINGA TU..😢
@mariahmollel1258
@mariahmollel1258 Ай бұрын
Kabisaa
@EmmanuelAlex-bp7dg
@EmmanuelAlex-bp7dg 2 ай бұрын
Achaufara bana kwahiyo ulitaka tu tuache mpira kisa wewe bwege
@petersawa2352
@petersawa2352 2 ай бұрын
Hoja ni Nini Sasa hapa?naona wananchi wanashangaa wanachokisikia
@RonnieBertin
@RonnieBertin Ай бұрын
Hoja ni Land Rover festival
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 ай бұрын
Umewafanya watu wanune utadhani wamelamba ndimu za Somalia ebu toka uko bwana acha wivu wa kishamba Lema.
@Josephllkmy
@Josephllkmy Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@francisgituti2494
@francisgituti2494 Ай бұрын
Huyu jamaa anauvivu wa kufikiri watu wametoka mpka Uganda Mapato yameingia hayajaingia?
@The_son_of_Africa
@The_son_of_Africa 2 ай бұрын
In normal senses tuu, umetekwa na polisi uwanja wa ndege halafu umepelekwa kituoni? Hivi sisi huwa mnatuona matahira sana, tafuteni hoia zenye mashiko
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Ай бұрын
Asee umeandika kitu kikubwa!!!
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Ай бұрын
Narudia tena umeandika point kubwa sana, lakin cha ajab kuna watu kweli hili hawalioni wanakubali tu kupandikizwa chuki.
@Gelenya-ne2ip
@Gelenya-ne2ip 2 ай бұрын
Hata kichaa ana watu wanamuelewa! Inashangaza sana! Sijui watu hawa wanavuna nini!
@grationkato7658
@grationkato7658 2 ай бұрын
Aisee Lema vipi tena hapo shida ipo nazani ata wewe ungekuwa kwenye msafara huo
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq Ай бұрын
Kwaiyo unatakaje maana naona unasimulia stor zako tu sijaona jambo la maana hapo😂😂🙌🙌
@miraclelogistics1526
@miraclelogistics1526 2 ай бұрын
Huyu Lema hana jipya tena namshauri atafute kazi nyingine hizo siasa za majitaka hazina mpenyo, anafananisha Kenya na Tz basi hamia huko, Watanzania ni waelewa kuliko mnavyodhani. Japokuwa sipendi CCM lakini Makonda anafanya tunachotaka ANAKIBALI {Mungu yuko pamoja naye}.
@simonsadala2386
@simonsadala2386 2 ай бұрын
Ukiona wananchi hawapigi kelele ujue wameshakuchoka watu tumepigika na maisha kila mtu apambanie mkate wake
@ZawadiMasele-r5y
@ZawadiMasele-r5y 2 ай бұрын
Huna jipya wewe tulia kimya
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
SAME STORY 😢😢😢😢😢😢JELA/CANADA/KENYA/MAREKANI/KUTAKA KUULIWA 😢😢😢😢
@BabaNasritz
@BabaNasritz 2 ай бұрын
Kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa
@mohammedfarid5534
@mohammedfarid5534 Ай бұрын
Mheshimiwa Lemans acheni siasa zenu za maji taka zama zimebadilika
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 2 ай бұрын
Ulitaka wananchi wafanye nini? Ulitaka wapigane na polisi?
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Ай бұрын
Lete jipya mkiwa bungeni ulifanya nn😂😂😂😂😂😂😂😢😅
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 2 ай бұрын
Arusha tumechoka maneno tunataka vitendo mzee
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 Ай бұрын
Lema huwez bishana na land rover festival....tafuta sera zako, huwez watukana waliohudhuria mkutano alafu wakupende...
@chandechande9642
@chandechande9642 2 ай бұрын
yaani lema ni muongo sana yaani hunafaida
@tumainipauli4020
@tumainipauli4020 2 ай бұрын
sawa huna jipya
@axleymbuya761
@axleymbuya761 2 ай бұрын
Mpumbavu ni wewe ulikuwa mbunge Arusha mjini umefanya nini azidi ya kuchochea vurugu,,hafai kuwa kiongozi hata balozi wa nyumba kumi lala mbele,,,
@shabanmakata7329
@shabanmakata7329 2 ай бұрын
Usitufananishe na Kenya wajinga wale, sisi tunajielewa Hafi mtu kiboya
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
😂😂😂😂
@alenminja445
@alenminja445 2 ай бұрын
Bongo wapuuzi sana kama hawa mbwaa wa dudu dah 😢😢
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 2 ай бұрын
Ulitakiwa upingwe sana
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 2 ай бұрын
Lema sasa unajiabisha bro hiyo sio siasa kila kitu ww unapinga wananchi ss sio wajinga tunaelewa jema baya, tunakupenda ila siasa Acha
@adiaygo8546
@adiaygo8546 2 ай бұрын
We mkimbizi uchwara makonda humuwezi uliharibu Arusha we mwizi tu watu wame shituka😅😅
@zawadimwenga7851
@zawadimwenga7851 Ай бұрын
Wananchi hawakuelewi Lema Unapiga kelele wanakuangalia tu Hahahaahahahahaha
@upgo6112
@upgo6112 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Yan naona kama hamorapa anaimba
@aishaaisha9876
@aishaaisha9876 2 ай бұрын
Uliongoza jimbo la arusha miaka kumi huna laamaana ulowatendea wana Arusha 😂😂😂
@DeboraCalton
@DeboraCalton 2 ай бұрын
Kabisa na mi nilikuwepo
@JaneMbilinyi-by6ix
@JaneMbilinyi-by6ix 2 ай бұрын
Tuambie mambo ya maendeleo siyo ujinga
@NdilanhaLameck
@NdilanhaLameck 2 ай бұрын
Ulitaka wananchi wafanye nini?
@barakarobert1029
@barakarobert1029 2 ай бұрын
Ndio ujue kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
Lema nakubali nafikiri wanaokupinga watakuelewa wakati safina ishafungwa
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 2 ай бұрын
Lema hana hoja ya kuwasaidia wananchi. Wewe ingia tu kwenye safina yenu ya kijinga Hilo. Arusha kwa sasa watu wanajielewa.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
@@stevenjackson4985 hapana huwezi kusema lema Hana hoja...bro utakua unadanganya Toka akiwa bungeni Hadi Sasa nimtu Ambae anahoja kabisa mbona hata mpina anahoja yaani mtu akiwa chama pinzani aonekane Hana hoja Mbona mpina yeye anakosoa serikali anaweka hoja au KWAVILE yeye ni ccm ..!! Hakuna inatakiwa hoja zishindane sio kubeza mwenzako kwasababu yeye ni Chama kingine
@MarryMwamwezi
@MarryMwamwezi Ай бұрын
Yaani makonda kaimaliza Arusha kabisaaaaaa. Lema ingia kwenye moment. Huna seraaaa. Kila siku kulialia. Ndiyo maana mnaitwa watoa taarifaaa
@AllyTingi
@AllyTingi 2 ай бұрын
😂😂Uyu jamaa aende kwa P Diddy ili akili imkae sawa siwapendi awa watu wa chadomo
@TimotheoNtibayaga
@TimotheoNtibayaga 2 ай бұрын
Uyo jamaa nilikuwa namkubali ila Sasa iv namuona tahila TU Sasa unatekwaje siupambane kila siku kulalamika tu
@mujunibengesi4899
@mujunibengesi4899 2 ай бұрын
Ongea vizr uliteekwa au ulikamatwa ?
@J4UPro
@J4UPro 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 ай бұрын
😂😂😂😂 yan
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 2 ай бұрын
Acha wananchi na woga wao. Ulitaka wananchi wafanye nini?
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 2 ай бұрын
Maskini hata wasikilizaji wamejua wanapoteza muda wao bure kwa kumsikiliza mwehu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 ай бұрын
Umewafanya watu wanune utadhani wamelamba ndimu za Somalia ebu toka uko bwana acha wivu wa kishamba Lema. Na Dotto Magari ulio mtaja atakujibu we subiri
@NoelLekule
@NoelLekule Ай бұрын
Acha wewulivyokuwa mbunge uliweza kuwafurahisha wananchi lako Kwa lipi mwache Makonda apambane
@josephmpigauzi8402
@josephmpigauzi8402 2 ай бұрын
Hapo ujue wewe ndiyo mpumbavu cyo CCM wananchi hatukutambui wewe ni nani kwani nchi hii?
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Ай бұрын
Hv chadema wanapitia komenti zawatu hawa jamaaa ukiwasikiliza vizuri wao huwa hawana sela nikuelezea kutekwa walio fanyiwa yani SASA LEMA UNAJISAHAU UMEKUWA MBUNGE ARUSHA HUJAFANYA KITU LEO ANASIMAMA KUKOSOA WENGINE KAZ KWELI KWELI NAMAKONDA HAMMUWEZ AMESHA KUWA KIPENZ CHA WANA ARUSHA
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 Ай бұрын
We Lema acha ujinga hao unao wahubiria wamepiga pesa kutokana mbwembwe za mh Makonda alafu wakujali wewe maneno matupu tena ya hovyo
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Ай бұрын
Mheshimiwa jikite kwenye sera. Watanzania wanataka mabadiliko ya maisha yao. Chadema mmekuwa chama cha matukio na sio sera. Mimi napenda mabadiliko sio porojo. Mheshimiwa umekuwa mtu wa kujiongelea wewe binafsi.
@charlesmurimi765
@charlesmurimi765 2 ай бұрын
Taifa la hovyoo sana
@floramboto7571
@floramboto7571 Ай бұрын
We mwenyewe unaongoza kwa uoga kilicho kukimbiza nchini ni nini
@NDEWARA
@NDEWARA Ай бұрын
Huyu Lema watoto na mke wake wako Canada. Yakiharibika hapa anakimbilia Canada. Kuweni makini
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro Ай бұрын
Huyo ni chizi tu anae msapoti Lema sio mzima wa akili
@ElizabethKawishe-k1y
@ElizabethKawishe-k1y 2 ай бұрын
Unatafuta huruma za wananchi pambana na hali yako mwenyewe
@MnubiMm
@MnubiMm 2 ай бұрын
Hahahahaha lema acha kutukana watu wapumbavu kwa sbb hawakulupuki kwani ukikamatwa wewe wao inawahusu nini
@AbubakariMfinanga
@AbubakariMfinanga Ай бұрын
Duh jaman chadema imepoteza ushawish yan mkutano auna watu
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 ай бұрын
Wakati mwingine Lema uwe unasifia mazuri ya CCM
@alenminja445
@alenminja445 2 ай бұрын
Sera za nn wakati uchaguzi bado😂😂
@MasanjaMkama-bd9rc
@MasanjaMkama-bd9rc Ай бұрын
Wote wanaopinga kuhusu huyu mwamba nao inaelekea washafanywa mabumbuwaz hawanaakil km serikali yao
@wilfredkahumuza9459
@wilfredkahumuza9459 2 ай бұрын
Yani Lema waliokutuma ukaseme Sasa hivi wako wamefumba macho kwa aibu!!
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 ай бұрын
YAN UKITOA HUTUBA HATA IWE NZUR KIAS GAN UKISHA MSEMA VIBAYA MAKONDA KILA ULICHO KIONGEA KINAONEKANA N UTUMBO TU😂😂 MSHAULIN LEMA AACHANE NA MAKONDO SIO LEVEL ZAKE
@josaphatlukwaro2378
@josaphatlukwaro2378 2 ай бұрын
Duuu yaan siku lema akisoma hizi comment atajua 😅😅😅
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 Ай бұрын
Ni balaa sijaona alie unga hoja hata mmoja 😀😀😀
@hophngodwn6035
@hophngodwn6035 2 ай бұрын
Chiziiiii ilo
@manasehyakobo1908
@manasehyakobo1908 Ай бұрын
Siku hiz kukamatwa ndio kutekwa, huna jipya.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,4 МЛН
NO MAN WAS BORN A FAILURE BY: MAN KUSH
6:14
Churchill Television
Рет қаралды 272 М.
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 432 М.
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
Duuh! LEMA ATABIRI KIFO CHA SAMIA Bila Uoga!
28:50
MALAVIDAVI Kenya
Рет қаралды 52 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,4 МЛН