Utukufu kwa Yesu.. wimbo nimeutafuta zaidi ya miaka mitatu.. nimeupata leo.. Daaah.. nimebarikiwa mno
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Ameeen barikiwa zaidi rafiki,
@hongeramdalingwa3346 Жыл бұрын
Ngome yangu na kimbilio langu ni Yesu ni msaada nyakati zote boma na maficho yangu, haleluya
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@annansyukwe35122 жыл бұрын
Nyimbo yangu pendwa inaishi moyoni mwangu 😭😭 inanibariki na kunivusha sehemu niliopo na kwenda sehemu nyingine mwimbaji Mungu akuweke
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Ameeeen rafiki barikiwa sana na MUNGU AKUFANIKISHE KATIKA YOTE!
@queenlukindo9913 Жыл бұрын
Yaani huu wimbo unanilizaaa.. nimemuona Mungu aliye boma la maficho yangu, huu wimbo ni maisha yangu, Yesu nakushukuru sana.. Mungu akupe maono zaidi mtumishi wa Mungu.
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Ubarikiwe mno mno na azidi kukuteteaaaa
@syprianlameck356511 ай бұрын
Asante yesu kwa wimbo huu,, barikiwa Sana mtumishi wa kristo, nafarijika kupitia huu wimbo
@lembojunior192011 ай бұрын
Ameeen Asante Sana
@rebeccaonesmo24303 жыл бұрын
Vile namuangalia shetani amekalia misumali baada ya yesu kuondoa mitego yote🙏
@lembojunior19203 жыл бұрын
Ameeeen Ameeeen thank you...
@janemwambungu45584 жыл бұрын
Yesu u kimbilio langu kwako Asante kwa ujumbe mzuri
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana
@jasperswai93203 жыл бұрын
Yesu ni ngoma hakika,,, Pastor Lembo Jr barikiwa sana
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Amen Asante mtumishi
@queenlukindo9913 Жыл бұрын
Yesu ameuponya uhai wangu na kaburi.. amemshangaza mtesi wangu.. nimsifu kea namna gani??
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Ubarikiwe mno na azidi KUKUIMARISHA
@officialjamhurizachariagos27973 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi hakika Yesu ni maficho yangu,
@lembojunior19202 жыл бұрын
Asanteee sana
@gumimosile238911 ай бұрын
Msaada wangu wakati tu , Msaada nyakati zote, Nimebarikiwa sana kaka
@netekal17804 жыл бұрын
Sauti yako Mungu amekubarikia sana huwa inagusa sana hisia, uinuliwe zaidi! Yesu msaada wangu, kama si yeye kaburi lingenifunika siku nyingi!🙏🙏🙏
@lembojunior19204 жыл бұрын
Net ek Al asante sana sana mtumishi
@alphoncemutema80974 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@blandinamadeje85309 күн бұрын
Hakika Bwana wewe ni ngome, maficho yangu 🙌🙌🙌
@jasperswai93202 жыл бұрын
Pastor huu wimbo umekuwa mtamu sana kwangu,,,daaa
@lembojunior19202 жыл бұрын
Asanteee sana sana
@criniaskalumuna22184 жыл бұрын
Tunazidi kubarikiwa sana kwa taranta Mungu aliokupatia brother
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana
@agnesmbone2923 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo.zako barikiwa
@lembojunior19202 жыл бұрын
AMEEEN ASANTEEE SANA
@theresiajohnmrimbo94463 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia huu wimbo kwangu nimaombi
@lembojunior19202 жыл бұрын
Ameeen asanteee sana
@rosemtei69262 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Lembo.Keep it up
@lembojunior19202 жыл бұрын
Asante sana sana
@getrudepastory13724 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka huwa nabarikiwa sana na jumbe zako Mungu azidi kukuinua
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana
@neemamkumbukwa62933 жыл бұрын
Yesu u ngome kimbilio langu
@lembojunior19203 жыл бұрын
Ameen Ney
@faboneagle78902 жыл бұрын
Safi sana shem injili mbele kwa mbele
@lembojunior19202 жыл бұрын
AMEEEN ASANTEEE SANA
@agnesmbone2924 жыл бұрын
Amen nabarikiwa.sana na hii wimbo Mungu.akubariki
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana
@agnesmbone2922 жыл бұрын
@@lembojunior1920 naomba ukipenda nitumie code ya skiza tune
@witnessimbey6030 Жыл бұрын
Wowooo ongera snaa Kaka wimbo nzuri mnoooo ❤️
@nuhrobalt4303 Жыл бұрын
Barikiwa Sana kaka
@alexmbwelwa12544 жыл бұрын
Ulificha uhai wangu mbali na kaburi ,,,,,,,,,sina namna ya kumsema yesu wangu watu wamwelewe
@lembojunior19204 жыл бұрын
Alex Mbwelwa Ameeen brother!!
@liberatasimon4 жыл бұрын
The song is so powerful .Mungu azidi kukutumia kwa utukufu wake
@lembojunior19204 жыл бұрын
Liberata Simon asante sana sana sanaaaaaaaaaa dada
@deborahigandya87723 жыл бұрын
🙏🙏🙏 wimbo wangu wa kila siku
@lembojunior19202 жыл бұрын
Asante sana
@mpendaradio21644 жыл бұрын
Huu wimbo umeponya nafsi yangu Mungu akubariki kaka na apanue mipaka ya kwako
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana
@nicholausmwakalobo484 Жыл бұрын
Lembo umebarikiwa pastor
@emmahazengaemmahazenga65314 жыл бұрын
Nimepata mtumishi Amen
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana
@trophainamagogwa79663 жыл бұрын
Amen Leo narudiatena
@lembojunior19202 жыл бұрын
Asanteee sana
@chantalneri54523 жыл бұрын
Nyimboza Mungu
@lembojunior19203 жыл бұрын
Ameeen ASANTE SANA
@noelmigongo4 жыл бұрын
Yeye ni mwamba usiotikisika, kujificha kwake ni salama sana.. Barikiwa kaka kwa nyimbo yenye nguvu ya faraja
@lembojunior19204 жыл бұрын
Noel Migongo asante sana sana Broo wangu wa nguvuuuuuuu!!!
@nehemiahedward Жыл бұрын
Huu wimbo ninaupenda sana na nimeutafuta huu mwezi wa 9 na hatimae nimeupata aisee, niliuona kupitia memes ile ya video ya Wana Israel.
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Asanteee sana na ubarikiwe mno
@adelaphilip8089 Жыл бұрын
Sio wew tu mm mwenyew leo ndio naupata nimeutafuta jmn sasa kilasiku napost hiyo meme ya wana israel lkn sijui nan ameimba
@mophat13 жыл бұрын
Yesu u boma maficho yangu msaada wakati wote
@mophat13 жыл бұрын
Hallelujah
@lembojunior19203 жыл бұрын
Ameeen brother asante sana
@mophat13 жыл бұрын
Siwezi choka kutizama huu wimbo
@lembojunior19203 жыл бұрын
@@mophat1 asante sana
@alimohd34694 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana
@prosperdanda41044 жыл бұрын
Ni zaidi ya viwango kaka wimbo mzuri sanaaa aseee Barikiwa sanaaa hakika unajua sanaaa
@lembojunior19204 жыл бұрын
Prosper Danda Ameeen broooooo
@sophiajonas34592 жыл бұрын
Ubarikiwe sana.
@lembojunior19202 жыл бұрын
Ameeen asanteee
@focasfabian19102 жыл бұрын
Mungu awabariki
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Ameeen Asante
@agnesmbone2924 жыл бұрын
Amen umenibariki sana Mungu na azidi kuinua kwa kazi yake Nyema barikiwa sana
@lembojunior19204 жыл бұрын
Agnes Mbone Ameeen asante sana sana
@agnesmbone2923 жыл бұрын
@@lembojunior1920 Nitapataje SKIZA yake
@kanaizasilly31712 жыл бұрын
Wimbo mzuri
@lembojunior19202 жыл бұрын
AMEEEN ASANTEEE SANA
@paulinacosmas63554 жыл бұрын
Barikiwa sana pastor Mungu azidi kukuinua
@lembojunior19204 жыл бұрын
Paulina Cosmas Ameeen Dada yanguuuuu
@janethmwaisaka95883 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi ,hakika namuona Mungu kupitia wimbo huu ,Asante Yesu kwa maono ya wimbo huu baba!barikiwa sana
@lembojunior19203 жыл бұрын
Ameen asante sana sana!
@primetranscity81322 жыл бұрын
I love the song
@lembojunior19202 жыл бұрын
Thank you
@saumurashidi84104 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@lembojunior19204 жыл бұрын
Asanteee sana/Ameen
@sophiaamimo77023 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏Ohhh powerful 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏❤️❤️❤️Ohh Gloooooooory to KING JESUS
@lembojunior19202 жыл бұрын
Hallelujah
@jamesechesa30152 жыл бұрын
Amen brother I'm so much blessed by this song
@lembojunior19202 жыл бұрын
Asante sana sana
@safinayetublogyetu71582 жыл бұрын
Hii nyimbo huwa siichoki
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@gasprtina236 Жыл бұрын
Ameeeen barikiwa sana
@joycecollection68764 жыл бұрын
Yes kabisa
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana
@kuogoinikfueh73474 жыл бұрын
I can't stop listening this song my dear brother. God bless u
@lembojunior19204 жыл бұрын
Kuogoin Ikfueh Ameeen Ameeen my dear thanks a lot!!
@amanijoel39243 жыл бұрын
Wow wow it’s so awesome n sweet song 🎵 blessings to you my WACHU kaka
@lembojunior19203 жыл бұрын
Asante sana! Thanks a lot sir
@trophainamagogwa79663 жыл бұрын
Nawe shem umo tuu??Hahaha Huku nako tunakutana wow
@amanijoel39243 жыл бұрын
@@trophainamagogwa7966 hahahahah aaah kumbe na wewe umeingia huku
@ingerohda9453 жыл бұрын
NAPENDA NYINBO LAKO LAKINI NDNGU MUPENDWA KATIKA KRISTO JUNGUZA KUCHEZA YA VINJANA YAKO SIYAKUFANANA NANYINBO LAKO USIKILIZO MWEMA
@lembojunior19203 жыл бұрын
Asante sana
@gladnesshollis19214 жыл бұрын
Kaka yake good job kwa ajili ya Kristo🙏🙏
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana Dada yangu
@josephmfangavo26934 жыл бұрын
Mungu wangu mbona sikuiona hii bonge moja la audio chupa Kali umependeza bg up brother
@lembojunior19204 жыл бұрын
Joseph Mfangavo Asante sana mkuu..... NIMELIPIWA DENI INATUHUSUUUU.....
@levisimonmutiso21413 жыл бұрын
Hallelujah
@lembojunior19202 жыл бұрын
Ameeen
@masanjadeogratius72473 жыл бұрын
Very Powerfully song!!
@lembojunior19203 жыл бұрын
Thank you Sir
@masanjadeogratius72473 жыл бұрын
@@lembojunior1920 Natamani na mimi siku moja niingie studio kaka,,ila ndo natafuta pesa kaka.
@lembojunior19203 жыл бұрын
@@masanjadeogratius7247 wow karibu sana mkuu inawezekana kabisaa
@masanjadeogratius72473 жыл бұрын
@@lembojunior1920 Ok ,tuombeane mtumishi!!
@sampamba3 жыл бұрын
My father umebarikiwa sana
@lembojunior19203 жыл бұрын
MTUMISHI MUNGU AKUTUNZE NA ATUNZE ALICHOWEKA NDANI YAKO ...WIMBO WA UMETUKUKA MUNGU UMENIPELEKA MBALI SANA HONGERA SANA
@sampamba3 жыл бұрын
@@lembojunior1920 ahsante sana baba angu ..unamoyo wa tofauti sana ni ngumu sana mtu mkubwa kama wewe ukatilia sikio kwa sisi wachanga .. Ni bahati kwangu .usiniache kaka vita ni kubwa katika safari hii ya muziki ..Mimi nakuheshimu sana uimbaji wako na nyimbo zako ndio darasa kwetu linalotufunza . Maana umetufundisha na umetuonesha injili iliyo na nguvu ya MUNGU... Dha ubarikiwe kaka lembo ..can't believe..
@lembojunior19203 жыл бұрын
@@sampamba KAKA SONGA MBELEEEE KAZI YAKO NI NJEMA SANA NIME SHARE FB NA ISTAGTAM VIPANDE WATU WAMEULEWA KAKA HIYO KAZI ITAJIPROMOTE MKUU UMEMWINUA MUNGU SUBIRIA AKUINUE NA YEYE
@sampamba3 жыл бұрын
@@lembojunior1920 ahsante kaka angu ..ahsante sana .. Hakika tumuheshimu MUNGU milele ..kaka naomba namba yako ya Watsup kwangu ya muhimu sana ..ahsante..
@gracemahenge41233 жыл бұрын
Ooh my God finally i got it....Be blessed mtumishi wa Bwana
@lembojunior19203 жыл бұрын
Asante sana sana sana
@mathewspetr24652 жыл бұрын
Amen 🙏
@lembojunior19202 жыл бұрын
Ameeen
@prosperlilian13714 жыл бұрын
My all time song. God bless you my brother
@lembojunior19204 жыл бұрын
Prosper Lilian Thank you sis
@emmahazengaemmahazenga65314 жыл бұрын
Yani ni alarm usiku naweka repeat till morning
@johnmarcus2604 жыл бұрын
Good music, powerful message. Big up bro!
@lembojunior19204 жыл бұрын
John Marcus thanks a lot Sir
@dorahmakea82294 жыл бұрын
Asante Yesu ficho language, hukurushu adui wanimalize,
@lembojunior19204 жыл бұрын
Dorah Makea Ameeen asante sana
@kalebumbwambo96752 жыл бұрын
God bless u kaka
@lembojunior19202 жыл бұрын
AMEEEN
@emmanuelrussota94284 жыл бұрын
Nyc song nakukumbuka brother tukiwa UDOM, Blessings to you
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana
@veronicakimaryo2261 Жыл бұрын
My big brother Utukufu wa Mungu upo Juu yako,, Blessings to you
@kimlolakimlolanelly63304 жыл бұрын
Gooood
@lembojunior19204 жыл бұрын
Thank you sir
@merclynekasaya59843 жыл бұрын
Powerful worship, b blessed 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@lembojunior19202 жыл бұрын
Ameeeeen thank you
@nasmamponde57372 жыл бұрын
Blessing
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Ameeen Asante
@gladnesskamana87063 жыл бұрын
Speechless, the song is more than FIRE.
@lembojunior19203 жыл бұрын
Asante sana chambuuuuuuu
@gladnesskamana87063 жыл бұрын
@@lembojunior1920 Karibu.
@festuskoech7063 жыл бұрын
Love this song so much it uplift my soul God bless thr composer
@lembojunior19203 жыл бұрын
Thanks friend!! Ameeeen
@festuskoech7063 жыл бұрын
@@lembojunior1920 i do prodiluction too would one day love to work with you
@lembojunior19203 жыл бұрын
@@festuskoech706 thanks I think it is a good idea boss
@evelinpaulo22783 жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤❤❤❤❤❤❤
@lembojunior1920 Жыл бұрын
Bless you
@samwelimhagama31754 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumi wamungu
@lembojunior19204 жыл бұрын
Samweli Mhagama Ameeen asante
@priscakenedy5336 Жыл бұрын
Amen
@graceambilikile74424 жыл бұрын
Unanibariki sana kaka
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana Dada angu
@graceambilikile74424 жыл бұрын
@@lembojunior1920 mimi dada yako tunasali wote kwa pastor lily kadodo,nitaomba uniingizie kwenye flash kaka.Barikiwa sana
@lembojunior19204 жыл бұрын
@@graceambilikile7442 ooooh jmn asanteee sanaaa sanaaa nitafanya ivo dada
@graceambilikile74424 жыл бұрын
@@lembojunior1920 bless you kaka
@peterjackson53074 жыл бұрын
Ameeen barikiwa sana kaka
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana
@bettykageza19644 жыл бұрын
Chambu Ubarikiwe sana
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen asante sana chambu!
@tumsifuraymond83263 жыл бұрын
I can't stop listening
@heripaulo64844 жыл бұрын
Kaka lembo nakupataje kaka siku moja niingie nawe studio kaka