LENGAI OLESABAYA AWALIZA WATU KANISANI "NIMEWASAMEHE WALE WOTE WALIONISEMA VIBAYA "

  Рет қаралды 31,398

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 349
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 9 ай бұрын
Hongera sana Sabaya. Tunashukuru Mungu aliyekusaidia hadi ukatoka jela.Namshukuru Mungu kwa kuachiwa huru kwako!
@anuciathangonyani8588
@anuciathangonyani8588 9 ай бұрын
Hallelujah. Huu ni ushuhuda mzito mno. Kila mtu mcha Mungu, amejifunza kitu kwenye msamaha na shukrani hii😢 Imeandikwa ' msihukumu'. Hukumu ni ya Muumba pekee! Hongera sana kijana Lengai Ole Sabaya🙏
@godfreyelibarikilaizer6178
@godfreyelibarikilaizer6178 9 ай бұрын
Amen
@davidgagi2134
@davidgagi2134 9 ай бұрын
Hakika Sifa na UTUKUFU ni Kwako Mungu! Unastahili Sifa na UTUKUFU! ! Tumekuona ww ktk Ndg Yetu Olengai! Amen!
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 9 ай бұрын
Asante sana Sabaya Kwa kumshukuru Mungu wako,yalisemwa Kila kitu kina Mwisho hapa Duniani,hongera sana mkuu.
@marianmartin7483
@marianmartin7483 9 ай бұрын
Sabaya mdogo wangu, nitakuombea siku zangu zote urudi kazini. Ulichapa kazi sana, naishia hapo tu.
@danielmabula2154
@danielmabula2154 9 ай бұрын
Bro naamini utapata nafasi ya kuongeza tena, wewe ni jasiri unatufaa go ahead Bro
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 9 ай бұрын
Heheeee...mnamjua?
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 9 ай бұрын
Mungu awasemehee watesi wako wote,na Mungu akufungulie njia mpya yenye Baraka tele Sabaya pole sana
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 9 ай бұрын
Nao wamemsamehe. Sasa abadilike aache kiburi asirudi kule kule atubu abadilike. Mungu atamsaidia.
@zachariasimkanzye445
@zachariasimkanzye445 9 ай бұрын
Kazi yako nilikuwa naikubali mno,, hongera kwako kka mungu awe nawe daima
@aureliajoseph8518
@aureliajoseph8518 9 ай бұрын
Nabubujikwa machozi yenye furaha❤❤❤❤ Mwacheni Mungu aitwe Mungu...Amtumainie Mungu Hataaibika milele.....Mungu asante sana kwa jambo hili......Tumsifu Yesu Kristo....milele Amina....
@kelivinwambuikamau
@kelivinwambuikamau 9 ай бұрын
mungu akuinue tena mpaka bungeni mpaka uraisi ubarikiwe olengi Tunakupenda nikiwa nairobi
@jeoffreyamis3782
@jeoffreyamis3782 9 ай бұрын
Hongera sana Sabaya! Yaliopita si ndwele, tujange yajayo! Si wengi waliojaliwa kuwa na hekima kama hiyo. Msamaha wa Mungu ni tofauti na msamaha wa wanadamu. Mungu akisamehe, husamehe kabisa na kusahau kabisa. Wanadamu tunasamehe na kukumbuka. Jina la Bwana lihimidiwe!
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 9 ай бұрын
Hongera ndugu Sabaya, Mungu azidi kukulinda na kukutunza daima na uzao wako, pole kwa yote yaliyokupata,naamini mengi yalizungumzwa na mengine wakakusingizia uongo baada ya kuona Magufuli amefariki! Ila tulikuombea na Mungu akakufungulia milango ya gereza kama alivyowafungulia Paulo na Sila,hivyo nakuombea Mungu akuinue tena na akupe nafasi ya uongozi tena.Ameni.
@SamsonZakalia-g4l
@SamsonZakalia-g4l 9 ай бұрын
Mungu akuinue juu mtumishi wa Mungu. Nimebarikiwa kusikia hotuba yako nzuri. Ila jambo moja, kwa nini usiseme Mungu wa mbinguni, wewe unasema Mungu wa madhabahu hiyoo?
@wendynkya1309
@wendynkya1309 9 ай бұрын
Ukifikwa na shida ndo unamkumbuka Mungu,mkumbuke Mungu cku zote na utende haki mbele za Mungu na wanadamu
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 9 ай бұрын
Hakuna mwanadamu aliye kuwa mkamilifu ndio maana tunapokosea tunatudi kwake pia tunaposhinda lazima tumshukuru
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 9 ай бұрын
Na atubu kweri maana na yeye kaachia makovu weng
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 9 ай бұрын
@@julianamwamgogwauna ushaidi si ungeenda mahakamani kupinga awe huru
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 9 ай бұрын
@@Leeeeeeee-96 haaaaa maakama na shelia na mahakama zipo kwajili ya kuzulum haki za wanyonge na maskini wasio weza kupaza saut zao
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 9 ай бұрын
Uliona wapi maakama au shelia zikawa na makali kwa wenye pesa na wenye vyeo?
@dignakanje4508
@dignakanje4508 9 ай бұрын
Hongera kaka sabaya.Mungu azidi kukupigania.Watesi wako wte wataaibika
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 9 ай бұрын
Hakuna watesi wake.
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 9 ай бұрын
Nakupenda sn Sabaya same as Makonda! Nakuombea sn Utarudi kazini in Jesus name 🙏
@Kraptrump
@Kraptrump 9 ай бұрын
Unacompare rais na diwani??? Hawa watu wana akili mbili tofauti hiwez kuwafananisha. Ulishaskia nakonda anagombania mwanamke bar??
@ekisuka1
@ekisuka1 9 ай бұрын
Mungu akutendee akulinde akuinue, kibali chake kiambatane na wewe Amina.
@masungamashauri4070
@masungamashauri4070 9 ай бұрын
Nakupongeza sana Sabaya, kwa kusimama na Mungu wetu wakati wote hata wakati ule tukiwaambia watu uko vita. Ubarikiwe sana
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 9 ай бұрын
Mlichapa kazi nzuri sana na magufuli
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 9 ай бұрын
Sana hakika Magufuli na Sabaya ilikuwa timu mahiri, adui waliitafuta roho yako lakini wameaibika
@godfreyelibarikilaizer6178
@godfreyelibarikilaizer6178 9 ай бұрын
Kweli kabisa
@BrightKulanga
@BrightKulanga 2 ай бұрын
Sabaya umeongea maneno magumu yanayochoma mioyo yaliyopangiliwa yaan bado ww ni kiongozi Mungu akungulie njia urudi kazini barikiwa
@EshaMichael-zw7zi
@EshaMichael-zw7zi 9 ай бұрын
Asant sana sabaya mungu akubariki nakupenda sana adi sana nimewai kutukanwa kwaajiri yako mwenyezi Mungu akisikie kilio chako ameem
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 9 ай бұрын
Amen, Vita vya Mungu sio mchezo kabisa. Maneno hayo yamenigusa Sana Mheshimiwa Sabaya😮 na ninatoa Poole kwa wanaojiita Maadui zako. Niko nyuma yako, mambo haya na watesi wapo tu Ila Kwa hili watanyooka. Nimependa Sana kulishirikisha jeshi la Mbinguni.
@DavidMalimbegu-dq8tp
@DavidMalimbegu-dq8tp 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana nawe usimsahau kamwe na Mungu akuinue sana
@florentinigawday1094
@florentinigawday1094 9 ай бұрын
Pole sana kaka sabaya,mwachie mungu apigane na maadui zako
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya 9 ай бұрын
Mshukuru Mungu kwa ajili ya Lema. Kwa kuwa umepata nafasi ya kutubu, basi Mungu utukufu.
@martinsimtenda5990
@martinsimtenda5990 9 ай бұрын
UbarikiweSabaya
@georgevalilanga7412
@georgevalilanga7412 9 ай бұрын
Wanafiki wengi sana wanayajua maneno ya mungu kupita wenye umungu ndani mim nasema mungu atawauku m wote wanafiki.
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 9 ай бұрын
Kabisa.
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 9 ай бұрын
Ninashkuru Mungu Kwaajili Yako hongera Sana Mtumishi wa Mungu
@HildaenosMwinuka-ej7zg
@HildaenosMwinuka-ej7zg 9 ай бұрын
Hongera kiongozi nilikuwa nakuombea japo sikujui. Hakika Mungu ni mwema
@yonakatoto4067
@yonakatoto4067 9 ай бұрын
Bro pole kwa uliyoyapitia.
@noelkipera6581
@noelkipera6581 9 ай бұрын
God is Good sabaya,,tulikua pamoja kwenye kukuombea uishinde hiyo vita ,,hakika Maombi yetu yamesikika Mungu nimwema kwetu
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 9 ай бұрын
Mmemuonea Sanaa mungu atawalipa waliomkusudia watajibiwa tu
@MRHURUMAHuruma
@MRHURUMAHuruma 9 ай бұрын
Uwe makin unachokiongea usichokijua nyamaza
@SamuelJumanne-ly3ir
@SamuelJumanne-ly3ir 2 ай бұрын
Mungu akutunze Sabaya naukupenda sana
@cleversalbaba-em4jf
@cleversalbaba-em4jf 9 ай бұрын
Amani ya Kristo iwe moyoni mwako mtumishi sabaya umeshinda kama kina shadrack,meshaki na abednego..
@alloycejames5285
@alloycejames5285 9 ай бұрын
Kwa kweli mama Samia ni kiongozi mwema...
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 9 ай бұрын
Tunajua unamsifia mama yetu kipenzi lakini moyoni unamchukia moyoni hatakuteua maana saivi unasaka uteuzi. UTUBU KWA MOYO WA DHATI MUNGU NI WA REHEMA ATAKUSAME haijalishi vile ulivyo misuse power Mungu anakusamehe.
@JosephIsanzu-g1r
@JosephIsanzu-g1r 9 ай бұрын
Hakika mungu atabaki kuwa mungu Tu ,usimwache mungu WA mbinguni siku za Maisha yako yote Mr sabaya.
@HellenLemilya
@HellenLemilya 4 ай бұрын
Ndugu angu Sabaya watu walisema mabaya mengi kukuhusu ww ,sijui kama ni kweli au ni walisema uwongo cjui ,ila kama ulifanya hayo mabaya waliosema mimi na watu wengi hatukupendi ila kama hujatenda Mungu akubariki
@immaculataroeser9094
@immaculataroeser9094 9 ай бұрын
Hongera sana Mungu awe nawe katika maisha yako yote na ubarikiwe sana.❤
@ibrahimirove
@ibrahimirove 9 ай бұрын
Mungu Akubarikiki Sana Sabaya Nakupenda Sana Na Nakuombea Sana Kwa M/Mungu Raisi WETU Akuone Akuone Kazi Hakika Wewe Ni Kiongozi Unaye Jituma Sana Kwakweli
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 9 ай бұрын
Israel na Aseme sasa...wewe ndiye Mungu na Kweli...milele na milele...Mungu awalinde na awabariki sana...Una Mke Bora sana ...amekuvumilia licha ya kupitia kipindi kigumu sana....Tunapata fundisho kubwa sana kupitia maisha yako ...
@panafricanmawesa2555
@panafricanmawesa2555 9 ай бұрын
Hakika brooo keep going
@salminasalim5630
@salminasalim5630 9 ай бұрын
Baba yetu alie mbinguni azidi kukulinda wewe na familia yako umepitia magumu lakini Mungu alikuwa anayaona ni ma rahizi sana na baba yetu alikupigania ambae hutetea wanyonge wasio kuwa na hatia na wakatiwa hatiani Mungu huwa anasimama kama alivyokusimamia Sabaya wetu Tuzidi kumshukuru Mungu na kumtukuza kwa matendo yake mazuri ya kuruhusu ukawa huru. Stay blessed Mh Sabaya
@asteriashios1852
@asteriashios1852 9 ай бұрын
Kweli shetani kawa malaika full km ni kweli hongera ila ulisemwa kwa uliyofanyia watu siyo waongo ndo sasa umekiri usije ukarudia tena baada ya kubadilishwa na mungu
@careemdulla1629
@careemdulla1629 9 ай бұрын
Sabaya ni kiongozi mzuri sana sijui kilimkuta nini kwenye uongozi wake
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 9 ай бұрын
Nilikuona gazetini Kwa kweli ukipelekwa mahakani nilliumia Sana sana nilikuombea Kwa machozi bila kujali umekosa au la nilijikuta nabeba mzigo kuomba na Leo ninafulaha isiyo kifani kukuona ukimtukuza mungu
@elinasilukumay3221
@elinasilukumay3221 9 ай бұрын
Mungu ashukuriwe kwa Olesabaya kujidhihirisha
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 9 ай бұрын
Safi sana bro mw/mungu akubariki ktk safari yako una maadui wengi sana ila mungu azidi kukulinda haaaleeeluuuyaaaa!!
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 9 ай бұрын
Kwa nini awe na maadui wengi?na yeye bila shaka alikuwa adui wa walio wengi ajiulize kwa hilokama anajitambue
@AbishagiPeter
@AbishagiPeter 9 ай бұрын
Mungu ni Mungu tu. Mungu anatosha.
@petromagala7662
@petromagala7662 9 ай бұрын
bnafsi napenda moyo wa msamaha,hongera Sana sabaya,Mungu hatakupungukia
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 9 ай бұрын
Awarudishie aliowadhulumu mali na fedha. Na aliowatesa usiku kwenye hoteli mbalimbali. Mungu mnyooshe tu huyu ni binadamu sio malaika shughurika nae kwa njia yeyote ile kama hatotubu hadharani aliyoyafanya.
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 9 ай бұрын
​@@gibsonjosephat6352wenimchawi
@emmanuelkimbi1266
@emmanuelkimbi1266 9 ай бұрын
Shida ya nchi yetu awapendi viongozi wakweli Sabaya mungu akubariki naimani utakua juu kama Tai
@JoshuaKisambi-vs7th
@JoshuaKisambi-vs7th 9 ай бұрын
Mungu pokea sifa kwa ushuhuda hii
@martinsimtenda5990
@martinsimtenda5990 9 ай бұрын
Sabaya nilikupenda tangu zamani Mungu amekutendea mambo ya ajabu Mungu atakutendea mambo mema zaidi
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 9 ай бұрын
Duh Jamani Kumbe Ibada Inaweza Kuingiliwa Sabaya,Kama Mungu Amekupa Nafasi Hii Hakikisha Unatubu Kweli Na Umuombe Mungu Akusamehe Kwa Uovu Wote Ulioutenda.😭😭😭
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 9 ай бұрын
Si ndo anatubu sasa jamanii
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 9 ай бұрын
Kutubu sio hivyo huwezi kusema amewasamehe waliomtendea mabaya. Ilitakiwa asema wamsamehe aliowatendea maovu akiwa Mkuu wa Wilaya. Mbali na hapo bado machozi ya wakina Mama aliofanya nao maoenzi kwa lazima na kuwadhulumu watu mali zao.
@RukiaSalum-n4m
@RukiaSalum-n4m 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana mwanangu tuliomba bwana yesu akajibu amina kubwaaa Haleruya
@manpascal1967
@manpascal1967 9 ай бұрын
Kumbuka kwenda kuwaomba msamaha watu wote ulowafanyia mabaya
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 9 ай бұрын
mna ushahidi
@charleswambura2543
@charleswambura2543 9 ай бұрын
Nami nakupa pole sana. Hakika Mungu wetu ni mtenda haki. Nayo imeshinda uovu.
@nelsabugo3613
@nelsabugo3613 9 ай бұрын
Mungu anaishi Yesu amekutetea
@IssaMohamed-mp4hj
@IssaMohamed-mp4hj 5 ай бұрын
Mugu akubaliki
@luganomwanjotile7575
@luganomwanjotile7575 9 ай бұрын
Barikiwa
@shabelibashili2064
@shabelibashili2064 9 ай бұрын
Huyu jamaa alitesa watu wengi sana kipindi cha mungu wake aliekuwa anamtukuza yuleee
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 9 ай бұрын
una ushahidi peleka mahakamani
@joelpole8274
@joelpole8274 9 ай бұрын
Leo ndo umemkumbuka mungu
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 9 ай бұрын
Hongera Sabaya
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 9 ай бұрын
Lakini pia ungetoa ushuhuda wa Yale pia uliwatendea watu utubu pia
@mbatatakiazi1678
@mbatatakiazi1678 9 ай бұрын
All the best brother
@jovenatusstephen5958
@jovenatusstephen5958 9 ай бұрын
Nilikuombea siku zote.Mungu ni mwaminifu
@3349-c7l
@3349-c7l 9 ай бұрын
Hongera sana nadhani unejifunza kuwaheshimu watu mdogo wangu Sabaya
@talimifugoproject6457
@talimifugoproject6457 9 ай бұрын
God is good sabaya mungu tunamshukuru
@alexmwanry4342
@alexmwanry4342 9 ай бұрын
Sabaya utukufu wa mungu upamoja nawe ubarikiwe sana
@blessjo1678
@blessjo1678 9 ай бұрын
Kumbe Mungu amekupendelea ila haki huna
@alexmwanry4342
@alexmwanry4342 9 ай бұрын
Sabaya mungu akulinde❤
@subirasimbeye5389
@subirasimbeye5389 9 ай бұрын
Hakika hakuna kama Mungu Mungu akupandishe zaidi
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 9 ай бұрын
Kama ulipata ushindi kwa halali huna hatia na kama ulipata ushindi kwa hila ulaaniwe, hakika moyoni unajijua kilichotokea cc sote twackia tu matendo yako pacpo kuyaona kwa macho yetu, lkn huenda wale uliona kwa macho yao au kama walikusingizia walaaniwe, lkn kama nikweli walioyasema uzidi kulaniwa
@katambimfalimbega3808
@katambimfalimbega3808 9 ай бұрын
Pole Sana mtetezi wa wasionapesa Sabaya utaludi kazini ila usibadili gia wamikia masikini utashinda tuuuu
@Zubaiba
@Zubaiba 9 ай бұрын
Ww na Ally hapi,makonda ,sabaya na Ally hapi ni wachapakazi hodari sana,mungu awabariki sana
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 9 ай бұрын
Mungu ni Mkuu sana
@NamayanLayza
@NamayanLayza 9 ай бұрын
Mungu Ni mwema kila wakati 🙏
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 9 ай бұрын
Mungu asantee kwa ajili ya sabaya, pokea shukrani zake
@charlzmboya
@charlzmboya 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa Yale yote ulopitia nadhani yamekujenga kibinadamu na ki imani PIA UMEPATA FUNDISHO KUBWA YA KWAMBA UMUHESHIMU NA KUMPENDA MWENZIO KAMA NAFSI YKO
@charlzmboya
@charlzmboya 9 ай бұрын
Ulipata cheo sabaya ukajisahau kua wewe ni binadamu tu kama wengine !!!ila ulijiona kama mungu wa Dunia !!! Ila umejifunzua najua😊
@greenermichael2057
@greenermichael2057 9 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭sabaya oyeeeeh tulijua Mungu atafanya japo kejeli zilituumiza sana mtaani lakon Mungu jembe ,sisi huku uraiani ndio tulikuw tunaumia zaid maan maneno yalituumiza lakin Mungu daima ni mshindi
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 9 ай бұрын
Akina lema na wenzie akiwemo Mbowe 1:29 ndio walio kutengenezea makesi.walikuwa wanafanya wao uhalifu halafu wanajitambulisha kwa jina lako na cheo chako.baada kufanikiwa kwako walianza kumsakama makonda na mkuu wilaya Kinondoni kule Dar ni mwanamke joket.walihonga sana kuhakikisha mnafungwa lkn walishindwa. Hongera sabaya.
@edithaemanuel8609
@edithaemanuel8609 9 ай бұрын
So great, be blessed
@rithatibangayuka3482
@rithatibangayuka3482 9 ай бұрын
Asante Mungu
@selemsigala4771
@selemsigala4771 9 ай бұрын
Mungu wambinguni aendelee kukulinda na kukupigania dhidi ya watesiwako sikuzote za maishayako🙏
@somanmwamwezi8231
@somanmwamwezi8231 9 ай бұрын
Mungu awe nawe kijana wangu, chapa kazi
@MariamMsaji
@MariamMsaji 9 ай бұрын
Nina kuzidi kukuombea mungu uchapekazi tena
@ElizabethFesto-fv2ku
@ElizabethFesto-fv2ku 9 ай бұрын
Hakika Mungu yupo
@careemdulla1629
@careemdulla1629 9 ай бұрын
Mimi namuelewa sana Sabaya sijui ni shetani gani alimpitia . Naamini ni kiongozi mzuri sana aandaliwe vizuri kuna kitu anacho kwenye uongozi
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 9 ай бұрын
Ulitesa watu waombe kwanza wale ulio watesa , pia kajifunze sifa za KIONGOZI ,kila herufi ina maaanaa kasome
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 9 ай бұрын
sasa si mngeenda kutoa ushahidi jamani au sio
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 9 ай бұрын
Hongera sana mwanangu. Mungu wa mbinguni aendelee kukutunza
@rithatibangayuka3482
@rithatibangayuka3482 9 ай бұрын
Mungu akulinde akupe miaka mingi Sabayi
@ngwenyaflorence3193
@ngwenyaflorence3193 9 ай бұрын
Tulikuwa tunakuombea sana .tukikumbuka Yale mazuri uliyoyafanya .mungu ni mwema kwa wanaomtegemea.
@norbertmbena5896
@norbertmbena5896 9 ай бұрын
Nililia sana leo Mungu amenifuta machozi kwa kufika madhabahuni na kusamehe Fanyika tena kuwa BARAKA kwa Taifa letu
@johnmligo6966
@johnmligo6966 9 ай бұрын
Sikuwahi amini yoyote waliyosema juu yako.... Sitakuja kuamini kwamba wewe ni Mbaya KIASI hiko! Best of lucks Brooo....
@simonkaaya1220
@simonkaaya1220 9 ай бұрын
MUNGU AKUPE NGUVU NA AFYA NJEMA.KARIBU SANAA TUMSAIDIE MAMA SSH KUPAMBANIA WATANZANIA KUPATA MAENDELEO. AMEN 🙏.
@Obasaniyo
@Obasaniyo 9 ай бұрын
Sabaya oyee. Mungu mwema ndungu yangu. Kesho utakuwa kiongozi usiwe na wasiwasi. Nimefurahi kuona u salama
@rhodamwafongo6660
@rhodamwafongo6660 9 ай бұрын
Pole sana mwanangu Kwa yote
@MariamMarley
@MariamMarley 9 ай бұрын
Duh mungu ni mwema
@deogratiashaule8958
@deogratiashaule8958 9 ай бұрын
Pole sana, Mungu mkubwa sana.
@eliaschimba5152
@eliaschimba5152 9 ай бұрын
Hongera sana kaka, mungu ndio mkubwa, ubarikiwe
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 9 ай бұрын
Ulitesa wenzako Sana wakati wa Uongozi wako. Mungu huwa hapendelei unawaambia wanadamu lakini Mungu ameshakuhukumu.
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 9 ай бұрын
mna ushahidi
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 147 МЛН
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 97 МЛН
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45
Sijil Halal Genting | Khutbah Jumaat | Dr.Mohd.Rosdi
31:00
Kuliah Arab Mikro
Рет қаралды 33 М.
KUNA SIRI GANI? HILI NI FUMBO
6:11
Haleluya Tv
Рет қаралды 202 М.
"Mawazo" Sehemu Ya 48 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
45:57
Chomoza Tv
Рет қаралды 11 М.
HII NDIO SIKU YA MUUJIZA WAKO
14:19
Haleluya Tv
Рет қаралды 1,1 М.
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 147 МЛН