KUNA SIRI GANI? HILI NI FUMBO

  Рет қаралды 180,911

Haleluya Tv

Haleluya Tv

6 ай бұрын

#HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN
Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Haleluya APP : play.google.com/store/apps/de...
Facebook : / prophetrolinga
Instagram : / prophetrolinga
KZbin : / haleluyatv
Audiomack : audiomack.com/prophetrolinga

Пікірлер: 311
@user-mk9vk5pe6i
@user-mk9vk5pe6i 5 ай бұрын
Tusibeze maneno ya wachundaji,tumuweke Mungu wetu kwenye kila hatu tupingayo,Yarabii,tusamehe na utulinde Walinde viongozi wetu na nchi yatu,Afrika, na dunia yote Amen.
@user-xq9se2hj7p
@user-xq9se2hj7p 5 ай бұрын
Imani yako imekuponya enenda zako usitende dhambi tena mungu anazungumza na waliyo wake sasa hama huamini shauli yako
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 4 ай бұрын
AMOSI 3 7 HAKIKA BWANA MUNGU HATAFANYA NENO LO LOTE, BILA KUWAFUNULIA WATUMISHI WAKE MANABII SIRI YAKE. AMEN❤❤❤
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 6 ай бұрын
The only nabii president ambaye alitumwa na Mungu ni Magufuli. Nabii ahana heshima kwaho…love and respect from Congo🇨🇩
@emmanuelnhyamamanwele1697
@emmanuelnhyamamanwele1697 5 ай бұрын
"KWAO" siyo "KWAHO"
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 5 ай бұрын
Amina
@Chery_cherryy
@Chery_cherryy 4 ай бұрын
@@emmanuelnhyamamanwele1697😂😂😂😂😂
@leonardnzigo2437
@leonardnzigo2437 5 ай бұрын
This is man of God, nadhani wamesha tangza mzee Mwinyi ni mgonjwa....tuheshmu na kutii saut ya Mungu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 ай бұрын
Yes, halafu inaonekana hii mambo ya lowasa ndo yamefanya kuwe kimya! Subiri wazike tutapata habari
@Big-Lunya
@Big-Lunya 4 ай бұрын
huyu jamaa ni nabii kweliii
@spipa.tv0tz
@spipa.tv0tz 6 ай бұрын
Watuwengi wanasema mengi kusu Manabii wa Mungu kitu ambacho sio sahihi, Kazi ya nabii ni kufikisha ujumbe baada ya kufikisha ujumbe au kutoa unabii huwa kuna maelekezo yanayofwata, na maelekezo huwa n kwaajili ya wahusika waliotolewa unabii , ivyo basi wasipo fwata maelekezo pengine kutakua na badiliko au lisiwepo, Kumbukeni habari ya yona Alitumwa kweemda ninawi kuwaambia watu watubu mana wasipo tubu wataangamizwa walipotubu hawakuangamizwa, Ivyo kueni makini sana msijikwae
@RehemaGodfrey
@RehemaGodfrey 6 ай бұрын
Kwakuwa unampenda Sanaa au,niwewe sasa unayesema ivo.. we mwache mungu afanya yake bwana weee,!
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 2 ай бұрын
Awamu ya 4 ni 🔥🔥🔥🔥. Kwa mwamba atapoteza kumbukumbu 😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 ай бұрын
Wow God is awesome 🎉❤
@oscarjeremiah7377
@oscarjeremiah7377 6 ай бұрын
When God servant speak forth the wise listen
@ipyanahebronmwasumbwe4834
@ipyanahebronmwasumbwe4834 6 ай бұрын
Brother Rolinga, Mzee Mwinyi kwenye miaka aliyonayo hata akifa atakuwa anapumzika , wanafamilia wakihuzunika ni hali ya kawaida tu ya kibinadamu, lakini kwa umri aliotunukiwa mzee wetu mpaka sasa wanafamilia hata likitokea lakutokea watapaswa kusherehekea zawadi umri mrefu aliwapatia Mungu kupitia Mzee Ruksa. Barikiwa, neema zaidi kwako.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 6 ай бұрын
Analijua hilo ndio maana anasema ameoneshwa,vichwa mchunga wapande imani ikitokea😂😂😂😂
@viktamade
@viktamade 6 ай бұрын
Kaka msiba wowote unauma kwa wafiwa ....ila kama hujafiwa wewe sema kapumzika
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 ай бұрын
Thanks Jesus 🎉
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 ай бұрын
Very interesting topic
@zariadunia6328
@zariadunia6328 5 ай бұрын
Mimi ni muislam lkn huyu Rev namkubali ila waislam hutabiribmpaka miaka atakayokufa mtubkwa umri gani dishangai na ninachokijua ndani ya ccm kwa sasa utabiri wa mama ni sawa kabisa she knows na ndo maana teuzi zake za ndani ya chama kwa sasa hawasikilizi wale watu tena amesha gundua mikakati yao vizuri tusiseme mengi lkn hongera sana Rev
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 3 ай бұрын
Hata Kwa jpm alitabiri kabla ya tukio.🙏🙏🙏
@marthamungure1777
@marthamungure1777 5 ай бұрын
Umri wa kiongozi wa pili ni mkubwa sana, hivyo ni sawa tu kupumzika😊
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Huyo akifa ni sawa mzee
@LucyLivanga-lo6qk
@LucyLivanga-lo6qk 6 ай бұрын
Hapo nimeelewa kitu mungu anataka atubadilishie kiongozi wa ich 2025 Mungu ibaliki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 6 ай бұрын
Ninyi watu ni wasomi ila hamna akili bogaz kbsa
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 5 ай бұрын
Na iwe hivyo in Jesus name
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 Ай бұрын
e​@@hafidhwajina6718acha iwe
@r14kgroup68
@r14kgroup68 6 ай бұрын
Nakukubali nabii jah akubless
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 6 ай бұрын
Funga bila kula uende mbinguni
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 ай бұрын
Thank you Jesus for Revelation
@jessymakura3318
@jessymakura3318 6 ай бұрын
Usaniii mmmh
@martinjohn7854
@martinjohn7854 5 ай бұрын
NI KWELI. KUNA SIRI.
@DIANAJACOB-qw1mw
@DIANAJACOB-qw1mw 28 күн бұрын
Amen
@Zubaiba
@Zubaiba 5 ай бұрын
Ww uwe wa kwanza kufa
@user-xq9se2hj7p
@user-xq9se2hj7p 4 ай бұрын
Yesu alisema msiponikubali mimi basi zikubalini kazi zangu
@pendomushi6351
@pendomushi6351 6 ай бұрын
Tuombe sana kwaajili ya inchi yetu hakika hapo kunasiri nzito sanaa Mungu tusaidie na utufumbue kwenye hili giza 😢😢😢
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 6 ай бұрын
Aminaaa
@lightnessmushi8137
@lightnessmushi8137 6 ай бұрын
Ni kweli
@jadenkabalaza-cq2jj
@jadenkabalaza-cq2jj 4 ай бұрын
Rest In Peace Mzee Mwinyi
@geofreydamas1697
@geofreydamas1697 6 ай бұрын
Imeisha hiyoooooooo basi
@Afyayamifupa
@Afyayamifupa 4 ай бұрын
Mmmh imeendana kwkwl
@desolz3809
@desolz3809 6 ай бұрын
Naona Rais mwingine wa kikatiba 2025 kinabii.... Mungu atusaidie
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 6 ай бұрын
Kwakweli
@DIANAJACOB-qw1mw
@DIANAJACOB-qw1mw 28 күн бұрын
Niombee Nabii nina mengi mwanao
@user-ei3iy5fu1i
@user-ei3iy5fu1i 22 күн бұрын
Onanyoka wariva pangana wamemuua mwenzao
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 6 ай бұрын
Mmmh hii ni hatari sana😊😊😊
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 3 ай бұрын
Balaaaa
@erastoleonard8625
@erastoleonard8625 6 ай бұрын
Sizani Kama nisahihi sana kutokusimama ns lile mungu alilokuonyesha na kulitangaza na kuamua kuogopa mamlaka ya nchi na si mamlaka ya mbinguni
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 5 ай бұрын
lakini si umesikia? yasije yakatokea ukasema hukusikia. Ni muda wa kumuomba sana Mungu ili yasitokee sio muda wa kulaumu wanaosema maono waliyopewa kana kwamba ni waongo. Kama umesikia jambo baya litakalo ipata nchi wewe omba
@AntonyRudibuka
@AntonyRudibuka 5 ай бұрын
Anamanisha kupinduliwa
@marylisso2822
@marylisso2822 4 ай бұрын
Tumeshaelewa mtumishi tunasubir tu tamko......
@magangiralucas6516
@magangiralucas6516 4 ай бұрын
Awamu ya 6 atapi❤
@masterpizo7451
@masterpizo7451 6 ай бұрын
HAKUNA UNABII UTAKAOTOKA KWA MUNGU USIWE NA MAJIBU NA HAKUNA UJUMBE MUNGU ATAUSHUSHA KWA NABII WAKE HALAFU UWE NUSU ETI NABII ANASEMA MENGINE SIONGEI MAANA YAKE SIO SAUTI YA MUNGU ILIYOMPA UNABII NA UNABII HUWA UNAKUJA KWA MAMBO YAJAYO ILI YAFANYIWE MAREKEBISHO PALE PANAPOHITAJIKA
@jessymakura3318
@jessymakura3318 6 ай бұрын
Kweli mtumishi mungu haji bila kuonyesha njia
@MsAggie5
@MsAggie5 5 ай бұрын
Sio kweli unabii unakuja ili palekebishwe, kuna nabii zikija lazima litokee, pia hekima ni muhimu sana unapopewa unabii toka kwa Mungu, sio kila nabii unaiongea hadhalani.
@janethmunishi6279
@janethmunishi6279 5 ай бұрын
mnasomaga bibilia? nabii Isaya alipeleka ujumbe kwa Ezekia kwamba atakufa hakupewa jibu lingine na alipotoa ujumbe aliondoka. Ezekia akaomba akamlilia Mungu Mungu akamponya
@janethmunishi6279
@janethmunishi6279 5 ай бұрын
cha ajabu ni nini apoo! yeye kapewa Ujumbe wahusika wakisikia waombe
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 6 ай бұрын
Mabadiliko
@valenakomba9218
@valenakomba9218 6 ай бұрын
HUYO BORA APOTEZE KUMBUKUMBU.MAANA ANAIYUMBISHA NCHI YETU.
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 3 ай бұрын
Una mwanasheria kka 😅😅😅😅😅😅😅
@user-vo8md7vm4s
@user-vo8md7vm4s 6 ай бұрын
Mwaka 2024/2025 Ni miaka ya chaguzi mbalimbali Tanzania hivyo chama kikubwa Kama CCM misukosuko nijambo la kawaida kabisa. Musimtie Mama hofu mwacheni achape Kazi.
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 5 ай бұрын
Upuuzi 😊😊😊
@neliusdidas8749
@neliusdidas8749 6 ай бұрын
Mtume maliyabwana
@user-jv2fn7kx7p
@user-jv2fn7kx7p 4 ай бұрын
Ndugu zangu ni bora ukanyamaza kuliko kuandika utumbo heri utumie wahuni wenzio text mungu endelea kumtumia mtumishi wako na mpe moyo wa Iman
@osmond9266
@osmond9266 3 ай бұрын
Imetokea tayari endeleeni kuponda mie nawaomba tu mjue kuwa Mungu hadhihakiwi
@law93king
@law93king 6 ай бұрын
Tumeelewa nabii Mungu aendelee kukutumia kwa ajili yetu
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 6 ай бұрын
Mmmmmm!!!
@rogersiddy
@rogersiddy 6 ай бұрын
Na yesu alituonyesha ishara izo tu basi bila kutupa mwanga mbele kunanini alitupa mikono ivyo tu basi? naamini Mungu yupo ila ilo ndo Swali langu tu
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 ай бұрын
Yes indeed Daddy
@josegambi7149
@josegambi7149 4 ай бұрын
Leo nimekubali baada ya kuona maono yako awamu ya pili imesha potea. Maumini tusiwe wakaidi juu ya haya. Mungu atusaidie
@petermuganda7322
@petermuganda7322 4 ай бұрын
Mtumishi weee kiboko uko sahihi
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 6 ай бұрын
Ndg zangu watu hawahitaji mambo ya hizo orodha za watawala wa nchi . Wanataka kusikia Yesu anawasaidiaje na matatizo waliyonayo . Watumishi wengi wakishapata tu MAFANIKIO basi wanaliacha kusudi .
@barakalawrence742
@barakalawrence742 6 ай бұрын
Simtetei na wala sio mshirika wake ila kuna kitu naomba uelewe, Kusudi kuu Ni injili ihubiriwe lakini ndani yake kila mtu ameitwa tofauti na mwingine kufikisha kusudi kuu, thats why kuna huduma kuu tano zote hukenga kusudi moja kutimia,, zaidi ya hayo kila mtu ana karama yake hatufanani, hata sare za shule fulani nitofauti na ingine, japo zote lengo kuu ni kupata elimu. Kuna mambo mengi zaidi ya kuyajua kuhusu Mungu, so usihukumu kwa haraka hivyo
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 6 ай бұрын
Huyu jamaa simfahamu huyo mtumish, lakin najaribu tu kuwaza saut, sasa kwanini kitabu cha wafalme kiliandikwa ktk biblia?!
@MsAggie5
@MsAggie5 5 ай бұрын
Ulishaenda kanisani kwake ukaona haubili anayowausu waumni wake na maisha Yao? Yeye kama ni Prophet atawaambia kile Mungu alichomuonyesha na wakati huohuo atahubili na kufundisha neno. Unajua Ibadan zake zina masaa mangapi?
@Jerryminenewtony-fc5cp
@Jerryminenewtony-fc5cp 5 ай бұрын
2 wathesalonike 2:1-12 jamani emu tumuombe MUNGU atupe ROHO MTAKATIFU na ufahamu pia,sabu imekuwa tamthilia episodi ya ya kwanza tunasubiria ya pili(UNABII) NABII anatakiwa aseme so afiche jambo inamaana,YEREMIA 15:19
@doreensamwely8740
@doreensamwely8740 4 ай бұрын
Nimejua hapo, atapindiliwa asipoo mtii Munguu😅😅😅
@huseinramadhani5723
@huseinramadhani5723 5 ай бұрын
Sadaka zinawaaibisha watu aisee
@jamesrichard3971
@jamesrichard3971 5 ай бұрын
Jamaa liongo kweli yani, 😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 ай бұрын
Kadanganya nn? Au ht humfuatilii mambo Maana kuna ambayo yashatimia ,Wiki 2 zilizopita
@user-hq8xg4yi8b
@user-hq8xg4yi8b 6 ай бұрын
Hawa ndio manabii wa ungo wapo wengi Sana ila yote ya hayo ni njaa tu ndani ya bibilia imeandikwa watakuja manabii wa ungo na haijaandika kutokea tena manabii wengne sasa sijui Huyu anafata bibilia gani na hao wanaomfata wanafata bibilia gani
@janemujuni
@janemujuni 6 ай бұрын
Manabii wapo,angalia kwenye kamusi maana ya neno nabii
@felistusmweni2582
@felistusmweni2582 6 ай бұрын
We baki tu na unabii wa uwongo.. You should have a discernment spirit to guide you whelther you are in the right or wrong direction. Mungu akusaidie sana na uwe makini unapo toa comment. Jeremiah 1:5
@MsAggie5
@MsAggie5 5 ай бұрын
Biblia gani ilisema hapakuwa na manabii tena, haiaandikwa Kama vijana watatabili na wazee wataota ndoto? Si mtaalamu wa biblia kihivyo lakini nilishawahi kukuana na Hilo neno acha uongo
@user-zr7pc7qs4o
@user-zr7pc7qs4o 4 ай бұрын
imetokea
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps 6 ай бұрын
Kwa umri alionao huyo wa awamu ya pili anaombewa Nini kama ni miaka ya kuishi kavuka hata Ile tuliyopewa na Mungu Sasa munataka Aishi milele? Wapo watoto yatima na wajane na masikini hao ndo waombewe sio mtu ana tisini na Kenda munamuombea Nini kama ana zambi atubu Kwa Mungu Ili apumnzike. Salaama
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 6 ай бұрын
😂😂😂 hili jamaa janja sana kinaenda na upepo, saa 7mchana jua litakuwa kali wakati kila mtu anajua kuwa muda huo jua huwa kal
@MichaelNdamulans
@MichaelNdamulans 3 ай бұрын
Ulimwengu wa roho unanguvu nyingi sana sema wanaojaji hawajui.mtume wa mungu je unaundugu wwte bukoba?
@MwaupinaMwaupina-br7kz
@MwaupinaMwaupina-br7kz 4 ай бұрын
mungu awe yupo nawe milele
@naisonjohn6770
@naisonjohn6770 4 ай бұрын
Acha kumdanganya watanzania
@getajo1153
@getajo1153 3 ай бұрын
Awamu ya 7 ni MAKONDA...
@Grace_Ministry_International
@Grace_Ministry_International 2 күн бұрын
​​Unaongea point ila tumia Lugha nzuri na ya heshima kama msemaji u need to be composed and wise
@Byeragordian3572
@Byeragordian3572 5 ай бұрын
si mzee Mwinyi keshajizeekea jamani alaf kwann watu wengine wanapata magonjwa wanakufa ila viongozi tudhani kana kwamba wasife?? We are all humans and death is part of us all...mtumishi Mungu akufunulie siri zake za ufalme maana wengine wanamsingizia Mungu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
HUYO NI MTU MZIMAA. HAITAKUWA AJABU SANA.
@jenipherkamugisha4687
@jenipherkamugisha4687 4 ай бұрын
Yametimia
@momylaviel
@momylaviel 4 ай бұрын
Ni kwel kabisaaa uwiiii
@mtimti3912
@mtimti3912 6 ай бұрын
Wanadamu wanapaswa kulinda ufalme wao kwa kufuata ufalme wao
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 4 ай бұрын
Upuuz mtupu
@cheyompongolo4513
@cheyompongolo4513 6 ай бұрын
UPUUZI MTUPU:
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd 6 ай бұрын
Mimi kuna maombi mazito nafanya na kila alichoongea ni kama kwelii. Nilisikitika sana baada ya Rais Magufuli kutuacha. Nilisikitika sana. HAYATI RAIS MAGUFULI angeipeleka Tanzania Mbali sana aisee.. Ila maombi siachii. Lazima malipo ni hapahapa Duniani. Mtu ataikimbia...
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 5 ай бұрын
Ystawashinda IshaAllah"
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd 5 ай бұрын
@@rayyahinay-hp7jf mbona sijakuelewa?
@WilisonBagumya
@WilisonBagumya 6 ай бұрын
kuna mabo hayatakiwi kuendelea ili makusudi ya mungu yapate kutimia
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 6 ай бұрын
Hapo kwenye vitendo au basi.... Nimekuelewa 😂😂
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 3 ай бұрын
Hapo ni -------- muramura ndani ya CCM 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 3 ай бұрын
Umeelewa nini .jibu kma umekamatwa na watu wasiojulikana 😄😄😄😄😄😄
@user-je8hj2fv1q
@user-je8hj2fv1q 4 ай бұрын
Ukisikia Mtu ansema huko mbele siendelei,yanatosha ukute labda nayeye hajui,
@martinisadru
@martinisadru 4 ай бұрын
Anajua, ila anaogopa kusema, hata yesu alikimbia pale alipotaka kupigwa mawe, ije kua mtume mdogo kama huyu.
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 3 ай бұрын
​@@martinisadru😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌 nimekuelewa kka
@Zubaiba
@Zubaiba 5 ай бұрын
Hili lijamaa linajigamba na liuongo lake
@godfreyngajilo3795
@godfreyngajilo3795 6 ай бұрын
Ila matapeli hawa😂😂😂
@simondogtrainer7498
@simondogtrainer7498 20 күн бұрын
Matapel wakati unabii umetimia awamu ya pili ameshafarik
@user-tx7df1lk9k
@user-tx7df1lk9k 6 ай бұрын
Mzee mwinyi age go, anything can happen
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 4 ай бұрын
Audhubillah huyo mungu wenu yuko tofauti mnamuona nyie tu sisi hatujawahi muona wallahi Ww muongo😂😂😂😂😂😂😂
@fredoola7534
@fredoola7534 6 ай бұрын
Mkalimani jamani!
@ansmsimbe1236
@ansmsimbe1236 4 ай бұрын
What God planned will happen, God wants to rule the world from Tanzania. Isaiah 19. What was planned was opted and will be.
@neemanziku5403
@neemanziku5403 6 ай бұрын
Mtumishi acha kutisha wanadam ukiona kitu omba kimya kimya kifo pia Ni mpango was Mungu,Yan ukiongea hivo watu wanakuwa wanahofu
@viktamade
@viktamade 6 ай бұрын
Kwaiyo hapo anatisha
@masterminder4377
@masterminder4377 2 ай бұрын
😢
@MsAggie5
@MsAggie5 5 ай бұрын
Kikwete anaonekana mgojwa
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 4 ай бұрын
Huyu jamaa sijui anatumia uchawi wa nchi gani au naijeria??😂
@sultansallah8772
@sultansallah8772 4 ай бұрын
Ambo aya yanapatika kwenye taasisi ya ukiristo tu
@user-ei3iy5fu1i
@user-ei3iy5fu1i 3 ай бұрын
Kubuke wanakataa himani zakweri yesu wana amini eti mutumemuhamad mwarabu koko
@gharibsomali4595
@gharibsomali4595 4 ай бұрын
Tena hao mbwa wenzio umewakusanya na kuwaaminisha
@allykondo8406
@allykondo8406 4 ай бұрын
No one know tomorrow even me
@wilfredbyabato4732
@wilfredbyabato4732 6 ай бұрын
Mbona Mambo yote umeonyeshwa ni mabaya kwani haujaoneshwa mazuri au hakuna mazuri kabisa 😅
@naturelle1097
@naturelle1097 5 ай бұрын
😂
@Zubaiba
@Zubaiba 5 ай бұрын
Mpubavu sana,nyoko yako,na ww unakufa lini
@cosmasmwaitete5004
@cosmasmwaitete5004 5 ай бұрын
Sasa matusi ya nini ndg yangu?
@cosmasmwaitete5004
@cosmasmwaitete5004 5 ай бұрын
He kima ni bora kuliko …….
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 4 ай бұрын
Mimi ni muislamu ila nakubali utabiri wako maana naona unayo tabiri yanatokea
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 6 ай бұрын
Mchungaji utaishia kuwadanganya kondoo wako tu kama ni kweli tupe taarifa na wale waliokufa wanahali gani?😂😂😂
@FedyKafyulilo-iz2nw
@FedyKafyulilo-iz2nw 4 ай бұрын
Huyu nabii akitabiri lazima iwe
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 5 ай бұрын
Rolinga Nakuita mara 3 muache augue bwana
@barakadish2033
@barakadish2033 3 ай бұрын
Duuu
@user-zj1oz5wl5r
@user-zj1oz5wl5r 5 ай бұрын
Hivi kwa nini Tanzania tunaandamwa sana na majanga,je mungu ametuchukia Tanzania,Kama taifa tumite mungu
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 4 ай бұрын
Kwa upande wa awamu ya 6 kuna vitu ilivikataa vya awam ya 5 mungu ni wa haki
@MariamYusuph-ik9it
@MariamYusuph-ik9it 3 ай бұрын
Unabii hauhubiriwi kanisani
@issabilal4109
@issabilal4109 5 ай бұрын
Hawa natapeli wana shida sana mzee anakaribia miaka mia unatabiri nini JK ana zaidi ya miaka 70 unatabiri nini
@gharibsomali4595
@gharibsomali4595 4 ай бұрын
Acha kudanganya watu ww mpuuzi ww nabii gani hujui idadi ya nywele zako kichwani ziko ngap ukajue mipango ya mungu mbwa ww
@martinisadru
@martinisadru 4 ай бұрын
Hakuna jipya chini ya jua, watu kama nyie hamtaisha Hadi kiama, utakufa wewe, atainuka mwengine kama wewe, na hata wewe! Upon kama wale, walowasema mitume kwa chuki, na hutajitambua, kwa kua upon kifungoni.
@user-dr7de3xp1t
@user-dr7de3xp1t 6 ай бұрын
Hakuna nabii karne hii so sad manabii wa uongo ndo wamejaa
@MsAggie5
@MsAggie5 5 ай бұрын
Kwenge fake kuna genuine pia, Kama uamini ni juu yako na sio lazima uamini.
@iluvjesus313
@iluvjesus313 6 ай бұрын
Huwezi kumuamini nabii mpaka MUNGU akujaaliye roho ya kinabii ndani yako..ndiyo utamwamini nabii Nikama vile ili uuamini uongo ni lazima roho ya uongo ikae ndani yako Kilichotamkwa kimetamkwa na tuliojaaliwa kusikia tumesikia.. Kwamba ni cha kweli au si cha kweli, muda utatuambia... Ulipotolewa unabii wa kifo cha Jpm walikuwepo wapingaji wakapinga kwa maneno ya dharau, yalipotimia tu haohao wakageuka na kulaumu eti kama ulijua kifo kitatokea mbona hukumuombea asife...yaani watz ni buree kabisa. Wanafamilia mumeambiwa muombe, sasa zembeeni mulie kilio cha kusaga meno MUNGU ambariki nabii wake
NABII ATOA UNABII PART TWO KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophetedmoundmystic
4:38
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 19 М.
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,1 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 15 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 43 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
HUYU NDIYE NABII ALIYETABIRI KIFO CHA RAIS MAGUFULI WIKI TATU KABLA
4:43
NI HATARI SANA KUOTA NDOTO ZA AINA HII
53:12
Haleluya Tv
Рет қаралды 23 М.
MCH DANIEL MGOGO - WANAWAKE WANA MATATIZO MAKUBWA MATATU (OFFICIAL VIDEO)
10:04
MZIMU KUIONGOZA KENYA!!! JE, RUTO NI RAIS…?
6:13
Haleluya Tv
Рет қаралды 219 М.
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 1,1 МЛН
Alicho kisema Prophet edmound kuhusu UCHAGUZI 2025 | KUHUSU MAKUNDI MATATU
9:34
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 134 М.
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 55 М.
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,1 МЛН