Leo #MariaSpaces tunajadili: Bila #KatibaMpya tuko salama? Utekaji, uchaguzi na ufisaidi Tunaona ufujaji wa pesa, uuzwaji wa rasilimali, uchaguzi ambao ni uchafuzi, vijana kutekwa na kuumizwa - kweli tutatoboa bila #KatibaMpya ?
Пікірлер: 12
@gowekogoweko58034 күн бұрын
DU MADENI MAKUBWAA 😢😢😢😢
@gowekogoweko58034 күн бұрын
Tufwate Nyao za Mr Tutuvengele
@engzuberir.akilenza17644 күн бұрын
Mbowe anajificha kwenye kivuli cha busara huku akiimarisha CCM kimyakimya. Lissu ndiyo mpinzani halisi
@adelinelyaruu30364 күн бұрын
🤔🤔🤔🤔
@emmanuelmziray10734 күн бұрын
Abihudi ❤❤❤
@adelinelyaruu30364 күн бұрын
Hii nchi inaharibiwa na mikono ya watz wenyewe
@gowekogoweko58034 күн бұрын
ABIHUDIII 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻💞💞💞💞💞💞💞
@YussufPandu-es7ou4 күн бұрын
Lema nimekufahamu sana,UONGO NA WIZI WA UCHAGUZI UNATETEWA NA VIONGOZI WA DINI,HAKIKA TANZANIA NI NCHI YA AJABU,WANANCHI WAMEGEUZWA WAPUMBAVU NA WAJINGA
Malipo haya ambayo tunalipa kwa ujinga toweni taarifa dahihi watu wote wafahamu yawezq HATA CCM HAWAJUWI CHOCHOTE WAMBIYENI WAPIGA KURA TUNAVYO IBIWA NA WAWEKEZAJI UCHAFU HUU MIJITU HAINA AKILI Ndiyo maana wanaimba mtaisoma namba namba