Mazungumzo na Father Kitima Kuelekea Uchaguzi Mkuu | Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo S17

  Рет қаралды 35,727

The Chanzo

The Chanzo

7 ай бұрын

Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 161
@zacharymugo4131
@zacharymugo4131 7 ай бұрын
Kenya siyo mfano mzuri. Hakujawahi kufanyika uchaguzi wa haki Kenya. Labda wangekwenda Mauritius au Botswana
@kristogontesha6036
@kristogontesha6036 7 ай бұрын
Hongera Mzee Jenerali kwakuendelea kutuhabarisha.Kwakweli Mzee Ulimwengu umeendelea kuwa Bora kadiri umri wako unayopenda mbele Wewe, Jese kwayu na Mbwambo ni hazina kubwa kwa tasnia ya habari Makala zako zimekuwa na ujumbe ambao hauna hata chembe ya dosari hongera sana
@Baraka-hb2hb
@Baraka-hb2hb 7 ай бұрын
JENERALI ULIMWENGU, MWENYEZI MUNGU AKULINDE NA AKUONGOZE DAIMA UWE NI "SAUTI ITOKAYO NYIKANI DAIMA" AMINA🙏😇👌👍👏
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 7 ай бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@lufingodaniel8858
@lufingodaniel8858 7 ай бұрын
Yaani ukimsikiliza kwa Makini Father kitima unagundua ni kama vile anaNg'ata na kupuliza...Yaani hataki kuonekana anaisema Serikali
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 7 ай бұрын
Father Kitima wewe na Jenerali Ulimwengu ni wazalendo wa kweli wa Tanzania tofauti na wengine ambao ni wazalendo uchwara kwa Taifa. Endeleeni kuwaelimisha watanzania Mungu atawabariki.
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 7 ай бұрын
Wana madudu yao
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 7 ай бұрын
​@@frimatuslupimo2031hayo madudu ni yapi?
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 7 ай бұрын
Mungu awajalie nguvu za kutuellimisha.Watanzania sijui tumelogwa na nani.
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 7 ай бұрын
Iwepo sheria inayo eleza watu wakishapiga kura wabaki hapo hapo kituoni kura zihesabiwe na matokeo yatangazwe kwanza ndipo wapiga kura waruding makweo!!!
@annapeter4994
@annapeter4994 7 ай бұрын
Generali hao unaowahoji hawana shida. Jaribu kuwahoji Samia na Kikwete watupe majibu kwanini wanatutendea hivi
@jovinusmutabuzi4647
@jovinusmutabuzi4647 7 ай бұрын
Nyerere alisema upinzani upambane kuongeza wabunge wawe wengi bungeni. Wakiweka tume ya uchaguzi sawa ikazalisha wabunge sahihi huo ndi utakaokuwa mwanzo wa mchakato wakuleta mabadiliko chanya. Nakubaliana na fr. Bila maridhiano kati ya watawala na watawaliwa tutazalisha Somalia.
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 7 ай бұрын
Nimewapenda. Mjadala huu urudiwe mara nyingi labda ccm watajifunza. Tumechoshwa nao sana
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 7 ай бұрын
Baba anahitaji mapumziko,anaitaji watu wajitolee kumsaidia kuziba mashimo ya siasa na kikatiba yetu....(mungo amuhepushe na mengi tusioyajua) Duniani hamna cha imani ishi maisha unavyo ya weza na subiri siku yako tu ya kufa (mungu mwachieni na mambo yake) mengi ya fanyika mungu hayaoni?
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 7 ай бұрын
Hongera sana Generali na Fr Kitima
@afredyohana356
@afredyohana356 7 ай бұрын
General ulimwengu uko sahihi San kwa host yko na umekua siyo mnafiki lkn pia na huyu Baba kitime nae Mungu amjalie san
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 5 ай бұрын
Hongera mzee Jenerali ulimwengu kwa uzalendo wako juu ya nchi yetu unajitahitahidi sana kutoa elimu lakini viongozi wa CCM wameweka pamba masikioni CCM hawawezi kukubali katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwasababu wanajua kabisa wakikubali kuandika katiba mpya ndiyo mwisho wao wa kukaa madarakani ndiyo maana wanalazimisha tubaki. na katiba yao inayowabeba kubaki madarakani
@zachariamalley7076
@zachariamalley7076 7 ай бұрын
Fr Hapo ninakuelewa sana. Kiongozi nikutia matumaini wakati wa matatizo kuwa kkuna njia ya kutatua. Cku zote tuwe na Imani na viongozi wetu tuliowapa madaraka ya kutuongoza. Nadhani jenerali anachokoza maoni yako kwa njia hasi, nikimuona kama aliwahi kuwa kiongozi mojawapo nchi hii.
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 7 ай бұрын
Hakika taifa linaangamia hili bila utashi wa kufuata haki na katiba yenye kujengwa juu ya misingi ya haki. Asante kwa mjadala huu murwaa kwa hatima njema ya taifa letu. Sote tuna haki ya kuifaidi Tanzania na siyo wachache wezi wezi tu.
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 7 ай бұрын
Generali the great. Mzee wetu una hekima na upendo mkuu wa nchi yetu. Kitima anazungumza anavyo tamani iwe ila sio ilivyo. Mama aliahidi katiba mpya then majuzi katugeuka kwa kigezo kuwa hatuna elimu ya katiba, sasa imani tuipate wapi?. Padre tueleze
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 7 ай бұрын
Kila jimbo la uchaguzi liwe na tovuti ya wananchi au wapiga kura wake waliojiandisha na raia,kuweka maoni kwa njia ya simu na mbunge wa jimbo na mjumbe wa tume ya uchaguzi waratibu maoni ya wananchi na kuyawasilisha bungeni.Pia,siku ya kupiga kura siyo lazima iwe moja kwa nchi yote.
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 7 ай бұрын
Nimekuelewa vyema, Father Kitima.
@festomartin6170
@festomartin6170 7 ай бұрын
Be Mwakitima, ilileme ilyo kumbi ndauli, kalisage ludodo, ginage imboka sa majani, au inyamahamba, inyama, uwugali, uwali, kafilekage fikuwulaga. Kafanyage amazoezi, neke umvili ugo gwikala lunofu
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 7 ай бұрын
Hongereni sana wazee wangu kwa kutuelimisha, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
@yohanamdemu9232
@yohanamdemu9232 7 ай бұрын
Daaaah, hakika Jenerali Ulimwengu upo sahihi sana, Hawa wanajisifia miaka 100 duuh
@willygwaikana
@willygwaikana 7 ай бұрын
Ukweli ni kwamba mamlaka zote za kidunia zimeamriwa na Mungu kadri ya kizazi kilivyo katika kila nyakati. Kwa kadri kizazi chetu kinavyozidi kupotoka kikiacha maagizo ya Mungu na kufuata maagizo ya wanadamu, basi tutapewa watawala wanaolingana na kupotoka kwetu maana kwa kufuata maagizo yao yapinganayo na ya Mungu, basi tumejifanyia wanadamu kuwa miungu yetu. Basi watawala walio kwa ajili ya wananchi, kamwe hawataonekana kwa kila nchi duniani maadamu tu wananchi wake nao wamemuacha Mungu na kutumainia wanadamu wenzao. Tukipotoka, basi Mungu muhukumu wa haki huweka watawala wakandamizaji. Kila nyanja itaoza, tutazidi kupungukiwa watu wema na wenye haki. Watumishi waadirifu watazidi kuadimika bali vyeti vingi vya juu. Wabunge, mawaziri, mapolisi, manesi, mahakimu, walimu, wazazi, vijana waadirifu watazidi kuadimika. Na zaidi sana watumishi wa Mungu feki watazidi kuongezeka. Na kitakachofuata ni majanga kuongezeka yakiashria aina ya kizazi. Inawezekana kukanusha mawazo haya, lakini haiwezekani kukanusha matokeo yake
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 7 ай бұрын
Jeneral ulimwengu mada ni mzuri ila kama kikwete bado yupo ccm mambo hayo tusahau,ndie muharibifu no1wa chaguzi zenu tanzania,2vikosi vyenu sio vya wananchi ni vya ccm,tume ccm,msajili wa vyama ccm,hapo hapana liwalo kwa vyama pingani😮
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 7 ай бұрын
Asante sana,mnatupa Iman watanzania,ya kupiga kula,tulisha kata tamaa siku nyingi sanaaa.
@jacksonngimba9065
@jacksonngimba9065 7 ай бұрын
Big and bright brain 🧠, nimewaelewa sana
@piomgeni8750
@piomgeni8750 7 ай бұрын
Elimu ya uraia nzuri sana hongereni General Ulimwengu na Fr Kitima
@albertkamala6843
@albertkamala6843 7 ай бұрын
COMBINATION YA FR. KITIMA & JENERALI ULIMWENGU NI YA USHINDI TU!
@danielchacha1305
@danielchacha1305 7 ай бұрын
Wenzetu wako huru sis Watz tuko kifungoni!! Tunaongozwa na viongozi mafisadi na wezi wasio na mapenzi mema na nchi yetu.
@oigenngonyani1124
@oigenngonyani1124 7 ай бұрын
Hongereni Mzee Generali na Fr Kitima wananchi kufunguliwa akilli zao Ili wajue Taiga linakoelekea
@nestor384
@nestor384 7 ай бұрын
The genius Rev Father Dr Charles Kitima
@user-hg9yc7yj9k
@user-hg9yc7yj9k 7 ай бұрын
Mwenyezi mungu hazidi kuwapa nguvu za kuweza kupata mda kama huu kuzidi kuwaelimisha watanzania kuusu haki zao mbalikiwe sana tunawapanda sana na tuko nyuma yenu tunayakubali mnayo twambia•
@deogratiusnjoka
@deogratiusnjoka 7 ай бұрын
Thank elimu hii ni njema Sana. Itaendeza zaidi tukiiona TBC watu wote wapate elimu.
@kristophermassawe5820
@kristophermassawe5820 7 ай бұрын
Nimefarijika kwa mjadala huu wa uchaguzi. Watawala wa sasa ni Wayunani maana hata hili la miswada ni kama Trojan horse ambao tutajadili Sana na baadae wataandika kadiri ya matakwa Yao na sio mapendekezo yetu. Lengo lao Kwa sasa kufunika uovu wa 2019 kama maiti iliyowekwa kwenye sanduku/jeneza zuri. Imani ya watawala wetu bado ni Kwa maslahi Yao.
@nassonsimwanza1437
@nassonsimwanza1437 7 ай бұрын
Mumefanya vizuri Sana,ilatu ccm niwahovyo hawawezi kukubali.
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 7 ай бұрын
Mzee mkubwa jenerali umembana vzr sana akatoka nje ya reli anayumba kila kona nao sahii ni wapigaji wapo kimaslai
@peterbangari4273
@peterbangari4273 7 ай бұрын
Safi sana asikofu kitima pamoja na ulimweng mungu awabaliki
@eugee891
@eugee891 7 ай бұрын
IQ n kubwa sana kwa hawa watu wawili
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 7 ай бұрын
Kwa kweli father umeleta huruma mno kwa hawa waovu walioiba uchaguzi nakuomba usimwamini mtu hasa mwanasiasa baba Baba umeona hayo marekebisho?? Afadhsli ungefuatilia uvchambazi wa hiyo miswada uliofanyika jana baba
@josephmantago2837
@josephmantago2837 7 ай бұрын
Father Kitima baado unawaza kutapeliwa na ccm baado unaamini kauli ya Mh Samiah uko nyuma kwa kubaini uovu ww umeathirika na ukristo utaibiwa mpka kiama ccm ni mashetani walimtaperi mh Mbowe leo maridhiano yako wapi mh jeneral yuko vzr sana anaelewa ukweli wa haki na utaperi anaujua huwezi kumdanganya
@rwekazamugasha6448
@rwekazamugasha6448 7 ай бұрын
Jana nimepata clip moja ya first Lady wa Namibia akiweka wazi tatizo mbalo tukubali chanzo tatizo ni wa mambo mawali: PESA NA MADARAKA. Binadamu anapenda kupata yote mawili kwa pamoja. Mwanzo ni kuiba "corruption "
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 7 ай бұрын
Nasubiri kwa shauku Generali nimemsoma nikiwa olevel Fr kitima amekuwa vice chancellor nikiwa mfz Saut
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 7 ай бұрын
Hongera jenerali nakukubali Sana kaka.
@johnpetrokalisa8826
@johnpetrokalisa8826 7 ай бұрын
Imani acha tuamini Mungu tu sehemu nyingine sheria ni mhimu
@thomasmallya670
@thomasmallya670 7 ай бұрын
General ulimwengu nimekuwa nafuatilia vipindi vipindi vyako lakini nilichojifunza ni kwamba wewe huna lengo zuri la kipindi hiki . Unachofanya kunajaribu kujenga chuki ki science. Kama hamtafikia mahali msimame katika kweli ' hamtakaa mfanikiwe maisha.
@catherinevalence7510
@catherinevalence7510 7 ай бұрын
Miswada hii 3 kuelekea kupata Sheria za uchanguzi 2024&2025, wanawake tunahitaji wangombea HURU na wagombea 2 kwenye majimbo. Mapendekezo ya rasmu ya Mhe Jaji sinde Warioba ya majimbo kuwa Halmashauri itumike hiyo. Me&Ke kutoka Kila chama watagombea na chama chenye kura nyingi Ke&me watakuwa wameshinda. #Nospeacialseat.
@ChristerShao
@ChristerShao 7 ай бұрын
Uchaguzi uliopita,wapiga kura baadhi waliandaliwa kupiga kura mara zaidi ya mara moja.
@AliMasudi-td7gy
@AliMasudi-td7gy 7 ай бұрын
Tatizo watanzani waonga Sana
@philimonndinadyo2120
@philimonndinadyo2120 7 ай бұрын
Safi sana kitima
@knight6757
@knight6757 7 ай бұрын
Ulaji😂
@salummohamed2689
@salummohamed2689 7 ай бұрын
Father Kitima utakuja kukubali maneno jenerali ulimwengu kuwa hana imani na watawala hawa. Hata mimi pia sina imani kuntu. Rejea kiongozi mkuu kusema KATIBA ni kijitabu tu...........😮
@user-kg8dn6qr8o
@user-kg8dn6qr8o 7 ай бұрын
Watu makini wanajadili vitu makini kwa maslahi ya Tanzania
@damasiuspetro5178
@damasiuspetro5178 7 ай бұрын
Ni kweli Viongozi wa dini wawaeleze waumini kuwa Wizi wa kura ni DHAMBI KUBWA SANA.Kama tabia hii,ikiendelea,haitakiwa na afya kwa Taifa tunalotaka
@peterrobert3964
@peterrobert3964 6 ай бұрын
Tume ikaribishe watu kama Generali Ulimwengu awe MWENYEKITI
@peterkissiri9821
@peterkissiri9821 6 ай бұрын
Kipindi kipo vizuri. Na pia kina amsha na kuchochea hamu na kiu ya mabadiliko katika taifa letu.
@danielchacha1305
@danielchacha1305 7 ай бұрын
Inasikitisha sana yaani Rais Samia kuuza Bandari zetu na kuwapa wageni asilimia 40 ya mapato yote ya Bandari hii ni aibu kubwa sana!!
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 7 ай бұрын
Hawa ndo wazee wazalendo
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 7 ай бұрын
Mazungumzo yamenoga
@usafiaps318
@usafiaps318 7 ай бұрын
Jamani Ongeeni Yote Lakini Fungueni Uelwa Wenu Tanganyika Na Zanzibar Ndizo Nchi Zilizoungana.Tupiganie Tanganyika Yetu.Ili Nayo Ipate Bunge Lake Kama Jinsi Ambavyo Zanzibar .
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 7 ай бұрын
Sana!
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 7 ай бұрын
Kweli kabisa
@TAMay-vf5xt
@TAMay-vf5xt 7 ай бұрын
Kinachoshangaza hata masuala yasiyo ya muungano wabunge kutoka Zanzibar wanashitiki kikamilifu.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 7 ай бұрын
HEBU NENDENI MKAULIZE WA KENYA MAISHA YALIVO HALAFU NDIO ONGEA TZ YETU UTAJUA TUKO SAWA WACHENI KULIALIA FANYENI KAZI HAKUNA MIUJIZA TOKA TEC 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@jdanny497
@jdanny497 7 ай бұрын
Akili yako ndogo..sisi wengine tumeishi kenya we know exactly what's going on
@AugustinoKinunda-tf5tp
@AugustinoKinunda-tf5tp 7 ай бұрын
Hii ni Tanzania ndugu. Acha kuishi kwa kucopy maisha ya wakenya. Tunataka kuishi kama Watanzania.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 7 ай бұрын
Upo Sawa na kenya kwa lipi?
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 7 ай бұрын
@@jdanny497 kugombania kilo ya mahindi 🥳🥳🥳🥳WANALILIA KUJA BONGO WACHA KUDANGANYA WATU WAKO NA NJAA NA UWIZI NDIO WANAONGOZA
@anosiata8242
@anosiata8242 7 ай бұрын
Jenerałi ulimwengu. Father kitima nimependa mjadara.
@user-ni7nw1xz9j
@user-ni7nw1xz9j 7 ай бұрын
DR.kitima unataka kuaminisha serikali hii ya kihaini itajirekebisha na uongozi ni uleule?
@ragoioondo8142
@ragoioondo8142 6 ай бұрын
Nawapongeza kuyaona hayo. Tatizo ni hofu hiyo hiyo. Pamoja na uadilifu ama kufuata sheria, Kuna haja ya hofu ya Mungu kwa wenye dhamana. Wajue pia ya kuwa baada ya dhamana ya duniani ipo dhamana ya mbingu pia. Haki itendeke wakati wote katika maeneo yote.
@oigenngonyani1124
@oigenngonyani1124 7 ай бұрын
Makosa yalifanywa na Azimio la Zanzibar kuua Azimio la Arusha na kuruhusu watumishi wa umma kuwa pia wafanya biashara na kuruhusu matajiri wakubwa kushika madaraka makubwa ndani ya chama ndo mambo ya ovyo nchi hii yalianzia hapo
@kakawataifa6752
@kakawataifa6752 7 ай бұрын
Bila katiba mpya itakayoleta tume huru ya uchanguzi hakuna kitu
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 7 ай бұрын
Hiyo ya kuengua wagombea kwa kosa dogo tu la herufi moja muulizeni mr pole2 ndie alikuws architect.
@user-dr9hu9yf7c
@user-dr9hu9yf7c 7 ай бұрын
Vizuri generally lakin ningependa siku moja nami nipigie interview na ww
@eacoratz2331
@eacoratz2331 7 ай бұрын
Nyie Fr Kitima na Ulimwengu, mnapopazia sauti hili la mapungufu yaliyomo kwenye KATIBA na TUME YA UCHAGUZI, hivi mwajua dhuluma ya mafao ya pensheni iliyofanyiwa Vikongwe 17,000+ waliopinda migongo wakiyatumikia kwa ueledi, ufanisi na uaminifu mkubwa Mashirika mbalimbali ya East African Community ya 1967-77, namuguswi nafsi zenu? Ni jukwaa lipi liwapazie sauti Vikongwe hawa?
@xasankenya3700
@xasankenya3700 7 ай бұрын
Kwema bro Ukovema bado
@user-un5dm8gj7p
@user-un5dm8gj7p 7 ай бұрын
uyo Rais a nahonga nchi yetu anajinufaisha yeye na family yake mpaka mtoto wake kamweka kama kiongozi wa nchi kachaguliwa na nani?
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 7 ай бұрын
Ni waporaji Father sema ukweli. CAG kashasema
@alfredmbwilo7354
@alfredmbwilo7354 7 ай бұрын
😊 18:02 18:12
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 7 ай бұрын
Fadha kakutana na chuma cha pua leo
@ragoioondo8142
@ragoioondo8142 6 ай бұрын
Jambo lingine najiuliza sana,,,,,hivi inasikika katika mafiga matatu ya dola? Serikali, bunge na mahakama? maharaja? Ama ni furaha tu masikioni mwetu sisi wanyonge ? Jamani mijadala hii mingi ya nia njema kwanini isizae matunda? Wenye nia mbaya Tanzania 🇹🇿 tuwalaani kwa ujumla wao....
@jenipherkyando4822
@jenipherkyando4822 7 ай бұрын
General huu mjadala unafaa ujadiliwe na samia au kikwete mbona mnawachokoza ma fr. Jamani
@user-uo6zj2jm3e
@user-uo6zj2jm3e 6 ай бұрын
Mwananchi gani anaweza kulekebisha wakati tulio wapitisha wamekanseliwa
@user-uo6zj2jm3e
@user-uo6zj2jm3e 6 ай бұрын
Huyu hana mungu kwanza anaongea uwongo na anayiyogopa selekali
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 5 ай бұрын
Father kitima = kikwete Askofu bagonza= lissu
@lewardikaminyoge8040
@lewardikaminyoge8040 7 ай бұрын
nimekukubali ulimwengu
@godfreymaroandrew7651
@godfreymaroandrew7651 7 ай бұрын
Bunge letu lilipaswa kuwa na viti vitano vya wazee makini, wa kukosoa serikali، wakiwemo wa dini zote, wawe Wabunge wa kudumu! Akiweno Jenerali ulimwengu !
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 7 ай бұрын
Miswada iwekwe hadharani kwa lugha ya Kiswahili kwa muda wa kushiba,ili wananchi wawasaidie wabunge kupata maoni ya wananchi.
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 7 ай бұрын
Serekali yetu imelaaniwa😭😭😭sina neno lingine la kuwaambia
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 7 ай бұрын
😀👍
@user-ni7nw1xz9j
@user-ni7nw1xz9j 7 ай бұрын
​@@aliyageorge6794Ni juzi tu tumeambiwa maoni yamezimgatiwa wakati ni uwongo Bado tu mnahangaika na maoni badala ya kuhamasha watu kuingia msituni au barabarani
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 7 ай бұрын
Makosa yalifanywa na John pombe magufuri😢😢
@eng.mallya9532
@eng.mallya9532 7 ай бұрын
Fr.kitime naomba unyoooke naona umeamua kuwa kama muwa unaweka mafundo kila swali syo sahihi ila general ni rasimali ya taifa
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 7 ай бұрын
Ninaimani chama tawala munaona. Na. Kusikia. Acheni ujambazi. Nakutishia mawakala. Wakati was uchaguzi. Hata polisi rithikeni na mishahara yenu. Mnapokea rushwa. Kusindikiza kura za wizi kuuwa watu. Baada ya hapo shida zenu ziko pale.pale muwakatee.
@user-un5dm8gj7p
@user-un5dm8gj7p 7 ай бұрын
Uchaguzi uchelewe katiba Mpya kwanza ili wazi wachukuliwe atua
@joshuarose6756
@joshuarose6756 7 ай бұрын
Dah huy Jeneral ni mchambuz mzur Father atulize ubongo kwa jenerali atapat kitu..
@user-vi1ds6gw9g
@user-vi1ds6gw9g 7 ай бұрын
Ninyi watumishi mmeongea ukweli kabisa!! wananchi wanapaswa kuchagua viongozi wanaowataka si watu kuingia madarakani kwa kupora kura za wananchi! na hiyo ndiyo inapelekea pia hao viongozi kupora mali za uma.😳😳
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 7 ай бұрын
Mwenzenu Samia anasema katiba ni likitabu tu
@philimonndinadyo2120
@philimonndinadyo2120 7 ай бұрын
Ma
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 7 ай бұрын
TUWE WA KWELI...UCHAGUZI WA 2020 ULIKUWA MCHAFU NA OVYO...NA LAWAMA ZOTE NI ZA HAYATI JPM.
@user-un5dm8gj7p
@user-un5dm8gj7p 7 ай бұрын
Ujaona wanajitungia sheria za wao na wake zao waume zao kujilimbikizia pesa
@salummohamed2689
@salummohamed2689 7 ай бұрын
Haitatokea kuwa na uadilifu katika chaguzi zetu Hadi utawala wa chama hiki CCM ulazimishwe Kwa vitendo hata kama kutatokea mauaji makubwa vinginevyo mtasema Hadi vitukuu vyenu nao wasema hayahaya Kwa vile hawa jamaa siyo wastaarabu kamwe.
@alfredmbwilo7354
@alfredmbwilo7354 7 ай бұрын
Padiri kitima mbona waziri majariwa anatudangaye kuwa mpango anapinga kazi wakati unaumwa maututu .mumeshindwa kuwakemeya hao viogozi wetu
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 7 ай бұрын
Katiba mpya ndiyo msingi wa mabadiliko ya uhuru na haki nchini, hivi viraka viraka ni sawa na kushona kitambaa kioya kwenye ngui kukuu.
@aishathabit3732
@aishathabit3732 7 ай бұрын
Huyu aliyasema haya wakati wa JPM? Nafiki huyu
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 7 ай бұрын
Waambie hivyo vyama vya upinzani baba Kitima. No uchaguzi bila katiba mpya. Au walau tuanza kumalizia ile ya Warioba
@2003hintay
@2003hintay 6 ай бұрын
Mnapotosha wananchi dini sasa inaingia kwenye siasa hamna ibada tena
@yohanamdemu9232
@yohanamdemu9232 7 ай бұрын
Mh. Jenerali ulimwengu unadhani hawa maaskofu wetu wanaweza kujali maslahi ya watu wao? Hebu unaposema nao karibu kuwatazama usoni nikama wana ndimi 2 hv, hawana msimamo unaoeleweka wanyajali sana majina makubwa yaaani "tulialikwa "tuliambiwa " tumeheshimiwa sana nk" hatuna mfano wa Desmond Tutu. Wote ni walewale tuu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 7 ай бұрын
Hapo haupo uchaguzi,ccm haiwezi shindwa endapo mfumo huu utendelea kuwepo,binafsi siwezi poteza muda wangu kujipanga kwa foleni ati kupiga kura,wakati najua kuna uhuni mtupu,tanzania hakuna kiongozi anayewekwa na watu kwa njia ya kura,na ndio maana hawa watu hawana adabu kabisa huweza kufanya chochote wakitakacho muda wowote,na wasifanywe chochote,
Jenerali Ulimwengu Anaifungua Shajara Yake Kwa Babbie Kabae
56:28
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 151 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Oscar Kambona: Shujaa au Msaliti? | The Chanzo Documentary
1:04:34
ASKOFU MWAMAKULA AINGILIA KATI SAKATA LA UKODISHWAJI BANDARI
57:16
WAKILI MWAKUBUSI ASEMA HAYA KUHUSU HAKI MBELE YA VIONGOZI WA DINI MBALIMBALI
17:36
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 11 М.
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15