LEO NIMEOKOTA GARI AMERICA 🇺🇸 JE UNAJUA KWA NINI WATU WANATUPA MAGARI USA ?✈️✈️🇺🇸🇺🇸

  Рет қаралды 60,906

ArrivalTv

ArrivalTv

8 ай бұрын

#youtube #trendingvideo #Hedofstaste#safari#greencard #usembassy #arrivaltime#ndege#I94#diaspora#creditcard#dv2024#thedignityact2023#asylum#nairobi#romanian#amsterdam#tanzania#denver#career#usikuwamanane#thanksgiving#tanzania #diaspora#Usajililine#health#hosp ital#tanzania

Пікірлер: 116
@user-pv1rt7wh3i
@user-pv1rt7wh3i 7 ай бұрын
Kaka najifunza sana kupitia video zako kiukweli unafanya kazi kubwa ya kutuelimisha mungu azidi kukupa nguvu ili uzidi kutuelimisha zaid🙏♥️♥️
@HermanKununga
@HermanKununga Ай бұрын
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮thank
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz 8 ай бұрын
Nakubali sana kaka natamani sana mungu akulinde sana 🙏🙏🙏🙏🙏
@thomasmwasongwe7790
@thomasmwasongwe7790 8 ай бұрын
Kaka safi sana.kaka naomba tuchunguzie kazi za driver wa magari madogo na makubwa yakoje kwa waafrika hapo nchini America
@janety1933
@janety1933 8 ай бұрын
😂😂😂 hongera Sana mwanakwetu nitumie na mm kagari😂 nimechoka kutembea Kwa miguu😂😂
@fridaerastor9722
@fridaerastor9722 7 ай бұрын
Unarudia rudia sana maneno
@piusgadau6328
@piusgadau6328 8 ай бұрын
Nchi ina uchumi mzuri sanaa
@nathanontegi3222
@nathanontegi3222 8 ай бұрын
Waiting to 🙉🙊🙊🙊 hear how,it looks good 👍👍👍.
@RoseUrio-bl3dm
@RoseUrio-bl3dm 7 ай бұрын
Nakuja kutembea huko❤
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 6 ай бұрын
Gari moto🔥
@allyfatma7359
@allyfatma7359 8 ай бұрын
Thanks bro
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 8 ай бұрын
Hatari Sana hyo
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 8 ай бұрын
Marekani unaweza kuwa na gari lakini nyumba. Africa nyumba kawaida sana hata ya udongo unaishi.
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 8 ай бұрын
Mambo nimezuri Sana kwenyekuokata magar
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz 8 ай бұрын
From mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-ty8ci5oi9m
@user-ty8ci5oi9m 7 ай бұрын
Naona Mungu akipenda ntakuja huko na mimi pia natamaani gari yangu
@alisaleh7040
@alisaleh7040 7 ай бұрын
Sasa pesa utayotumia kuendea huko c uzid kudunduliz ununue tu gar huku my friend
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
@tecratzmwakyambomwakyambo7243 7 ай бұрын
Mwana kwetu
@MrMasterMathew
@MrMasterMathew 7 ай бұрын
Jamaa wanatelekeza saaana
@user-ic1fs9bf1v
@user-ic1fs9bf1v 8 ай бұрын
Model year old x2 Taxision Navigation , spair part Bora utumie Toyota Japan
@frank18112
@frank18112 8 ай бұрын
Kama je ilitumika kwenye crime scene then wakaamua kuitupa hapo unawezaje kujua mwanakwetu...???
@itNeza
@itNeza 8 ай бұрын
Swali Zuri Sana. 😂👍✅
@fncmedia11
@fncmedia11 8 ай бұрын
Ivi mtu akifanya crime scene ataacha details zake na mawasiliano ili akukabidhi bure... Hapana...
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 8 ай бұрын
Unaangalia kwenye records zake utaona kila kitu KUHUSU hiyo gari
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Acha ujuaji
@ipyanamwimbe6484
@ipyanamwimbe6484 7 ай бұрын
Ameuliza sasa ushamba upo wapi Watanzania ujuaji Mwingi
@Cryptocurrency_Tanzania
@Cryptocurrency_Tanzania 8 ай бұрын
Good content, we umejuaje kuwa Gari limetupwa au Kuna sehemu maalum unayakuta magari yaliyo tupwa...
@babyakasha4002
@babyakasha4002 7 ай бұрын
amesema wanaliwekea ki Note kama vile FREE kama huku utakuta wanasema For sale
@iviejustified8109
@iviejustified8109 7 ай бұрын
Unafana rudia rudia saana brother .. ... Any way!
@markopedeshe9692
@markopedeshe9692 8 ай бұрын
We ulisikia wapiiiii gari yakuokota brooo 😂😂😂😂😂
@lexmondniyukuri8617
@lexmondniyukuri8617 8 ай бұрын
Wow unamanisha hata ni mimi ntapata gari 🎉🎉🎉 yakuogota ❤ 🙏
@user-vq8pz4ge6t
@user-vq8pz4ge6t 2 ай бұрын
Endelea kutupa Madini bro
@user-sn2if2sl1e
@user-sn2if2sl1e 7 ай бұрын
Kaka nimelipenda we niuzie tu
@peterdeus6093
@peterdeus6093 8 ай бұрын
Sasa kwa nin maada fupi unafanya kuwa ndefu kwa kurudirudia maneno pasipo na sababu ya msingi, nia tu video iwe ndefu unaboa
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 7 ай бұрын
Kwa hizo fact hata mm ningetelekeza😂😂😂😂
@goldprocessplant5893
@goldprocessplant5893 7 ай бұрын
brother nami niokotee gari pls nitafanya shipping 😂
@afroboy296
@afroboy296 7 ай бұрын
Mimi mwenyewe nimewahi kumupa rafiki yangu gari aina ya 2009 Hyundai Sonata. Magari huku marekani nikama ma baskeli Africa 😂
@JOSEPHNKUNDA
@JOSEPHNKUNDA 7 ай бұрын
Kaka na Mimi nifanyie mpango wa Gali huko🇹🇿
@khadigajessica991
@khadigajessica991 8 ай бұрын
Naomba niuzie basi
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 8 ай бұрын
Nikweli hata South Africa 🌍 hizo free way or high way yapo Sanaaaaaa unaendesha unavyotaka kikubwa uwe na combo kizuli 2
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 7 ай бұрын
Combo ni nn?
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 6 ай бұрын
Je,Kuna wanawake wa kuokota?😂😂😂😂😂
@amoskagika8884
@amoskagika8884 8 ай бұрын
Pamoja sana mwanakwetu. Sasa Kama ni hivyo vipi mtu akitaka kuanzisha biashara ya kuuza Magari used kutoka huko na kuyaleta Africa nimeona kuna jamaa anafanya hivyo kutoka Uingereza kuja Tz, vipi kuna ugumu kiasi gani kukusanya Magari Kama hayo au kwa kuyanunua kwa bei ndogo na kuja kuyauza Tz
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 ай бұрын
Unaweza ila shida ni kwamba huenda ukalipia ushuru mkubwa sna
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 8 ай бұрын
Harafu gari za America Nikusho rabda kauzie congo ira tz uongo mjomba
@justinmbangukira7034
@justinmbangukira7034 7 ай бұрын
​@@SophlaJackson-nt1ncKwaninini gari za America huwezi kuuzia bongo? Kwani sio imara
@mohdloushmoney9994
@mohdloushmoney9994 7 ай бұрын
​@@justinmbangukira7034ni left hand
@husseinkaoneka5834
@husseinkaoneka5834 6 ай бұрын
@@justinmbangukira7034 shida sio uimara ni left hand sisi tunatumia right hand, ukiend mkoan kuovertake kwke had wa kulia kwko umuulize kuna gar inakuja hko sas c bora uziache tu
@alexkagema6420
@alexkagema6420 8 ай бұрын
uko state la minnesota minneapolis
@maggieshi690
@maggieshi690 7 ай бұрын
What if gari niya mukora usifurahie kupewa. .think big b4 yu give in😮
@samludo5435
@samludo5435 8 ай бұрын
Wafunge kamba wasio jielewa
@dunialehani6188
@dunialehani6188 8 ай бұрын
Hacha uhogo wewe tuko miaka yote hapa sija wahi kuhokota wa Africa wezagu ana wema uhogo
@themanofgod7562
@themanofgod7562 7 ай бұрын
Point ni KWAMBA Nchi Zilizoendelea Duniani. Kila kazi wameipa thamani ndio maana HAKUNA mtu ana dharauliwa kwa sababu ya kufanya kazi flani.
@albajuntv8946
@albajuntv8946 7 ай бұрын
Kaka nataka job huko broo please nisaidie
@RoseUrio-bl3dm
@RoseUrio-bl3dm 7 ай бұрын
Nitaokota nyumba
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 7 ай бұрын
Iriwakaki nambai inono mwanakwetu
@philip1196
@philip1196 6 ай бұрын
Uliokotaje ,,, wapi?na key ulipataje?
@user-hc4ce3ze2d
@user-hc4ce3ze2d 7 ай бұрын
Bro unarudia sana maneno
@husseinally6699
@husseinally6699 7 ай бұрын
Umeona kama mm yaani mpaka usikip km matangazo vile , yaani ni mada ya dakika 3 tu
@iconramar9366
@iconramar9366 8 ай бұрын
Tanzania speed limit ni 80km/h
@jonasamos555
@jonasamos555 7 ай бұрын
inapigwa lebo kama hivyo fo free kama hivi ya L kwetu
@niolaussdavid
@niolaussdavid 2 ай бұрын
POLE SAANA
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 6 ай бұрын
We acha uongo marekan unaishi peke yako acha utahila, sema umepewa na si umeokota
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 5 ай бұрын
Hapana wanatupa ni kweli au wanapeleka sahemu wanayaaribu kama dampo
@mahadyisaac4525
@mahadyisaac4525 7 ай бұрын
Mjomba ilete bongo kwa fundi mangungo chuma bado manganyu hio
@Senetalkim
@Senetalkim 8 ай бұрын
Nataman sana kufika American lkn sijui naanzia wapi
@frank18112
@frank18112 8 ай бұрын
Utafika tu, pambana fuata taratibu...
@Senetalkim
@Senetalkim 8 ай бұрын
​​@@frank18112kupata passport sio tatizo inawezekana ila kupewa visa ndo mtihani sasa kwasabab lazma uwe na mtu atakae kupokea kule utakapo enda yan namuonba sana mwenyezimungu hii ndoto yangu itimie
@Yussuf3145
@Yussuf3145 8 ай бұрын
Hata mm natamani brother. In shaa Allah tutafika tu huko
@fatmamati5246
@fatmamati5246 6 ай бұрын
Niletee na mm huku nifanyie mazoez maana nasemea drive
@user-mw5rd2zm5r
@user-mw5rd2zm5r 5 ай бұрын
Kwa nn msiyabebe leta tanzania
@abdulkareemchacha2625
@abdulkareemchacha2625 7 ай бұрын
Je! Una uhakika gani kama hilo gari limetupwa???? Na utajuaje kama limetupwa????
@husseinkaoneka5834
@husseinkaoneka5834 6 ай бұрын
MAZDA hii
@ahmedjuma397
@ahmedjuma397 8 ай бұрын
mjinga huyo hakuna gari za kuokota
@BoniphaceChima-pf7zx
@BoniphaceChima-pf7zx 6 ай бұрын
VIPI UTARATIBU WA KUPATA KAZI? GENERAL JOB
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz 8 ай бұрын
Kwa iyo na wewe utalitumia kaka😂😂😂😂😂
@Nasbu-tb6cs
@Nasbu-tb6cs 8 ай бұрын
NAtaka kuja americA bro!
@DICKSONTimoth-xk7rj
@DICKSONTimoth-xk7rj 7 ай бұрын
Gari ya kwako mwenyewe eti umeokota 😂😂😂😂😂😂
@omarnicesang5507
@omarnicesang5507 5 ай бұрын
Ni kweli gari za kuokota zipo
@user-ip6iy6pm3n
@user-ip6iy6pm3n 7 ай бұрын
Sasa si msaidie watu wà ufundi magari waje kusaidia watu wasio hela warekebishe magari yenye shida ndogo tu ambayo hayafai kutupa
@GabrielSky64
@GabrielSky64 7 ай бұрын
Kaka mbona kama mpya kabisa hiyo naona kabisa kweny funguo ni mpya hiyo Ina hd kikaratasi
@udesibin8074
@udesibin8074 7 ай бұрын
Iyo elfu hamsin na laki moja unakariri weewe tu jomba
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 7 ай бұрын
Kuokota?
@oleboyofficial
@oleboyofficial 8 ай бұрын
Hatar kaka
@NIMFASHADieudonne-cy1fx
@NIMFASHADieudonne-cy1fx 8 ай бұрын
Asante kwa kutuelezea
@compilation-shorts
@compilation-shorts 7 ай бұрын
Una danganya watu hakuna gari ya kuokota us mimi nko new jassy
@josephstephen2047
@josephstephen2047 7 ай бұрын
New jersy au New jasy?! we nina wasiwasi uko mbagala
@salumsalum8866
@salumsalum8866 8 ай бұрын
broh kwan w upo mji gani?
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 ай бұрын
Washington
@salumsalum8866
@salumsalum8866 8 ай бұрын
ksha nataka kujua wp pazur pakuanzia maisha Washington or philladelphia.kat ya hio miji miwil km dv winer
@homan_nkwama
@homan_nkwama 7 ай бұрын
Umefanana na msanii wa hip hop ZAID.... NI NDUGUU?
@abelimembe6990
@abelimembe6990 7 ай бұрын
Nime kuerewa kaka
@aiyammshoka1096
@aiyammshoka1096 8 ай бұрын
Just say which Africa u talk about coz South Africa and North Africa countries they have good road lol 😂 😢
@historiazoteduniani5595
@historiazoteduniani5595 8 ай бұрын
NAOMBA KULIZA SWALI LA NJE YA HII VIDEO .HIVI NIKIPATA visa napangiwa siku ya kusafiri au naweza kukaa tu nasafiri siku nikitaka
@saidsobongo912
@saidsobongo912 8 ай бұрын
Siku ukitaka ndio wasafiri muhimu nikuchunga tarehe usije kusafir muda wa visa usha malizika hapo nishida
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 ай бұрын
Kuna Sababu kadhaa ambazo pengine zinaweza kukulazimu kusafiri bila kijipangia siku wewe mwenye leo nitakupa moja tu mfano kama uliomba visa kwenda kwenye tukiao linalofanyika tarehe flani ni laxima usafiri kabla hilo tukia halijaisha maana ukisafiri baada ya tukio watakuuliza kwenye port of entry kuhusu malengo ya safari yako ni nini hasa ukizingatia kwamba ulichoombea visa kimeisha muda wake
@robbyrobson6998
@robbyrobson6998 8 ай бұрын
Duh uku tunaokota chupa na secrepa
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 8 ай бұрын
Duu Umeokota teena mwenye nalo amekupa bulee Swahili mbili tofauti 🤔🤔🤔
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 ай бұрын
Yeah Mimi ni Masai hivyo sio mtaalamu wa Kiswahili
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 8 ай бұрын
@@ArrivalTv hapana ni uongo sasa Wamesoma saana🤣🤣🤣🙏
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 8 ай бұрын
Masai sasa Wamesoma saana🤣
@UwesuAhmad
@UwesuAhmad 7 ай бұрын
chengine hawana roho ya kindengereko bongo ndugu yako tu hakupi
@msamihamisi5161
@msamihamisi5161 8 ай бұрын
Nchi inaongoza kwa walala nje huko
@user-lj8du1yn5p
@user-lj8du1yn5p 7 ай бұрын
Wale wanao lala inje ni wale walioshindwa kufata Sheria wamehendekeza bangi njoo mahana😃😃😃😃
@ernestnchellu-hl2km
@ernestnchellu-hl2km 7 ай бұрын
Jina lako lenyewe unaonekana mshamba na hujui lolote kuhusu dunia
@msamihamisi5161
@msamihamisi5161 8 ай бұрын
Kama wangekuwa wanatupa magari watu wasingeiba magari nnchi namba moja kwa kuibiwa magari iyo...acha uongo wako
@MrMasterMathew
@MrMasterMathew 7 ай бұрын
Unabisha ukiwa Afrika ukifika USA utaamini
@araphatomary3539
@araphatomary3539 7 ай бұрын
​@@MrMasterMathewacha uzuzu na wewe😅😅
@SumaSeleka-ph3pg
@SumaSeleka-ph3pg Ай бұрын
Wanaiba magari ya gharama mzee. Sio hayo ya kawaida
@mikamwamba3554
@mikamwamba3554 7 ай бұрын
Vipi uko awaaangushi nyumba
@user-ey6ip5lf4p
@user-ey6ip5lf4p 8 ай бұрын
Ujinga 💯%
@antonymangu3458
@antonymangu3458 7 ай бұрын
This guy is lying to Tanzaniana who don't know to travel,,he is great liar come on don't
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 7 ай бұрын
Na mimi niliwai kuokota gali maeneo ya sinza mpyaaa
American RV( Hii ni gari na ni nyumba)
11:01
Huku Yues
Рет қаралды 171 М.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Meet Rama the only owner of GMC 3500 car in East Africa
12:23
JAMES AELEZEA NANNA ALIVYOPATA VISA YA CANADA
34:06
SHIJA tv
Рет қаралды 3,9 М.
Hawa Ndio Madem Mtapata Huku Germany 🇩🇪 🇰🇪 🇰🇪
8:37
Rogers Lugose
Рет қаралды 18 М.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН