Likuyu Sekamaganga Namtumbo - Eneo lililohifadhi Wapigania uhuru wa Msumbiji

  Рет қаралды 63

AfricanLiberation TV

AfricanLiberation TV

5 ай бұрын

Kituo cha Ukombozi kimetembelea eneo la Likuyu Sekamaganga lililopo Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, eneo ambalo lililopokea na kuhifadhi wapigania uhuru zaidi ya 1000 kutoka Msumbiji kuanzia mwaka 1979 wakati wa Vita vya Renamo na Frelimo vilivyoanza mara baada ya nchi hiyo kupata uhuru mwaka 1975.
Eneo hili liliwapokea wapigania uhuru wa Msumbiji na kuwapatia hifadhi katika vijiji 9 kikiwemo kijiji cha Mandela, Kambona, Kambarage, Kolimba, Sokoine, Samora na Mondlane vilivyopo katika Wilaya ya Namtumbo.
Aidha, Urithi unaopatikana katika eneo hili ni pamoja na Shule ya msingi Mandela, zahanati, Chuo cha Mafunzo ya Uhifadhi wa Maliasili kwa jamii (CBCT) na mashine ya kusagia nafaka.
Kituo kimetembelea eneo hili kwa lengo la kutambua urithi uliopo kwa ajili kuhifadhi, kutoa elimu kwa jamii na kutangaza utalii wa kiukombozi unaopatikana katika Wilaya ya Namtumbo.
Urithi wa Ukombozi, Fahari ya Afrika

Пікірлер
Nie wieder im Stau stehen? Mega-Projekt Brenner Basistunnel
13:30
ZDFheute Nachrichten
Рет қаралды 137 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 21 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН
tagesschau 20:00 Uhr, 26.07.2024
15:53
tagesschau
Рет қаралды 129 М.
Die neue Volkskrankheit Heuschnupfen | SPIEGEL TV für ARTE Re:
30:13
PBS News Weekend full episode, July 28, 2024
26:46
PBS NewsHour
Рет қаралды 107 М.
ARD-Sommerinterview mit Christian Lindner, Bundesfinanzminister
30:56
MAMBO YA CHUO CHA MALIASILI NAMTUMBO RUVUMA
1:31
KUSINI NEWS
Рет қаралды 1,6 М.
CHUO CHA CBCTC NAMTUMBO KUANZISHA KOZI YA UTALII MACHI 2020
2:58
Hili ndilo lilikua Lengo la Mwl. Nyerere juu ya Muungano wa Tanzania!
3:06
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 21 МЛН