NYUMBANI kwa ZUWENA wa DIAMOND ALIYELIPWA MIL 17 KWENYE VIDEO - ''WANJA wa LAKI MBILI'' | MPAKA HOME

  Рет қаралды 256,240

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

NYUMBANI kwa ZUWENA wa DIAMOND ALIYELIPWA MIL 17 KWENYE VIDEO - ''WANJA wa LAKI MBILI'' | MPAKA HOME
KWENYE MPAKA HOME ya Global TV tumepiga stori na Zuwena video vixen wa ngoma ya zuwena ya Diamond ambaye amefunguka mambo kibao...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 542
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@thomasshayo4440
@thomasshayo4440 Жыл бұрын
Pp
@zarafimdoka7400
@zarafimdoka7400 Жыл бұрын
@@thomasshayo4440 I can do it tomorrow around noon to you and I can do the way a
@belle9belle990
@belle9belle990 Жыл бұрын
Powa dada zuwena umetisha kinomanoma mwenyezi mungu akubaliki ufike mbele zaid
@irenebrown1186
@irenebrown1186 Жыл бұрын
Jamani naombeni namba ya gigy money
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Ama KWELI WAKATI WA MUNGU Hauna pazia ..Leo hii zuena anatafuta na interview thanks my GOD☑️🙏
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Yaah zuwena nakupenda unajikubali mungu azidi kukufungulia milango ya neema uhai mrefu na afya njema
@faithijegwa3592
@faithijegwa3592 Жыл бұрын
Mungu akupe kusema kweli . Usibadilike .
@winifridamalunde8484
@winifridamalunde8484 Жыл бұрын
Hapo kwanza ncheke eti anaingza m50 kwa ck yeleuuuuuu tv nchi17 m17 helomazaaaa😂😂😂😂
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 Жыл бұрын
Analia pale mangekimambi vile yeye hulala njaa
@veronicasway-iz3vz
@veronicasway-iz3vz Жыл бұрын
Hyo ndio Raha ya huwongo siku zote mwongo Huwa anajikanyaga tuuu😢 ila kwenye kazi upo vizur na hyo ngoma umeitendea haki big up Zuuu❤
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
Kanyaga kanyaga😂😂😂😂😂 with my vanny boy sound.🦶🏾🦶🏾
@AssinaMsafiri-ud5so
@AssinaMsafiri-ud5so Жыл бұрын
eti kwa siku Ana ingiza millions 50. Na iyo nyumba Uta kuta sio yakwake😒😒😒😒 zuwena ukianza uongo ntakuchukia bure
@RizikidjelaaMpelo-t8b
@RizikidjelaaMpelo-t8b 25 күн бұрын
Nikweli uoniuongo 14:57 1 15:13 5:01 15:04 😂😂watumsikubali
@irenemgaya3890
@irenemgaya3890 Жыл бұрын
She is very humble... Mungu akubariki sana
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 Жыл бұрын
Mungu anakuona Dada yaan wasanii waongo mpaka kwenye maisha yao aiseeee🙌🙌
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Tufafanulie
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
@@Rizikialiamechannel763 ndio muongo wanja lak 1 iyo makeup alisema lak 5
@manasa2449
@manasa2449 Жыл бұрын
@@tatotato506 😅😅😅😅
@prosperkonokono9385
@prosperkonokono9385 Жыл бұрын
hata apo sio kwake. amejipanga kwa ajili ya interview
@ashurajuma2024
@ashurajuma2024 Жыл бұрын
Hahaaaaaa. Huyu dada atapita Huku moyoni Kwa uongo
@silageorge1638
@silageorge1638 Жыл бұрын
Hongera sana diamond platinumz kwa kuinua mwenzaka ila wanafki watakuponda tu
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 Жыл бұрын
Amefanya kazi nzuri sana ...hongera sana kwake...ila hapo kwenye malipo afadhali asingesema...maana naona kama amezidisha namba...kama kweli amepewa million 17 labda Mond kampa na nyingine kumsaidia tuuu...lkn si Dhani kama ni malipo halisi...mtazamo wangu
@zuwenahanad9586
@zuwenahanad9586 Жыл бұрын
Mtangazaji jifunze maadili ya uandishi , kivazi sicho
@khajisokoni3790
@khajisokoni3790 Жыл бұрын
Nakumbuka alisema ajawai kushika million 17 ndo mala ya kwanza kumiliki lakin dah chakusikitisha kwa saut yqngu nimemsikia kanunua bufa milioni 60
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Ata mimi siamini milion 17🙄
@danielmasanja9213
@danielmasanja9213 Жыл бұрын
@@khajisokoni3790 mmmh
@Thanksallvvvv
@Thanksallvvvv Жыл бұрын
17million za tz ni kama ten thousands za kenya
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Жыл бұрын
Kweli nimeamin mungu akitaka kupa akuandikii barua
@onesmotendega5304
@onesmotendega5304 Жыл бұрын
True..💯💯💯
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 Жыл бұрын
Amina
@saumumasha4900
@saumumasha4900 Жыл бұрын
Waooo kumbe zuwena ana miliki nyumba nzuri
@sheengazi4245
@sheengazi4245 Жыл бұрын
Broo hilo silo vazi la watangazaji professional,heshimu hiyo sector please
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar Жыл бұрын
Kabisa 💪🏼
@ibrahimmohamed1994
@ibrahimmohamed1994 Жыл бұрын
Kuna serious journalism na hii aina ya journalism ambayo huihitaji kuwa professional
@innocentmtashobya1257
@innocentmtashobya1257 Жыл бұрын
Sahihi sahihi kabisa
@merrymarlinemillo1833
@merrymarlinemillo1833 Жыл бұрын
# Zuwena nampenda sana na natamani diamond aje Kenya afanye kazi NAMI pia
@nikupalakido
@nikupalakido Жыл бұрын
Gwakumwitu ku mbeya hongera sana
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Жыл бұрын
Gwa mwakyela
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es Жыл бұрын
Duuuuuh hajui hata kudanganya maskini, na hapo alipo sio kwake kabisaaaaaaaaa😂😂😂😂😂🙌
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
Wewe hayakuhusu ndungu 😊
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Жыл бұрын
Nakuaminia ma home girl🥰
@dianasago9214
@dianasago9214 Жыл бұрын
Jamani Dada wa watu nyota imeng'aaa maana kila media inamfata 😂😂😂😂😂😂
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 Жыл бұрын
Wakati umefika Kama madonga
@estawilison1372
@estawilison1372 Жыл бұрын
Muongo anaongeza being a vitu
@estawilison1372
@estawilison1372 Жыл бұрын
Muongo muongo sana
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@frankngoloka2589 yan sasa hv ataanza kuwa balozi
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Wallahi nacheka si kwa uongo huo , sijui kasomea wapi na hacheki unaweza amini
@khajisokoni3790
@khajisokoni3790 Жыл бұрын
Angalia Ata nyumba sijui dola ngapi
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 Жыл бұрын
Muongo mpaka anaboa
@cweetyshy754
@cweetyshy754 Жыл бұрын
😂😂😂zuwena akati huo uwanja wa buku kajichora mwnyw 😂ila nakupenda😍sana we dada🔥
@mariamutowi7084
@mariamutowi7084 Жыл бұрын
Kumbe wakaa kwetu🥰ma sha Allah 🥰
@dottohami
@dottohami Жыл бұрын
Wakati wa mungu ni wakati sahihi sana dada zuwena katoka kimaisha🌹🔥alafu Napenda anavo jiamini👌
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
Nice
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 Жыл бұрын
Inawezekana hapo pia sio kwake
@modycombo7421
@modycombo7421 Жыл бұрын
Kapangishiwa
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Kaamua kufanyia interview
@nururaymond5
@nururaymond5 Жыл бұрын
Kwa mange app analiaaaaaaaa asaidiwe na akasema Dai amemlipa laki 5 yaaani muongo muongo kwa kweli..lkn labda kaamua kutumia Uongo aendelee kutrend
@neemankwabi6544
@neemankwabi6544 Жыл бұрын
Ambao hutui ata wimbo alitoa tujuane😜😛😜😛
@linuseladius3854
@linuseladius3854 Жыл бұрын
Nyokoooo
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 Жыл бұрын
Uongo ni dhambi kwa kweli Zuwena amecheza vizuri sana kwenye ile nyimbo hongera sana simba na Zuwena big sana
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
I think that's why diamond PAID her more money
@erastomwakalukwa3946
@erastomwakalukwa3946 Жыл бұрын
Kumbe Wewe Dada yangu, kalumbu ugwee Dada 🤣🤣🤣 hongera Sana!
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Sijamuelewa huya dada Tv inches 17 mbona inaonekana kubwa ?
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Wakati wa mungu ni wakati sahihi
@hussenticha4074
@hussenticha4074 Жыл бұрын
Kusema kweli huyo dada Yani ukimueka chungu kimoja na mandonga wanaiva fresh sana Yani akili zao ziko Moja kwa Moja .
@macfadyneminja
@macfadyneminja Жыл бұрын
Yuko vizuri. Ila bei za vitu anazotaja ni exageration. Yuko pazuri so far na publicity ya nyimbo ila awe mkweli kwemye maswali anayoulizwa. Majibu wrong yatamharibia. Ajitahid hapo tu. Na atapaaa
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 Жыл бұрын
Kweli kabisa hizo vitu ziko bei ghaii kuliko pesa alilipwa
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Hvyo vidole mbona hvyo na alisema hajichubui
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Nilikuwa na kupenda ila kuzidisha sifuria sikupendi kwavile ushaingia mjini hivyo vitu kila mtu anavyo
@mboga7_
@mboga7_ Жыл бұрын
Usipompenda unampunguzia nn
@emmajud1237
@emmajud1237 Жыл бұрын
Ila Zuwena khaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 muongo mnooo
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Uongo haukusaidii sema ukwelituu maana kila ukihojiwa wasema vingine jifunze kuwa mkweli
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
🤣🤣🤣kiukweli nashangaa
@sophyodago5062
@sophyodago5062 Жыл бұрын
Acha wivu
@musaguga
@musaguga Жыл бұрын
TV ni inch 24, sio 17 huyu Dada hajielewi.
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 Жыл бұрын
Sababu hapo sio kwake ndio maana hata hajui hiyo TV ni inch ngapi
@jammyhassan58
@jammyhassan58 Жыл бұрын
Msema kweli dada wataifa tu @dada mkubwa Mange kimambi kuna mtu anaitwa zuwena huku siku mbili tu hela hebu tuletee taarifa zake tusijione sisi machoko
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Mnyakyusa mwenzangu!!
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Hio tv, kila nchi 1 ni milion moja, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ismaililigwa2680
@ismaililigwa2680 Жыл бұрын
Mungu popote yupo daah ukweli alipangalo mungu binadamu huwezi pangua wasanii wakubwa wanatamanan kuimba na mond na hawajapata nafathi ila zuwena kapata ukweli mungu humpa ampendae
@khadijauvuruge9700
@khadijauvuruge9700 Жыл бұрын
😃😃😃😀😀😀😀zuwena zinga la miyeyusho comedy mzuri
@JennieWilley-eh5tk
@JennieWilley-eh5tk Жыл бұрын
😅😅😅
@allyomary2679
@allyomary2679 Жыл бұрын
Dada umefanya vizur kwenye ile nyimbo ila huwez kulipwa iyo pesa kakupendelea 2
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
We unaamimini ht huyo Director kulipwa hivyo sijui km inafika hivi wanatuona sie maboya eeh
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
We unauwakika
@nanamohamed6525
@nanamohamed6525 Жыл бұрын
Mh wamepangwa 😂
@rademm8924
@rademm8924 Жыл бұрын
Hela ndogo sana hio
@64aaa
@64aaa Жыл бұрын
Na usishangae maisha yake yakabadilika. Machawa wote wa diamond awakudhania kama maisha yao yanaweza kubadilika. Simba ni mtu mwenye roho nzuri na usaidia wengi tu. Watu upewa magari ya maana itakuwa hiyo 17M. Mungu ambariki na azidi kusaidia jamii.
@Mindsetting4successTV76.
@Mindsetting4successTV76. Жыл бұрын
Unanunua kitu cha milion 17, milion 60 unashindwa kununua coach la maana, coach limechoka mpaka linaonekana kwa macho. Huyo mtu aliyekulipisha huo wanja kwa laki mbili Mungu anamuona. Kwa wanja huo hata Shiling elf moja sitoi. But all in all na uongo wako ila umefanya kitu kizuri sana kwenye wimbo wa Zuwena hongera sana my dear
@swahilifoodtz6446
@swahilifoodtz6446 Жыл бұрын
Mmm kweri diamond mungu hana mpenda
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Dada kafanya vizuri lakini kwenye hela katupiga kule wcb kasema kapewa dola 705 nisawa na milioni kumi na saba na chenchi hivi leo kasema amesema amepewa hela akiwa hotelini sasa huko badae atasema sikupewa hela kabisa
@neemankwabi6544
@neemankwabi6544 Жыл бұрын
Ata me nimejia huo n uongo Sasa 17😜😛🔥15
@najmahnajmah2165
@najmahnajmah2165 Жыл бұрын
Ongera sana Dada❤❤❤
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Mungu ni mwema amekufungulia njia
@khatibmako3500
@khatibmako3500 Жыл бұрын
Heeee huyu zuwena na uongoo upoooo ama anaoooo
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Mimi naona aliona unasifa ya muonekano wa kujichubua, kwa sababu ukiangalia hiyo mikono aaaaa😂😂😂 kweli video lazima inoge.
@onesmotendega5304
@onesmotendega5304 Жыл бұрын
Watu mshaanza miwivu, ndio hivyo sasa kashafka kwa simba
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
Ndungu yangu fanya yako ya mwezako utachelewe kufanya yako ndungu hayakuhusu
@samwelmdodo1358
@samwelmdodo1358 Жыл бұрын
Kila mtu na riziki yake duniani hapa
@tanacksheyo7380
@tanacksheyo7380 Жыл бұрын
Pesa ulizopata hazin faida saan ila kakupatia umaarufu wakujipatia pesa
@williamaloyse3805
@williamaloyse3805 Жыл бұрын
Dada umetisha kwauongo kamavile umesomea jamani dada angu mm natv inchi32 nilinunua lakin 4tu Yako million 17 jamani tupunguze uongo
@ruthnjeri8527
@ruthnjeri8527 Жыл бұрын
Woooh watazania mwanimaliza na kiswahili, nawapenda shika hiyo babaaa
@sadiqueibrahim5439
@sadiqueibrahim5439 Жыл бұрын
tunakupenda pia sister..naomba namba yako tuwe tunaongea kwa simu
@ruthnjeri8527
@ruthnjeri8527 Жыл бұрын
@@sadiqueibrahim5439 🤣🤣🤣siwezi iweka hapaa public
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
Wakati wa mungu ni wakati sahi sanaa
@fatumaomari7742
@fatumaomari7742 Жыл бұрын
Hapo sio kwake walah
@Bobhov
@Bobhov 7 ай бұрын
Sema walai 😂😂😂
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Ukuu wa mungu hauna chakulinganshwa,
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 Жыл бұрын
Ndomana wasanii mkiumwa mkiomba msaada hatuwasaidii maana mnadanganya xna nimekuskiliza kipindi Cha mashamsham ulivohuna akiri ya kujiongeza Akina juma walikua wanakusanifu 2 unavowadanganya harafu hyu Dada bado mshamba eti nililala hoter inamaj ya Moto ww aisee kwaza umetia aibu hujui tuuu😋😋😋
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Hahahahaha! mshamba kweli mbona maji ya moto hata hotel za vichocholoni unayakuta.
@aishachiyarata1362
@aishachiyarata1362 Жыл бұрын
Mtu na maneger wake waongo waongo waongo
@maramara5621
@maramara5621 Жыл бұрын
Hongera Zuwena
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Tako la zuwena sijalielewa🤣🤣
@rahmaramadhan2377
@rahmaramadhan2377 Жыл бұрын
Kumbe nawe umeliona na mtangazaji nae mshenz🤣🤣🤣eti nipe maji ili tuone tako
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@rahmaramadhan2377 😆🤣🤣🤣
@ismailmneka2967
@ismailmneka2967 Жыл бұрын
Uyu dada amezngua sana kweny hiz interview
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Hivi kuwa star mpk uongee uongo??
@hurumabujiku4347
@hurumabujiku4347 Жыл бұрын
jamani jamani hapa dada punguza uongo
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Жыл бұрын
Nimegundua huyu Dada anatafuta umaarufu kwa lazima itoshe kusema ni mental fresh.... Shenzi kbs
@agustinohinjo5226
@agustinohinjo5226 Жыл бұрын
Kila jambo na wakati wake hakuna anayejua ya kesho yake hongera sana Dada wenye wivu ndio wanaotoa maneno ya kashfa na kajeli ila ni moja ya changamoto ni kawaida hakuna mwanadamu mbaya mbaya nishetani ambaye ni lusifa
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@barbie5645
@barbie5645 Жыл бұрын
Inchi 17 million 17😂😂😂😂😂
@barbie5645
@barbie5645 Жыл бұрын
Speaker Za million 60😅😂😂😂
@ruckyhallatbae9657
@ruckyhallatbae9657 Жыл бұрын
Ilaa kaaaah
@evekawira4814
@evekawira4814 Жыл бұрын
Uongo on level one😂😂😂😂😂.....
@khashirjuma3612
@khashirjuma3612 Жыл бұрын
Wcb 4 life 💥
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Ushapata jina, jitahid upate elimu Ili uendelee kuendana na soko
@adiamidu
@adiamidu Жыл бұрын
Wabongo wana jisaau sana pind wanapo ongea maneno yao
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Umejichubua sana dada
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
Hayakuhusu ndungu angalia yako
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
@@mwanaherhussani7425 haha wewe hujui tu wanamme wanavyowachukia watu wanaojichubua yaani tutawataka kwa staree tu lkn si ndoa mwanamme hawezi kumuoa mwanamke anaejichubua kama huamin fuatilia, na wewe unaonekan unajichubua wewe acha kujichubua
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
@@saidasimba9979 mbona kawaida Sana we Nani alikuambia tunataka ndoa hatutaki ndoaa na sisi
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
@@mwanaherhussani7425 haha unavyojidanganya ise..yaani kama ulikua hujui hakuna mwanamke anaboa kama anaejichubua, ivi ushajiuliza kwa nini unajichubua? Yaani wanawake mnafeli wapi sijui, wanamme tunataka mtu natural harafu soft..sio aliejichubua
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
M 17 hiyo kwio
@ibrahimmohamed1994
@ibrahimmohamed1994 Жыл бұрын
Daah literacy and famous is a bad thing.
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 Жыл бұрын
Mutu mwenye unazalau JO anamafaniki yo mungu zuwena good
@AminaLuanda-xc7gn
@AminaLuanda-xc7gn Жыл бұрын
Kazi nzuri umefanya lakin duh muongo
@shijaenock7638
@shijaenock7638 Жыл бұрын
Huyu dada anapata airtime kwa sababu ya sura yke yaan kashtua watu kwnn mwanamke wa kawaida hvi anafanya vdeo na maajab yaan kiufup kawafanya wanawke wa wa kawaida wajione nao kufanya vdeo inawezekana
@mariambenjamin7459
@mariambenjamin7459 Жыл бұрын
Nyota uzri weka pemben
@zuu9022
@zuu9022 Жыл бұрын
Glass elfu 5 mara dozen 😂😂😂..umetisha dada dah
@gumbokibanga7016
@gumbokibanga7016 Жыл бұрын
Hahaha nimecheka kwa nguvu wew dadaa muongo Hilo jag la aflu tatu🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋
@fatmaalhabs6939
@fatmaalhabs6939 Жыл бұрын
Sio kweli
@mickyiron308
@mickyiron308 Жыл бұрын
mswahili akipata matako hulia mbwataa huwa Yana Jamba Jamba ! Ndo tatizo ukiwa hujaenda shule 😅😅unaongopea live afu watu tunakuangalia ! sometimes mtu anakufanyia interview ankuenjoy but sio kwa ubaya mi nishakuelewa Kuna watu labda ma hater's zako pia we unawaenjoy !
@dmboys4056
@dmboys4056 Жыл бұрын
Liziki no popoteee, mungu kamuonaaa,
@tunsumejohnjohnmwalaba4719
@tunsumejohnjohnmwalaba4719 Жыл бұрын
Mbona huyu yupo Kwenye ngoma ya zaman sana Ile ya mzee wa busara sema saiz tu ndio anavuma
@mbevocatembevocate9719
@mbevocatembevocate9719 Жыл бұрын
Wewe dada wewe 😂😂😂
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 14 күн бұрын
Mashallaah una bahati wewe.😅
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa siku ml.50,nchi 17 mil.17 ,ml 15 du kwa uongo salute 🙋‍♂️🙋‍♀️🙋hata unatufanya tusiamini hiyo ni nyumba yako 😉 kuwa tu mkweli mumy utapendwa zaidi kuliko hayo mapichapicha ya uongo,umeanza vizuri but unajiharibia kwa uongo na halafu hayo makalio ni vp mpendwa no,noo ulichokiweka kitoe tumekiona aibu 🤸‍♀️🤸‍♂️🤸hata mwenyewe kinakufanya hauko comfortable yanini yote hayo 😏
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 Жыл бұрын
Leo ana story tofauti kule Mangekimambi
@Gloria-vh5bz
@Gloria-vh5bz Жыл бұрын
Speaker mil 60 halafu nyumba Haina fence wala dinning table
@paulnyingo7316
@paulnyingo7316 Жыл бұрын
Jagi elfu 50😊😊😊
@racheljoseph5192
@racheljoseph5192 Жыл бұрын
Watanzania Wanatakiwa kubakisha maneno mdomo usiponze kichwa hapo Sio kwake picha tuu Kule pembeni inaongea Kingine tusizidishe 0 watanzania hawasahau jamaniii jamaniii Nipo pale nimekaaaa ipo siku tuuu
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 Жыл бұрын
Duuu😁😁😁 Sina chakusema bt Ngoma hiyo noma sana uliupiga mwingi sana
@janerosejohn5635
@janerosejohn5635 Жыл бұрын
Zuwena.Kiboko kwa uwongo lkn umefanya kazi nzuri
@habibaa9503
@habibaa9503 Жыл бұрын
Acheni kutupanga tv laki 3 hiyo🤣🤣🤣
@mawazo-ge6pr
@mawazo-ge6pr Жыл бұрын
Zuwena muongo saana.. tv million 17
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Manager khee hebu kaa pembeni muache Recho agaee sasa kwanza Manager wa wapi kila interview upo front👆🤯wenzako wakiendaga nao hata sauti kusikika hakuna potelea mbali kuonekana km wewe muache dada wawatu ajiachie agaee it's her time
@enterenter7798
@enterenter7798 Жыл бұрын
Hahaha hio dubai sasa 🤣🤣
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Hd kechefu chefu ujue wasafi nako hivyo hivyo
@christinelesiriam4397
@christinelesiriam4397 Жыл бұрын
Yuko powa sana ila asaidiwe apate mafuta mazuri awe kawaida kutoa sugu na asiharibu brand yake kwa kusema uwongo coz wana vjiji wanaweka akiba na KUMTUNZA records so awe mkweli na kutaja bei ya vitu vya kweli
@FatmaManzi-ru3dj
@FatmaManzi-ru3dj Жыл бұрын
Zuwena uko vizuri umejibu wala si muongo si kila kitu ulichonunua tukijue sisi vyengine siri yako
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 Жыл бұрын
Jinganization
@bakarikisuda4948
@bakarikisuda4948 Жыл бұрын
Mnaliwa nyie redio ya mil60 nyumba mil25 peleken usefenge
@bakari5028
@bakari5028 Жыл бұрын
Nakubalia dadaa bdo upige na hamonize tena au sio
@janvierntakilutimana
@janvierntakilutimana Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@rodymanrychie7395
@rodymanrychie7395 Жыл бұрын
anajichangaya kwenye maelezo mwanzo kasema alionana na diamond kabla ya kazi na wakapanga kabisa maana alimtumia clip zake akaziona......Af mbele tena anasema alienda kukutana na diamond Arusha siku ya kushoot na alikuwa hajaambiwa anaenda kushoot na nani na alikuwa suprised kumuona diamond kwa mara ya kwanza......NACHEKA SANA NIKISIKIA INTERVIEW ZA HUYU DADA
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 Жыл бұрын
Uongo hauna mwisho 😂
@jamesngindo4583
@jamesngindo4583 Жыл бұрын
Hawasemi ukweli uongo ni mwingi. Nimecheka kuhusu TV hawajui hata maana ya inch. ahahahaaaa
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 8 ай бұрын
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jaman tumepigwa uwiiiiiiiiiii milion 60
@cheffo8121
@cheffo8121 Жыл бұрын
woow una yumba zuri zuwena
Mpaka Home MAISHA HALISI YA MUIGIZAJI KINGWENDU NYUMBANI KWAKE
18:31
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 110 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 48 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,1 МЛН
Diamond Platnumz - Zuwena Behind The Scene Part 1
29:31
Diamond Platnumz
Рет қаралды 435 М.
Vicky wuod asumbi ft Prince jeff -Poroga
50:32
Vicky Wuod Asumbi Official
Рет қаралды 64
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 110 МЛН