Umependeza sana msali shemeji yenu ule sana sana samaki inafaisda sana sana kwa mtoto hasa akiri nina ushuhida huo
@alinetuyisabe4044 Жыл бұрын
Utanye Baby shower pamoja na gender reveal
@gamgangweesechota3589 Жыл бұрын
kunenepa Mara nyingi huwa baada ya kujifungua Ila unaweza unenepe au ubaki hivo hivo
@alinetuyisabe4044 Жыл бұрын
Pia tunataka kuona labor and delivery videos please
@alinetuyisabe4044 Жыл бұрын
Tufanyiye videos zote za mamam mujamuzito
@mariamdullazy8166 Жыл бұрын
Bariki ndo umekuwa mmama hivyo siku nyingi sijakuona jaman mashallah 🥰🥰🎉🎉
@salmadulazi6876 Жыл бұрын
Mmmhh odo sikuwezi kila chocho upo!!!?😅😅
@mariamdullazy8166 Жыл бұрын
@@salmadulazi6876 haswaa ni siku nyingi nafatilia huyu dada juz ndo nikaona video yake mama kijacho 😀
@taseleli9181 Жыл бұрын
Kwa kweli amekuwa mmama.
@NadhifaAbdallah-mo9gs Жыл бұрын
Hongera sana mpenz. Jitaidi usijitulize sana mwili tembea tembea siku ya kujifungua upate uraisi wa kujifungua
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante dear 👏🏽👏🏽
@ElizabethLiz-e4n10 ай бұрын
Bariki hongera sana sana mom
@barikikaroli608810 ай бұрын
Asante
@LateefaL-e1u Жыл бұрын
Mashaallah hongera sana lakini umenenepa sana uko vizuli naitaji utufanyie video yamafuta nasabuni unavyo tumia usoni namwili muzima maana uko nalangi moja inapendeza sana
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Sawa asante 💕
@LifestylewithLyne Жыл бұрын
Hongera Sana Bariki, mimba ya Kwanzaa kila kitu kinakuwaga kipya kwako huwaga hazitesi sanaa unaenjoy tu mabadiliko ya mwili
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante dear 💕
@gamgangweesechota3589 Жыл бұрын
Jaman hongera sana Sana my dear Mungu Mwenyezi akuvushe na akufanikishie Safari yako iishe salama,Mimi mwanzoni huwa Kuna shida Sana Mimi mimba zangu zote mbili miezi mitatu ya mwanzo huwa sili chochote zaidi ya uji wa limao tu mpaka iishe kidogo na vitu vichachu lakin nikivuka hapo nakula kila kitu kiukweli
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante sana dear 💕💕❤️
@aminaisuja6081 Жыл бұрын
Pua development 😅😅😅 ila mimba imejua kukuzeesha shoga angu 😅😅😂
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
🤣🤣ni tabu
@alinetuyisabe4044 Жыл бұрын
Tumekumisssss sana 😢
@alinetuyisabe4044 Жыл бұрын
Tulikuwa tumekumis sana please uwe unaonekana tunakupenda sana
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Hata mimi nimewamiss sana dear 💕
@piencenoel5249 Жыл бұрын
Hongera sana
@magrethndambo9635 Жыл бұрын
Waoooh umependeza sana Mungu akulinde
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante 💕
@Tariqxxtenations Жыл бұрын
Hongera sana❤️❤️❤️❤️
@alinetuyisabe4044 Жыл бұрын
Tuonyeshe jinsi unajitayarisha kupokea Mtoto
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Sawa
@lilianestephanie7881 Жыл бұрын
Unani inspire
@ShamsaJafari-rh3zu Жыл бұрын
Baliki huna baya nakupenda sn
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
💕💕
@rukaiyamayoga5700 Жыл бұрын
Natamani mtoto
@gamgangweesechota3589 Жыл бұрын
yaani nishafika nilikumiss Sana jmn❤❤❤❤
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
💕💕 hata mimi asante
@stemarcely7493 Жыл бұрын
Hongera sana Bariki jmn.....MUNGU akucmamie....
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante sana
@getrudelamshai4755 Жыл бұрын
Hongera sana🙏
@pendosamwel9289 Жыл бұрын
Hongera San Bariki umependeza san
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante 💕
@lucymgao Жыл бұрын
Wawo jamani nimekumisi sana natamani kulia kwa furaha
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
💕💕💕
@judithsalvatory2892 Жыл бұрын
Wooow hongera sanaaaà Mungu akupariki sanaà❤❤❤❤
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante 💕
@radiaarady3307 Жыл бұрын
Hongera sana dada Allah akufanyiye wepesi katika kipindi hiki❤❤❤
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante 💕
@LunduMassanja Жыл бұрын
hongera sana bariki
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante
@neemamandari4991 Жыл бұрын
Hongeraa mpenzii❤
@keviisakamacho2360 Жыл бұрын
Hongera sana dear
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante
@Zahara-l3l Жыл бұрын
Mashaa Allah 🎉🎉
@MercyKyando Жыл бұрын
Congratulations love 🎉🎉🎉 we are so happy for you
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Thank you Mercy 💕💕
@rachealkitawa2153 Жыл бұрын
Congratulations 🎊 🎉🎉🎉bariki
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Thank you
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Hongera sana kipenzi❤❤❤❤
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante 💕
@shamsaamos3130 Жыл бұрын
Hongera sn .
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Asante 🌺
@rentadelilah Жыл бұрын
Congratulations baby girl 🎉😘💕 I'm so happy for you 😘
@barikikaroli6088 Жыл бұрын
Thank you dear 💕
@hamidaabdul556 Жыл бұрын
Hongera sana kipenzi na utajifungua mtoto wakike❤❤❤