Utawala huu umepoteza uelekeo, hakika utekaji umeharalishwa na watawala wetu.
@NemesiRabow-gt4zq2 ай бұрын
Lema mungu akutunze
@januarysungura81192 ай бұрын
Ndugu zangu ivi ni kweli kwamba watu kupotea ni jambo la kawaida mpaka mwamba anaongea mda wote huu na like ni mbili wakati kwa simba na yanga tumejazana kweli?