LEMA MERERANI -"PESA ALIYOPEWA BILIONEA LAIZER ni CHENI ya KIUNO ya BEYONCE, IMEUA BEI ya TANZANITE"

  Рет қаралды 19,927

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

LEMA MERERANI - "MADINI ya BILIONEA LAIZER YALIUA SOKO la BEI ya TANZANITE DUNIANI"
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 62
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ
@magesagambajr3546
@magesagambajr3546 Жыл бұрын
Kosoa lkn pia toa basi value inayowezq kuisaidia taifa Lkn bado nakuona km ndani Yako umejaa na kisasi na uchonganishi tu Wewe kosoa lkn wambie vijana wafanye Nini Ili kujikuamua na umasikini
@the_white_43.
@the_white_43. Жыл бұрын
Very fact.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Watu weusi ndio maana tunapigwa tu nafikili kidogo mnoo wakati duniani wanajua nini maana ya madini.!!!
@husseintwaha1737
@husseintwaha1737 Жыл бұрын
Ukiwa muazi sana watu hawawezi kukuelewa kabisa hasa kwa baadhi ya nchi za kiafrika
@ToshNiNe-uj8pf
@ToshNiNe-uj8pf 10 ай бұрын
Yaan serikarini kuna wapumbavu weng weny akili wapo upinzani
@emmanuelhema186
@emmanuelhema186 Жыл бұрын
Yaani Lema anatafuta namna ya kupata fedha kwa wafanya biashara ya madini kwa sababu anaongea hvyo ionekane anawatetea
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Hiyo ni fact
@mollelmelita8106
@mollelmelita8106 Жыл бұрын
Mm naona chadema hawana sera ndio maana wanakuja kutukana tuuuu
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 Жыл бұрын
Chongamoto ni nyingi wakisema wanyamanze utakuwa mjinga sana hautoerewa unazulumiwa vp na hao bi tozo
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 Жыл бұрын
Huyu shogo wa kimachame mshamba sana
@stationerykinondoni7241
@stationerykinondoni7241 Жыл бұрын
Mama Samia ana akili sana kuwaruhusu kuongea ili tuone pumba zao
@magaigwa4204
@magaigwa4204 Жыл бұрын
Kabisa
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Жыл бұрын
Huyu baba anamatatizo maana ukimuangalia juu Hadi chidi havizidi hata laki na bado anadharau watu. Pole mkosa vya maana vya kuongea. Na wananchi mnapiga tu makofi na Bado familia inasubiri upeleke kitu waweze kujikiz
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Жыл бұрын
Haya mataahira ya cdm yanajionaga yanajua kila kitu, unakosoa kila kitu alafu wewe huna alternative ya kuendeleza nchi, shithole mind, kama ndio wewe wanakuagiza uongee ujinga ili wakupe kiti ugombee urais 2025, mtakufa kifo kibaya sana! Mlikimbia nchi maana late JPM hakutaka vibaka waropokaji katika nchi!
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Жыл бұрын
Huyu taaahira wanamruhusuje kufanya ujinga wa hivi, yeye kaona kiuno cha beyonce? Namsikitikia sana mama yenu aloruhusu huu ushenzi
@Veni584
@Veni584 Жыл бұрын
Sasa wanawasema watu wenye hela zao, ili nako walambishwe asali wasiokuwa na hela wanatukanwa wanafanya kazi ya laana
@robertphilip385
@robertphilip385 Жыл бұрын
Kweli sendeka ni jingakubwa
@naimunaimu2312
@naimunaimu2312 Жыл бұрын
Nchi imechangamka sasa,🤣
@jumayusuf1694
@jumayusuf1694 Жыл бұрын
Hivi mfano serikali itangaze bei bilion 50 ikanunuliwa halafu umwite chumban laizer umpe bilion 10 hivi nan atakubali huyu ndo mjinga wa mwsho
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Жыл бұрын
Lema sikiliza comment za watu UNAKIHARIBU CHADEMA. Mbowe chukua hatua kwa hili jamaa naona likiendelea HAMTOBOI!
@magaigwa4204
@magaigwa4204 Жыл бұрын
Hiki chama kinapaswa kuchukua hatua ya kubadilisha uongozi ili waje watu wenye maono na mtazamo tofauti. Hii mikutano ya hadhara ni ushindi mkubwa sana kwa CCM kwani wanajimaliza wenyewe sasa , hongera sana kwa mama Samia kwani ifikapo 2025 hawa hawatakuwa na issue.
@chire4574
@chire4574 Жыл бұрын
Njoo ww upandisha hadhi
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Жыл бұрын
Mim nasemaga mchagga ni mchagga tu dah
@uhurunyereremusa8592
@uhurunyereremusa8592 Жыл бұрын
Acha ukabila wewe 2023 unaabudu mambo ya ukabila
@bobwhite9252
@bobwhite9252 Жыл бұрын
Kama mtu anaongea fact namna hii halaf wabongo wanakebeh na kumtukana.. aisee.. mi naona watanzania waachwe wafe njaa aisee maana weng akil hakuna na ni tatizo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Bob huna lolote wewe na lema mna afya ya akili huyo kazi yake kutukana hatoi sera zake za chama kazi matusi tu mbwa huyo ana lana ya hayati magufuli inamtufuna
@the_white_43.
@the_white_43. Жыл бұрын
Huu ndio ukweli ... Lile nyumbu limekufa kima Sana .
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 Жыл бұрын
Nyumbu ni baba ako na mama ako.
@magaigwa4204
@magaigwa4204 Жыл бұрын
Hata wewe utakufa tu, hakuna atakayeishi milele.
@mhchannel1317
@mhchannel1317 Жыл бұрын
Nadhani Nyumbu ni ww unaetekwa akili na wanasiasa, amka naona uko usingizini.
@mhchannel1317
@mhchannel1317 Жыл бұрын
Nadhani Nyumbu ni ww unaetekwa akili na wanasiasa, amka naona uko usingizini.
@mhchannel1317
@mhchannel1317 Жыл бұрын
Nadhani Nyumbu ni ww unaetekwa akili na wanasiasa, amka naona uko usingizini.
@b.warron4631
@b.warron4631 Жыл бұрын
Magu magu mlimkimbia sasa mmerudi
@mickykaserendei46
@mickykaserendei46 Жыл бұрын
Lema huna jipya umechanganyikiwa ubunge hupatikani milele
@fabiansemba-eh2qf
@fabiansemba-eh2qf Жыл бұрын
Huyu sasa uhuni umezidi
@kambugarakim4840
@kambugarakim4840 Жыл бұрын
Kiboko yenu ametangulia mbele ya haki mwenyezi mungu amtangulie amlipe kwa mema aliyoyafanya
@jamesmarumbo6820
@jamesmarumbo6820 Жыл бұрын
Kibooi yao wapi ngosha mshamba alikuwa anajifanya mwamba kiko wapi sasa! Katesa, kapoteza watu n yeye yupo shimoni
@kulwastima3993
@kulwastima3993 Жыл бұрын
Unasema kiboko kwa kukataa hoja yule hakuwa mwanasiasa Rais gani utaki uchaguzi Mbowe mtu mdogo unamwita gaidi yule aliko achomwe moto
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 Жыл бұрын
aliyekufa na aliyebaki nani kiboko😄😄
@yowermisher6468
@yowermisher6468 Жыл бұрын
Kizur alicho fanya tofauti na kufirisi watu
@kambugarakim4840
@kambugarakim4840 Жыл бұрын
@@yowermisher6468 we mganda uwezijua kizuri alichofanya
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Lema hakuna mtu mjinga sana wewe huna lolote
@zikenims6167
@zikenims6167 Жыл бұрын
Kiboko yenu magu mna bahati sana
@elsonkibasindila7526
@elsonkibasindila7526 Жыл бұрын
Alikuwa mshamba
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen Жыл бұрын
Kumekucha kutukana watu mama kwanini uliyaruhusu haya
@davidcurtis175
@davidcurtis175 Жыл бұрын
Si ili apate sifa aonekane anaitendea haki Demokrasia, ujinga huu huuwezi kuta kwenye zilizoendelea anakosa kutoa hoja kazi kuiga sauti za wengine sasa si aende kuwa msanii tu.
@omarhababuu3159
@omarhababuu3159 Жыл бұрын
Kwamujibu wakatiba mama hajaruhusu kwamahaba yake karuhusu mikutano kwamujibu wakatiba yajamuhuri yamungano Tanzania nahiyo hatiba ndiyo iliyomuweka madarakani bila yakufuata katiba watanganyika musingalikubali mama samia kuwa saisi wamungano kwaiyo nayy kafata katiba ndomikutano munaiyona inaendelea kwamujibu wajamuhir yamungano watanzania hakuna raisi wowote tanzania atakaezuiya mikutano yahazara rabda raisi uwe dikteta ndoutazuiya kwamabavu
@gersonfungo5893
@gersonfungo5893 Жыл бұрын
@@omarhababuu3159 vipi kuhusu kufuta kesi za Lema, katiba gani imefuatwa mkuu??? Au tunakatiba mbili nchini?
@omarhababuu3159
@omarhababuu3159 Жыл бұрын
@@gersonfungo5893 tatizo lema ilikuwa hanakesi uditekta ndoulofanya lema apewe kesi zamchongo namulitaka kumuuwa ndoakakimbia boda tz mpaka kenya mungu akamjalia zake ziko akawakimbia viongozi wanaotaka waish milele lakini mungu kafanya rehma zake mamasamia kawatoa mashehe uwamsho kafuta kesi zote zamchogo kazi iendelee zama zamaditekta zimeisha mungu nimwema
@asinahussein2176
@asinahussein2176 Жыл бұрын
​@@omarhababuu3159sasa hii ni mkutano au ngonjera toa kitu cha kuijenga jamii Co kuropoka ovyo.
@asyashariffu7717
@asyashariffu7717 Жыл бұрын
😂😂😂😜kwl ushamba
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Ni ujinga mnoooo mmebaki kubwabwaja fala ninyi fyooooooo
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 30 М.
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 32 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26